😂😂😂😂 kazi nzuri sana clam, kicheche, vai na wengine ila vai nimetokea kukupenda kwelii sio kwa urembo ulionao tuu hadi kwa jinsi unavyo igiza wajua na waelewa kabisaa kipi kizur kipi kibaya nataman ungekua wangu mbwa mimi
clam na group lake ni the first na the best kwa sas hivvi.... kwangu mm ni wangeongeza mvuto katika kumaliza kwao.... hawamalizi kisayansi.... inaishia mahali ni mahali bila mpangilio maalumu... na kufanya ikose mvuto mwishoni
Hii Team ikiwa hivi mm maoni yangu naona kazi yao huwa babu kubwa kushinda wakiwa separated. Fanyeni kazi pamoja mutafika kwa kutupa burdani. From Mozambique 🇲🇿
Jamani mimi ndio wa kwanza naombeni like zenu !!!🔥🔥
ua-cam.com/video/rw57KCW3yiw/v-deo.htmlsi=-Apo4X8chkKZQaq0
clam sna
Uyu dada anaweza mpaka keroo Yani...Kila sekta anavaa uusika asilimia 100/%namuon mbali sana big up
Anajua sana tn Zaid ya sana
Daah vailet anajua sana ❤❤❤
Tunamukubali
Jamani mapenzi Yana umiza muke umupendaye ndiye ana kubeza clam mimi ni shabiki yako damu kabisa kutoka Lubumbashi Congo 🔥🔥🔥❤️❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kiekiekie
Asate
Nalipenda hili jamaa eti mbwa Mimi 😀😀😀 viva kicheche viva vaileth nampenda sana huyu dada pamoja sana Clam Vevo
Congratulations clam ur the winner kazi njema 🥰
❤❤❤❤❤unaweza baba mungu azidi kukuzidishiakipaji chako clam
Kicheche Nakupenda Sana Kwioooooo Pumbavu Zangu Mbwa Mimi
😂😂😂😂😂😂😂😂
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wah! Wah! Pole kaka 😢😢😢 ya ndunia ni mengi ooh😢😢😢
Clam yaan uwa mnanipa raha mpaka basiii tuu😍😍🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂 kazi nzuri sana clam, kicheche, vai na wengine ila vai nimetokea kukupenda kwelii sio kwa urembo ulionao tuu hadi kwa jinsi unavyo igiza wajua na waelewa kabisaa kipi kizur kipi kibaya nataman ungekua wangu mbwa mimi
Naomba jina la hiyo nyimbo ya kwanza na nani kaimba
Clamvevo ninakupenda sana nakazi zako wallah ❤️♥️ from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Much respect from kenya
umefreeze maboringo😃😃😃
Repose nzuri sna
Sio naenda nyumbani zile hazikufai ... Just like this makes u perfect actor
clam na group lake ni the first na the best kwa sas hivvi.... kwangu mm ni wangeongeza mvuto katika kumaliza kwao.... hawamalizi kisayansi.... inaishia mahali ni mahali bila mpangilio maalumu... na kufanya ikose mvuto mwishoni
Uyu dada anakuwa Oprah sasa maana eehhh siyo kwaumalaya kama uuuu
One love from kenyaa love you clam
Ongera baba mimi ni mu kongomani🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mim aisee vai namwelewa sana dada aisee hongera umebarikiwa
Hii Team ikiwa hivi mm maoni yangu naona kazi yao huwa babu kubwa kushinda wakiwa separated. Fanyeni kazi pamoja mutafika kwa kutupa burdani. From Mozambique 🇲🇿
Wa Kwanza Leo like zangu jamaniiiii 🥳😂😂😂
Kachukue kwa zuchu
Kuuponza tuu Kitambo 😂😂
@@criminalminds7723 😂😂
Mm nakukubali Sana clam vevo sn juu ya sn na unanifrahisha ukiwa sitias kumpe muonekano wako uko poa nataka chapati na maharange nakukubali
Clam mwana ilo goma ni noma! Linaitwaje
Leo mm wa kwanza 🥰🥰🥰🥰
Hyu dem mbna yuapenda kutobwa hivi jamani haskii mboroo wallah
From kenya this guy is creative
Hivo unavonifanyia 🥺😞💔naomba visije rudi kwako mana naupenda moyo wako😔..the last part hurts💔
Huyo dogo anayeimba background anajua, nilikuwa namuona kwa Mkojani kikubwa apambane tu atafka mbali 👏👏👏👏👏
Anaitwa Nani nimependa anaimba vzr sana
Ukweli huyu dada duh mzuri sijui kaolewa au bado clam nipe majibu ya maswali yangu
Aaaaaa Shemeji AAA Shemeji. Mwisho kwiiiii
Pokeyeni zangu salamu kutoka Bujumbura. 🇧🇮🇧🇮
Mwanangu ii umetisha vp
😅😂😂😂wee hii n talent ya kuma
Clam nakupenda xan yan unajua xan kuigiza
Kenya we love Clam VEVO kicheche kimakoti na mbogi Yao yote
Mmmmh!!!!? Yani Vai Mwanaume wake anatakiwa awe makini atareeee!!!! Mana machozi yake yapo karibu atareeee Daaah
Never disappoint bro 🔥🔥🇹🇿 #clam vevo
Huyo jamaa mwenye kikofia huyo namkuball saana
Awa ndo Wanawake duh
Mashallah Wajua kuiga nyinyi
Wame iga.wap
Mungu awajarie ktk kazi yeni mnajua
Umbwa sisi nawakubari sana mueke nyingine sisi tupo Rwanda Kigali 🇷🇼🇷🇼
Kicheche kapigwa pol san kwr 💗💗🇧🇮🇧🇮🇧🇮👌👌👌🙏🙏
😂😂😂 Ety Nina mkos au Ni usee Ndo inachangia 😂😂😂😂 Mbwa Mimi 🔥🔥🔥🔥
Kicheche 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀🙌🙌🙌🙌🙌 🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 leoo kasahau na Matusi 🤣🤣
Daaah kwa mkee uyoo ameyakanyaga
Ako city bana , amejitosheleza mwenyewe
Clam ukiwa serious unapendeza kuliko unavyosemaga nataka chapati unanikeraga
Anataka chapati na maharage
Salama Mimi ninanpeda binte huyo
Nayonba Numbers há simo
Kumbe nawewe unakeragwa
😂😂
😅😅😅mkee wakoo mzowefuu kabixaa 😂😂
Marshallah pongezi kwenu washiriki na malaya ndoige
Jamani kp nimeipenda kazi safi mich ❤❤❤from ❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
wewe dada bado kidogo uwe super ster 😂😂❤️❤️
Clam vevo yupo vizr sana kwa kaz Zuri from kenya ❤❤
Nihatari kaka yang 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😄😂😂
Malaya pro max nipe likee from congo 🇨🇩
Kicheche😆😆😆, umbwa wewe, unanifurahish sanaaaaa
looo hiii dunia ule uhalisia wa maisha yao ndo umekua maigizo
Shemeji mm sitaki
Hat mm naomben like zang hat 3
Hahaaaa 🤣😂😂 Clam Umewezwaa
Uyu dada anajua kuigizaa
Leo mzee wa naenda nyumbani umekamatika😂😂
😄 🤣 😂 😆 😄 mbwaa kicheche
Tatizo kicheche abadil nguo abadil na mkubali sana mbwa yeye
Wakenya tupo wengi fans wa clam
😂😂😂😂nimekubali nikiwa tenazania kwetu kuna mufi zurizuri😅😅😅😅😅Tanzania oyeeee🇹🇿🤙🤙🤙🇹🇿🇹🇿🇹🇿
🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲nawapata miia kwamia
Mnanifanya nicheke kama chizi kila cku , kiukweli mko vzuri sana
Hii mmekosea mana huyo dem wakt yupo mlango hakua na bra hapo chini inaonekana braa halo mmekosea
Hawana ubunifu katika uigizaji wasamehe bure
🤣🤣🤣🤣🤣 kicheche Leo ananuksi
Never disappoint bro biggest funny from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Nataka shemeji
Wanawake jaman kuweni na moyo
Endelea dogoh
Pow
Nazikubali sana Yani zinaburudisha nakupata mafunzo kwakweli
Congo 🇨🇩 tume kufata kk Clam
Kazi nzur vija wa tz
Apa nimechekaaa sanaaaa daaaah
Kama una mkubali clam gonga like
Kaz nzuri sana clam
😂😂😂😂😂aisee vai unawezea potepote mama❤❤
Muna juwa kazi kweli 🇨🇩 Mimi ni RDC Congo
Pumbavu zake mbwa shemeji
Kicheche wewe jamani pumbavu zako 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
😆😆😆😆Nyie mnajua jamanani hii ni hatalii 🔥🔥🔥
Clam nakupenda ❤❤❤❤
Fear women 😛🤪😜🤣🤣🙌 I kiffffffffffffff up 🤣
Salut yako clam VEVO ✌️💪👌❤❤❤
😂😂😂😂❤nimeipenda hoyo vaiy unaweza
Jamani uyu dada anajua jamani Clam bailam kicheche mnatishaaaa
Mee nitakufa wallah 2023
Huyu mdadaa anaupenda saana mwingi yaani anagawa kipande Cha papa kama peremende vile
Yuapenda sna hyu sijamuonea mwenzake akii mazee hyu ako tayarii asile bt mboro apateee
Clam utafanya nikuje tanzania😂
Vai nakupenda jaman macho yako tyu yanimaliza
Very handsome ila ww kicheche na makalio
Clam vevo habaatishi nakupedaga from Kenya 🇰🇪
Kicheche more re fire
Clam umeisha
Nashkur Leo clam katendwa zam yke kila cku mnamuumiza bai
Mbwa mimi kicheche nakubali 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪💪💪
Kumbe mimi ni handsame , mbwa mimi😂😂😂😂😂😂
Clam ukiwa seriousl unapendeza mno
jaman we dada una sura nzur mpk bc na unjua kuigiza jmn