"Heri ya Christmas na mwaka mpya! Tunawashukuru mashabiki wetu wote kwa upendo na sapoti mnayoendelea kutoa kwa *Binti Maskini* kupitia channel yetu Twizy Dady Tv. Endelea kufurahia vipindi vyetu na kuwa sehemu ya safari hii. Tunawatakia furaha, amani, na mafanikio katika mwaka ujao!"
"Heri ya Christmas na mwaka mpya! Tunawashukuru mashabiki wetu wote kwa upendo na sapoti mnayoendelea kutoa kwa *Binti Maskini* kupitia channel yetu Twizy Dady Tv. Endelea kufurahia vipindi vyetu na kuwa sehemu ya safari hii. Tunawatakia furaha, amani, na mafanikio katika mwaka ujao!"
Amina nawe piya
Amina nawe piya
Kwenu pia inshaallah
Ameen naw piah
Ameen yarrabi ameen na ww pia
Wakwaza leo naomba like jamn atakae soma comment hii mungu amvukishe mwaka salm amin 🤲🤲
Ameen ndug
Ameen
Nasubiri mapenzi ya dhati yatimiye inshaalla mola atuwqfikishe kuona mwisho wa hii episode
😂😂😂mai acha kumtesa mwamba wetu bana pole mr handsome twizy dady mai ataiviana tu usijali❤🎉
Kista napenda ❤🎉🎉uyo anapenda dada masikini❤🎉❤
Duh ❤mko saw kabisa kazi nzuri tu ❤
😂,wa qwanza leo like zenu😢😂
Ndio kupenda nini
Ila my kishaanza kupenda 😂😂😂
Jaman naomba sote kwa pamoja tupe like zake twizy❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ kwazo zuri ongera broo❤❤❤
Ila may jamn kuona Huon hata picha Huon 😢😢🎉🎉❤❤❤❤❤
Wewe jirani yke mai , unaringa kuwa msimamizi wa nyumba za wtu kujenga yko Aaaaaaaaah 😂😂😂
Kumb umemuon😅😅😅
Nawakubali woteeeeee Kaz nzuri
Same to you bro twizydady merry Christmas
Nawapenda sana❤❤❤ movie yenu safi
Hamakweli kitu kizuri hakipatikani kirahisi twizy pokea maua yako 🌹
Twizy nawapenda sana kazi zenu fasta kabla aujasaau umetuletea kazi mpya
Nawakubari sana timu twizy munafanya vizuri sana my from Mozambique ❤❤❤
Kazi nzuri congratulations team Twizy daddy 🎉❤🎉.
Nimewahi mie nilikuwa macho
Huyu jirani yake Mai ni mtu waajabu sana simpendi mpaka simpendi tena na sura yake kama fagio la chooni
😂😂😂😂
Yani nakupenda wew mkaka tweez maana ukiwa na may naishia kucheka wallah unanipa furaha kwakweli
ongela sana Hadi Christmas mnatupa move,,ila naomba twizy awe mnyenyekefu Kwa Mai,asiitumie nguvu au ubape
Mmmm Mai kwanini hivo kumjibiya biya twizy hivo kwakweli sijapenda kabisa nawapenda sana kutoma moyonitu 🥀🥀🥀🥀🥀❤️🥀
Merry Christmas wapenzi nawapenda wote ❤❤❤❤
Izisiku nikomakini naiyi move wakwanza tena acanione Twizi nakioenzi cake May wanako fikiya natumai mambo yatakuwa sawa tu🎉🎉🎉🎉
Tunashukuru ongereni sana brother na timu yakoo
Kazi nzuri❤
Naona mmbo c mabaya😂😂😂❤
Penzi hilooooo jmn Mahi na Twizy mnapendeza alfu ww Remy cjui muoege tu huyo Naina wako
Twizy mwambie mai ukweli hii 🎉🎉ninatasiyako❤❤❤❤nakupongeza sana kwatumainilako🎉🎉🎉🎉🎉
Kwa kweli hii move haibabi kabisa juu hiyo mai anaringa sana
Mai jamani si twizy kakusaidia jamani ulikua wataka akuache uanguke chini😂😢
Kazi Safi Sana ❤❤❤❤
Twizy ambia mai Ukweli 😮
Uyo jirn ana boa kinomaa
Jamani Jana hamjatoa episode 17 bas Leo mtudabo mbili plz
Leo Moja kesho Moja maria
Jana tumengoja sana@@twizydadytv_
Tunawapenda❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉
Et unataka kunipanda kichwan kwa kichwa gan Cha kupandwa mai😅😅😅😅😅
Nawapenda hamcheleweshi muvi m❤❤
Nice💗💗💗
Asante Twizy tunakulala sikukuu huku tunapata burudani❤❤❤❤ kazi nzr sana kaka❤❤❤
twiZy ambia Mai ukweli kuwa n wew ulimusaidia hizo shida
Twizy asante sana kiukweli una pambania penzi
Movie nzuli hila atakujuwa lini
Hii mvi nzuri mana inako elekea inamafunzo ndan yake
Huyo jiran wa mai anamuonea wivu mai
Naona umenishika umefurahi kabsaa umekua tazani wewe😂😂😂❤ mai hapo umetisha
Mwendo mdundo tunasema! Mbarikiwe sana wahusika
😂😂😂😂twizy unachekesha jamaaaa 😂😂😂🎉🎉🎉 ila chukua 🎉🎉🎉 yako
Safi Sanaa ❤
Asante nawapenda sana from Burundi❤❤❤❤
Mmmmh mai hpn,bhn wengne tunataman sanaaa hilo penz punguza mbwembw
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nawapenda sana
Kwa kweli mapenzi mtihani ila Twizy kuwa na subra Mai atakuwelewa tuu later ❤❤
Malaika umezidi mdomo😂😂😂😂khaaaa
Mai jamani mbna unamtesa Mr handsome
Uyo jirani yake namay aache gubu,
Huyu may anamapepo au sasa hapo twizy kakosea wapi mbo kama mpumbavu kabisaa yani 😢😢😢
The movie is look cute
Well
An so kutudable mnatutliple
❤❤❤❤na kwenu piaaaa🎉🎉
Hawa washenzi Yani namaanisha mdogo wake twiz c waowane tu kwn mpk twiz jmn mmh
Ila my jaman 😂😂😂
❤❤
Usijali twizy mai atakuelewa tu
Mai tambua amekusaidia
Mai elewa isiya za twyz ❤❤❤
JIRANI acha umbea pamabana n hali yako 😂
Kwenu pia twapesa sana
Muwe na Christmas njema watu wa Mungu
Niceeeee
Twizy na hogeren sana manambo yamaelekea kuwa mazur y
Naipenda hii movie jamani na naifutilia but muwe mnatoa eosod nying nying
🎉🎉❤❤umetisha
Daah huwa najiuliza hivi mapenzi nini labda leo mnijibu jmn twiz unateseka Mai hata hajali
Toba mdogo mtu Kam penda shemej😢😢😢😢
Afadhali Christmas nainjoi leo
Merry Christmas 🌲🎄❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
My wee hee😂😂
Uyu mai nae anaboesha san khaaa
Nawe mai ukipendwa penda utakuja penda usipendwe
My jmn ulikuwa unaanguka umesaidiwa ishakuwa kesi ss 😂😂😂😂😂😂
Vipi jamani mai
Nzur san
Twizy Kaka vipi Kisha mai atakubali kuolewa naye
Ila jirani ya Mai ananikera 😏😏😏
Mh twizi unnapitia mambo apo kwa mai ila vumilia mwidho naamini kutakua sawa.
Ww Mai kaza tu
🎉🎉❤❤❤
Much❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hha Mimi leo nimechek
Mbona haitoi sauti
Kisha mai atampenda jamani
Ila hyu mai cmpend anakiburi san twizy ungempenda t Nina
Naina 🤔🤔🤔🤔na huo usaliti
Jamani tunasubiri Episode ya 17 mbona mnatucheleweshea?
Mimi naona ako sawa kuliko siri ya huba hata sijui iliendaje😢😢
Merry Christmas from Kenya.twawapenda sana❤
Mai nawe umezidi ebu fungua moyo tunataka kuona jirani yako atakavyo umbuka kwa jinsi anavyo kunyanyasa
tusiste kutoa ❤❤❤ hii ni kazi kama kazi
Jaman mai mbn hvo sasa