Mungu umtendee miujiza pastor dominici arudi 🇹🇿 Tanzania akatududumie bado tunamhitaji mungu mungu tunakomba utendee miujza wakujue una weza baba kalba haujaisha mwezi huu watafute wenyewe katika Jina LA yesu
Mashine ya mwanaume ni mmoja tu kiboko ya wachawi number moja tu .. Mungu anamtumia ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ yawe yaweee kiboko anaingiaaa eeeh nimemisss jamani. 🎉🎉🎉we are haapppy live live live
Aslm nashukuru sana kukusikia maana nilikuwa nakufatilia sana mimi sio mtumwa namuamini mungu nanguvu alizo kupa naomba msada wako pamoja na watoto wangu wote mimi sio mtumwa naomba msaada kupitia kwako mimi ni mislamu
Mimi nilizushiwa sitawai sahau nusra nife,mapanga,visu ,magongo ,yote kuzushiwa,kuna watu,wamepitia magumu kwa mambo ya kusingiziwa,sitasahau mahali Mungu alininusuri.
8:468:478:498:508:518:518:52 Nko Kenya nlikuja Tanzania na ukanikatabiria na kweli mambo imefanyika,ninataka kukuja Congo sasa Nabii nkuone,mimi sio mtumwa
Mamangu mzazi ana kidonda kwenye matiti kimetusumbua mwaka mzima akiponi..tumeteseka sana Nabii...Naamini Mungu atatenda...Sisi si watumwa wa magonjwa,umaskini.Amen
Asantemungu miguu ilikua inaniuma imepona mungu wakiboko yawachawi amenitendea asantemungu
Nipo tayari Mttume Nabii
Imi RamAdhani Rajabu nipo daresalaalam vituka niombee MTUMISHI wangu
Nabii ninamwamin mungu naomba maombez
Nabil niombee❤❤❤
Karibu Kenya utusaidie umulise wachawi karibu kiboko ya wachawi I believe God and you welcome Kenya naitaji unisaidie pastor
Namwamini Mungu,namwamini na mtumishi wake pastor dominic
Mimi hilda markus wa mbagala chamazi dar
Nabi ni mimi erickabeya muniombeyeko ju ya kazi minasumbuwa sana
Ninamwamin mungu wa kiboko ya wachawi mm sio mtumwa nina shda na kiuno kifua pia maisha magumu nitabilie pasita❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Naamini mungu na kazi yake kupitia kiboko ya wachawi,Naomba kujua ratiba ya vipindi
Mungu umtendee miujiza pastor dominici arudi 🇹🇿 Tanzania akatududumie bado tunamhitaji mungu mungu tunakomba utendee miujza wakujue una weza baba kalba haujaisha mwezi huu watafute wenyewe katika Jina LA yesu
Mungu akupe hekima na upendo.😊
Mashine ya mwanaume ni mmoja tu kiboko ya wachawi number moja tu .. Mungu anamtumia ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ yawe yaweee kiboko anaingiaaa eeeh nimemisss jamani. 🎉🎉🎉we are haapppy live live live
Tz. Flora Zacharia nilikuwa naumwa Mguu wakulia umepon
I believe in the Almighty God and I trust you Pastor Dominic Prophet Kiboko ya Wachawi. I am not a slave of anybody or anything in this world.
Namwamin Mungu na mtumishi wake kiboko ya wachawi mm sio mtumwa.
Zakaria Dennis watching from kenya
Ninamuamini mungu.namuamini. kiboko ya.wachawi. mimi sio mtumwa
Mimi siyo mtumwa nampenda mungu na kiboko ya wachawi naomba uniponye mguu unapoosa upande mmoja
Amina tunakukubali sana baba upo sawa walausiogope ya wachawi.nipo oman nakufatilia tangu upo.tz mimi sio mtwa wa maradh
Mimi sio mtumwa.namwamini mungu ,namwamini kiboko ya wachawi.
Naitwa Annah amani Nasumbuliwa Na kichwa miguu moyo. Na nyonga Naomba uniombee mtumishi
Mimi sio mtumwa. Nampenda mungu. Nipokee miujiza ya wateja
Amen 🙏 i received it in Jesus mighty name
Amen amen amen wapate ahibu wachawi
Ee mungu utende miujiza juu ya mtumishe wako domnici baba tamhitahitaji arudi Tanzania baba tunakuomba ajee kutuhudumia baba ahsante
Namwamimi Mungu. CHANZO Cha mema na mazuri na Manabii wake
Mimi sio mtumwa
Baba 'na naamini mungu wa kiboko yao wachawi
Namwamin mungu& kibokoya wachawi
Mi amini mungu wa nabii kiboko,mimi siyo mtumwa
Naamini mungu na ninaamini pia nabii Dominic kiboko yawachawi
Namwamini mungu na nabii kiboko yawachawi mungu akubariki
Nakusikiliza from Capetown South Africa ❤❤❤❤
Naitwa calistus makungu Niko Tanzania..namwamini Mungu na nabii wake my Papa kiboko ya wachawi
Namwamin mungu pia namwamin mtumishi wa mungu pasta Dominic kiboko ya wachawi
Mimi sio mtumwa namuamini kiboko ya wachawi
Namwamini mungu namwamini kiboko ya wachawi mm sio mtumwa
Aslm nashukuru sana kukusikia maana nilikuwa nakufatilia sana mimi sio mtumwa namuamini mungu nanguvu alizo kupa naomba msada wako pamoja na watoto wangu wote mimi sio mtumwa naomba msaada kupitia kwako mimi ni mislamu
Mungu akubariki mtumishi wa mungu Dominic akutie nguvu
Mimi siyo mtumwa kwa jina la Yesu,,lov you Babaa
Mimi simutumwa wa mutu wowote na ninaamini ukinena njuu yangu unabii wangu ulundi niko kenya nakuru nakufuwatilia sana baba
Mimi sio mtumwa from 🇹🇿
Naitwa Stella Kauga nipo lgunga Tabora familia yangu inasumbuliwa nguvu za giza
Mimi siyo mtumwa wa imaskini magonjwa wawachawo wa kifungo sona yeyote tunakuamini nabii wetu popote sisi tupo ❤❤❤
Mimi siyo mtumwa ❤❤❤nabii wetu tunakuamini
Namamini mungu wa kiboko ya wachawi
Mimi siyo mtumwa naitwa Mwajuma toka Tanzania
Yaani nimerudi bongo eti haupo jamani mungu awalaani wote waliokusababishia matatizo wateseke na wasilale ❤❤❤❤❤
Mm sio mtumwa wa vifungo na uchawi katika maisha yngu
Mimi siyo mtumwa.Romwald wa Dar es salaam
Ndungu zangu waniongera vibaya sana. Na pamoja.na mume wangu pia na miaka 3 siingii jikoni
Namwamini mungu namwamini kiboko ya wachawi.mimi siyo mtumwa
Akika mungu atakupa kinacho stahili usipo tubuuuu,najua unajua kua unakosea ila unakosea makusudi ili upate pesa aseeee hiz zitakuuua
Nabii pole na majukum nakuomba nakuomba niombee nachangamoto Kiashara kindowa mke anaumwa vitu avieleweki kaka mimi cyo mtumwa
God bless you pastor 🙏
Namamini mungu na pastor Dominic kiboko
Mimi amisi sikomutumwa wamtu ,umaskini ukosefu wapesa nakukosa hajira binikome kwajina la YESU nikuwe kiongozi maalumu
Mimi sio mtumwa ...semen from Tz
Mimi Mary Mwimba,Natokea Tanzania
Ntume nataka nipone HIV Léo Mimi Filipe Mário namuamini mungu nipone leo❤❤❤❤
Ninamwamini Mungu. Nina mwamini Kiboko ya wachawi
Naitwa Sara Mowo, kutoka boko Dar es Salaam, prophet nina presha inanisumbua na goti linauma sana.
Namwamini Mungu na mtumishi wako nabii kiboko ya wachawi
Namuamini Mungu through Jesus name, naamini wewe ni mtumishi wa Mungu aliye hai.Mimi sio mtumwa.
Naitwa salum Mohamed wamagomeni mwenbechai dar es salaam maombiyako yanatubarikisana nasema asantemungu
Mwaka kabla haujaisha naimani mungu wa kiboko ya wachawi atawashangaza watu
Ninamuamini mungu kupitia kiboko ya wachawi Mimi Sio MtumwaNinaomba unisaidie nifunguliwe tumbo langu🙏
Naamini Mungu, naamini kiboko ya wachawi
Mimi siyo mtumwa namwamini mungu ma mtimishi wake pastar dominick kiboko ya wachawi
Namwamini Mungu na mtumishi wake
Amen 🙏 Amazing Grace
Naitwa Helena mruga np dar buza napokea upako wako baba❤❤❤❤❤🎉
Mimi ni Goldermeir Samwel shoo nipo Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mm sio mtumwa wa vifungo na uchawi katika maisha
Maumivu yameisha vifungo vimetoka ktk jina la Yesu kiboko ni.mmoja tu nabii
Mimi nilizushiwa sitawai sahau nusra nife,mapanga,visu ,magongo ,yote kuzushiwa,kuna watu,wamepitia magumu kwa mambo ya kusingiziwa,sitasahau mahali Mungu alininusuri.
Ninamwamini Mungu. Na nabii kiboko ya wachawi
Nabii mm sio mtumwa naomba maombi yako maisha yamesimaa mahali moja
Namamini mungu nakiboko ya wachawi
Ninamwamini Mungu na kiboko ya wachawi
Namwamini Mungu na sina utumwa wowoteee
Me Flora kutoka tanzania
Maandiko inasema mchawi asiishi. Pastor tunateseka sana huku belgique wachawi wananiaribiya maisha yangu yote.
Warudishiye matesocyote wafe
Misitomutuwa
Mimi nipo mwanza nasumbuliwa na koo naomba unisaidie
Venance mwamoto
Toka Tanzania -Iringa
Mm sio mtumwa🇹🇿
Mashine ya mwanaume a man of God mboni ya mungu
Mungu tunakuomba ulindi mtumishe wako baba
God Bless you mog
Ameeen baba MUNGU wako nii MKUU saaana
8:46 8:47 8:49 8:50 8:51 8:51 8:52 Nko Kenya nlikuja Tanzania na ukanikatabiria na kweli mambo imefanyika,ninataka kukuja Congo sasa Nabii nkuone,mimi sio mtumwa
Mimi Joseline Richard from Dar
Namwamini mungu na kupitia mtumishi wake kiboko ya wachawi
Namuamini Mungu na Mimi sio mtumwa
Helena mruga tumbo limeachia nakiuna kimwacha kuuma❤❤❤❤🎉
Mimi na mwamini YESU KRISTO siyo Kiboko ya wachawi ba siyo mmtumwa wa miujiza
Ninamuamin Mungu wa kiboko ya wachawi
Mm sio mtumwa nafamilia yangu
Namuamini mungu wa kiboko ya wachawi mimi sio mutumua wa magonjwa
Ninamwamini mungu wa kiboko ya wachawi
Mamangu mzazi ana kidonda kwenye matiti kimetusumbua mwaka mzima akiponi..tumeteseka sana Nabii...Naamini Mungu atatenda...Sisi si watumwa wa magonjwa,umaskini.Amen
Mimi sio mtumwa
Mimisio mtumwa
Niko tayLi nabii
Kweli kabisa mtumishi wa Mungu ndugu zangu
Jambo papa watoto yangu wanateseka miaka 4 nachoka kuwatunzisha kakuliwasana pesa ila hawaponi unisaidie niko kalemie
❤❤❤❤❤❤ amina
Namuamini mungu tu n'a Mimi siyo mtumwa wa mutu
Naitwa calistus makungu Naishi dar es salaam Tanzania
Mimi sioʻmtuwa Jina ashura nipo oman baba niombee namatatizo sana namaden mpaka nachanganyikiwa baba