Pt6_Maisha ya hofu na mume jini niliyeshindwa kumuacha naye akashindwa kuniua|USHUHUDA WA Aps.Zizi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
    M-pesa Lipa Namba.5634017
    AirtelMoney Lipa No.13322701
    Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

КОМЕНТАРІ • 38

  • @mariahyera3737
    @mariahyera3737 4 дні тому +9

    Hakika uchawi ni utumwa. Tunaraha sana tuliondani ya Kristo. Jamani tusimuache huyu YESU.

  • @mariahyera3737
    @mariahyera3737 4 дні тому +6

    Nakupenda sana YESU wangu. Hakika sitakuacha Babangu.

  • @annissdaprincess3846
    @annissdaprincess3846 3 дні тому +2

    Ubarikiwe zaidi nazaidi Mtumishi wa MUNGU

  • @MaryMichaelMaryMichael-i7o
    @MaryMichaelMaryMichael-i7o 2 дні тому +1

    The power of testimony blessd kaka Audax n promover tv. Na madam mtumishi wa MUNGU..❤..

  • @Edna-p9u
    @Edna-p9u 5 днів тому +4

    Ushuhuda wa kusisimua,..barikiwa Dada

  • @RahabNicholaus-rd7os
    @RahabNicholaus-rd7os 4 дні тому +2

    YESU ni mtetezi wetu

  • @emmanuelsunday8325
    @emmanuelsunday8325 5 днів тому +2

    Pole dada

  • @rerisamba
    @rerisamba 5 днів тому +10

    Waa nani anaweza mtoa binadam kwa kifungo kama hiki isipo kua Yesu tu makubwa jamani

  • @BonaventureKayuni
    @BonaventureKayuni 5 днів тому +2

    Amina mtumishi

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 4 дні тому +1

    Yesu usituache

  • @LizBobo-d8y
    @LizBobo-d8y 4 дні тому +5

    Laiti tungejua vile MUNGU anatupigania😭

  • @fatumaminyeko1875
    @fatumaminyeko1875 2 дні тому +1

    Kazi ya shetani ni kuuwa,kuaribu na kushinja .kwa YESU ni amani ,furaha na uzima

  • @fayanyembe9470
    @fayanyembe9470 4 дні тому +1

    Mimi nimeona mkono wa Mungu juu ya Maisha yangu

  • @AgathaIsdory
    @AgathaIsdory 5 днів тому +1

    Mwendelezo tadhal

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  4 дні тому

      ua-cam.com/video/juYGpi6-9qA/v-deo.html

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 12 годин тому

    Uyu dada alichezewa kweli kweli

  • @shadrachkamyori9911
    @shadrachkamyori9911 4 дні тому +1

    Jamani pamoja na kujengewa nyumba lkn mchawi haridhiki... wawawaaa shetani haridhiki hadi amwangushe mtu. Yaaaani hadi mtu umeingia ardhini ndo movie ndo inaisha mmmmm

  • @shadrachkamyori9911
    @shadrachkamyori9911 4 дні тому

    Eweweee wajamaniii kujua hila za shetani mmmmm kazi kweli kweli......
    Sarakasi usiku na mchana lkn haustuki mmmmmm

  • @ZaitunMaji-fj3sq
    @ZaitunMaji-fj3sq 3 дні тому

    Promover tunaomba namba ya apostle zizi

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 дні тому +1

      Ushuhuda bado unaendelea, utapata namba mwishoni

  • @rerisamba
    @rerisamba 5 днів тому +2

    Wacha niangalie na mapema usiku sitaki nisije nikaota

  • @IreneKafugugu
    @IreneKafugugu 5 днів тому +1

    Mbona inapoisha tunakosa mwendelezo mpaka siku inayofuata

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  4 дні тому

      ua-cam.com/video/juYGpi6-9qA/v-deo.html

  • @HappynessmafuruMafuru
    @HappynessmafuruMafuru 5 днів тому +1

    Ya saba Iko wapi

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  4 дні тому

      ua-cam.com/video/juYGpi6-9qA/v-deo.html

  • @littlelunie.7653
    @littlelunie.7653 5 днів тому +1

    Wew nae ulkua huna msimamo ulifata nn huko kwamchawi wako hicho ndo kilikua kinakugharimu
    Dadaako alkua mchungaji kwa nn hukua unamshirikisha

    • @LizBobo-d8y
      @LizBobo-d8y 4 дні тому +4

      Ndugu yangu usiseme hivyo, wokovu ni neema tu sio kwa akili za mtu hujasikia katekela alikua mtoto wa mchungaji na bado alipelekwa kuzimu?

    • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
      @RubenMtuwaMungu-bz8ee 4 дні тому +3

      Ukifungwa ufahamu huna ujanja.

    • @pirminmatumizi5464
      @pirminmatumizi5464 4 дні тому

      Watu wote uwaonao wanaishi maisha ya dhambi kwa kuipenda dunia na mambo yake, Na hawataki KUOKOKA, siyo kwamba wanapenda kuwa hivyo, bali wanakuwa wamefungwa na Nguvu za Giza (shetani kwa kutumia Nguvu zake, i.e. wachawi na uchawi). Unakuwa mtumwa wa dhambi, i.e. shetani.
      Wakristo tunafanya makosa makubwa kutoitoa miili yetu kuwa dhabihu kwa Mungu; kumtumikia. Watu wamefungwa, bila Maombi na kuwahubiri Injili ya Bwana Yesu Kristo, hawawezi kufunguliwa.
      Jambo la pili muhimu ktk ushuhuda wa Mtumishi huyu wa Mungu, ni kwamba, tunafunguliwa ufahamu wa rohoni Kuijua dini ya Islamu. Ni hatari sana. Dini hii inaonesha kuwa na uhusiano wa karibu mno na Nguvu za Giza.
      Wanadamu, WOKOVU wetu uko kwa Bwana Yesu Kristo kwani Yeye ndiye Mungu mkuu na Mwokozi wetu.

    • @MaryMichaelMaryMichael-i7o
      @MaryMichaelMaryMichael-i7o 2 дні тому

      Na wew cku moja utapitiaa zaidi yake...alafu utakuja kutupa testimony. Yako afu tutakuuliza hvo hvo je? Ulikua wp kuenda kwa wachungaji wacha kuropoka maneno kma unaara maaana ujapitia mapito ya mwenzko.chunga maneno yako kabla ya kuropoka

    • @MaryMichaelMaryMichael-i7o
      @MaryMichaelMaryMichael-i7o 2 дні тому

      ​@@LizBobo-d8ymwambiee aache kuropoka kma yuko choon anahara...kma ajawahi mkuta anyamaze..siyo kuongea il aonekane anajuwa kuongeaa. Asijione yuko salama.bado anaish dunian..mapito n mengi ajui njia gani atapitia

  • @emmanuelsunday8325
    @emmanuelsunday8325 5 днів тому

    Muendelezo

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  5 днів тому

      APOSTLE ZIZI: ua-cam.com/play/PLXTmPgeqbJ0mtT0Y1-K7-lt0Jo3lHCotB.html

  • @rerisamba
    @rerisamba 5 днів тому +1

    Na hivyo ndivyo ulivyo shuka kutokea mbinguni kama kiongozi mkubwa