HAKUNA KITUO CHA DUA DUA POPOTE INAKUBALIKA HAYA MAMBO YA KUOMBEWA KWA MTU FULANI NDIO HATA WAKRISTO HUTAPELIWA HUO NI UZUSHI MMEIGA KUTOKA KWA WAKRISTO HAKUNA KITUO MAALUM CHA DUA ALLAH HUJIBU DUA POPOTE
DUNIA YOTE SASAIV INATAWALIWA NA SATAN,,NA TUNAKOENDEA NDO MAMA YANGU,,,NI NAFSI YAKO TU NA AKILI ALIZOKUPA MUUMBA WAKO NDO VINATAKAVYOKUTOA KIMASO MASO
Dr.sule..hoyo.nimadogo.sababu.mashek.wa.karen.hee..nikulombezana.waokwao.mitandaon..mauled..hetima.brazaj..huku.dene.yapoteya.wamekuwa.makund.73..kwahevyo.wage.andaye.namoto.dine yadofika sababu nimashek.wa.2000
Huyu mwizi mie mwenyewe kaniibia 2.8 Milioni eti aniombea dua. Na kuniuzia pete.Na jamaa angu kamtapeli 2 milioni.Alafu mambo ayafanyayo anawapanga watu jamaa muhuni sana
Allahu akbar
Amina shekhe umeongea vzr
Alhamdu lillah Allah akuifadhi
Dr Sulle wewe ni hazina kwa Taifa la Tanzania. Mungu akutunze
Kbs. Sule nakuomba jaribu siku moja utowe historia ya Mawahabi naujio wao ili waelewe kuwa Mawahabi ni makafiri walio jifica kwenye Uislamu
Young Timothy Perez Mark Jackson Sharon
Nakukubari
Chawa
Ila naelekea kumuanika na Wakeze
Wewe n mska tonge tu Kwa jina la harakati za dini lkn. Tabia zko za kipuzi sana rekebisha ..una nyoa kama msanii Yani mitihani
Elimu dio ndogo bwana,soma andiko bila bala,bala.
HAKUNA KITUO CHA DUA DUA POPOTE INAKUBALIKA HAYA MAMBO YA KUOMBEWA KWA MTU FULANI NDIO HATA WAKRISTO HUTAPELIWA HUO NI UZUSHI MMEIGA KUTOKA KWA WAKRISTO HAKUNA KITUO MAALUM CHA DUA ALLAH HUJIBU DUA POPOTE
Tatizo hizo dua mnachaji watu hilo ndio tatizo.
DUNIA YOTE SASAIV INATAWALIWA NA SATAN,,NA TUNAKOENDEA NDO MAMA YANGU,,,NI NAFSI YAKO TU NA AKILI ALIZOKUPA MUUMBA WAKO NDO VINATAKAVYOKUTOA KIMASO MASO
Dr.sule..hoyo.nimadogo.sababu.mashek.wa.karen.hee..nikulombezana.waokwao.mitandaon..mauled..hetima.brazaj..huku.dene.yapoteya.wamekuwa.makund.73..kwahevyo.wage.andaye.namoto.dine yadofika sababu nimashek.wa.2000
Uongo mtupu
Kwani Mohamed hujui ako kwa kaburi?? Bila maneno sasa yesu ako wapi😂😂😂
kwan Yesu hatokuwa kwa kaburi??
Au hakuwa kwa kaburi kwa mujib wa Bibilia yenu japo ni uongo??
ALIYEMFANYA MOHAMMED AWE KABURINI NI NANI?NA YESU ALIKO ALIPELEKWA KWA NANI?
HILO GOVI ACHANA NALO LIPOLIPO TU HAO WACHUNGAJI WAO NA MAASKOFU WANAOMBEWA DUA
Huyu shekhe haelewi maana ya bid'a
Ipo bid'a lughawiyya na
Bid'a shar'iyyah.
We ndio unajua?
@@FahadAbubakari zaidi yake
@@Wastara001 basi muombee dua aongoke awe katika walosahihi
Sio swala la kumlaimu sulley,cc tumuombee tu arejee kwa Allah maana hakunakamilifu,ye ana hili,cc tuna lile
Huyu mwizi mie mwenyewe kaniibia 2.8 Milioni eti aniombea dua. Na kuniuzia pete.Na jamaa angu kamtapeli 2 milioni.Alafu mambo ayafanyayo anawapanga watu jamaa muhuni sana
Leta ushahidi unaothibitisha haya Maneno Yako
Elimu ndogo
Unataka kuwaponya watu
Unanyoa funky
Wewe usituletee ukristo kwenye dini
Siasa nyingi na majini yako
Acha kunyoa viduku we
🚮🚮
Wajinga ndio waliwao