Yaani inasikitisha sana kuona maadili yanazidi kuporomoka kila leo, na haswa kwa hao baadhi ya wasanii ndiyo wanaongoza kuvaa nusu uchi na kuhalalisha zinaa na kuonyesha mahusiano yao kwenye mitandao wakati wao ndiyo kioo cha jamii, Allah awalinde na awaongoze vizazi vyetu Ameen🤲 Innalilahi Waina Ilahi Rajiun.😥
Mimi namshangaa sana zuchu yaani binti baada ya kuanza kuimba anavaa uchi kawashinda kina nandy inasikitisha Allah amuongoze yeye na sisi atupe mwisho mwema
😭😭😭lnna lillah wanna ilaihi rajiun 😭 saiv ni msiba tu sheikh ... mwanamke kwenda uchi ndio maendeleo.....hajali kitu coment km zote ndio anajiona yy tu...haikumbuk kesho kwa Mungu
Nikweli wamezidi sana hawa kina dada zetu kujifananiza nawazungu 😢wakat sio tamadun zetu Tanzania,ata aibu hawana wanajiweka uchi wa mnyama mungu ametupa akil yakuvaa nguo ila wao wanachukua akil za wanyama wasokua na akil yakuvaa nguo.
Assalam ghalaykum jamani waislam. Tunatakiwa kupiga vita suala la watu kuvaa uchi. ....na mtu alikikumbusha usiseme mbona wewe uko hivi. Unachotakiwa ni kubadilika ......tumrudie mungu .....Kuna kufufuliwa....kuhesabiwa...kuhukumiwa....
Masha Allah, sheikh umepiga penyewe na huyo zuchu kamnunulia baba yakegari na mzee ameridhika kabisaa kwa kuuza utu wake jukwaani, allah amuongoze na sisi pia, aaamin
Shida ni kwamba Watanzania tunapenda maisha ya uigizaji, na kwa sasa Watanzania ni waigizaji wazuri kwa Kila Sanaa au tasnia, c mziki Wala c waigizaji n kuenda utupu. Na kitu chochote ambacha Allah amekikataza tayari hua zinaathari nyigi, kwaiyo hiyo yote inatokana na kupiga amri ya Allah ,kuimba n jambo la haramu tuu
Nyinyi mnaepinga hiimada nyote ni Malaya Sasa amekoseanini huyu baba,hofu na Mwenyezimungu hamna ( Kama ni mzaziwako anavaahivyo ungefurahi,au akatike viuno hadharani) achenibangizenu hizo rizki hazitafutwihivyo.
LAKIN pia chakushangaza wanaume wanavaa vizuri mpaka suti 🎉 LAKIN wanawake uchi uchi shida Nini?? Halafu et nihaki za binaadam kuvaa uchi!!! Yan walitakiwa wanaume NDIO japo penzi LAKIN wanawake NDIO TU machi!!!
Afadhali umeongea ukweli sijui mwanamke anajskiaje anapojieka uchi mbele za watu, hujioni kama mjinga uliopindukia mipaka kila mtu ana uchi wake mbona hawaoneshi
Wemwenyewe mbona mushiriki unatumia majini si ushirikina huo, unaona kibanzi kwenye jicho la mwenzio lakwako hutoi,zuchu kweli kaharibika sana na kuipenda dunia amesahau kama kuna kufa, kukaa uchiii ni kosa kubwa sana ndomana mtume alisema watakuja watu katika umati wangu watahararisha pombe,zina, muziki,na kukaa uchi kabisa so dunia imemchota na mtihani huo ndo viumbe hawa mtume aliwaona wengi motoni wanawake.
Kiukweli zuchu kazid mno kukaa uchi yn mimi Huw nashangaa kweli mtu amesoma coroan lkn. Yn yy muda mwingi zuchu n uchi uchi t mbona kin nand hawavai uchi sn kama zuchu.
Dr sule mchawitu Nadini wapi nawapi we tumika namajiniyako napetezako naugangawako alafu usubir sikuyakukutana na Allah makosa yawaislam uyaachie waislam wenyewe na watayamaliza wenyew
@@وزيرهالوزير-ذ8س Nawewe waislam tunatakiwa kuhamasishana Mambo ya kheri wewe umekazana Dr. Sule mchawi kilamtu atabeba mzigowake sikuhiyo, wewe unauhakika umekamilika .Huyu baba ameona hilijambo halimpendezi M/ Mungu ametoa maoniyake na wewe ubinafsi umekujaa .mada ni yakuvaauchi hapa hiyo ya majini utaongea siku nyingine.
ASIO WOTE" WANAWAKE! MAMA AKO MWANAMKE PIA' KWA HIVO UNAMTUKANA NA MAMA YAKO PIA"😢 SEMA BAADHI YA WANAWAKE! NA SIO WOTE"! KAMA BAADHI YA WANAUME NDIO WAHUNI NA SIO WOTE PIA"! PLEASE DONT PUT ALL THE WOMENS OR ALL THE MEN" BAADHI YA WANAWAKE" NA BAADHI YA WANAUME"! PIA! NA SIO WOTE" UKITUKAMA WANAWAKE NA KUSEMA WOTE UNAKOSEA NA PIA UKISEMA WANAUME WOTE PIA"! UNAKOSOEA SANA SANAAA😢"!
Shekhe Dr Sulle tulia,Hakuna uchi ,mtu anapocheza lazima aweke madoido ili kuwafurahisha wateja(washabiki). Kwanza nani kawadanganya ninyi waislamu kwamba wanawake wanafunikwa?. Huyo Alah au Mungu anayenyanyasa wanawake yuko wapi?
Kati ya shabiki (wateja) na Mola wako muumba nani kwa uhakika anaestahili kufurahishwa kwa matendo yako mazuri....pima maoni yako vyema kabla kubisha au kutafuta mjadala wakati ukweli uko wazi.....tumuogope Mola jamani na tuwache kiburi....dunia tunapita tuu.... Mimi hapa nilikuwa napita tuu....niko safrini....mimi maiti mtarajiwa....naogopa Mungu vibaya sana,,,,,pongezi sana Shekhe Dr.Sulle...Mola akubariki kakangu....
Yaani inasikitisha sana kuona maadili yanazidi kuporomoka kila leo, na haswa kwa hao baadhi ya wasanii ndiyo wanaongoza kuvaa nusu uchi na kuhalalisha zinaa na kuonyesha mahusiano yao kwenye mitandao wakati wao ndiyo kioo cha jamii, Allah awalinde na awaongoze vizazi vyetu Ameen🤲 Innalilahi Waina Ilahi Rajiun.😥
Allah mtukufu akupe mwesho mwema shehk wetu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mimi namshangaa sana zuchu yaani binti baada ya kuanza kuimba anavaa uchi kawashinda kina nandy inasikitisha Allah amuongoze yeye na sisi atupe mwisho mwema
Dr Sule ..Allah akulinde na akupe uwezo wa kuamrisha mema na kukataza maovu hawa wasanii wanaharibu maadili
Nakubali sule;;;we unawapasuaga tu,,,hutaki bahasha zao wala nn
Allah atujaliye na atupe mwisho mwema
Sheikh sule umeongea kweli
Wanawake
Tubadilike
Asalamu alkumu walah ust Dr sule mambo mengi ya kidini unayajya na yakidunia elimu iko tu Pete ndio imekuharibia mungu atakuongozaa
Hakuna mkamilifu,upungufu wake ndio huo inabidi atubie na kurud kwa Allah.
Pete zina nini
Zakufuru hamtegemei Allah pekeyak Ana mshirikisha na yy najua hilo@@mudyhmedia
😭😭😭lnna lillah wanna ilaihi rajiun 😭 saiv ni msiba tu sheikh ... mwanamke kwenda uchi ndio maendeleo.....hajali kitu coment km zote ndio anajiona yy tu...haikumbuk kesho kwa Mungu
Nikweli wamezidi sana hawa kina dada zetu kujifananiza nawazungu 😢wakat sio tamadun zetu Tanzania,ata aibu hawana wanajiweka uchi wa mnyama mungu ametupa akil yakuvaa nguo ila wao wanachukua akil za wanyama wasokua na akil yakuvaa nguo.
Kweli ... ALLAH ! Atustiri 🙏🙏🙏😭😭😭
Assalam ghalaykum jamani waislam. Tunatakiwa kupiga vita suala la watu kuvaa uchi. ....na mtu alikikumbusha usiseme mbona wewe uko hivi. Unachotakiwa ni kubadilika ......tumrudie mungu .....Kuna kufufuliwa....kuhesabiwa...kuhukumiwa....
Sheke sule mungu akuongoze akuepushe na misuko suko akukinge na masheitwani simama na mungu. Bila kujali sula wala kabila wala cheo
Ukiwaambia , wanakwambia mungu haangalii mavazi anaangalia roho 😂😂😂😂 inabidi unyamaze Wacha wazungu awaongoze motoni
Inaalilaah wa inaalilaah rajighuuni 😭😭😭🤲😭🙏
Masha Allah, sheikh umepiga penyewe na huyo zuchu kamnunulia baba yakegari na mzee ameridhika kabisaa kwa kuuza utu wake jukwaani, allah amuongoze na sisi pia, aaamin
zuchuwe musilms unapendeza ukijistir hebu jarb kujistir ata kdg ❤❤❤❤ usivae kama mdoli jman😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Niumaraya tuu allah aturunde saana
Mashallah
Zuchu anaharibiwa na Mama yake mzazi.
Si vizuri kuonyesha aliyoyakataa na kutubia iweje wewe unayarudia tusome tuache kuvamia usichokijua utajibu kuongelea ambayo mwenzio ameshatunu
Maneno yako ni mazuri.lakini towa kuduku
Umeona eeeh!!!!.
Wanawake tujistrin jaman 😭..tumeoneoana wengi moton...enyi wanawake wenzangu tujistrin..ili tupate kufaulu hapa duniyan na akhera
Ukweli mchungu😢😢
Ukiwa mtaftaji wa maisha ya dunia tafuta kana kwamba hakuna kufa na ukiwa kuomba Mungu omba kana kwamba utakufa dakika inayofata.
Zuchu hali nyama ya nguruwe lakini anakunywa mchuzi wa nyama ya nguruwe
Anakataa ulevi lakini anatembea kama ngombe uchi nje nje
Na la Ajabu wazizi kimnyaaaa
Ni kweli
Dr. Sule, usijali kabisa, endelea kutoa dawa. Wanaokubeza basi ujuwe dawa imewaingia na wanaelekea kuelewa na kupoa.
Shida ni kwamba Watanzania tunapenda maisha ya uigizaji, na kwa sasa Watanzania ni waigizaji wazuri kwa Kila Sanaa au tasnia, c mziki Wala c waigizaji n kuenda utupu. Na kitu chochote ambacha Allah amekikataza tayari hua zinaathari nyigi, kwaiyo hiyo yote inatokana na kupiga amri ya Allah ,kuimba n jambo la haramu tuu
Nyinyi mnaepinga hiimada nyote ni Malaya Sasa amekoseanini huyu baba,hofu na Mwenyezimungu hamna ( Kama ni mzaziwako anavaahivyo ungefurahi,au akatike viuno hadharani) achenibangizenu hizo rizki hazitafutwihivyo.
Dr Sule na kupe deyaa tu midomoyako mizuri
Dr Sulle ni maarufu na muislamu wa kweli, wengine wanajikongoja tu😂
Kumbuka Zambi kubwa na ya kwanza ni shiriki vipi wewe na shiriki umetubu
LAKIN pia chakushangaza wanaume wanavaa vizuri mpaka suti 🎉 LAKIN wanawake uchi uchi shida Nini??
Halafu et nihaki za binaadam kuvaa uchi!!!
Yan walitakiwa wanaume NDIO japo penzi LAKIN wanawake NDIO TU machi!!!
Ina shikitisha kuthamini Hela kuliko utu wanamashisha Kwa
Watoto wadogo Kwa umashishaji huu inafundiza jami kwawa kwenye ufuska ndio kwenye kipato
Sheikh sule minakubali ukumbusho wako
Afadhali umeongea ukweli sijui mwanamke anajskiaje anapojieka uchi mbele za watu, hujioni kama mjinga uliopindukia mipaka kila mtu ana uchi wake mbona hawaoneshi
Wemwenyewe mbona mushiriki unatumia majini si ushirikina huo, unaona kibanzi kwenye jicho la mwenzio lakwako hutoi,zuchu kweli kaharibika sana na kuipenda dunia amesahau kama kuna kufa, kukaa uchiii ni kosa kubwa sana ndomana mtume alisema watakuja watu katika umati wangu watahararisha pombe,zina, muziki,na kukaa uchi kabisa so dunia imemchota na mtihani huo ndo viumbe hawa mtume aliwaona wengi motoni wanawake.
Kiukweli zuchu kazid mno kukaa uchi yn mimi Huw nashangaa kweli mtu amesoma coroan lkn. Yn yy muda mwingi zuchu n uchi uchi t mbona kin nand hawavai uchi sn kama zuchu.
Afadhai zuchu kuliko dr sule nasule nimshirikina nakamazuchu nimalaya angalindani ya uislamu kumbe afadhalizuchu
Unaambiwa fuata mafundisho usifwate matendo yake mpk hapo umekosea kusapot wakt anaongea kwel hata km yeye ni Malay lkn uliwah akifanya hadharani
Dr sule mchawitu Nadini wapi nawapi we tumika namajiniyako napetezako naugangawako alafu usubir sikuyakukutana na Allah makosa yawaislam uyaachie waislam wenyewe na watayamaliza wenyew
@@وزيرهالوزير-ذ8س Nawewe waislam tunatakiwa kuhamasishana Mambo ya kheri wewe umekazana Dr. Sule mchawi kilamtu atabeba mzigowake sikuhiyo, wewe unauhakika umekamilika .Huyu baba ameona hilijambo halimpendezi M/ Mungu ametoa maoniyake na wewe ubinafsi umekujaa .mada ni yakuvaauchi hapa hiyo ya majini utaongea siku nyingine.
Ongea baba pasua pasua mpaka wataelewa
Hapasui huyo Dada huo ni uislamu
Shida ni basata hawajibiki kisawa sawa
SIO WANAWAKE WOTE! NA SIO WANAUME WOTE PIA"! KUNA MA BABAS NA KUNA MAMAS WANAHESHIMA NA DINI ZAO PIA"!
Apo kwa kuota dem pissy kali pashanikuta hadi nkatamani nirudi niote tena. Ila ndoto zingine aisee
Hawa watoto wa emzi hii ni washamba
Dada snura aache kuvaa hijabu na kutia rangi za mdomo akiwa mitandaoni
Allah atamuongoza na Kila kitu taratibu
ASIO WOTE" WANAWAKE! MAMA AKO MWANAMKE PIA' KWA HIVO UNAMTUKANA NA MAMA YAKO PIA"😢 SEMA BAADHI YA WANAWAKE! NA SIO WOTE"! KAMA BAADHI YA WANAUME NDIO WAHUNI NA SIO WOTE PIA"! PLEASE DONT PUT ALL THE WOMENS OR ALL THE MEN" BAADHI YA WANAWAKE" NA BAADHI YA WANAUME"! PIA! NA SIO WOTE" UKITUKAMA WANAWAKE NA KUSEMA WOTE UNAKOSEA NA PIA UKISEMA WANAUME WOTE PIA"! UNAKOSOEA SANA SANAAA😢"!
Dr sule wewemambo yauganga nakutumiamajin uliigakwanani? Wewe kuwanasihi waislam katika makosayao haikufai kwasababu wewe simtuwadini ya uislam
Fanya yako wewe sule na pete yako mnafki
Shekhe Dr Sulle tulia,Hakuna uchi ,mtu anapocheza lazima aweke madoido ili kuwafurahisha wateja(washabiki).
Kwanza nani kawadanganya ninyi waislamu kwamba wanawake wanafunikwa?.
Huyo Alah au Mungu anayenyanyasa wanawake yuko wapi?
Kati ya shabiki (wateja) na Mola wako muumba nani kwa uhakika anaestahili kufurahishwa kwa matendo yako mazuri....pima maoni yako vyema kabla kubisha au kutafuta mjadala wakati ukweli uko wazi.....tumuogope Mola jamani na tuwache kiburi....dunia tunapita tuu....
Mimi hapa nilikuwa napita tuu....niko safrini....mimi maiti mtarajiwa....naogopa Mungu vibaya sana,,,,,pongezi sana Shekhe Dr.Sulle...Mola akubariki kakangu....
Subiri ufe.
Inaalilaah wa inaalilaah rajighuuni 😭😭😭🤲😭🙏