DR.SULLE AWEKA NGUMU SITOKI MBEYA MPAKA KIELEWEKE//NAKUFA NAO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • #tanzania #drsulle #islaamic

КОМЕНТАРІ • 16

  • @AbasiAbdi
    @AbasiAbdi 3 дні тому +2

    Jambo jema shekhe Allah akuongoze katika harakati za kupigania dini Inshaallah

  • @muhsinramadhan1490
    @muhsinramadhan1490 2 дні тому +2

    Kama Kuna shehe ninamkubali na kimuelewa sana! Basi ni huyu dkr Sulle, nampenda sana kwa ajili ya ALLAH.

  • @SalwahAncelem
    @SalwahAncelem День тому

    Jaman usitusahau na sie huku Zanzibar sheykh wetu,mie namkubali sana huyu mwamba

  • @MWAMPAMBA
    @MWAMPAMBA 3 дні тому +1

    We Mbeya ni Jiji La Mwenyezi Mungu Hatutaki dini za mashetani

  • @muhsinramadhan1490
    @muhsinramadhan1490 2 дні тому +1

    Toa dawa Shehe wangu, najua kuna wapuuzi watakutukana na mambo mabaya kama hayo! Ila usife moyo fanya kwa ajiri ya ALLAH.

  • @HamiduMbaraka
    @HamiduMbaraka День тому

  • @Ummy-vd6tm
    @Ummy-vd6tm 2 дні тому

    Waisilamu acheni kejeli hakuna naeno kama dini yetu dini ni ya Allah,

  • @abdulgyver8636
    @abdulgyver8636 3 дні тому

    Hakuna cha kueleweka
    Hatutaki upuuz wa kikristo kwenye dini yetu

  • @MawelaKatimka-jp1us
    @MawelaKatimka-jp1us 3 дні тому

    Shekh sulle tupo pamoja mpaka kieleweke mbeya

  • @aswabikimaro3033
    @aswabikimaro3033 3 дні тому

    Tapeli kwenye ubora wake...sijasikia hilo jamboanalotaka kufanya ambalo halijawah kufanywa...jamaa liongo sana asee

    • @modyworldmody4297
      @modyworldmody4297 2 дні тому

      Unamaanisha wachungaji... Na makanisa ya mashetani...
      Tumeona mfano wake kama kiboko wa wachawi...