EDNA | PART 27 | EDNA ASHINDWA MVUMILIA ROMA, AMUONESHA YEYE NI NANI
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Sasa ile Roma anashuka kwenye gari , alimuona Edna mita kadhaa mbele yake akimkimbilia mwanaume mmoja wa kizungu na wakakumbatiana kwa furaha kubwa.
Roma ni kama hakuamini macho yake , kwani hakutegemea hata siku moja kumuona Edna kumkimbilia mwanaume na kumkumbatia kwa furaha kiasi kile.
#simulizi #edna #story
Wa kwanza jmn kaka lucas njoo unipe like leo na mm nifurai et😊
Jmn edna safi sna yaan roma mpk mm ushanichosha na tabia zko edna gawa kitumbua kwa mtu mwnegne mna roma kazd sas km hawez kuacha michepuko yke na ww kuw na wko mna na yy tumuone akiteseka kdg
🤣🤣🤣🤣 Niko pamoj na wew
Sijachelewa san vile nipeni like hata moja ❤❤❤🎉🎉🎉😢
. . . . Mm. V1 ,cvvvgh--+±±-±--±_-h+gcc
2:28:23
Nimekuw wa kwnz leo jmn lke zng 😂😂😂😂😂
Hi guys amuyambo..mi naona ziwe janta za roma icwe damu yke kweli n yule cjui nn asishike mimba ya roma
Wadau WA Lucas Leo Mimi ni WA Kwanza mnipe like zangu
Leo utupe mbil maana jana ukutupa 😁😁🫶
TeamEdna wapi like zake weweeeee❤❤❤❤
Shukran Lukasi Lumbasi nisukumiye nambaya simu ya Edna mwenzako unamubaniya sana emburegeza kaaba unaniwuthi nibasitu unamu umiza Roma unamutowa sadaka utajuta💞💞💞💞
Hahaaa wivu ni mbaya xn jmn bt Edna legeza kamba sambusa utoe acha kubana xn km Ruto huku Kenya jmn😂😂 like zenu pls
❤😂
😊😊😊 muache abane hajui mungu hubarik atoae ndio huzidishiwa
😅😅😅@@FatumaRamadan.Mwalim
😂😂😂😂kunasiri zimejificha hizi nchi tatu sasa sjui edna wa bongo ninani
@@hafsasaid9666 hahaaaa tutajua 2
Jamani eeee chakula mezani mkuje tule😊
Roma anafanya mambo bila kufikiria
Familia ya Lucas lumbasi inalala humu .asante kaka lucas❤❤❤❤
Wapili Leo nipen 🎉🎉
Nimefika 💃💃💃💃💃 naisi Roma anataka kuzimiya baada ya kuona Edina kamkumbatia mwanaume mwingine 😂😂😂
Nimewai na mm naombeni like zangu bc mh
Wale wa kwanza angalia comment ndio ujue ww si wakwanza
Asante sana Lucas wetu wanguvu 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
Duuh watu wa Tanga lushoto soni leo tumekumbukwa kwa simuliz hii nzur
❤❤Heyy nyie watu Nyiee, mbio zimenishinda shikeni.🌹🌹munipe like zenu tuko pamoja, kusikia Mikasa yote, kamau na senga, Edna naroma tutajuat 2kiwa pamoja kwa umoja🤔🏃
Umoja ni nguvu
Nitulize komwa lau sasa hii inaitji umakini aswaa haitkiwi kuptwa ata nukuta 1 yaneno adisi tam xn❤
Waooooo
Mimi nawashangaa nyie watu mnapenda lik akati nyie hamlaiki wenzenu 😂😂😂😂😂😂
Sijachelewa sana 😂 nilikuwa nasubir kwa ham….🎉🎉
Leo tupe vipande viwili 27 na 28 kwa pampja
Sijachelew sana npeni like leo❤❤🎉🎉🎉
tupatiye season mbili leo jana hawukutupatiya tunakudayi
Nusu saa tu watu wameshajaa mwee😂😂
Wooyooo🎉🎉
Mbele kwa mbele❤❤❤🎉🎉🎉
Afatari leo sitapoeka
Nice
Roma na Edna ndio wanaeza ishi pamoja wamekutana kopo na mfuniko kila mmoja jeuri kwa mwenzie lakin moyon wanapenda yani hili penzi linatupeleka mpuntamputa hatujui hatma yake nini sjui kila mmoja mmbabe kwa mwenzie kazi ipo mpk edna kumpa roma kitumbua tutakuwa tumechoka kweli😂😂😂
On tyme❤❤🎉
Kaka Lumbas unataka tuwe vipofu maana si kwa kuchungulia huko
❤❤❤❤ woter
❤❤
Wa kwanza leo
Mhm,maisha ya kimahusiano ya Roma kweli ni ya kifalme,hata masuria wana nafasi yao hadharani,hata hivyo amezidi chaa,hata kama ni msemakweli ukweli gani ambao unawaumiza wengine bila ya kujali,huu ni upumbavu
Weee simulizi imebamba
❤❤❤🎉
Stailing Roma akifa na simulizi imeisha
Na hata ikiendelea siendelei kusikiliza bila roma 😢😢
Heee jaman leo nimekuwa wa mwisho😊
Ina maana Nasra ni jirani Ya Mtunziiii wa simulizi😂😂😂 maana gari imewekwa kwa Mzee singano🥱🥱🥱
Khaa! Umetuweka sana bro
Bismillah nimefika😊😊😊
🌹🌹🌹❤️❤️❤️❤️
😂😂😂 Pale pakuachwa roma pamefikaaaa
❤❤❤
Woyooo safi sana Edna🎉🎉🎉❤❤❤
ᴱᵈⁿᵃ ⁿᵃᵐᵖⁱᵐᵃ ʳᵒᵐᵃ ᵗᵘ ⁿᵃ ʰᵘʸᵘ mzungu😂😂😂
Wkwànza wadau nachtka tuzd kumuombea kk lucas uzma azd kutbrdsha mn bla yy baadhi ytu htna frahaaa
Roma kazd nyau huyu .....
Edna ndio lashazama😂😂😂.. roma kaletewa mme mwenzie na huku ndio anaombwa na talaka😂 lazma atulize kidudu tu hiko
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Edna simwelew wadau,ananichanganya sna maana andi anaingia galama kukata mahusiano ya michepuko ya roma ila hataki kukitoa kitumike mwisho wake niup?
Asante kwa simulizi nzuri
❤❤❤ Asante
Twendelee
Nimewahi😂😂😂
Jamani leo bc edina mpe roma kitumbua akipunguze mafuta
Hatimaeeee🔥🔥🔥asantee kaka lucas kukupend tu❤🥰🥰❤
EDNA mkomeshe roman 😂😂😂 ndo nini sasa Akhreeee Roman tuliya Dawa iku ingiyeeee
Hayaaaa nime malizaaa😊😊😊 Kesho Tena kunako majalaaa
Kweli kabisa
We kaka Jaman unanifanya nachelewa kwenda kazini
😂😂😂😂😂 khaaa nimecheka kwa sauti,mwanaume hata awe mpenda vitumbua kiasi gani,hawezi kula kila aina ya kitumbua,atachagua 🤣🤣🤣
Edna ataingia galama bule hao anao wasomesh nakuwatibia s nimkataba wakuwatenganisha ila mwamba bado anasaka vitumbua nakuvitafuna😂😂
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉asante kaka mauwa yako
6 jaman 😂😂😂ngoj nisikiriz
Ila Roman umeshindikana😂😂😂😂
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 wa1
❤❤
Jamani uku pamenoga
Huyu roma anasumbuliwa na nn lakini, umalaya umezidi hata vyasinya😢😢😢
ᵁᵐᵉᵗᵘʷᵉᵏᵃ ˢᵃⁿᵃ😅😅😅 0:15
Oyoo vp bado upo hapa ndani mtu wagu
@@user-rc3om5hs9i ⁿⁱᵉᵉⁿᵈᵉ ʷᵃᵖⁱ ⁿᵃᵍᵃᵍᵃ ᵏⁱˡᵃ ᶜᵒⁿᵃ 😂😂😂
ᴺⁱᵖᵒ ᵐʷᵃʸᵃ ⁿⁱᵉⁿᵈᵉ wapi😅😅😅
Duu roma jamani ameshindikiana na minyanduano
Jaman dk 2 tu watu8
😊😊😊 hamlali
Edna alie mpokeya Epoti ni sekereta mwengine
Leo tunaomba vipande viwili,27 na 28
Wooow leo nimewahi kumbe 😂😂😂
Weeeee
Muko faster
❤❤❤🎉🎉🎉👍👍👍
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Watu mnalal na Lucas jamn mara hii
Loma muuni tu Ata akimpa iko kutumbuwa chake atulii tu kama Kuna Mwamba mpya aje tu kumtuliza Edina wangu
Ata mm naunga mkono Edina kupata mwingine Roma amezidi
Wadau Mashabiki wa Lukasi ivi maerewa iyi Similizi kamamimi ao ivi Wanaume munasikiriza kamasisi munamuewa uyu Roma wadau tusiendereye kumuramu Edina ayanimafunzo mwanaume anasamini mucepuko kuriko Muke Familia wamukubari aaaaaaaaa Edina Nagukubari 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉kumunyima Roma utu wako uyu Roma nimbwa sioMume nangoja nimarize gusikiriza iyi27 Amani ya Mwenyezi Mungu wafamili Similizi Mx💐💐💐💐💐💐
Wengine jana hatukulala kabisa
jana nilichelewa kuskiza 🤔🤔
Roma umezidi
Mpango wa marahisi hawa wanao mpenda mamake Roma misheni yao wachore tuu maumivu kafara haipo kwani Roma atazuia kila kitu. Yanbwen wewe nawe na athena wako pia hamtafaulu kwani pamoja nailatili wa mwamba Roma bado yeye nimtetezi wa wanyonge nasio mharibifu wanao pata kusarambaratishwa na Roma ni wale hukiuka sheria zake
Ukweli umesema Roma hatawaacha salama wanafiki wamadaraka Hawa🔥🤔
Wewe 49ma umujinga sana unaongea mambo ya kipumbavu sana mm natamanitu ufe unamdharau sana mukewako we kufatu unakera sana
🎉🎉🎉🎉
❤❤😂
Chioma pls kaka Luca
😂😂😂😂😂kama namuona roma akipata heart attack..siyy anajifanya mfalme Suleiman sasa akomae huyoo mzungu hata sijui ninani lkn roma sidhano imemuingia kweli kweli hapa itabidi uachane na michepukoo tuuuu lasivyooo wewe na mchepuko Edina pia awenamichepuko ngoma draw
Rama yuko na wivu na Edinah bt yeye mwenyewe yuko na wanawake wengi na hataki kuona Edina na mwanaume hataa
Woyooo
👏👏
🎉🎉❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
ulitutufanya wanyonge sana jana ila bila kusikiya edna mimi nawumwa sana
Weee acha2 mpak nikahis au nimeachik kot kote 😅😅😅😅
😂😂😂❤
@@user-rc3om5hs9i naona unacheka 2 mwenzang
Nasira munafiki kwerikweri nauyu Roma nikiboko unashirwa gushindikiza mukeo unashindikiza mucepuko Edina minaona fukuza uyumbwa unamuweka apate liziki nanabowa ujumba wako japo Roma anagusayidia bitubingi Allah njomurinzi acana nayu Roma ona anagufanyiya mimi kama nirisha fukuza wote Roma unasamanigushindikiza mucepuko maripo yawema mama Edina kweri mufadhiri mbuzi.utamumywa mucuzi😭😭😭😭😭😭
Xjachelewa xn pokea maua yako
Tuletee chioma
Ukweli
😂😂😂
🇦🇪💕🇧🇮❤️❤️❤️❤️