Hi Lucas mwenzangu patamu hapo lkn mwambie singano mm nataka Edna apate mimba na si mtu mwingine maana Roma na Sofia kua pamoja kwa muda mrefu pekeyao pana???
kabisaaaaa unahisi mwanamke anampendea mwanaumwe sura😂😂😂😂 ni ulinzi, show, na kupata chochote wanachohitaji, bado kupewa vdonge vya kuish maisha marefu
Jamani mbona kama naisi roho ya seventn iko ndani ya edina make tumkumbuke athena aliseama kosa alilo lifanya nikumuacha seventini ajitoe loho mwenyewe au nyie mnaonaje
Hongereni kaka Lucas kwani niseme tuu kama mtu anaifwatilia hii simulizi viziri lazima awe na mafunzo na elimu pia ushauri wakutosha kwa wengine maana hakika kuna mengi mnoo
Aki lucas hii simulizi ni tamu sana ulitoa wapi bro ❤❤❤🎉🎉 guy kama ww ni mgeni huku katika hii simulizi usiaziye katkati anza mwasho dio ujue utamu wa hii simulizi ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Sijui kwann roma anashindwaa kujua huyoo sio dens mana hilo ni bomu lakuangamizaa narais waruandaa kuna pigo takatifuu ameandaliwaa loo roma fungua machoo ..huyu dada suzi mbona ameendaa kuingia kwashimo asilolijua mwazo mwisho huko sinikule wanatoa kafara kwawale awapendao😂😂😂ukute aambiwwe amtoe roma 😂😂
Huyu soph jamani yani bado anamtaka roma haya wamefika huko waaze maisha yao sasa mana ndoalikuwa akitaka wakae tuu huko... kizwee ndo amekufa kweli kweli na huku tz bora washaambiwa kuwa dens alikua fake lkn og nikama alikufa kitambo
Eti Roma apotezwa nop Lanlana yuko atarudisha babake❤
Wangapi wanaamini kuwa Roma wetu atarudi kwenye dunia yetu
Mimi dear
Lazima arudi njo mulinzi wa Edina.shida tu sofia naye anaingiya muoroza ya micepuko
Roma wetu atarudi Amen😢
Nmechelew lakin tuko pamoja Mshabik npeni like
Cjapnd roma kupotea pmoja na sofi uko waliko itafnya mara wawe wpnz na sofi anaifrahia iyo nafas cjapenda kabsa 😥😥😥😥😡😡
Lazima apite naye alazagi dam
Naugana na ww kipenzi sofi nilazima ache kitumbua, na ataekwa kwa kudi la mishepuko wa roma, masikini edna kubaliana nahali ilivyo kwa mumeo
Roma atarud tena natakua nauwezo wake ote kwa kl jambo naamini hv
Ndio atarudi na atapanda levo
Hi Lucas mwenzangu patamu hapo lkn mwambie singano mm nataka Edna apate mimba na si mtu mwingine maana Roma na Sofia kua pamoja kwa muda mrefu pekeyao pana???
Japo nafatilia hiii Simulizi Niko Sehemu ya 41 Sasa hadiii nimalizee hiiii Edna yote jinsii nilivyofatilia Roby
Niko Mombasa, Nyali Mnazi mmoja
Waoooo nimefika acheni uchoyo wa like
Nipo na mimi jamani likes zenu team Roma asante sana Lucas kwa kazi nzuri sana 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
Huyo ndio Roma mwenye kuchanganya wanawake sura mbovu
Hhahhahah
😂😂😂😂
Wana penda show naskigine
Ndio show siya kitoto na kuwalinda
kabisaaaaa unahisi mwanamke anampendea mwanaumwe sura😂😂😂😂 ni ulinzi, show, na kupata chochote wanachohitaji, bado kupewa vdonge vya kuish maisha marefu
Athena ajitayarishe na Lanlana
❤❤❤
Mimi,pia,naona,roma,ataruditu
Wow
❤❤wauuu Roma mwenyewe Asante tupo ad mwishooo, like km upo ad mwisho nawe, Lucas asate kwa🔥💯wa Roma🪑🎧🏃
Wakwanza ❤❤🎉🎉🎉😂😢
Simulizi nzuri ila wanawake waliokuwepo kwenye hii simulizi ndio wananipandisha hasira
Nko top 5 wadau nwapnda na msnkose kweny lke then nwapnda san vpnzi bla kumsahau kka lucas 🎉🎉🎉❤❤❤
Asante ❤❤❤🎉🎉🎉
Wa KWanza jaman likes za kutosha naombeni
ᵂᵃᶜʰᵃ ˡᵉᵒ ⁿⁱʷᵃᵒˢʰᵉ ᵐⁱᵍᵘᵘ 😂😂😂
Roma kabla hujafa mpe mimba edina mapacha 3 ndio upotee sawa baba
😢😢😢😢Roma wetu umeyathimba jamani ila Mungu akusaidie utoke kwenye huo msitu
Ila tuache utani atakama Edina anaumizwa na Roma ila anafaidi dudu kuliko mchepuko 😂tumpe Tu mauwa Yake ishu akipotea sijui itakuaje tusubili tu😢
Ndio na njomana mke anaheshima yake micepuko ya roma aina akili atakidogo inarizika kuishi ivo ivo mafala sna.
Huyu the Don mipango yake haitafanikiwa kabisa
Hakuna njia pasipokuwa na njia kwa uwezo wa mungu broo Roma atapata pakutokea
Roma wetu atarudi.
Mi siðhani roma kaa atabaki huko namna atapata namna uakuyoka yew
Hiv amjahis kama navyohis yani kama vile mchepuko mpya anakuja 😂😂😂😂
Aiii ila Roma ni namba nyingine hii❤
Shuklani.kaka lucas tuko pamoja kazi mzuli ❤❤❤❤❤❤❤
Ni mechele leo jamani nipe like tano 🎉🎉🎉❤❤
❤❤❤❤❤❤
Jamani mbona kama naisi roho ya seventn iko ndani ya edina make tumkumbuke athena aliseama kosa alilo lifanya nikumuacha seventini ajitoe loho mwenyewe au nyie mnaonaje
❤❤❤❤❤❤❤❤
Michepuko wako wapi jamani ama kweli mke ni mke😂😂😂😂😂😂😂 ni
Hongereni kaka Lucas kwani niseme tuu kama mtu anaifwatilia hii simulizi viziri lazima awe na mafunzo na elimu pia ushauri wakutosha kwa wengine maana hakika kuna mengi mnoo
Ooooh god thenxss sijachelewa saana manake leo ijumaa ya mizululo maua yako lucas🎉🎉
Shukran kaka Lucas kwa mwendelezo
Aki lucas hii simulizi ni tamu sana ulitoa wapi bro ❤❤❤🎉🎉 guy kama ww ni mgeni huku katika hii simulizi usiaziye katkati anza mwasho dio ujue utamu wa hii simulizi ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Roma ataxhinda tu
Niko halipingiki.broo Roma atarudi 2
Eeehwaaaa.🎉🎉🎉🎉🎉
Mona🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jaman wangap wamependa kumuon Roma Ramon ❤❤❤🎉
Mimi
Lazima arudi roma mpaka amtambue mwanawe s
Roma lazima atarudi tu awezi kukosa namna
Waooooo jamani njoooooooni Romaaaaaaauyo nihensamu njomana wanawake wanajingonga mupigalaundi 9 binamufanana🔥🔥🔥🔥 Nasra wanasjirwakuwaca uuuuuuuiiiii maua yako Lukasi💐💐💐💐💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽Lukasi kwenye🎤🎤🎤🪑🪑🪑🇧🇮
Lailan yy anajali tumbo lake 😂😂😂😂 salamu badae hataki kujua kabisaa
Wanne🎉🎉🎉🎉
Leckcha ataoga tu hana bahati
Haiwezekan
Umetuangusha mbona
Sijui kwann roma anashindwaa kujua huyoo sio dens mana hilo ni bomu lakuangamizaa narais waruandaa kuna pigo takatifuu ameandaliwaa loo roma fungua machoo ..huyu dada suzi mbona ameendaa kuingia kwashimo asilolijua mwazo mwisho huko sinikule wanatoa kafara kwawale awapendao😂😂😂ukute aambiwwe amtoe roma 😂😂
Tuko pamoja mpaka mwisho
Waooooo mi wa kwanza leoo
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Roma unakufa bila kujua kama Lanlan ni mtoto wake.
🎉🎉🎉niko hapa kutoka kasikazini, Lucas shukran🎉🎉🎉
Huyu sofia simpende kabisa uwe mchepuko wa roma kabisa sijuwe nikwa nn lkn sipendi
Huyu soph jamani yani bado anamtaka roma haya wamefika huko waaze maisha yao sasa mana ndoalikuwa akitaka wakae tuu huko... kizwee ndo amekufa kweli kweli na huku tz bora washaambiwa kuwa dens alikua fake lkn og nikama alikufa kitambo
But all in all huyu Jeremy atakuja kua tishio huko mbele maana ana ulafi wa madaraka.
❤❤❤❤❤❤🎉
Roma mwenyewe tuko pamoja 😮
❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤🎉🎉🎉
He roma ana majanga nayy jamani da😢
Lucas 57 inatoka lini? Nahisinirik kwa hamu nataka nijue kunaendaje
Mhhh roma ukiondoka dunian me natak uwe ushamuua uyo lecture tu bc angalau upnguze maadui kwnz
Ameenda kuchukua nguvu mpya hii simulizi pia Roma hainogi
@@MwanakomboMangwekwel bila Roma ainogi ingawa ana boa ila ndio 2memzoea Ivyoivyo
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wa pili jmn ,
Leo wa 15 jmn😂😂😂😂😂😂
Wapili leo nmewahi
😮 mhmm,ila leo naona nikushika moyo,Roma kupotezwa tena?😢😢😢ngoja tuone itakuwaje
Nime Rudi kwa anko Lukas vp wazima nyote mm Niko poa harusin likon kwa raha zangu karibuni
Mh😮 awamuii roma kayakanyaga kweli sa kwenye ile sayali atatokaje jamani da😢😢
💜💜💜💜💜💜🥰🥰🇹🇿🇪🇬
Hiyi simulizi 🚮 👎🏽👎🏽👎🏽
Bora hata mm nimependa ndev za Roma mmmmmm na pua yake 😂😂😂
😂😂😂😂Utapgwa dudu
@@FatumaJumanne-p4dhahahahahahahah😂😂😂😂😂😂
Jomoni ❤
@@FatumaJumanne-p4d😂😂😂😂
Kupotezwa tena ama njo edina wakati wake unafika kutawala? Uzuni ilioje.
Kaka lucas uko sawa kweli mbona sauti iko hivyo jaman😢😢😢
yeah sikuwa sawa
Kwan waumwa kka
Pole!!!
Kaka lucas unaumwa mafua au mbona sauti aipo saw
@@user-wi6yc3zk4h yeap nilikuwa sipo sawa
Pole kka yetu utakuwa sawa inshallah .
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI polee mungu akufanyie wepesi uwe saw
Kama Roma kapotezwa kwaherini mimi nitamalizia ikisha fika episode ya mwisho maana Edna atabaki nauchungu mwingi.
Shemegi yetu Roma atarud tu mm pia akipotea na mm napotea pia
@@MwanakomboMangwe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@MwanakomboMangwe😂😂😂😂
Atarud ya 57 😂😂
❤❤❤❤❤
❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉