Mbona mwaenda na kufanya hivyo mwijiristi auliza limeonekana lafaa kimeeleweka leo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 91

  • @janieali5521
    @janieali5521 Місяць тому +3

    MashaAllah Tabarak Allah Masheikh wetu. Asanteni kwa kazi kubwa mnayoifanya. Imani ya wakristo ni maneno matupu ya kila mtu mwenyewe anavyo fikiria. Kwanzaa hawamjui Mungu wala Yesu, bali wanarukia tu.

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni Місяць тому +1

    Bado mko Na kazi kubwa sana ya kuelimisha wakiristo sababu kitu kilichopadwa tangu utotoni kutoka si rahisi

  • @sameh-h2d
    @sameh-h2d Місяць тому +5

    Waleikum Salam asante salim for making me see the light from Simon to sameh

    • @SheeMaryam.M
      @SheeMaryam.M Місяць тому +3

      Ma Sha Allah karibu sana Allah akuongoze makanisa ulaya yanafungwa inakuwa misikiti

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Місяць тому

      Masha Allah karibu sana

    • @Aisha-jw7jf
      @Aisha-jw7jf Місяць тому +1

      Masha Allah tabarakallah karb sana kwenye Noor feel at home

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni Місяць тому +1

    مشأ الله تبارك الرحمن

  • @samxx411
    @samxx411 Місяць тому +2

    Skeikh salim kuna makundi manne ya watu...kuna wale wanajuwa na wanajijuwa kama wanajuwa...hawa mashallah. Kuna wale wanajuwa lakini wanajiona hawajui...hawa wanahitaji kufahamishwa kama wanajuwa...kuna wale hawajui lakini wanajiona wanajuwa...hawa ni wanahitaji kufahamishwa lakini wagumu kukubali kwasababu wanajiona wanajuwa...ikisha kuna wale hawajui ikisha wanajuwa kuwa hawajui..hawa wanahitaji kuelimishwa....ni muhimu kufahamu ni kundi lipi unadeal nalo ili ujuwe uende nae vipi

  • @josemu870
    @josemu870 Місяць тому +2

    Allahamdhulla kwa neema ya uislamu

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja Місяць тому +1

    Mashaallah

  • @GRas-d7p
    @GRas-d7p Місяць тому +3

    Waleikum Salam warahamatulahi wabarakatu, Alhandulillahi ala Kul Hal

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 Місяць тому +1

    Eti uulize swali kisha ujijibu tena, ustadh salim ako 2 steps ahead, mashallah

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Місяць тому

      Yeah huwa wanafanya hivyo hawa wakristo anataka kuuliza at the same time anataka kujijibu huwa hivyo

  • @kariukihassandawah447
    @kariukihassandawah447 Місяць тому +1

    Wale wanaopoteza time tumesha wa mark utaona a lot of changes inshallah

  • @MwangiMuhammad-q8r
    @MwangiMuhammad-q8r Місяць тому +2

    Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu... Maa Shaa Allah...Allah awahifadhi nawapenda sana,,, white t-shirt boy anaitwa masika, yaani mvua ya masika, kumwaga propaganda.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Місяць тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh yeah ako na propaganda sana

  • @loner_wolf
    @loner_wolf Місяць тому +2

    Huyo Kimani hana swali maana sio mgeni kiwanjani lkn anaulizia kubeba biblia na kila siku yupo hapo anasikiliza😅😅😅😅

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Місяць тому

      Maswali yamewaishia so anajaribu kutafuta sehemu ya kuhepea

  • @dominicwafula3997
    @dominicwafula3997 Місяць тому +1

    Assalam aleikum waalah salim maswali yanapotea ungeyapata tungeelimika Akhi (Brother)

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Місяць тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 Місяць тому +1

    Sawasawa mzee Hassan! Mtu akileta ubishi ondosha lete mwengine

  • @isahbarasa
    @isahbarasa Місяць тому +1

    Salam alaikum waramtulah wabarakatu

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Місяць тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @ZakiyaAnwar-w1r
    @ZakiyaAnwar-w1r Місяць тому +1

    MashaAllah

  • @abubakarkassimmwinyimwinyi6382
    @abubakarkassimmwinyimwinyi6382 Місяць тому +1

    Ustadh hassan una poteza time sana

  • @sweetheart2548
    @sweetheart2548 Місяць тому +1

    Mash Allah

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 Місяць тому +1

    Tatizo wenzetu wakihubiriwa bora Yesu tu,daily Yesu peke yake Manabii wengine hawana habari nao,inafika kiwango ata huyo Mungu mweñyewe pia wanamueka kando

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p Місяць тому +1

    Allah awape hidaya wanaotaka kuona haki wasiotaka ujumbe umewafikia uamuzi n kwao ukufuru au ushukuru

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 Місяць тому +1

    Mbona wakristo wakisomewa andiko wanakubali ila wanaingiza neno "LAKINI" kila wakati wanaingiza neno LAKINI...MI nko na wasi wasi hawaamini icho kitabu wanataka kuishi freestyle

  • @Elybwayz
    @Elybwayz Місяць тому +2

    Mashaallah nafuarah sana nikiwaona

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Місяць тому

      Masha Allah tunakupenda sana kwa ajili ya Allah

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 Місяць тому +1

    Ubishi tuuuu hauna maana fukuza a apoteza wakati watu kama hao.

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 Місяць тому +2

    Kama unamuuliza mtu masuala mara tatu hakujibu fukuza

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 Місяць тому +1

    Asalam alaikum sheikh hassan huyo ni mbishi achana nae atajijuwa na ubishi wake siku ya mwisho

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Місяць тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 Місяць тому +1

    Wakristo nawajuwe ya kwamba Hajji inaswihi bila kurusha mawe! Tendo lakurusha mawe sikatika nguzo za haji bal ni sunnah tu

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 Місяць тому +1

    @ Hunchy, 😂😂 kafiri mbona hujiamini? Unachungulia badala uingie, niwazi hizi unazoziita kelele zinakupa wasi wasi nandio una comment alafu wafuta comments zako?

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 Місяць тому

      Wewe ndio upige kelele ukojoe ulale maana hii Channel ita Post video kila siku mpaka ujinyonge

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Місяць тому

      Huyo nimeona anaongea maneno machafu sana hii channel ni ya mahubiri ya dini so yahitaji heshima akileta tena huo upusi wa matusi

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 Місяць тому +1

      @@salimdaawah123 uwa wanajitoa fahamu nakujiona wajuaji ilihali hawajui kitu, achana nae mwalimu tutampeleka anavyotaka ,hata makafiri wa zama za mtume walipozidi kuwaonea waislam kuwapiga nakuwauwa Allah alituma malaika kumwambia Allah anakuamrisha kushika silaha nakupambana na wanaokupigeni

    • @SimonNjau-yl7hg
      @SimonNjau-yl7hg Місяць тому

      ​@@fatumamwalimu5765ukona support kutoka kwa walimu wenu sasa enda kwa mijadala ya wakristo ulete ujinga huko malaya

  • @YaktiMasagula-e3k
    @YaktiMasagula-e3k Місяць тому +2

    Hilo neno lazima liwe na mtamkaji alie katamka ni nani ? Hiyo yohana 1: 1

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 Місяць тому +4

    Kuna kafiri mmoja humu ana comment hovyo alafu ana delete comments zake,nimeona anakerwa na shetani kupigwa mawe, uenda hao mashetani ni ndugu zake ndio anatumia, na kule makanisani kwao wanawapiga na mateke sijui uwa wanacheza nao football!

    • @SheeMaryam.M
      @SheeMaryam.M Місяць тому

      Kwa hivyo umenona eeh na wao wanasema wanampiga shetani matake sijui nani kamwambia ATI shetani anatukojolea kwa mapuwa😮😮
      Kweli kutokujuwa si kupenda

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 Місяць тому +1

      @@SheeMaryam.M wapuuzi tu hao hata kwenye mambo ya MUNGU wanaweka ushabiki

    • @SimonNjau-yl7hg
      @SimonNjau-yl7hg Місяць тому +1

      ​@@SheeMaryam.Mhii ni ukweli ni machungaji wanawa beba wengine wapumbavu lakini si wote

    • @SheeMaryam.M
      @SheeMaryam.M Місяць тому +1

      @@SimonNjau-yl7hg propaganda n nyingi sana ila UISILAMU utazidi kung'aa siku zote Sahi watu wamesoma kubebewa akili ni wachache wale hawataki kuthink beyond the box

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 Місяць тому

      @Hunchy 😄🤣😂😆😄, kafiri mbona hujiamini? Kwa nini wafuta comments ikiwa wewe nikidume? Ungejua kama kelele tunazopiga hazikuadhiri ungekua umeufyata na muendelee na ndoa za jinsia moja uko makanisani kwenu ,uislam unang'aa hivi punde utajinyonga