TAMASHA LA BURUDANI KWA MASHABIKI KINEGA SUGU MOTO CHINI LIVE ANTIVIRUS | SWAHILI ORIGINAL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024
  • Hii ndio jinsi sugu alivyoingia na kufanya mambo live mbele ya mashabiki ma elfu ya kishuhudia michano.
    NI FURAHA KUBWA SANA KUONA MASHABIKI WAKIPIGA MAKOFI,,HAIJAWAHI KUTOKEA,MA ELFU YA WATU KUIMBA NYIMBO ZA WASANII WA ANTIVIRUS NA PIA KUFANYA KAMA VILE WANAVYO AMBIWA NA WASANII AMBAO WANAPAFOMU..!zaidi nenda www.swahilioriginaltz.com

КОМЕНТАРІ • 39

  • @kifanyaliwengi2281
    @kifanyaliwengi2281 2 роки тому +7

    Hii kitu sitaweza Sahau kabisa nilikuwepo hapo that day 2011 mbele kabisa.. Ustawi wa jamii sinza

  • @skulfees5453
    @skulfees5453 2 роки тому +3

    Hakuna Show kali kama hio jamaaa Bongo mzimaaa

  • @pascalgodfrey686
    @pascalgodfrey686 9 років тому +23

    Hii show sinto isahau...nilikuwa na jamaa zangu...mimi ndio napeperusha hiyo Flag ya Tz hapo....
    Kipindi hicho clouds media tuliwajambisha vibaya vibaya.......HATARIIIII

  • @ericsamuel2217
    @ericsamuel2217 5 років тому +4

    naikumbuka show hii ilikuwa kali halafu clouds yao ilibuma wakaja kwenye vinega hahahahaaa

  • @sebo552
    @sebo552 13 років тому +4

    This Dude is bad Newz....hahaha,i remember thoz days when Prof J,Mwana FA were waiting on the qua e while the guy banging all over,he really deserves some respect

  • @shyneafya2468
    @shyneafya2468 2 роки тому +4

    bado naicheki show ya sugu 3/6/2022

    • @skulfees5453
      @skulfees5453 2 роки тому

      Me to massive kali sana all the way from kenya

  • @asajilemartine3397
    @asajilemartine3397 2 роки тому +2

    JOGWE the best ever to grace the game

  • @masoudabdillah7668
    @masoudabdillah7668 5 років тому +4

    Mtu wa watu sugu

  • @emmanueljudas4522
    @emmanueljudas4522 4 місяці тому

    Sugu .. moto chini

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 9 років тому +3

    nimemiss sana Vinega movement ...plz guys bring it bana...

  • @AllyMawazo-ve9qc
    @AllyMawazo-ve9qc 5 місяців тому

    2024 hii shw sugu aliua

  • @pascarmwatosya5855
    @pascarmwatosya5855 6 років тому +4

    Safiii sanaaa bonge la shooo

  • @alistairelias536
    @alistairelias536 5 років тому +2

    Sugu alikamua siku hiyo aisee!

  • @RashidMuhunzi-pr5xj
    @RashidMuhunzi-pr5xj 2 місяці тому

    The best legendary

  • @kedyjohn1848
    @kedyjohn1848 4 роки тому +2

    Huu mwamba ni wa hatari mnooo.

  • @thommyocachu165
    @thommyocachu165 4 роки тому +2

    2020 still supporting the movt

  • @hasheemdc8172
    @hasheemdc8172 2 роки тому +1

    Naikumbuka sana hii siku tulienjoy sana kijitonyama

  • @eliasnsimba5976
    @eliasnsimba5976 6 років тому +1

    Noma sana nilikuwepo hapo,hiyo na clauds nao wakaandaa tamasha lao,kulikuwa na beef kali

  • @benjamincharles6137
    @benjamincharles6137 11 років тому +3

    nimeipenda sana hyo ki2

  • @OmariKwihamno-is9st
    @OmariKwihamno-is9st 4 місяці тому

    Ndio nakumbuka ruge alimleta Dmx dar kilichotokea kuleposta aibu

  • @josedickson6804
    @josedickson6804 3 роки тому +1

    Utabaki kuwa legendary

  • @simonnembomadola7512
    @simonnembomadola7512 2 роки тому +1

    Hili Tamasha ilibidi Ruge aombe po

  • @leolaswai2762
    @leolaswai2762 7 років тому +2

    it was real a smash.... ustawi.... vinega mvt.

  • @rizikiist
    @rizikiist 12 років тому +2

    i appreciate antivirus
    keep it up

  • @mandelasamson8401
    @mandelasamson8401 11 місяців тому

    My big rapper ever

  • @issahamis581
    @issahamis581 Рік тому

    izee Sana myhamwezi

  • @FreddyLemapoorme
    @FreddyLemapoorme 8 років тому +2

    yes!!! i was on the floor this day

  • @jamalmakishe4850
    @jamalmakishe4850 22 дні тому

    Was there😅

  • @jonathanmzava1804
    @jonathanmzava1804 2 роки тому +1

    Legend

  • @djbobnas7824
    @djbobnas7824 9 років тому +2

    shidaaa

  • @AllyMawazo-ve9qc
    @AllyMawazo-ve9qc 5 місяців тому

    Hii ndo ilikua beef kweli sasa ant virus na kinega kule ruge na clouds

  • @zinkony
    @zinkony 13 років тому +1

    Maaaaaadddd!! Big up unuself!!!!

  • @ernestlaizer3753
    @ernestlaizer3753 6 років тому +2

    It was really amazing!!

  • @jacobchibulunje7304
    @jacobchibulunje7304 13 років тому +1

    fuull