I'M The Walys from Meru Kenya.Mungu Apokee sifa na utukufu milele,Amekutumia kama chombo chake akanikomboa kwa mambo mengi yaliyonishida.Mungu wa amani azidi kukutia nguvu na kukuonekania pamoja na nyumba yako katika jina takatifu la
Aminaa barikiwa sana pastor Mungu wambinguni akutunze wewe na family yako hakika nimepokea uponyaji wa rohoni maana nimekusikuliza kwa makini sana nikasikia uchungu nimelia sana Mungu atukuzwe kwa wewe
Asante sana mchungaji, ninakuelewa sssana! Kwa ujumbe wako huu umenibariki sana! Umeniongoa mahali fulani kuanzia leo. Ninakukubali sana! Mungu akubariki
Mungu ni wa ajabu sana watu wanasema hilo neno hawalielewagi wanalitamka tu....akati ninaombea watoto hosp wanapona na kuha kushuhudia jinsi Mungu alivowashangaza nami nikijua nipo hosp labda kupitishwa kuombea hawabwatoto Yesu awaponye kisha nirud nyumbani na mtoto ...lkn wangu alikufa ..huyo ndo Mungu tunaemtumikia .....ajisemee mch mbaga hurakuja umelewe Mungu ukamaliza ...achunguziki general conclusion Mungu ni mwema sana..sio kwa jambo linalokufurahisha tu no kwa yote..Mungu ni mwema sana.

YESU KRISTO
Pastor asante sana mungu akujalie maisha marefu
Amen kubwa yenye ushindi pastor
Amen Aman Aman Aman 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Mungu ni mwema kweli kabisa naaza kujinenea maneno mazuri
Amen,tunamshukuru Mungu kwa mahubiri yako.Mungu aendelee kukutumia kuokoa roho zinazoangamia
Amen barikiwa sana mchungaji nmepokea kwa jina la Yesu nmeshukuru sana kwa kunipa tumaini mana nilikua nmefika mwisho
Ni shauku yangu na mimi niweze Kuishinda Dhambi initesayo. Amina pastor Mungu anisaidie
Nimebarikiwa hakika
Aminaa barikiwa sana pastor Mungu wambinguni akutunze wewe na family yako hakika nimepokea uponyaji wa rohoni maana nimekusikuliza kwa makini sana nikasikia uchungu nimelia sana Mungu atukuzwe kwa wewe
Asante sana mchungaji, ninakuelewa sssana! Kwa ujumbe wako huu umenibariki sana! Umeniongoa mahali fulani kuanzia leo. Ninakukubali sana! Mungu akubariki
Amina barikiwa zaidi pastor hakika somo hili limenibariki sana
Hakika pastor barikiwa zaidi mtumishi wa Baba
Amen
Amen nimèbarikiwa sanaa mungu ni mwema
Amen ubarikiwee🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️
Amen... Kwa kweli mahubiri Haya yamenilenga mimi..
Ahsante sana pastor! Hili neno hakika litaponya familia yangu.
Hallelujah nabarikiwa sana Mungu akubariki sana mchungaji
We are blessed much by your preaching God the Almighty saves Mmbaga
Mungu ni wa ajabu sana watu wanasema hilo neno hawalielewagi wanalitamka tu....akati ninaombea watoto hosp wanapona na kuha kushuhudia jinsi Mungu alivowashangaza nami nikijua nipo hosp labda kupitishwa kuombea hawabwatoto Yesu awaponye kisha nirud nyumbani na mtoto ...lkn wangu alikufa ..huyo ndo Mungu tunaemtumikia .....ajisemee mch mbaga hurakuja umelewe Mungu ukamaliza ...achunguziki general conclusion Mungu ni mwema sana..sio kwa jambo linalokufurahisha tu no kwa yote..Mungu ni mwema sana.
Mungu akubariki paster
Mtumishi, mi ombi langu Mungu azidi kukulinda, sana uzidi kutupa maarifa ya kiroho.
God bless you Pastor Mmbaga.You are a blessing to me .
Nawe ubarikiwe kwa uwezo wa mwenyezi mungu amin
Nashukulu sana kwa masomo haya mazuli
Asante Pastor may God bless you alot.
Amen Amen Barikiwa Pastor
Amina tena amina sana
Halleluia glory to Jesus
Amen pastor. Be blessed with your family
God bless you pastor, may the Most High God bless you mightily
Amen
Pr I pray for you so that you may live long to continue bless others like me
Baba ahsante🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
GOD BLESS YOU PASTOR AND YOUR FAMILY YOU BLESSED ME ALOT 🙏🙏🙏
Blessings
Heri kumutumainia mungu kuliko kumutumainia mwanadamu
Asante baba
God bless you pr
Ahsant MTUMISHI kwakuniponya
Amen Amen
AMINA
Mchungaji karibu nyumbani kwetu nakupenda 🙏
Je naweza pata namba ya pastors mbanga
GOD Bless me
Mb baros®️
pastor asante sana na Mungu akubariki.
Amen
Mimi ni ndugu Belo Musafiri toka DRC nashukuru sana kwa fundisho hili lamaana. Ila napitiya changamoto kubwa la uchumi nahitaji msaada wamaombi.
Mungu akutendee muujiza
Pastor ninatamani kuwa na mazungumzo nawe. Ninaitwa eunice niko Mwanza
Wataamu wakunusa!!!
Amina
Naweza je kupata Namba zako WhatsApp pastor
+255 755 932 283
Nashukuru Pastor
Mungu ni mkubwa
Pastor asante sana mungu akujalie maisha marefu
Mimi ni ndugu Belo Musafiri toka DRC nashukuru sana kwa fundisho hili lamaana. Ila napitiya changamoto kubwa la uchumi nahitaji msaada wamaombi.
Amen
Amen
You are really blessing me, man of God bless you
@@violetawinja6002 Amen glory to Jesus
Amen