Nilishangaa San kuona watu wakimkosoa bite.bite alikuwa sahihi mno.martha Hana kauli yoyote kwa huyu binti na inaonekana anasiri zake kubwa sana sio Ndio maana anashindwa ata kumkataza asiseme kitu
Hakuna mtu aliyewahi kushindana na Mungu akaishi maisha ya furaha shetani anaweza kukupa burudani ya mda mfupi alafu akakuchapa kwa mateso ambayo hujawahi kuyapata kwanini kwa sababu anataka kabla hujaijua kweli ufe ili ukamtumikie apate watu wa kuchomwa naye jehanamu Tuendele kuwa karibu na Mungu maana ndiko kuna furaha ya kweli naya milele....
Watu wengi wanamuita huyu bint ni shetan,ndg Zang kunawakati watu ukosea kwel na mungu uwasitir makosa Yao,lakini huyu Binti ni mung kamdhihirisha ili tujifunze kupitia kwake na tumuhurumie na kumuombea nayey arejee ktk usawa na kukiri makosa yake Kwan hata yey shetan anaweza kumtumia Kama wanavyotumiwa binaadam wengin na shetan ktk makosa mengine mfano haya.
yaani huyu anamharibia Matha kipaji chake yaani amemchafulia jina. sijui anaongea nini ? kwani amelewa ? na anaempelekea huo ujumbe ni nani ? na mbona Matha nae kakaa kimya. mhh sijapata kuona type za watu kama hawa.
Kwa imani yangu inaniambia mtoto unasa tabia ya anayemlea kwa asilimia nyingi tu, Asa sitaki kuamini aka katoto hizi tabia karithi kwa Martha ama? ko na Martha anachanganya nyaji na coca 🤣🤣🤣 akitoka hapo wanaturushia wimbo wa kusifu Kristu😂😂🙌🙌 HALLELUJAH
Unatoa vifungu au hadith mana huna reference za mstar kwa bible utakufa vibaya sana wew Dada wew ndo msaliti kwasababu upo nae kalb uyo mwenzio ko apo waongea opposite tuu
Kwani umevuta bangi nyie watanzania mwenye aliwaroga sijui yaani mnavunga sana kumbe ni ushetani kuzia nyimbo za bongo mpaka zagospel yaani giza imefunga kweli kweli bt naomba mungu awasamee wachawii nyinyi
Hawa watu nadhani ni jinsia Moja hawa,waislam atuna utukufu utukufu ni WA mola wetu,ila sisi waislam ndo tutakao wafungulia mlango mbinguni ,wa Kriston mnaleta aibu sana
Huyu Binti Mbona hatakumuangalia tu kavamiwa na mapepo hata kuongea kwake Hakuna mpangilio hata haelemeki anaongea nini yaani anacho kiongea hakina kichwa wala miguu.
Ndg zangu huyu mama hayuko sawa na huyu inavyoonekana hajui lolote kuhusu maandiko na kalewa kwanza,Yaan hebu jaribun kuunganisha mawazo ya kile anachokiongea kama hujamwelewa kama mimi comment hapo😂😂😂
KAAA NIMECHEKA KWELI😆😆😆😆😆. YAANI SHETANI YUKO CHAKAROI KALEWA HADI ANABEUA MIPOMBE LOOO! NA BADO HADI MTARUKWA AKILI MTAVUA NGUO HADHARANI KWA KUCHEZA NA MUNGU
Sio bibi yake alikuwa dada wa kazi sasa kageuza kwake mpaka Martha kashikwa sijui karogwa sijui vipi ila hachomoi kwa hako kapepo katengana na ndugu zake
Hakika Toka nizaliwe sijawahi Kuonana na Shetani Live. Leo ndio Namwona.... Shetani hana Fact Bali anamaelezo tu ya Biblia...
#Bia Tamu
😂😂😂😂😂
Umenichekesha aisee
😂😂😂😂
😂😂😂
Daaaah wew jamaa 😂😂😂😂😂😂
Unajua baada ya yule Beatrice kuongea nliona Kam hayuko sawa ila Baad ya iki ki binti kuongea ndo nimeona kua alikua sahihi ngoja muda uongee
Nilishangaa San kuona watu wakimkosoa bite.bite alikuwa sahihi mno.martha Hana kauli yoyote kwa huyu binti na inaonekana anasiri zake kubwa sana sio Ndio maana anashindwa ata kumkataza asiseme kitu
Wewe siyo Mungu wa kuhukumu!! Mwache Mungu aendelee kukuaibisha!
Jingazzzzzz pumbavu sana. Huyu hana dini ni Shetani mkubwa ndani ya hiyo familia. Una mdomo mchafu kisha na ulevi ju. Mungu atakutosha inshaAllah.
Hathabu ya mwenyezi Mungu ipo juu yako usipo jirekebisha
Tuwe makini sana na watu tunaowakaribisha ktk maisha yetu sio wote wanataka msaada wengine wametumwa
Mwisho unashindwa hata kujitetea
Dah Aiseeh Noma sana Mbn km amelewa iv
Hakuna mtu aliyewahi kushindana na Mungu akaishi maisha ya furaha shetani anaweza kukupa burudani ya mda mfupi alafu akakuchapa kwa mateso ambayo hujawahi kuyapata kwanini kwa sababu anataka kabla hujaijua kweli ufe ili ukamtumikie apate watu wa kuchomwa naye jehanamu Tuendele kuwa karibu na Mungu maana ndiko kuna furaha ya kweli naya milele....
Amen ❤ ooo
Tokeni mtandaoni mkapigie Yesu magoti mkatubu, mfanyike baraka.
Naona maombi yetu anaanza kufanya kazi kashetani aka😢😢
Pole sana dada mungu atawapiganiya jifuze kunyamaza acana nawo hawawezi kuewa
Chezeni na kila kitu na sio imani za watu mtaumbuka
From 🇧🇮 tu meomba sana utoke ku sagana na Martha 😢ukatafute wanaume uko siyo kusagana wanawake ku wanawake
Walai hata sielew anaongea kitu gani najaribu kutafuta point yake sielew pia 😢😢
😂😂😂😂we elewa ty akamkumbatia akambusu 😂😂😂alaf ujui mkumbatiwa na mbusiwa n nani😂😂😂
😂😂😂@@wadantz123
@@wadantz123😂😂😂ila ww
Huyu dada amekalili vifungu vya biblia lakini rohoni amebeba roho mbaya sana. Nadhani ananufaika na elimu duni ya Martha. Roho mbaya sana
ukistaajabu ya Musa utayaona ya Joani wa Matha.
Watu mna maneno jomoooni 😂😂😂
@@MwamvuaKingnakwambia 😂😂😂😂😂😂😂
Mrudie mungu wako hatakusamee,mfungo wa siku tatu huo umeshaanza kutoa majibu hacha kiburi
😂😂😂😂😂pombe siyo maji,aibu tupu kwa joan
Watu wengi wanamuita huyu bint ni shetan,ndg Zang kunawakati watu ukosea kwel na mungu uwasitir makosa Yao,lakini huyu Binti ni mung kamdhihirisha ili tujifunze kupitia kwake na tumuhurumie na kumuombea nayey arejee ktk usawa na kukiri makosa yake Kwan hata yey shetan anaweza kumtumia Kama wanavyotumiwa binaadam wengin na shetan ktk makosa mengine mfano haya.
Kujeni huku kumeanza kuchangamka jamn😂😂😂😂😂😅😅😅
Kwan anaongelea Nini ananichanganyaaa huyu mtt mdg mwenye mdg mchafuuu😮😮😮😮😮😮😮😮😮
Kumbe wadada wakazi wananguvu hivi na mama mwenyenyumba hanakauli mmmmh hii kali
Yaan leo Leah umeitwa Joan daah😢ila ww binty mh😮Yesu simama ulete na ndugu wa huyu mshenzi ili mchezo uishe🤲🙏🏻
Sawa mlevi😂😂😂
Mbona as naangalia angani kila saa au ndio anaita nguvu za kuzimu,Mungu tusaidie
Piga wimbo nani kamwaga pombe yangu😂😂😂
Kwel kabisa nani kamwaga pombe yangu😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Nina rafiki yangu tukikuwa tunakunywa ndo biblia inaanza korwani waarabu biblia wazungu
Atariiii
😂😂😂😂😂nauliza nani kamwaga pombe yangu
Yesu amekamatwa kwa kubusiwa. 😂😂😂😂😂
Kimeumana. No comment 😂😭😂
Mmmm!Sijawahi ona Mungu atusaidie hawa watu tunaowakaribisha kwenye nyumba zetu duuu hatari 😮😮
Kalevi aka kazi yake kufarakanisha ndugu wa mama mmoja kameanza ujinga wake cjui kanahadithia nn 😂😂😂nawe nenda kambusu shetani
Pombe sio chai 😅
Amelewa Sana sana 😢😢
Hatimae leo nimejua mtuwakwanza kufa hapa Dunian ni Abeli hahahahahaha somo limechangamka😂😂
Halafu avyocheua napata harufu ya double kiki😂😂😂😂
😂😂😂🙌🙌🙌🙌
😂😅😅😅😅
😂😂😂😂😂inafka mpaka huko jamoooon😂😂😂
@@VeronicaRugoyi 🤣🤣🤣kwani we hujasikia
😅😅😅😅😅
Kumbe chapombe😂😂😂😂
Jini wa mguu mmoja
Huwezi kumdharau mama ukawa salama
yaani huyu anamharibia Matha kipaji chake yaani amemchafulia jina. sijui anaongea nini ? kwani amelewa ? na anaempelekea huo ujumbe ni nani ? na mbona Matha nae kakaa kimya. mhh sijapata kuona type za watu kama hawa.
Ata kuhubiri ujui
Alafu eti anaimba nyimbo za injili 😮😂
😂😂😂😂😂kasongo yeyeeee😂😂
Mbona anacheuwa kama kalewa
Kwahio martha ni yesu 😂😂😂
Mama mchungaji😄😄😄😄😄
Kwa imani yangu inaniambia mtoto unasa tabia ya anayemlea kwa asilimia nyingi tu, Asa sitaki kuamini aka katoto hizi tabia karithi kwa Martha ama? ko na Martha anachanganya nyaji na coca 🤣🤣🤣 akitoka hapo wanaturushia wimbo wa kusifu Kristu😂😂🙌🙌 HALLELUJAH
😂😂😂😂 kumeanza kuchangamka sasaa😅😅😅
Acha jifananisha Yesu wewe ni mpumbavu mmoja tu kapambane na familia yako acha kua msemaji wa familia za watu
Khaa kidudu Gani hichi 😃😄😄jmn mwana haramu unaponda dini tena mungu walete mashetani live
Mvulamanase hoja yako NI kweli.Huyu ndiyo shetani mwenyewe WA dunia nzima 😢😢
Pole
Mtu wa kwanza kuga duniani ni Abel😂😂
Mbona kama kalewa
Kahaba, umelew, hujui hata neno mbwa kabisaaa huna adabu
Amelewa Sana 😅
Unatoa vifungu au hadith mana huna reference za mstar kwa bible utakufa vibaya sana wew Dada wew ndo msaliti kwasababu upo nae kalb uyo mwenzio ko apo waongea opposite tuu
Dada mlevi twende kwenye point bas ili tuelewe unachoongea wenzio unatuacha njia panda 😂😂😂 apo kwenye hadithi shetani nani
😂😂😂😂😂😂😂 kimemkuta nini huyu jmn😅😅😅😅
Tushawachoka ,,,kila familia ina vita vyake nyie ndo kelele nying 😂,,mtuache
Mh muhubili kalewa😂😂😂
😂😂😂😂😂
Jamani hili NI balaa 😅😅Nyimbo zake na video zifutwe kabisa.chizi msagaji 😢😢 MSAGAJI TU
Mmmmh achia mtoto wa mwenzio shetani ww yatakukuta Kwan malipo hapahapa dunian na ulevi wako huo😂😂
😂😂😂😂😂mtu wa kwanza kufa duniani ni nan....nimechek jmn
Joan si mtoto wake
Kweli Martha una kibarua😂😂Kama huyu ndiye unamwita mrembo wako basi mna safari ndefu.Ulimtoa wapi huyu mlevi Jamani? Duh! Kweli Dunia imefika ukingoni
Mrembo wake😂😂😂😂
@millymilly7244 😂😂😂jamani
Toka kwa maisha ya watu wewe kinembe
Huyu ni mjinga sana huyu mtoto…
amelewa balaa
Kwani umevuta bangi nyie watanzania mwenye aliwaroga sijui yaani mnavunga sana kumbe ni ushetani kuzia nyimbo za bongo mpaka zagospel yaani giza imefunga kweli kweli bt naomba mungu awasamee wachawii nyinyi
Mtumishi wa Mungu 😂 huyu Mungu anaona mengi ya dunia 😢
😅😅😅😅
Na anavokuaga mpole kiuso 😅😅😅😅
Haka kakiphirwa vizuri katakaa sawa😢
Mlevi bhana
Mi sijawai kuona mtu Baki anakua na nguvu hv jaman Yani unakuaje na nguvu Kwa mtu ambae hushei nae damu
Asha mloga mtoto wa watu Martha
Hii ni sauti ya pepo
Mie naona kama umeanza kupata laana ya yule bibi wawatu 😂😂😂😂unaongelea yesu wakati upo tilalila😂😂😂😂
Yani wew unae msifia huyu dada nawe huna akili kama yeye
HUU UTAJIRI MNAOUTAFUTA KWA JINA LA SHETANI HUKU MNAJIFANYA MNAUTAFUTA KWA JINA LA YESU, HAUTOKUACHENI SALAMA NG'OOO.
Duuh kalewa
Hawa watu nadhani ni jinsia Moja hawa,waislam atuna utukufu utukufu ni WA mola wetu,ila sisi waislam ndo tutakao wafungulia mlango mbinguni ,wa Kriston mnaleta aibu sana
Huyu Binti Mbona hatakumuangalia tu kavamiwa na mapepo hata kuongea kwake Hakuna mpangilio hata haelemeki anaongea nini yaani anacho kiongea hakina kichwa wala miguu.
Huyu damu ni kama kichaa ajitambui kbs
Duh naona mlevi ana hubiri injili
Mkiambiwa pombe sio chai muwe mnaelewa ona sasa hii ng'ombe imelewa😆😆😆
SAGAJI HILOOOO,
HIZI DINI ZA MICHONGO😂😂
Nilikuwa cjuwii km shetani ni mshamba ivii aseee da!! 😂😂😂
Yani jmn hili ni pepo tena la kutisha cn
Hii hali alie kwendanae live tu ni kuwa kashadhihirika kuwa ni bonge la shwetani 😂maana kawaka harlequin yupo bwiiiiii😂😂😂😂
Mbona kama chizi hili au macho yangu
Bonahamunamaswari yudandungu wayesu Joan joyuda kajitaja😮😢
Yuda popote ulipo....!!?
Ndg zangu huyu mama hayuko sawa na huyu inavyoonekana hajui lolote kuhusu maandiko na kalewa kwanza,Yaan hebu jaribun kuunganisha mawazo ya kile anachokiongea kama hujamwelewa kama mimi comment hapo😂😂😂
Msiwe mnatupostia Hilo shetan Joan hatuhitaji hata kulisikia saut
😂😂😂😂😂😂😂 comment zenu tu mimi huku nipo hoii
Huyu binti asaidiwe hayuko sawa
Duh kumbe yanayo semwa yana uhakika asilimia kubwa sana
Kumbe unayo na namba yake 😅😅
KAAA NIMECHEKA KWELI😆😆😆😆😆. YAANI SHETANI YUKO CHAKAROI KALEWA HADI ANABEUA MIPOMBE LOOO! NA BADO HADI MTARUKWA AKILI MTAVUA NGUO HADHARANI KWA KUCHEZA NA MUNGU
😂sasa huyu dada tatizo hutaki bibi yako asaidiwe tushuru huwezi ukasema unamaisha mazury wakati bibi yako ana haliduni dubai ukaeda wakati bibiyako ata dara zinashida kununu ujiga kwli
Sio bibi yake alikuwa dada wa kazi sasa kageuza kwake mpaka Martha kashikwa sijui karogwa sijui vipi ila hachomoi kwa hako kapepo katengana na ndugu zake
Mtandanganywa hdi kuna siku mtajuwa kama mnatapeliwa
Yani watu kama hawa wapo
Huyu joan akikaa na chino kid wanatoa remix ya kama tupo bongo man