🚨Kocha Nabi Ainyooshea mikono Yanga,Yanga 4-0 Kaizer,Mashabiki wa Kaizer Timu imekufa.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 21

  • @mmewaswida
    @mmewaswida 2 місяці тому

    Hamjasema jinsi ambavyo baadhi ya key players kama akina Pacome Chama etc walikuwa nje!

  • @HassanIshau-hk7is
    @HassanIshau-hk7is 2 місяці тому +7

    Lakini wachambuzi mnasahu yanga hii hii ndio iliyokaribia kiitoa mamelodi. Na pia kufungwa 2/1na wajerumani. Sasa msiseme kaizer vibonde. Ikaonekana yanga haijafanya kitu lazima tujikubali. Wangefungwa mngeliwasifu kaizer na kuiponda yanga

  • @JELSONMAUKI
    @JELSONMAUKI 2 місяці тому +2

    Aiseeeee YANGA tumefika mbali sana jamani 😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪. Kma kuna kitu nimefanikiwa kwa mpira wa 🇹🇿 ni kuishabikia YANGA 😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚. Ni machozi ya furaha haya 😪😪😪😪🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @stevensosipita
    @stevensosipita 2 місяці тому +1

    WACHAMBUZI WA MCHONGO KWAHIYO KAIZER CHIEFS ILIVYOMPIGA SIMBA 4-0 ILIKUWA MBOVU??AU IMEONEKANA MBOVU BAADA YA KUCHEZA NA YANGA ??

    • @sadih5333
      @sadih5333 2 місяці тому

      What are you talking about? How long between those two matches

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu5767 2 місяці тому +1

    Simba ilifungwa tano nayo ilikuwa ni timu dhaifu?kwanini hamtaki kuwapa credit zao yanga Africa

  • @jumannemagawa5095
    @jumannemagawa5095 2 місяці тому

    Ni ubora wa kikosi cha klabu ya yanga.

  • @alexkakwaya4383
    @alexkakwaya4383 2 місяці тому

    Hivi Yanga ingefungwa na K/Chiefs mngesema Yanga kafungwa na timu dhaifu? Au ndo ile kauli ya nabii hana sifa kwao? Mashabiki wa nje wanaielewa yanga kuliko wenyeji.

  • @lucassusu-q1s
    @lucassusu-q1s 2 місяці тому

    Wewe mchambuzi ni wa hovyo sana umetumia kipimo gani kusema kaiza ni zaifu,ulitaka matokeo yapi ili uappriciate ubora wa yanga

    • @sadih5333
      @sadih5333 2 місяці тому

      Kaizar chief, wenyewe wanasema timu Yao ni dhaifu

  • @AbrahamChengula
    @AbrahamChengula 2 місяці тому

    Hamuwezi kulaa mb za ngu KWA kuto uheshimu MPIRA na timu yangu ya Yanga

  • @AshaShariff-lr6ry
    @AshaShariff-lr6ry 2 місяці тому

    Tarehe 8 ndio mtajua km keizer wa miaka 4 nyuma ndio wale

  • @emmanuelthomas1078
    @emmanuelthomas1078 2 місяці тому

    Huyo mtangazaji ni fala sana eti Nabi ana siku 6 tu! Halijui kama Nabi ana wiki ya tatu sasa!

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 2 місяці тому +1

    YAANI WAANDISHI BWANA ETI?KAIZER CHIEF INAJITAFUTA,UKIISEMA SIMBA HAWASEMI INAJITAFUTA?

    • @musamagulu2023
      @musamagulu2023 2 місяці тому

      Tutawafunga Simba ili wayaone madhaifu yao mapema,watasema Simba dhaifu au wameuza mechi

  • @tumainielmremi7912
    @tumainielmremi7912 2 місяці тому

    YANGA NI TIMU BORA SANA. NINGUMU KUKUBALI HILI LAKINI NDIO UKWELI

  • @babycandycharles7816
    @babycandycharles7816 2 місяці тому

    Mimi nilikuwa naomba iyotimu iliocheza na yanga wanasema zaifu naomba Simba wawalike Simba day nasimba siinatengeza timu hapa hakunakisingizio chatimu zaifu kwasababu kilamtu kasajili nakilamtu yukoligi kuu Sasa mtasemaje zaifu kilatimu ikicheza na yanga nizaifu Sasa wamefata Nini ligikuu unajuwa nashindwa kushaa ukifungwa umefungwa tu usijitetee kwa uzaifu usingecheza ligikuu zaifu wote wameshuka daraja

  • @tumainielmremi7912
    @tumainielmremi7912 2 місяці тому

    WACHAMBUZI WA SIMBA BWANA, MMESAHAU KWAMBA HATA SIMBA ILIPIGWA TANO? NYIE JIPENI MOYO TU.

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 2 місяці тому

    Nyie jizimeni data tu, wote mtakuwa wadhaifu kwa Yangu hii! Mtapigwa kama ngoma kuldadedikooo

  • @JELSONMAUKI
    @JELSONMAUKI 2 місяці тому

    Hyu oruma ni mchambuzi ramli tu 😅😅😅😅

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 2 місяці тому

    MBONA MNAISIFIA SIMBA WAKATI INAJITAFUTA???