🚨Uchambuzi Crownfm,Mazito yaibuka Kauli za kocha Gamondi na Fadlu kuelekea derby,Wanataka Ushindi.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 20

  • @ayoubshehoza
    @ayoubshehoza 7 годин тому

    Happy Tanzania 🇹🇿 sport is grow-up...

  • @tiffan2807
    @tiffan2807 3 години тому

    😂😂😂yangaaaaaa wanajitetea sanaaaa😢😢😢

  • @JohnKayamba-l9v
    @JohnKayamba-l9v 11 годин тому +1

    Simba nguvu moja💪

  • @mazengojohn2090
    @mazengojohn2090 10 годин тому +1

    Sawa wew shambulia

  • @IdrissaJUMA-b1z
    @IdrissaJUMA-b1z 11 годин тому

    Master Gamond on fire

  • @GodwiniFwelo
    @GodwiniFwelo 8 годин тому

    Saiv redio sisikilizi kisa najua mtanange yupo ila dakika hazitoshi

  • @tawakalimankasim82
    @tawakalimankasim82 10 годин тому

    Funguka uje ule kono la nyani MITANO ✋TENA inakuja ukifunguka kolo

  • @GodwiniFwelo
    @GodwiniFwelo 8 годин тому

    Mtanange media dakika mnatupa chache

  • @felixmpamo6990
    @felixmpamo6990 7 годин тому

    mwongo huyu boya eti mwamnyeto ball playing defender 😅😅😅

  • @tawakalimankasim82
    @tawakalimankasim82 10 годин тому

    Wapeni moyo makolo Ila wakifunguka wanakula 5

  • @acariusamos6228
    @acariusamos6228 10 годин тому

    fadilu hiii mechi ndio itakuwa funzo akajifunze pengine siyo kwa yanga

  • @mrishotv5553
    @mrishotv5553 16 годин тому

    Kocha funguka ss tunakuamini

  • @MpajiBakari
    @MpajiBakari 18 годин тому

    Daima mbele nyuma mwik

    • @JohnKayamba-l9v
      @JohnKayamba-l9v 8 годин тому

      @@MpajiBakari Mwiko nyuma ,,ndio unakuja kufuzu kuingia makundi baada ya miaka 25???!!!😄😁😆Eti mwiko nyuma

  • @JohnKayamba-l9v
    @JohnKayamba-l9v 11 годин тому +4

    Ni kama tunataka kufuzu group staj,,yaani ni mwendo wa kushambulia tu na kufunga mabao

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 10 годин тому

      Mtajutaaaaa
      Unakimbiza mwizi na umeacha mlango wazi😂

    • @WilliamHerman-e4r
      @WilliamHerman-e4r 10 годин тому

      Nikweli maana mwanamke ili azae lazima ajiachie kwa hiyo jiachieni mzae

    • @JohnKayamba-l9v
      @JohnKayamba-l9v 8 годин тому

      @@WilliamHerman-e4r hata wewe ulijiachia kwa Ihefu na ukazalishwa

    • @JohnKayamba-l9v
      @JohnKayamba-l9v 8 годин тому

      @@muddymuzungu4357 Mmezoe kukariri,,nyie safari hii ndio mtajuta,,

    • @JohnKayamba-l9v
      @JohnKayamba-l9v 8 годин тому

      @@muddymuzungu4357 Tukutane Taifa tuone mimi na wewe nani ataitwa Majuto