KISA CHA ASWAHABUL-UHDUDU ( WATU WA HADAKI ). SHEIKH KISHK
Вставка
- Опубліковано 15 вер 2024
- Khutba ya Ijumaa ilitolewa na Sheikh Nurdeen Kishk Masjid Ihsaan Maarufu Veternary Temeke Dar es Salaam Tanzania Tarehe 2/7/2010. Mada ikielezea kisa cha watu wa Ashwahabul uhududu watu wa andakini fatilia mada hii hadi mwisho upate kuelimika tunaomba usambaze ujumbe huu na Allah atakulipeni InshaAllah.
Ahsante sheik wetu Allah akujaalie kheri n barka n akupe nguvu yakuopeleka dini y kiislam mbele
Amiin ya Rabbii
Mashaallah Allah akulipe kheri shekhe wetu
Masha Allah Allah akulipe kher
Nimesoma hii sura nikakumbuka kuna mada sijaskiza 😍
MashaAllah sheikh kisa kizuri Allah atujaze elmu ya tauhid ili kuepukana na matatizo na mitihan y kilimwengu
Amiin ya Rabbii
Mashallah Mashallah Mashallah
Maasha alla
Asalaam aleykum warahmatullah wabarakatuh sheikh jazaka Allahu kheri
Subhna Allah Allah Akbar
Mungu amlaze sheikh wetu pema peponi inshallah
MASHALLAH SHEKH KISHKI MAWADHA YAKO YA ZAMANI YALIKUAA MAZURI SANA HATA SASA ILA ZAMANI MASHALLAH
Subhanallah
Jazakallahu khaira 👏👏👏
Mashallah kashaskiza hii mada kwa akasha dawaa
Allah ajaalie kila Zito kuwa jepesi
Leo sisi mtihani kidogo kidog inatupeleka mbiyo Subhna Allah
Tabaraka Allah Sheikh
Manshaallah 🙏🙏
Machaallah
MashaAllah
NAAAAM
Kwani hata china wa Igor Wana mateso Kama hayo wanadhalilishwa kwa sababu ya kuamini tu!