UKAIDI NA VITIMBI VYA BANI ISRAIL. SHEIKH NURDEEN KISHK

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • Khutba ya Ijumaa iliyotolewa na Sheikh Nurdeen Kishk Masjid Ihsaan Veternary Temeke Dar es Salaam Tanzania Tarehe 16/1/ 2009 . Mada ikielezea Ukaidi na Vitimbi vya Baini Israil, Ni Vitimbi gani fatilia mada hii hadi mwisho upate kuelimika,pia tunaomba usambaze ujumbe huu kwa wingi na Allah atawalipeni InshaAllah.

КОМЕНТАРІ • 100

  • @user-ws9ek8dj5n
    @user-ws9ek8dj5n 3 роки тому +12

    Asalaam alleykum warahmatulah wabarakaatuh sifa zote ziende kwa Allah Subhana Wa Ta'ala muumba mbingu na ardhi Rehma na Aman za Mwenyezi Mungu zimshukie mtume wetu kipenzi Mohammad Swalallahu Alleyhi Wasallam Maasha Allah sheikh Mwenyezi Mungu akustiri akupe ujasiri nguvu na umri mrefu tuzidi kunufaika katika mambo ya Dini shukraan jazzakah Allahu kheir barakallahu feekum crew nzima ya #kishkitvonline kwa kila darsa

    • @zainabmaulidi9846
      @zainabmaulidi9846 3 роки тому +4

      Waalykum salam warhamatulh wabarakatuh

    • @user-ws9ek8dj5n
      @user-ws9ek8dj5n 3 роки тому +2

      @@zainabmaulidi9846 za saa hizi habibty umeshindaje?

    • @zainabmaulidi9846
      @zainabmaulidi9846 3 роки тому +2

      @@user-ws9ek8dj5n ALIHAMDULIH ukhty khof kwak

    • @hassanisadiki824
      @hassanisadiki824 3 роки тому +3

      Na Mimi naitaji maombi yako jmn

    • @saay4273
      @saay4273 3 роки тому +3

      waaleykum salam warahmatullah wabarakatuh

  • @nyetaapaul619
    @nyetaapaul619 3 роки тому +11

    Manshallah! Mungu akujalie pepo na waislam wote kwani watufunza mambo yanayozidi kuimarisha imani zetu katika kuielekea dini ya Allah!

  • @matkerahmed2354
    @matkerahmed2354 3 роки тому +5

    M.a sheikh wangu. Mungu akusamehe dhambi wako na sisi pia waislamu

  • @kizamaulidi6004
    @kizamaulidi6004 3 роки тому +6

    Mashaallah allah akuzidishie kheri katika maisha yako amiin

  • @zainabalabry6996
    @zainabalabry6996 3 роки тому +4

    Ma shaa Allah. Laa quwata illa billah

  • @halimaramadhan2975
    @halimaramadhan2975 3 роки тому +4

    Subhanallah...baraka llahu fik sheikh kishk

  • @munaahfarina2934
    @munaahfarina2934 3 роки тому +4

    Allahu akbar lailahailallah ☝️ Mohammad rasullullah 🕋💕🕋💕

  • @saay4273
    @saay4273 3 роки тому +6

    Allah akuhifadhi shekhe wetu

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 3 роки тому +11

    Asaalam Allyakum warhamatulah wabarakatuh sheikh nurdeen kishk ALLAH Akujalie afya njema 🤲🤲 we pamoja na family yak Nakupenda kwaajili ya ALLAH

    • @saay4273
      @saay4273 3 роки тому +2

      waaleykum salam warahmatullah wabarakatuh

    • @Lailal-bg8di
      @Lailal-bg8di 3 роки тому +2

      🤲🤲

    • @user-ws9ek8dj5n
      @user-ws9ek8dj5n 3 роки тому +1

      Wa alleykum salaam warahmatulah wabarakaatuh Amiin ya Rabbil Allamin habibty #ikhilasabubakar

    • @zainabmaulidi9846
      @zainabmaulidi9846 3 роки тому

      @@user-ws9ek8dj5n Amiiin

    • @user-ws9ek8dj5n
      @user-ws9ek8dj5n 3 роки тому

      @@zainabmaulidi9846 amiin ya Rabb habibty

  • @furahandabadugitse2659
    @furahandabadugitse2659 3 роки тому +7

    Shekhe alikuwa bado kijana hapa hata kiremba alivyo funga so young hehehe shekhe shukrn twakupenda kwajili ya allah

  • @saay4273
    @saay4273 3 роки тому +6

    MashaaAllah

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 3 роки тому

    Ma sha allah
    Hapa sheikh bado barobaro
    Hata sauti bado ndogo
    Allah akuruzuku pepo sheikh wetu pamoja na ss wengine

  • @hamisiallymwenda5103
    @hamisiallymwenda5103 3 роки тому +3

    Mashallah

  • @ndayushimiyerungarunga8712
    @ndayushimiyerungarunga8712 3 роки тому +3

    Allah Akbar

  • @RukiaNanjala-v7c
    @RukiaNanjala-v7c 10 місяців тому

    Allah atuepushie mtihani n tuwe wenye kusikia maneno yny imeandikwa kw Quran n maneno y mtume S.A.w

  • @Unkown30476
    @Unkown30476 10 місяців тому

    Subhanallah
    Alhamdulillah
    Allahu Akbar
    La Illaha ila Allah

  • @allympore6328
    @allympore6328 3 роки тому

    Nakuelewaga sana shekhe kishk sizani kama kuna mtu atakuja kutokea japo sijui kuruhani lakini nikukusiliza mungu kuna kitu unaniongezea katika maisha yangu

  • @athumanramadhan6001
    @athumanramadhan6001 3 роки тому

    jazzakallah sheikh kishki from 254 alhamdulillah Allah akuhifadhi na waislam wote....na wasio kuwa waislam Allah awaogoze katika haki

  • @allympore6328
    @allympore6328 3 роки тому

    Mungu akulinde na maadui shekhe kishki na maadui insha alla heri nyingi ziwe juu yako

  • @zainabalabry6996
    @zainabalabry6996 3 роки тому +2

    اللهم آمين

  • @zainabalabry6996
    @zainabalabry6996 3 роки тому +3

    Asalwa ni ndege aliyenona

  • @swaumupaji3623
    @swaumupaji3623 3 роки тому

    Maa shaa Allaah Tabarakallaah Allaah akuhifadhi Sheikh wetu kipenzi

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 10 місяців тому

    Innalladhiinaa amanuu walladhiinaa haddu wannaswaaraa waswabiliina man, amana billah wal, yaumiil akhera wahamilaswaliihan falaum ajruhum indar rabbihim waalaa ghofun alayhim waalaa hum yahzanun. Kumbuka aya hiyo kishki

  • @MariamKanyindo
    @MariamKanyindo 10 місяців тому

    Mashaalla Alla akulpe kheri ishaalla

  • @najmaulaya8819
    @najmaulaya8819 3 роки тому +3

    Natamani hiki kisa kiendelee😍😍😍😍💪😂

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 роки тому

    Maashaa Allah shukraan Sana sheikh wetu jazaka Allah khaira

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 3 роки тому +1

    MASHAALLAH UMENIBARIKI BABA

  • @user-gy8dq1dt3j
    @user-gy8dq1dt3j 11 місяців тому

    Asalam alaykum walahmatullah wabalakatu Allah akuifaz sheh wetu

  • @halimaalimwamajeni6291
    @halimaalimwamajeni6291 3 роки тому +2

    🙏🙏🤲🤲

  • @edge6016
    @edge6016 11 місяців тому +1

    انا احبك في الله يا شيخ جزاك الله خير

  • @ngwanafabian9668
    @ngwanafabian9668 3 роки тому +1

    Shehe Kishki changamka umpokee Yesu kristo moyoni mwako kabla siku za uhai wako hazijaisha ili usijute milele. Yesu ni uzima.

  • @zainabalabry6996
    @zainabalabry6996 3 роки тому +6

    Banii Israel ni Uma bora katika zama zao. Baada ya kuja ummat Mohammad. Sisi ndio umma bora kuliko zote

  • @najmaulaya8819
    @najmaulaya8819 3 роки тому +3

    Saluti

  • @hassanisadiki824
    @hassanisadiki824 3 роки тому +6

    Kama umeyaelewa haya mawaidha ni ya Muda na wakati huo shekh alikuwa na sauti tamu tofauti na Sasa hv kidg umri mkubwa

    • @user-ws9ek8dj5n
      @user-ws9ek8dj5n 3 роки тому

      Kweli kakaangu Mwenyezi Mungu awape umri tuzidi kunufaika katika mambo ya Dini

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 3 роки тому

      Naam kutokea 2009

  • @nasiihusnan9892
    @nasiihusnan9892 3 роки тому

    JazaakAllahu khayran🙏

  • @masimangosaidat1461
    @masimangosaidat1461 3 роки тому +1

    Asallam alaikum warahmatullah wabarakaatuh Alhamdulillah, Allahu akbar

  • @NADUAonlineTV
    @NADUAonlineTV 3 роки тому +2

    usikose kuangalia nadua online tv kupata elimu mbali mbali za tiba ndani ya qur an mitishamba nk

  • @aminajaber9618
    @aminajaber9618 3 роки тому +1

    Shekh hayo mawaidha Niya zamani endele kutuletea mawaidha yazamani tujikumbushe

  • @hamidaissa4769
    @hamidaissa4769 3 роки тому

    Bani israil kweli kiboko pamoja na miujiza yote lakini bado hawakumuamini Mungu nandio laana inayowatafuna mpk sasa hv ,sisi tusiowaona mitume na tumewakubali lakini wao wamewaona Kwa macho na wamewakataa Allah tujaalie mwisho ulio mwema na utufishe hali yakuwa tuko waislamu

  • @aminajaber9618
    @aminajaber9618 3 роки тому +1

    Allahu akbaru

  • @allyiddy9109
    @allyiddy9109 3 роки тому +1

    Kweli Hawa Banu israel
    Hakuna anayewaweza
    isipokua mungu mwenyewe

  • @zuhuramwavyoni1988
    @zuhuramwavyoni1988 3 роки тому

    Subhanallah

  • @mariammuscat4300
    @mariammuscat4300 3 роки тому +1

    Suhbannnalllah

  • @omaar5693
    @omaar5693 3 роки тому +2

    31:03 WHAAT🤔

  • @DifaRobelindo-cj2ij
    @DifaRobelindo-cj2ij 10 місяців тому

    Apo jo waislamu mjuwe kuamba israel ni taifa teule la mungu

  • @JohTemu
    @JohTemu 10 місяців тому

    Kama ni hivyoo kwanini waislamu wote mnataka kuwauwa watakatifu wa allah ,wambieni palestine wawasujudieee

  • @abubakarsadiq8179
    @abubakarsadiq8179 3 роки тому +3

    Masha ALLAH

  • @muhsinautu5626
    @muhsinautu5626 3 роки тому

    Maa shaa Allah

  • @faudhiamanzi8531
    @faudhiamanzi8531 3 роки тому +2

    Masha Allah