Chaki Episode 5

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 88

  • @asinallyKhamis-g7y
    @asinallyKhamis-g7y 5 днів тому +2

    Leo sehemu ya tano imewahii from member

  • @SophyMohammad-s4h
    @SophyMohammad-s4h 6 днів тому +4

    tupo tim gafu🎉🎉

  • @AshaLidu-tx9ns
    @AshaLidu-tx9ns 6 днів тому +3

    Wakwanza Leo kaz nzuri bro 🎉🎉

  • @BenedictoHassani
    @BenedictoHassani 6 днів тому

    Madebe bhna kweli wakusini dololo nimekumbuka mbali sana kipndi sijaenda jandoni

  • @mwajumasaid7306
    @mwajumasaid7306 6 днів тому +1

    Move inafundisha sana hii🎉🎉🎉

  • @MussaRamadhani-q7v
    @MussaRamadhani-q7v 6 днів тому +2

    katika kila kijiji kina mzee asietulia kwake kama bwana Govi daaaah mwamba ni zaid ya askari mpelelezi moment zake 😅😅😅

  • @MasauShida
    @MasauShida 6 днів тому +1

    Kazi nzuri sana Mr. Madebe Lidai🇹🇿

  • @titusmwange4988
    @titusmwange4988 6 днів тому +3

    Kazi safi madebe

  • @johnidama-fd9mz
    @johnidama-fd9mz 6 днів тому +5

    Tunaendelea tulipo ishia

  • @raymondimboywa9698
    @raymondimboywa9698 6 днів тому +5

    Madebe huzeeki babu vitu vinakuja kwa wakati ila shilingi ulituwacha kwenye njia panda

  • @imranhaji-n5t
    @imranhaji-n5t 6 днів тому

    yaaan mm pongez kwako madwbe🎉🎉🎉🎉

  • @yussufseleman8620
    @yussufseleman8620 6 днів тому +2

    Nakubali san kazi yako

  • @SGmamigos-v1j
    @SGmamigos-v1j 6 днів тому +3

    Asanten kwa kutuwaishia kazi❤

  • @FatmaAlly-d5v
    @FatmaAlly-d5v 6 днів тому +2

    Namba 10 hpa nawpenda sana❤❤

  • @frankmwaikambo9784
    @frankmwaikambo9784 6 днів тому +2

    Kazi nzur sana madebe

  • @Hurusla
    @Hurusla 6 днів тому +2

    Team kuchelewa njooni apa😂😂😂

  • @AbduBadru-ch1uw
    @AbduBadru-ch1uw 6 днів тому +3

    Kazi nzuri

  • @ZuhuraSwai-k3k
    @ZuhuraSwai-k3k 6 днів тому +3

    Tupostie nguru bhn

  • @anorldmassawe7048
    @anorldmassawe7048 6 днів тому +2

    Wamwisho kuangalia

  • @JumaKavula
    @JumaKavula 6 днів тому +3

    Chaki iyoooooo

  • @mwenieliasa6517
    @mwenieliasa6517 6 днів тому +3

    Asante madebe❤❤

  • @Batuli97
    @Batuli97 6 днів тому +2

    Duh ila samaki🙌🙌

  • @AnnoyedPeacock-mp7iq
    @AnnoyedPeacock-mp7iq 6 днів тому +2

    Madebe ww ni genius

  • @LonrichDeo
    @LonrichDeo 6 днів тому +3

    Muvi nzuri tatizo mpiga picha ajaitendea ahaki

    • @omarmkali3610
      @omarmkali3610 6 днів тому +1

      Basi nlifkiri ni simu yangu 😂😅 hii movie haiko clear kabisa

    • @AronyNicholy
      @AronyNicholy День тому

      Acheni bangi ingieni settings mbadil quality

  • @chadrackrunogeza3302
    @chadrackrunogeza3302 6 днів тому +2

    Congratulations

  • @ArtistMzalendo
    @ArtistMzalendo 6 днів тому +4

    Good

  • @jumbebinn7898
    @jumbebinn7898 6 днів тому +3

    namba 9 hatari nipeni like zangu chap

  • @kibibiabdalla1451
    @kibibiabdalla1451 6 днів тому +2

    Kazi nzuri❤❤

  • @StephaniaJohn-r1h
    @StephaniaJohn-r1h 6 днів тому +2

    Good job💪💪💪

  • @AminaKajembe-r5i
    @AminaKajembe-r5i 5 днів тому +1

    Aya bado nguru jmn

  • @talentkibindu2800
    @talentkibindu2800 6 днів тому +1

    Chochote ambacho akili ya binadamu kinaweza kuumba na kufikili kinaweza kukamilika pia.

  • @HassaniKiseyu
    @HassaniKiseyu 6 днів тому +2

    kazi nzuri

  • @rasakakaombwe
    @rasakakaombwe 4 дні тому

    Nakubali sana madebe

  • @mayaashassan3918
    @mayaashassan3918 День тому

    Chaki kama Chaki imekuja vizuri😂😂

  • @AmoniMhile
    @AmoniMhile 6 днів тому +1

    ...movie bado haijakolea..sio madebe yule!...

  • @samsonmwagala7315
    @samsonmwagala7315 5 днів тому

    quality ya video n mbaya MALI media

  • @DatBoyKujo8656
    @DatBoyKujo8656 6 днів тому +2

    Congratulations to everyone who was included on this 🔥🔥🔥

  • @RukhKhan-x2s
    @RukhKhan-x2s 6 днів тому +3

    Mimi nime wahi leo nipe like🎉🎉😵🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @SalminiMaulidi-o1r
    @SalminiMaulidi-o1r 6 днів тому

    Mm niseme ukweli anachoniuzi madebe kutoa muvi nyingi kwawakati Mmoja sijui niiweke ipi kichwani kwangu unakuta muvi kibao zipo nusu nusu

  • @abasilihundu200
    @abasilihundu200 6 днів тому

    Movie za Madebe nazipenda ila wakati mwingine huwa naangalia tu bila kuelewa 😃😃😃😃

  • @GerishonKaristus-u9s
    @GerishonKaristus-u9s 6 днів тому +3

    Namba one nipeni like hapa

  • @MwanshambaKipanga
    @MwanshambaKipanga 5 днів тому

    Ni fire

  • @habibuabuu9609
    @habibuabuu9609 6 днів тому

    Itakapo ishiya Sasa mnajuwa wenyewe

  • @rashidgona1808
    @rashidgona1808 5 днів тому

    Madebe anataka ushauri Kwa mkewe ili moyo wake uridhike,, ingekuwa wewe ndo mke ungempea ushauri gan mmeo kama amekufumania😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @AlainByamasu-sl2yb
    @AlainByamasu-sl2yb 6 днів тому +1

    chaki inazidi kunoga jamani

  • @LaizerSalumu
    @LaizerSalumu 6 днів тому +2

    ❤❤❤🎉🎉

  • @BenedictoHassani
    @BenedictoHassani 6 днів тому

    ivimunajuwa maana ya dololo

  • @ibrahimrashid7017
    @ibrahimrashid7017 6 днів тому +1

    Makkah tunawapata

  • @mwenieliasa6517
    @mwenieliasa6517 6 днів тому +18

    Jamani team gulf mkuje hapa tupoteze mawazo😢

  • @zamzamMaulidi-q8s
    @zamzamMaulidi-q8s День тому

    Uislam haujaacha kitu unasema ukizini mke wa mwenzako na wako analiwa hata kwa nyuma ya ukuta ataliwa tu hii inafundisha kuogopa mke wa mtu na ndugu za watu mana ukitenda utatendewa tu na babu mzee tafuta kizee mwenzako wa saizi yake hii inafunza wengi wenye akili zao na ufaham sahihi

  • @shaffiyngajima3630
    @shaffiyngajima3630 6 днів тому +4

    Mtoni 1 team Lidai🎉

  • @MuhammadMazrui
    @MuhammadMazrui 5 днів тому

    Kama wewe hujafika kwenu basi vitu vyako vimefika By Madebe Lidai

  • @AlmaamiryMohammed-m4c
    @AlmaamiryMohammed-m4c 6 днів тому +1

    🇦🇪

  • @omymsomal8922
    @omymsomal8922 6 днів тому

    Chaki

  • @athumaniashimu1568
    @athumaniashimu1568 День тому

    Camera inaonyesh mawingu2

  • @Mrpasakaonline70
    @Mrpasakaonline70 6 днів тому +3

    Kamesha changamka sasa like ZENU hapa❤

  • @blaisekadhafi3559
    @blaisekadhafi3559 4 дні тому

    Madebe kwa nini Doligumba ayupo kweny hii movie????

  • @PatrickTz-e9y
    @PatrickTz-e9y 5 днів тому

    𝐓𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐧𝐚𝐚𝐧𝐠𝐚𝐥𝐢𝐚 𝐦𝐨𝐯𝐢𝐞 𝐲𝐚 𝐜𝐡𝐚𝐤𝐢 𝐬𝐢𝐣𝐚𝐞𝐥𝐞𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐭𝐮 𝐧𝐚 𝐦𝐨𝐯𝐢𝐞 𝐳𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐳𝐨𝐭𝐞 𝐳𝐚 𝐦𝐚𝐝𝐞𝐛𝐞 𝐧𝐚𝐳𝐢𝐞𝐥𝐞𝐰𝐚 𝐝𝐮𝐮𝐡! 𝐧𝐢𝐦𝐞𝐲𝐚𝐭𝐨𝐚 𝐦𝐨𝐲𝐨𝐧𝐢😁

    • @EdwardCiza
      @EdwardCiza 5 днів тому

      Madebe anajua lugha ya kiswahili ana misamiati mikali san

  • @InnohKidy
    @InnohKidy 5 днів тому

    Kazi safi madebe

  • @OswardGaudence-gn4lo
    @OswardGaudence-gn4lo 5 днів тому

    Kazi nzuri