Hawa kenge wamekua waongo sana. Fanyeni uchunguzi shuhuda nyingi ndani ya myezi hii ya karibuni zinatokewa na waha au warundi wanaojifanya wanatoka kigoma. Na ushuhuda wao ni uongo mtupu kueni makini hawa kenge watawanyoosheni
Huyu mzee Maono Yake ni ya Uwongo maana hayafanani na neno la Mungu. Hayo maono bila shaka amepewa na ibilisi.. soma 2wakorinto 11:14, na 1yohana 4:1-5.. Watu wengi mnaamini sana story za ibilisi bila kulinganisha na Biblia hii ni shida kubwa
Ukweli usiopingika,abishaye aendelee kubisha
Kweli
Safi Mr dm
Tunafaa kukaa watu wa MUNGU tupendane na si chuki maana hii dunia tunapita tu 😢
Mimi naamini baba
Davista, mbona huandiki ni part ya ngapi? Tunachanganyikiwa
Hii ni ya tatu br
Malaya sio wanawake peke mpaka wanaume
Hawa kenge wamekua waongo sana. Fanyeni uchunguzi shuhuda nyingi ndani ya myezi hii ya karibuni zinatokewa na waha au warundi wanaojifanya wanatoka kigoma. Na ushuhuda wao ni uongo mtupu kueni makini hawa kenge watawanyoosheni
Duuuuh
MUNGU akusamehe
Huyu mzee Maono Yake ni ya Uwongo maana hayafanani na neno la Mungu. Hayo maono bila shaka amepewa na ibilisi.. soma 2wakorinto 11:14, na 1yohana 4:1-5.. Watu wengi mnaamini sana story za ibilisi bila kulinganisha na Biblia hii ni shida kubwa
MUNGU akusamehee 😢
Umemsikiliza vizuri mapito ya maisha yake? Au unampinga tuu? Mfano mimi binafsi nikisimulia nilopitia huto elewa
Ki vipi?
Mpinga kilisto hawezi kuelewa Wana wa mungu TU ndo wanaelewa hizi shuhuda mungu akusamehe