Kumng'oa Amaleki katika nchi | Mfungo Day 2 | 16.12.2021

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 40

  • @charlesshilla9740
    @charlesshilla9740 2 роки тому +2

    Hayo mafundisho nayakubali, ni mazuri sana ubarikiwe sana

  • @barryhezron2764
    @barryhezron2764 2 роки тому +1

    Chanzo Cha Imani yangu,uishi milele Jasusi la Mbinguni,Dude la Mbinguni Bwana akutende mema wakati wote pamoja na uzao wako,unamuwakilisha christo vyema,no one like u Jasusi la Mbinguni,najiona mwenye Neeema isiyo yakawaida kupata mafundisho yako, asante Yesu kwakutupatia zawadi hii🙏🙏🙏

  • @jpmgwama6960
    @jpmgwama6960 2 роки тому +2

    Namkubali sana huyu Askofu anamaono makubwa

  • @witnesmakishe9396
    @witnesmakishe9396 2 роки тому +2

    Ameen Mungu azidi kukutunza mtumishi wa Bwana.

  • @noeliman357
    @noeliman357 2 роки тому +1

    thank you pastor gwajima for heaven education

  • @bisimwankuru9895
    @bisimwankuru9895 2 роки тому

    Kwa kweli baba yangu. MUNGU Akubariki, unajua mahubiri yako inanisaidiaka Sana, wakati naitia ki matendo hakika napata majibu. Karibu kwetu BUKAVU Drc. Amena.

  • @Kisaboleonards
    @Kisaboleonards 2 роки тому +1

    Wewe ni zaidi ya ufunuo wamaisha yangu,🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @godfreymsembe169
    @godfreymsembe169 2 роки тому

    Nashukuru sana umenipigisha hatu kubwa sana baba yangu

  • @emmanuelbepar6490
    @emmanuelbepar6490 2 роки тому +1

    Umefunua siri nzito sana, uko deep sana Bishop

  • @josephkiwanga9023
    @josephkiwanga9023 2 роки тому +1

    The best Bishop in the world. kweli kuna nguvu ya rohoni inay
    ofanya kazi mwilini nabarikiwa na some hili.

  • @gracekisaka8461
    @gracekisaka8461 Рік тому

    Ameeen..Injili hii is very strong. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu .

  • @franksam5848
    @franksam5848 2 роки тому +2

    Baba maneno yako ni dhahabu kwa atakaye yaelewa na kuyatenda nafurahi uwepo wako kwangu.

  • @chiefkibona7309
    @chiefkibona7309 2 роки тому +2

    Strong very strong subject 💪..GOD should keep using you as his vessel.

  • @augustabisetsa5007
    @augustabisetsa5007 2 роки тому +2

    Baba , naomba uchemke Kama mwanzo , warudi misukule,majeneza yafumuke, , dunia itikisike

  • @LadouceurTony
    @LadouceurTony 2 роки тому +4

    Amen amen 🙏 baba
    Be blessed

  • @subirachristopher4526
    @subirachristopher4526 2 роки тому

    mim ni mtoto wako sana.
    ni mwanao mno.
    umenilea sana Ht km hujui.
    nakupenda baba sana

  • @andrewchioni9366
    @andrewchioni9366 2 роки тому +1

    you are to strong man of God

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 11 місяців тому

    Amina kubwa Baba

  • @Christvoicechannel
    @Christvoicechannel 2 роки тому +1

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 2 роки тому +1

    Ameeeeeeeeeeen nimekuelewa baba

  • @kareemfundumemewamagari6161
    @kareemfundumemewamagari6161 9 місяців тому

    BABA unibariki

  • @jema1232
    @jema1232 2 роки тому +2

    Amen baba

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 2 роки тому +1

    Umeongea kwa hekima tumekuelewa sana ni saa ya ufunuo na uzima

  • @lucykawala5174
    @lucykawala5174 Рік тому

    He he he nimeelewa Sasa mtumishi wa MUUMBA aliye ndani yako pia Yuko ndani yangu

  • @godfreymsembe169
    @godfreymsembe169 Рік тому

    Amen Amen Amen

  • @pendosamson7202
    @pendosamson7202 2 роки тому +1

    EMEN EMEN DADY

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 2 роки тому +2

    Naona sasa umehamua kutumwagia siri zote

  • @HabilyTech
    @HabilyTech 2 роки тому +2

    Somo hili limenivusha mahari pakubwa mno

  • @anettekandole8335
    @anettekandole8335 2 роки тому +1

    Amen 🙏

  • @Patience.67
    @Patience.67 2 роки тому +1

    Ameeen

  • @maggyindeche327
    @maggyindeche327 2 роки тому

    True

  • @pendosamson7202
    @pendosamson7202 2 роки тому

    🙏🏻🙏🏻🙏🏻🦶🏼

  • @deokimali626
    @deokimali626 2 роки тому +2

    Jasusi la mbinguni

  • @lispafulgence9983
    @lispafulgence9983 2 роки тому +2

    Somo zur sana

  • @RoseKimishabhalemi-oz9bn
    @RoseKimishabhalemi-oz9bn 10 місяців тому

    Tuombe Mungu wetu false amani

  • @gilbertwanje
    @gilbertwanje 2 роки тому +1

    Amen🇰🇪

  • @tynellykivembela4980
    @tynellykivembela4980 2 роки тому +1

    Nakukubar nabii

  • @nicolaus4088
    @nicolaus4088 Рік тому

    Karbunjombee

  • @prince.eric_msemwa9732
    @prince.eric_msemwa9732 2 роки тому

    Hellow people of God...