Kupitia nyimbo zako nabarikiwa ktk wasanii ninaotamani kuonana nao live ni ww kaka walter nyimbo zako zimefanyika baraka kubwa sana ktk maisha yangu toka BSS mpk leo sauti yako aijawahi chujaaa.....zidi barikiwa kila iitwapo leo walter🙏🙏🙏
Wimbo umeugusa Moyo wangu..Usifiwe MSALABA, Lisiwe KABURI linalozidi yote, Asifiwe MWOKOZI...Ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU. BWANA YESU azidi kukuinua kwa viwango vingine vya juu na ROHO MTAKATIFU akufunulie mafunuo mapya katika kuujenga Mwili wa KRISTO kwa njia ya nyimbo zako ili tumuabudu MUNGU katika Roho na Kweli. Amen
Mm nimekufwatilia sana tokea BSS Walter in fact umechagua fungu lililo jema kumuimbia Mungu thawabu yake ni kubwa mno brother Huyu Yesu unaemtaja atakuinua daima na watu watashangaa
Chilambo kila ninapo msikia anaimba uwa unitoa seemu moja kunipeleka seemu nyingine Ubarikiwe sana kaka one day I wish kuimba na wewe unacho kiimba kina wafanya wengi wamjuwe bwana ninani love music in god we pray
mziki wako hauhitaji kick wala promo kubwa BALI unaenda wenyewe na tunabarikiwa watu Hakika nabarikiwa sana na nyimbo unapoimba God bless you My Brother Chilambo
NAKUMBUKA AHADI YAKO KUWA KILA IJUMAA KITU KIPYA KINAZALIWA, NAMI NAKUOMBEA MUNGU AENDELEE KUKUPANDISHA VIWANGO VINGINE KATIKA HUDUMA HIYO YA UIMBAJI, KEEP ON THE SON OF GOD
Oh my God...I just found about this song today and i cant stop my tears down my cheeks as i play and sing along the lyrics. May God bless you and continue to fill you Walter with new and spirit filled songs to minister to souls... Glory to God...
Wimbo una upako mwingi sana. Unaingia moyoni na kukaa hapo. My song for the day and the rest of the year. Glory to God and more blessings to you my brother Chilambo.
What a Song🥺🙌♥️so anointed... Bro this is moreee🙌♥️you blessed to bless us...I feel the presence of God every evening after coming from college through listen to this all way back hostel... it's my oxygen. My silence prayer♥️♥️
Tu es un vrai adorateur!!! Dieu soit loué pour sa belle créature que tu es, j'aime toutes tes chansons du fond du coeur! Que soient bénies les entrailles qui vous ont porté
Subscribe for brand new music alerts!🔥
ua-cam.com/users/WalterChilambo
Msalaba kwa wanaopotea ni uupuuzi Bali kwetu ni nguvu ya msamahaa content brooo🙏🙏🙏🙏
Already subscribed
Ok
A good reminder! May God really bless you Walter
@@barkyrendee5826 Asantee
Ambaotunarudi nyimbo hiii mara ya 10 gonga like twende saw
Nani amebarikiwa kama mimi??
Like kama upo
Tunao barikiwa na nyimbo za huyu mtumishi wa MUNGU tujuane ha
Wanobarikiwa na hii song tupite na like
Kupitia nyimbo zako nabarikiwa ktk wasanii ninaotamani kuonana nao live ni ww kaka walter nyimbo zako zimefanyika baraka kubwa sana ktk maisha yangu toka BSS mpk leo sauti yako aijawahi chujaaa.....zidi barikiwa kila iitwapo leo walter🙏🙏🙏
_Amen, Asante sana_
We appreciate you Walter.
If there's anyone else who appreciate him place a Like❤️❤️❤️
Thanks for the love 🙏🔥
Mungu azidi kukupa maisha marefu tupate kusikia neno lake linalotangazwa nawe kakangu 🥰
Amen
Wimbo umeugusa Moyo wangu..Usifiwe MSALABA, Lisiwe KABURI linalozidi yote, Asifiwe MWOKOZI...Ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU. BWANA YESU azidi kukuinua kwa viwango vingine vya juu na ROHO MTAKATIFU akufunulie mafunuo mapya katika kuujenga Mwili wa KRISTO kwa njia ya nyimbo zako ili tumuabudu MUNGU katika Roho na Kweli. Amen
Amen🙏
Hey, another blessing coming my way. Naingoja sana kutoka hapa Kenya Bro. Chilambo.
Asante
Mziki wake Walter wafanya vizuri sana hapa kenya.
#Kwa kalvari
Kazi njema San ahsee
Asanteee sana🙏🙏
Rehema yako iwe juu yangu Bwana
Mm nimekufwatilia sana tokea BSS Walter in fact umechagua fungu lililo jema kumuimbia Mungu thawabu yake ni kubwa mno brother Huyu Yesu unaemtaja atakuinua daima na watu watashangaa
Amen🙏
Si kwamba nakulinganisha na wasanii wengine ,but you never disappoint .
Your a promising musician to your fans.
CHILAMBO DAAA MUNGUBABA AENDELEE KUKULINDA UNAJUA MNO MNO
Huu wimbo huwa naurudia mara mbil mbil love you Walter chilambo💝💝
Chilambo kila ninapo msikia anaimba uwa unitoa seemu moja kunipeleka seemu nyingine
Ubarikiwe sana kaka one day I wish kuimba na wewe unacho kiimba kina wafanya wengi wamjuwe bwana ninani love music in god we pray
Amen, Mungu atawezesha ilo
Rehema bure na neema
Namuona Yesu katika wimbo huu.
Ahsante Yesu kwa kazi ya msalaba 🙏🙏
Amen, Thank you
Brother i get back to God through yua songs Asante sana yesu kupitia wewe @walterchilambo 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Asante sana, Mungu akubariki
I thank God kupata wimbo kama huu unaosifia Bwana wetu Yesu ..Dhabihu tosha ya kalvari
Aisee wewe mkaka una nyimbo nzuri sana, nabarikiwa sana na nyimbo zako. Amazing voice, nice song, GLORY BE TO THE LORD..! AMEN
Amen, Thank you
Ameen.🙏🙏
Yote mema bro namshukuru MUNGU kwaajili yako ila MUNGU azidi kukutunza niendelee nijifunza kupitia wew🔥🎶
Amen, Asanteee
Wooow Ubarikiwe Mno Mtumishi 🙏🙏
Najua hutaamini Walter ila nyimbo zako ndio ringtones zangu....nimefurahi kupata sasa ringtone mpya!.. Unafanya mziki mzuri dear, Mungu akuzidishie🙏🙏
Nimepata nguvu sana kuskia hivo. God bless u🙏
@@WalterChilambo am your biggest fan from Kenya!.. Napenda Sana nymbo zako ...
Wanaomkubali Walter like zote hapa
.💖
mziki wako hauhitaji kick wala promo kubwa BALI unaenda wenyewe na tunabarikiwa watu Hakika nabarikiwa sana na nyimbo unapoimba God bless you My Brother Chilambo
Ubarikiwe sana mtu wa Mungu. The song is soothing and healing
NAKUMBUKA AHADI YAKO KUWA KILA IJUMAA KITU KIPYA KINAZALIWA, NAMI NAKUOMBEA MUNGU AENDELEE KUKUPANDISHA VIWANGO VINGINE KATIKA HUDUMA HIYO YA UIMBAJI, KEEP ON THE SON OF GOD
Amen, Asante sana.. Mungu akubariki
This is my favorite songs for ever ,sauti ntulivu ,na neema za juu Uganda twafuatilia
Walter mungu akubariki saana 🙏🙏 unaweza Sana ubalikiwe ,eumbo uko 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏
Asante Sana Mtumish Wa Bwana Wimbo huu umejaa nguvu za Mungu🌹🌹😭😭
Amen, Asante🙏
Great music bro. Your songs bless me every time I listen to them. Let our gracious God Bless you abundantly
Oh my God...I just found about this song today and i cant stop my tears down my cheeks as i play and sing along the lyrics.
May God bless you and continue to fill you Walter with new and spirit filled songs to minister to souls...
Glory to God...
Wimbo una upako mwingi sana. Unaingia moyoni na kukaa hapo. My song for the day and the rest of the year. Glory to God and more blessings to you my brother Chilambo.
Wow, Thank you.. God bless you🙏
Ahaaa kumbe kuna jipya ten
Yn nashindwa nisemaje nimejiskia furaha ya ajabu sana
Asante sana Viv🙏
Nabarikiwa sana nikiwa hapa Nairobi Kenya. Barikiwa sana Chilambo.
Nceee My broo kazi nzuri
Mungu akubariki🙏
Rehema bure na neema,
Samaha nalo nilipewa,
Ndipo aliponifungua
Msalabani.
God thanks your grace and forgiveness
Thank you🙏🙏
Nice kaka chilambo. Ni Kwa kalvari!
Mob love here in East Africa kenya......bro keep on blessing us ...u are going somewhere
Thank you. Amen 🙏
At Calvary we are pardoned. Every devil's yoke is broken by God's grace through Jesus Christ
Tuna ngoja mzigooooooo
Naiwait bro angusha kitu
Baraka Tele ,, more Blessings
Amen, thank you
Kutoka kenya can't wait
Asante sana
Be blessed mtumishi,, unanibariki snaaa kwa nyimbi zko
Asanteee
Nilikuwa chini sana...only to get to my notifications nakupokea Baraka kubwa...najua yote yaliisha kalvarini na niko huru 🙌🏽❤
Ubarikiwe mno kaka👏👏👏
Amen, asantee.... God bless u
@@WalterChilambo Amina🙏
Da mnatutesa sana achia basi
Wimbo mzuri.... ssnaaa
Walter Chilambo wewe ni Mwanamuziki wangu bora wa Gospel wa nyakati hizi. Mwenyezi Mungu azidi kukutumia nawe ukazidi kumtumikia.
Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 you never disappoint I bless the lord for your life God's master piece
Thank you
Am blessed sir... This is sooo touching 🔥🔥🔥
Walter mdogo wangu sijui niseme nini ila ombi langu kwa Mungu azidi kukuinua viwango vya juu. Kwa Kalvari nimefutiwa dhambi. Barikiwa
Amen, Asante
Kutoka Kenya your stonge fun and upcoming gospel artist waiting for new release #mr Claudio k
Jina la Bwana lihimidiwe ❤️❤️
Song with Swahili caption
Congratz Walter
#LoveMusicBrand
#LMBfilms
Woooooow
Penda sana #Calvari
#Gabbygospel
Rehema bure na neema samaha nalo nilipewa kwa KALVARY🙏🙏🙏🙏
waiting broo
Your songs are really touching brother...keep the fire burning
What a Song🥺🙌♥️so anointed... Bro this is moreee🙌♥️you blessed to bless us...I feel the presence of God every evening after coming from college through listen to this all way back hostel... it's my oxygen. My silence prayer♥️♥️
Naomba collabo siku moja tumuimbie yesu
Amen
Tu es un vrai adorateur!!! Dieu soit loué pour sa belle créature que tu es, j'aime toutes tes chansons du fond du coeur! Que soient bénies les entrailles qui vous ont porté
We are waiting for This 🙏
Where was i surely during this blessing song ....Iam right here to see you doing the best of all and succeed in Jesus name
Amen.. Thank you very much🙏🙏
Mercy there was great and grace was free
pardon there was multiplied to me
ooh my burdened soul found liberty at Calvary!!
I can’t wait 💕🤞
Napenda your songs sana
Feeling blessed from msa Kenya ....requesting your collabo with Our Guardian Angel kenya
Yote kwa Yesu namtolea 🙏💞 kwa kalvari
🙏🙏
Let's give this bro a million views..love from kenya
Yes, yessss... thank you. Much love🙏🔥
Sijutii kuwa shabiki Yako🙌🤩, Mungu azidi kukubariki🙏
Amen, Asante🙏
Hakika nami cjutii kuwa shabiki yako waltar chilambo ❤️❤️❤️🥰🥰🥰love you so much
Powerful I love it🔥🔥🔥🔥
Yo my favorite❤️🙏🏽Mungu Azid kukubarik Kwa ajili yetu🙏🏽
Amen, Asante saana
Cant wait
nice song kaka hngera
Am feeling blessed.Great and awesome music . Likes kwa wale tumeskiza a million times.
💯✔️
Napata nguvu sana kwa hii comment
God bless you, najihisi kufunguliwa nkisia nyimbo zako💖💖
Asantee 🙏
Nice piece 👍.God bless love from kenya
Amen, Thank u
Nice song my role model...I like your music...am from Mombasa Kenya upcoming gospel artist pia..
Exactly. 💥💥
Mungu akubariki sana kwa huduma yako..
Dudeee🔥🔥🔥
🙌
Mungu akubariki kwa nyimbo nzuri
Amen🙏🙏
I can't get enough of this song,I guess am listening to it ,the 100 th time. God bless you and take you to higher heights.
Amen, thank you very much 🙏
Be blessed in calvary where He died for the sake of our sins.....much love from Kenya....
Amen... Kwa kalvari tume fanywa kuwa huru.... Masikitiko na uzuni zetu akatubebea yesu..... Barikiwa mtumishi wa Mungu.
Imenifikia nikiwa Uganda,,🇺🇬🇺🇬 , ujumbe mzito, mistari ya ujejekevu, "Asante"
Asante sana.. Karibu 🙏
Mungu akuinue zaid na zaid🙏🙏🙏
Amen
Aiseeeh hii kazi kubwa Sana mzee wangu💥💥💥
Asante sana🙏
Rehema Bure na Neema what a wonderful and uplifting song may God bless you .
Amen
Jambo Kaka🥰🥰
Ndungu yangu Bing up sn mungu akubariki sn
Yo a blessing to the world papa #MunguAkuhifadhi || Nahisi ni uweponi na moyo wangu wahudumiwa 🙏
Amen.. that's my mission 🙏🙏🔥
@@WalterChilambo #From254 with Love || Nakuombea
Vocal za huyu jamaa ni noma sana...
😊
Blessed sana mtumishi
Kaka unanibariki sana,naomba Mungu anikutanishe nawe hata japo kwa dakika🙏🙏
Asante 🙏
Mungu aibariki kazi ya mikono yako
Amen 🙏
Am always fail to imagine how greatness
YOU were born talented 🇹🇿😍😍😍😍😍
✝️🛐🙏🙏🙏🙏🙏🎸🎸🎸🎸