It's a healing to my peace of mind and soul knowing my god is enough despite my limitations.. God bless you much brother Walter 🙏 this was right in time👏👏❤️❤️
Tunatakiwa kukupa support kubwa maana unafanya kazi nzuri kwa bidii .....ni maombi yangu Mungu akuinue kwenye viwango vya juu zaidi Msiache ku subscribe, share na like
Pekee yako Yesu unatosha...🔥your songs are those that changes lives ...may u live longer to bless us....in a dark world u brighten it...More grace....baraka tele...from Only you to Inatosha...
Amina! Hata kwangu Ni sawa tu Bora Niko nawe Mungu,,,Sauti yako tu inatosha...Barikiweni ndugu zangu Ambwene na Walter kwa wimbo mzuri.Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Water Sasa naenda kukufatilia vizuri kabisa kakaang huu wimbo ni mzuri Sana barikiwa na umefanya vizur kuimba na mtumishi wa MUngu ambwene nyimbo za abwene hazijawahi kuchukua moyoni mwangu mubarikiwe Sana sana
Ooow my God Walter the holy spirit is really worshipping in you....the words are so deep man of God...Mungu akuinue zaidi....I tap the anointing...... I'm inviting you to my wedding
Lovely song actually the message talk to my situation right now is just an inspirational and touching message ooh much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💖💖 your always my favourite artist chilambo 💖🇰🇪💥💥💕🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏
Nyimbo hii imenibariki. Naeza isikiliza na kuirudilia... Mungu awabariki sana. Mungu azidi kuongeza upako kwa ajili ya kazi hii mnayomfanyia. Uwepo wa Mungu naufeel. Ninyi kuimba pamija iliakua 👌👌👌.
Yoeli 2:17-19 (KJV) Hao makuhani, wahudumu wa Bwana, na walie Kati ya patakatifu na madhabahu, Na waseme, Uwaachilie watu wako, Ee Bwana, Wala usiutoe urithi wako upate aibu, Hata mataifa watawale juu yao; Kwani waseme kati ya watu, Yuko wapi Mungu wao? Hapo ndipo Bwana alipoona wivu kwa ajili ya nchi yake, akawahurumia watu wake. Bwana akajibu, akawaambia watu wake; Tazameni, nitawaletea nafaka, na divai, na mafuta, nanyi mtashiba kwa vitu hivyo; wala sitawafanya tena kuwa aibu kati ya mataifa;
When you put your focus on the cross, when you learn how to listen to the Voice of Truth.. It doesn't matter how many false words the enemy will utter to you.. Because only the LORD'S WORD IS THE WAY, THE TRUTH,AND LIFE. AMEN. Lord teach me how to listen only to you. IJCN~AMEN
There’s always something unique with walters song’s that you feel God’s presence deep when you listen to them…God continue using you my brother to another levels for blessing us with such good messages in your song
Subscribe and be part of my journey❣: ua-cam.com/users/WalterChilambo
I'm part of your journey 😎
@@GuillainByamsofficial thank you 🙏🏿
@@GuillainByamsofficial mmpmpp..mp p p p p00 p pm.llmp
You're the best Walter
hongera kubwa sana
Finally this beautiful piece is out, I hope you all enjoy as much I did creating it
It's a healing to my peace of mind and soul knowing my god is enough despite my limitations.. God bless you much brother Walter 🙏 this was right in time👏👏❤️❤️
Exactly 💯 I enjoy it
You're amazing,, you've got favour from God
Kila siku nauckiliza na sichoki..nyimbo zako zote nzuriii hakika Mungu anakutumia..natamani siku moja uwe mwalimu wangu wa sauti nitafurahi sana🙏
Am blessed it has deep words ,
Asante kwa kutunza huduma Mungu amekupa . Baraka tele
Amina kaka zangu mbarikiwe mno nawapenda kazi njema Dana Walter inuka uangaze
Ameeen, Asante sana kwa comment yako mama. Ni baraka kubwa sana kwangu. Mungu akubariki 🙏🏿
💥💥💥💥💥Fire sana ,best Collaboration kwa mwaka huu,Big up sana Walter Vs Ambwene mtaalamu mkongwe,Hakika tunaenjoy music
Asante sana
Yan nyimbo zako nazan unazipata ukiwa mlimani ubarikiwe sana kaka angu Mungu azidi kukuhifadhi kweny mbawa zake🙏🙏🙏🙏
Amen, Asante sana🙏🏿🙏🏿
Tunatakiwa kukupa support kubwa maana unafanya kazi nzuri kwa bidii .....ni maombi yangu Mungu akuinue kwenye viwango vya juu zaidi
Msiache ku subscribe, share na like
Asantee 😊,. Barikiwa 🙏🏿
Pekee yako Yesu unatosha...🔥your songs are those that changes lives ...may u live longer to bless us....in a dark world u brighten it...More grace....baraka tele...from Only you to Inatosha...
Asanteee sana Soph, Barikiwa 🙏🏿🙏🏿
Walter usiache kukaa karibu na Mungu ili upate mafunuo zaid, umemshirikisha mtu sahihi kabisa. Mungu awabariki sana
Ameen, Asante sana 🙏🏿🙏🏿
Unazidi kuwa Imara Kwa Imani
Kwa Kasi ya Ajabu 💚💚💚💚📌
Asante sana... 😘
Upendo wako unatosha bwana🔥🔥🔥Tunabarikiwa na wimbo wako hapa Kenya
Asante sana , Mungu awabariki 🙏🏿🙏🏿
Good Melody iko pale unamshirikisha MUNGU katika utunzi kazi njema Sana brother
So proud of you! Mungu azidi ukuinua Chilambo! Unaimba vzr sana na nyimbo zako zinanibariki sana.
Asante sana Amani🙏🏿
@@kennedylushasi3748 Amen, Asante sana
Hongeren kwa nyimbo nzur
Good job God bless you with many inspiring song you are a blessing
Yeeees!! niliweza tambua sauti yake Ambwene katika verse Inayosema ' bwana Mungu akamwita Adamu...' powerful colabo👏 waiting right here💯
Thanks so much, the video is finally out
@@WalterChilambo have received it right on time. God continually bless your work
Kazi Ni njema Mr.uko vizuri mnooo.
Hakika Hata waseme vibaya daiwa Wakusifiwa ni Mungu tu.
Amen
Good .....already....100k views .....Mungu aendelee Kuwa nawe......Nice Song.....
Ameeen, thanksssss 🙏🏿🔥💯
Sauti yako Baba inatosha Mungu awabariki saan
Amen, asante sana
Hakuna ukamilifu wala utoshelevu bila Mungu,Unatosha peke yako Bwana ☺️
Jamani sijui nisemeje ila huu wimbo mzuri Sana na umenibariki Sana mungu awatie nguvu katika kazi ya kumtumikia bwana👏👏👏
Ameeen, Asante sana kwa maneno mazuri 🙏🏿
Sauti yako mpangilio wa maneno vinanifanya niwe nasikiliza nyimbo zako nakupenda zaidi akzi zako.......Pekee yako Mungu unatosha
Amen. Barikiwa 🙏🏿
Chilambo kma uwongo Mungu aendeleee kukutumia San kma cyo ww tulikuw tutafut maembe wote kule lusungo MUNGU akutunze
Asantee
Amina! Hata kwangu Ni sawa tu Bora Niko nawe Mungu,,,Sauti yako tu inatosha...Barikiweni ndugu zangu Ambwene na Walter kwa wimbo mzuri.Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Thank you so much... God bless you
@@WalterChilambo AMEN 🙏
Mungu akubariki sana nyimbo nzur Sana nimebarikiwa peke yako unatosha
Ameeen, Asante sana 🙏🏿🔥
Amen and Amen powerful message hallelujah be blessed am blessed am happy for you keep it up 🔥🔥🔥🧎♂️🧎♂️🙏🏻🙏🏻
Ameeen, yes I Will 🙏🏿🙏🏿🔥
Water Sasa naenda kukufatilia vizuri kabisa kakaang huu wimbo ni mzuri Sana barikiwa na umefanya vizur kuimba na mtumishi wa MUngu ambwene nyimbo za abwene hazijawahi kuchukua moyoni mwangu mubarikiwe Sana sana
Ameeen, asantee sana. Mungu akubariki sana
Sauti yko inatosha maishani mwangu ukiongea nami kila cku ehee MUNGU wangu
Ooow my God Walter the holy spirit is really worshipping in you....the words are so deep man of God...Mungu akuinue zaidi....I tap the anointing...... I'm inviting you to my wedding
Thank you... Bless you 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Waiting brother for this song video
The video is now available. welcome
Mi ni shabiki mkubwa wa Ambwene Mwasongwe, asee kaupiga mwingi
Asantee sana na karibu 🙏🏿
La kusena sina zaidi ya Mungu awabariki Watumishi wa Mungu.🙏
Amen, ilo ni zaidi ya yote🙏🏿🙏🏿
Siishi kuusikiliza huu wimbo umenibariki mno,Mungu akuinue zaidi kaka Walter
Amen, Asante sana 🙏🏿
Huna dharau kaka water mungu awape nguvu
Wimbo na Video yake vyote ni 🔥 Shukran 🙏
Asanteee.. barikiwa 🙏🏿🙏🏿💯
Mtumishi nabarikiwa sana na uduma yako Mungu akuinue zaid utangaze fadhili zake daima
Ameeen, Asante sana
Sauti ya Bwana inatosha zingine makelele ❤️🥺
Yeaaah 🙏🏿
Kabisa
Lovely song actually the message talk to my situation right now is just an inspirational and touching message ooh much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💖💖 your always my favourite artist chilambo 💖🇰🇪💥💥💕🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏
Esther mutua 🇰🇪 🇰🇪🇦🇺 represented really well...isn't he just amazing? 💘💘
@@tweetybird3278 💖💖💖💖
@@esthermutua1287 ❤💘💘💘💘💘💘💘💘
Thank youuuu... I'm blessed to hear this words🙏🏿🙏🏿
@@tweetybird3278 Asante sana jamani 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Mafundi wawili 🔥🔥🔥
Yeah
Sifa na utukufu kwa MUNGU
Amen
Mungu azidi kuwainua
Nyimbo hii imenibariki. Naeza isikiliza na kuirudilia... Mungu awabariki sana. Mungu azidi kuongeza upako kwa ajili ya kazi hii mnayomfanyia. Uwepo wa Mungu naufeel. Ninyi kuimba pamija iliakua 👌👌👌.
Ameeen, Mungu akubariki sana. Ujumbe mzuri sana 🙏🏿🙏🏿💯
Inatosha nikiwa nawee ooooh hallelujah!!!
Amen... Inatosha nikiwa na Mungu wangu 🙏🏿🙏🏿
This song is going to have 100k views by Monday
☑️☑️
Ubarikiwe kwa Wimbo mzuri Sana nakukubali mtumishi
Amen, Asante sana 🙏🏿🔥
Ambwene!!!!! Ujumbe mzto
🔥🔥
Mbarikiwe San saut ya YESU inatosha🙏🙏
Inatosha 🙏🏿🙏🏿
My favorite singers ...Mungu azidi kuwatunza♥️🙏
Amen. Mungu akubariki sana 🙏🏿🙏🏿
Walter chilambo hii ngoma imenibqriki.Nilikua nmevunjwa moyo lakini mungu ni mkuu
Asantee na pole sana, Mungu akaujenge upya, Bora kuliko mwanzo
Jamani ambwene tangu utoto wangu nakupenda unaimba kwakumaanisha na upako mungu akuweke sana sauti imejaa upako aneni
🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🔥🔥🔥
Good melody, good voice, good music
Aminia Sana God bless you 💯
Amen, Asante sana 🙏🏿🙏🏿
Exactly
My challenge sooon,❣️❤️❤️
Wow
Napenda nyimbo zako walter hunibariki mno...hakika ni Mungu pekee yake anatutosha...Baraka tele
Amen, Anatosha
Wakali wakuimba kaka zangu mungu hawatuze kabisa mnanibaliki mnooooo
Amen mungu azidi kuwalinda mtupe mziki mzurii❤❤nimebarikiwa... Mateso yametosha.
Yoeli 2:17-19 (KJV) Hao makuhani, wahudumu wa Bwana, na walie Kati ya patakatifu na madhabahu, Na waseme, Uwaachilie watu wako, Ee Bwana, Wala usiutoe urithi wako upate aibu, Hata mataifa watawale juu yao; Kwani waseme kati ya watu, Yuko wapi Mungu wao?
Hapo ndipo Bwana alipoona wivu kwa ajili ya nchi yake, akawahurumia watu wake.
Bwana akajibu, akawaambia watu wake; Tazameni, nitawaletea nafaka, na divai, na mafuta, nanyi mtashiba kwa vitu hivyo; wala sitawafanya tena kuwa aibu kati ya mataifa;
Ambwene I love you
🙏🏿🙏🏿🙏🏿🔥
MUNGU wa mbinguni azidi kukubariki nguvu ya ROHO MTAKATIFU IKO HAPA
Amen, Asante sana
Proud of you my brother. A very powerful song.
My mornings always starts with your uplifting music😍
Inatosha🙏🙏🙏
Thanks so much. God bless you 🙏🏿
Mubarikiwe kaka zngu mungu awatumie awezavyo kufkisha ujumbe katka ulimwengu huuu,👏👏
Ameeen
Amen kwangu ni sawa Bwana mm naskia neno lako tu very nice melody 🥰🥰🥰🙏🙏🙏
Amen, thank you 🙏🏿🙏🏿
Ninabarikiwa sana waimbaji wote niaowapenda kuimba pamoja.Barikiweni sana.
I am hire I cant hide
Ameen, Thank youuu
@@WalterChilambo Amen nashukuru
Kazi safi kweli! Neema zaidi!
Amen, Asante
Barikiwen sasa watumishi wa Mungu,, nawapenda sanaaa
Ameeen, Asante 🙏🏿🙏🏿
Thank brother good message (inatosha)
You're welcome
Tumikeni katika roho nakweli MUNGU ata walipa kulingana na fadhilizake mbarikiwe kwa utumishi mwema. Ninawapenda.
Ameeen, Asante sana kwa upendo 🙏🏿🙏🏿
Thanks God from wc inatoshaaaa baba
Inatoshaa
Heaven is rejoicing.....💯
Amen🙏🏿🙏🏿
When you put your focus on the cross, when you learn how to listen to the Voice of Truth.. It doesn't matter how many false words the enemy will utter to you.. Because only the LORD'S WORD IS THE WAY, THE TRUTH,AND LIFE. AMEN. Lord teach me how to listen only to you. IJCN~AMEN
Amen
@@WalterChilambo Mwenyezi Mungu akubariki sana.
Nawa kubali sana ,kazi ya MUNGU isonge mbele
Ameeen 🙏🏿🙏🏿
Oooo yes! Mbarikiwe kwa huduma jmn
Ameen 🙏🏿🙏🏿
This is an other blessing for today, yaani inatosha...
Asante sana... Inatosha
Anointed singing
Amen
Kazi nzuri, hongera sana kaka.
Asante
May the voice of GOD be louder in my life ( and the life of my loved ones ) than the voice of the devil. Asanteni sana watumishi tumebarikiwa
Amen, Asante sana
Pekeako unatosha Bwana 🔥🔥🔥🔥🔥
Pekee yake anatosha
Kaka nimependa
Asante ndugu yangu 🙏🏿
Balikiwa kaka kwa nyimbo nzur pamoja na mtumishi ambwene mungu aendelee kukutumia kwa viwango vya juu nimebalikiwa sanaa🙏🙏🙏
Mungu ni mkuu. Amen, asantee kwa ujumbe wako mzuri
wema na fadhili za Mungu zitanifuata siku zote za maisha yangu.
Amen ❣️🙏🏿❣️
Ameen. Ameen unatosha Mungu wangu hakuna zaidi yako
Ameeen
Mtukuze Yesu brother mpaka shetani izimie mtegemee yeye
Yessss
nikiskia sauti yake inatosha hata huku Kenya🙏🏾🙏🏾
Inatosha
Na barikiwa Sanaa nanyi kwa uimbaji wenu wenye unyenyekevu
Ameeen, Asante sana 🙏🏿🙏🏿
Hujawahi kudissapoint. Barikiwa sana mtumishi. Kazi nzuri sana
Asantee sana 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Fund chilambo akiwa na fundi mkongwe
Yeaaaaaaaa🔥🔥
Wow! I Love the way you Love Jesus!
Be blessed mtumishi endelea kufanya kazi ya Mungu
Ameeen. Thank you so much 🙏🏿🙏🏿
When my favorite meet hakika MUNGU amewaweka Ili kupitia ninyi tuzidi kumtukuza yeye mbarikiwe Sana🥰🙏
Ameeeeen, Asante sana 🙏🏿🙏🏿
Mbalikiwe sana kwa huduma hii nice 👍 song
Amen, Thanks
Mungu anao watumishi ambao amejisazia kwa ajili ya kazi yake, I learnt alot from you, God bless you
Congratulations bro"s
Thank youuuu 🙏🏿
Waaaaah 😭😭😭😭
Inatosha kweli. Sauti ya Mungu tosha mubarikiwe watumishi wa Mungu
Ameeen, Asantee
MUNGU akubarik sana mtumish, unajua mpaka bas, umebarkiwa mno.
Nice kaka angu huu wimbo Goodmusic.
Thanks
Kz nzr watumishi wa Mungu! Mungu aendelee kuwainua sana.
Amen, Asante sana
God you are enough❤️🙏
Mungu awabariki sana kwa wimbo mzuri
Ameeen, Asante sana 🙏🏿🙏🏿
God bless you guys mnafanya kazi poa
Amen, asante sana
Sauti yak ikiongey na mim inatosha I'm from Burundi
Inatosha, welcome
Asante sana na wewe tumeipenda saana uku kwetu Burundi
Such an inspiration song hongeren
Asante sana
Le'me wait for video
The video is now out & waiting for you
There’s always something unique with walters song’s that you feel God’s presence deep when you listen to them…God continue using you my brother to another levels for blessing us with such good messages in your song
Amen, thank you so much..
Amen 🙏🙏 indeed inatosha nikiwa na mungu. Nyimbo nzuri kaka.
Asante sana 🙏🏿🙏🏿
Unatosha 🙏🙏🙏🙏, wow amazing and touching song. Always doing great job 👏👏
Thanks
Nice song📝❤️🥳
Thank you
♥️♥️song be bless brothers