BREAKING NEWS: WALIOTUMWA NA 'AFANDE' WAFIKISHWA KORTINI, WASOMEWA MASHTAKA MAWILI WAYANAKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Watu wanne wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefiksihwa mahakamani na kusomewa mashktaka mawili.
    Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Dodoma na kusomewa mashtaka ya kubaka kwa kikundi (gang rape) na kumwingilia kinyume na maumbile binti ambaye hakutajwa jina lake mahakamani.
    Akizungumza na waandishi wa habari nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania mkoani Dodoma, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Mashtaka Makao Makuu, Renatus Mkude amesema vijana hao wamekana mashtaka hayo na kutokana na unyeti wa shauri hilo wataendelea kuwa mahabusu.
    Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia Mwananchi

КОМЕНТАРІ • 22

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 29 днів тому +1

    Siyo wanine waribaka watano mpaka wana simba wana baka watoto

  • @KareemDully
    @KareemDully 29 днів тому +2

    Ata wakikana bc tushabaini kua walifanya maana video watu wanazo na sura zinaonekana. Kinachofata ni kumjua tu aliewatuma

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 27 днів тому

    Ajira za undugunization.

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 29 днів тому

    Wanakana nini wapingwe risasitu wafe

  • @Maryam-s6e
    @Maryam-s6e 29 днів тому

    Upwiru umewaponza

  • @FintanFelix-z6c
    @FintanFelix-z6c 28 днів тому

    Tunamtaka uyo afande

  • @user-cx7rh6jt6y
    @user-cx7rh6jt6y 29 днів тому

    Wanne tena jmn mara watano sijui tuelewe lip

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 29 днів тому

    Wanakana wakati video za kitendo kichafu walizokuwa walifanya zipo mashetani Hawa sukuma ndani wakaozee jela

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 29 днів тому

    Makolo mnashindwa kutongoza hamujiamini mpaka munaenda kubaka watoto wandongo

  • @AminaHasan-n6l
    @AminaHasan-n6l 29 днів тому

    Sura zimewakauka kama nini

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 29 днів тому

    Walikua watano kwenye video yumeon leo wanne ache kukumbatia waalifu

  • @user-lk9rh5xp4u
    @user-lk9rh5xp4u 29 днів тому

    Watakiona sasa

  • @user-se4tm2bw2b
    @user-se4tm2bw2b 29 днів тому

    Atuna aja na jina sisi maana tunamjua tayari Shelia ifate mkondo

  • @juliethzeramula4518
    @juliethzeramula4518 29 днів тому

    Na askari aliyewatuma aoneshwe

  • @Malaikah.channel
    @Malaikah.channel 29 днів тому

    Si walisikia utamu sasa WANASIKIA UCHUNGU.

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 29 днів тому

    Tunamtaka na huyo afande tumuone

  • @KareemDully
    @KareemDully 29 днів тому

    Jaman mlioona hiyo video tunaomba mtuambie je ndo hao kweli waliokuwa kwenye video

  • @CalistarLucas
    @CalistarLucas 29 днів тому

    Kwanza Mimi kwa mtazamo wangu ... Hapa ni Bora muaonyeshe kwa picha za wazi mbona wengine mnatuonyesha vipi Hawa 😢😢

  • @Neematitus-hs1cb
    @Neematitus-hs1cb 29 днів тому

    Wajinga sana hao