Leo nimeuskiza huu wimbo Kwa majonzi Sana.. Ndio nikaamua kumpa mungu moyo wangu . Sikuwahi fikiria nitaacha anasa za dunia na kutulia. Ila Leo nimeamini kua hakna kisichowezekana..😘 Sifa zangu zikawe manukato kwako. Nipokee ewe baba🥺
@Totoh sio Mungu pekeake alie guswa na hii coment yako,na sisi binadamu wenzako tunakupongeza sana hakika hautajutia huu uamuzi uliofanya Mungu akutunze 🙏
Niambie utakalo Bwana nipe nguvu ya kushinda majaribu nakuitaji maishani mwangu naitataji mkono wako niongozwe na wewe Bwana kimbilio msaada wa karibu Amen Hallelujah Amen 🙏🙏 May the name of the Lord be highly lifted up Amen
Ooh Bwana Yesu ninakuhitaji maishani mwangu Yesu Usiponisaidia ni nani mwingine Patakatifu pako, hapo ndipo nahitaji Mahali paa maana, juu ya yote Katika mikono yako mimi najiweka, nizungukwe mimi na uwepo wako Niambie utakalo Bwana Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu Nakuhitaji Bwana maishani mwangu Niambie utakalo Bwana Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu Nakuhitaji Bwana maishani mwangu Ninachohitaji nikufurahisha roho yako Wewe rafiki mwema uliyenipenda. Kwa ajili yako Yesu sisi tumekombolewa Kuwa na wewe Yesu yashinda yote Ninachohitaji Yesu nikufurahisha roho yako Wewe rafiki mwema unaytuipenda. Kwa ajili yako Yesu sisi tumekombolewa Kuwa na wewe Yesu yashinda yote Niambie utakalo Bwana Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu Nakuhitaji Bwana maishani mwangu Niambie utakalo Bwana Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu Nakuhitaji Bwana maishani mwangu Oh Yesu, Neno lako lasema siku moja katika utukufu wako Yazidi miaka elfu duniani Yesu nisaidie kuwa katika utukufu wako siku zote za maisha yangu Nahitaji mkono wako Niongozwe na wewe Bwana Kimbilio msaada wa karibu, ni wewe ni wewe. ni wewe. Nahitaji mkono wako Niongozwe na wewe Bwana Kimbilio msaada wa karibu, ni wewe ni wewe. ni wewe. Nahitaji mkono wako Niongozwe na wewe Bwana Kimbilio msaada wa karibu, ni wewe ni wewe. ni wewe. Niambie utakalo Bwana Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu Nakuhitaji Bwana maishani mwangu
Majaribu hayana budi kuja sio kwamba hakupendi ila kuna kipindi Mungu anaruhusu magumu kwetu ili kutupima imani zetu. Futa machozi omba toba mshukuru Mungu hata kwa uzima wako ni ushuhuda tosha. My prayers are with you japo sijui unapitia nini
My favourite song God here I come back crying on my knees, I am not worthy but be my strength Ooho Lord guide me to the end of 2024 let thy see your wonders
Am here subscribed juu ya Nakuhitaji weeeeh this song has carried me towards 2024 I cried a lot with the funeral you sang it at and cried for God to hear me thanks may God give you more powerful songs like nakuhitaji❤❤
This song really uplifts my spirit,Being a Kenyan in Lebanon with current bombings,I still have Faith God is merciful. May The Lord restore peace in this country 🙏🙏
This will always be my ringtone. I was involved in a tragic accident that killed my two friends and left my other friend crippled. I happened to survive. Nilikua nimeweka hii ngoma tukicrash.We crashed while listening to this song. God spoke to me through this song. Im crushed completely. Im hurt beyond repair. I feel like i need someone to talk to... hii song imenisaidia sana. Im breaking down writing this. Mungu saidia watu wako. Premature death itoke tu dunia hii. I can't speak enough. Mungu awabariki.
Seigneur jésus christ fait moi cette grâce mon Dieu moi je suis briser plusieurs fois faites moi la grâce d'être aunoreux un jour pour que je chante gloire à ton saint nom❤
Wale walio walio barikiwa na huu wimbo tunapo enda kufunga mwaka weka like hapo plz
Wale WA 2024 piga Lik hapa mpaka shetani ashangae umevukaje.mana huumwaka nikuongea na yesu mwenyewe Aliye tuvusha💪
🙏🙏
still a blessing
😊Qqqqqqq❤qqqq QA wanna as all what all
God has real being faithful kwetuu
Still a blessing
Nani mwengine anabarikiwa na huu wimbo till now nov 2024😊❤??
2023 mpo 🙏🙏
starting 2024
Nipee nguvu ya kushda majaribu Yesu
Nakuhitaji bwana
maishani mwangu😊
Who is still blessed by this song in August 2024? The Holy Presence of GOD is the best place to be.
Here
October 2024
Here am!...
2024 and I still love listening and singing along to this song.
Who else loves it?
Me
Strength me , 🫂
Me
Still here in may 2024
Here I am
Wale wako hapa 2024🙏🙏🙌
Amen
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amen
Wale ambao bado tunaview huu wimbo kwa mwaka 2023 weka like hapa👏🙏
Kama unaisoma hii comment leo piga like hapa❤
I feel good listening to this song
@@pastorhelly2624 it's really a nice song
Nice ❤
Weka like moja.halafu tuzidi kumfurahisha bwana wetu yesu kwanjia ya maombi🧎🧎
wale wa kurivist ,,,,,,gather here
2024 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 am here. Lord I desire to be Holy for you're Holy.
Who is still there in 2024 enjoying God's favour and restoration.
May HE who liveth above protect everyone ❤♥️❣️🎶🛐
Amen
Amen
huu wimbo unanipa imani na kunipa nguvu.
Tanzania 🇹🇿 like 👍 hapa
❤
Wale ambao Bado tunbalikiwa na wimbo huu mwaka 2023 gonga comment hapo
Barikiwa zaidi 🙏🙏🙏😥
Niambie utakalo Bwana, nipe nguvu ya kushinda majaribu 2024,nakuhitaji BWANA maishani mwangu. 🙏
Nipe nguvu ya kushinda Majaribu
2025Amen💯
2023 and I'm still here..this song gives me strength
❤same 🙏
Me too👋
Same ❤
Same
Same 🙏
Who is listening 🎧 2024
Here
Here
Me😂😂🎉
Mungu niondolee uvimbe na unipatie watoto na mimi niitwe mama
Utaitwa mama katika jina la Yesu
@@WambohMuriithiamen dear
Mungu atajibu
Leo nimeuskiza huu wimbo Kwa majonzi Sana..
Ndio nikaamua kumpa mungu moyo wangu .
Sikuwahi fikiria nitaacha anasa za dunia na kutulia.
Ila Leo nimeamini kua hakna kisichowezekana..😘
Sifa zangu zikawe manukato kwako.
Nipokee ewe baba🥺
Amina shikilia Yesu mpaka mwisho dada
Welcome to the kingdom of our Father LORD JESUS may he give you grace to maintain wokovu
@Totoh sio Mungu pekeake alie guswa na hii coment yako,na sisi binadamu wenzako tunakupongeza sana hakika hautajutia huu uamuzi uliofanya Mungu akutunze 🙏
Amen,may the Lord sustain you in Jesus name.
Amen 🙏🙏 kwa YESU kuna raha isiyokua na mwisho
❤❤ 2023/ dec / 23. patakatifu pako hapo ndipo naitaji . mahali pa maana ju yayote. 🎉😊
Who is here this December?
Zidi kunipa nguvu Bwana,nakuhitaji Bwana maishani mwangu
if you are listening to this may our heavenly father answer your prayers in Jesus name
You too
@@bonifacegitari2276 amen
Amen
Amen
Amen
If you're listening to this song this year 2023 , you're Blessed beyond measures.
Nitie nguvu mungu wangu nishinde nguvu ya madui wangu . Mungu nakuiji Jehovah nishinde Vita hizi za madui
Nipe nguvu Yesu
Who else keeps on listening to this master peace ❤
As I crossover 2024..tafadhali Bwana niambie utakalo ,nipee nguvu ya kushinda majaribu..hili ni lombi langu..
Isaiah 1:18-20.
Niambie utakalo Bwana nipe nguvu ya kushinda majaribu nakuitaji maishani mwangu naitataji mkono wako niongozwe na wewe Bwana kimbilio msaada wa karibu
Amen Hallelujah Amen 🙏🙏 May the name of the Lord be highly lifted up Amen
Eee mwenyezi mungu naomba unipe nguvu ya kushinda haya majalibu yesu
This song' is a masterpiece. Kenyans here,drop your likes❤
nipe nguvu ya kushinda majaribio YESU........
Ni nguvu ya kushinda majaribio (YESU)
Umebarikiwa sana Mtumishi katika KRISTO YESU 🙏🙏
Familia iliyobarikiwa poleni sana
Tunawapenda😢
Like nying kwa mnawakubali zabron singers
Ooh Bwana Yesu ninakuhitaji maishani mwangu
Yesu Usiponisaidia ni nani mwingine
Patakatifu pako, hapo ndipo nahitaji
Mahali paa maana, juu ya yote
Katika mikono yako mimi najiweka,
nizungukwe mimi na uwepo wako
Niambie utakalo Bwana
Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu
Nakuhitaji Bwana maishani mwangu
Niambie utakalo Bwana
Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu
Nakuhitaji Bwana maishani mwangu
Ninachohitaji nikufurahisha roho yako
Wewe rafiki mwema uliyenipenda.
Kwa ajili yako Yesu sisi tumekombolewa
Kuwa na wewe Yesu yashinda yote
Ninachohitaji Yesu nikufurahisha roho yako
Wewe rafiki mwema unaytuipenda.
Kwa ajili yako Yesu sisi tumekombolewa
Kuwa na wewe Yesu yashinda yote
Niambie utakalo Bwana
Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu
Nakuhitaji Bwana maishani mwangu
Niambie utakalo Bwana
Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu
Nakuhitaji Bwana maishani mwangu
Oh Yesu,
Neno lako lasema siku moja katika utukufu wako
Yazidi miaka elfu duniani
Yesu nisaidie kuwa katika utukufu wako
siku zote za maisha yangu
Nahitaji mkono wako
Niongozwe na wewe Bwana
Kimbilio msaada wa karibu,
ni wewe ni wewe. ni wewe.
Nahitaji mkono wako
Niongozwe na wewe Bwana
Kimbilio msaada wa karibu,
ni wewe ni wewe. ni wewe.
Nahitaji mkono wako
Niongozwe na wewe Bwana
Kimbilio msaada wa karibu,
ni wewe ni wewe. ni wewe.
Niambie utakalo Bwana
Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu
Nakuhitaji Bwana maishani mwangu
Ni wewe mungu.sina mwingine toka utotoni!mbona ukaruhusu haya yote kwangu?unanijaza ndugu yangu,naitagi mungu aniambie kwa usingizi wangu leo
Majaribu hayana budi kuja sio kwamba hakupendi ila kuna kipindi Mungu anaruhusu magumu kwetu ili kutupima imani zetu. Futa machozi omba toba mshukuru Mungu hata kwa uzima wako ni ushuhuda tosha. My prayers are with you japo sijui unapitia nini
Am still here 2023 piga like patakatifu pako hapo dipo nahitaji 🎶🎶🎶this song never get old
Viewers wa 2023 tuko wapi, 😊😊😊 barikiwa sana mtumishi wa mungu
november 2024❤nipe nguvu ya kushinda majaribubYESU
nakutahitaji Bwana maishani mwangu
Napo ndipo nahitaji😭
God,I need you in my life 2024💐
Hakika wimbo ni wa rohoni kwelikweli
Niambie utakalo bwana ,niko tayari kuifanya mungu,nitume niko tayari mungu wangu nitaenda 🙏🙏🙏
I hope those disliking the song were looking for the LIKE button. Great song, hakika ninachohitaji Yesu ni kufurahisha moyo wako.
Asante nambalikiwa na hii wimbo kila siku ❤❤❤❤❤❤❤
My favourite song God here I come back crying on my knees, I am not worthy but be my strength Ooho Lord guide me to the end of 2024 let thy see your wonders
Amen 🙏
Asante sana Yesu rafiki yangu mwema unayetupenda🥰🙏
Wow uu wimbo umenitia nguvu ❤❤❤❤❤
2024 and the song is still a blessing.To God be the glory 🙏
2024 nipe nguv ya kushinda majalibu yesu
In this difficult time in my life nakuhitahi yesu
Naupenda sana huu wimbo.
What I can say to the almighty.....is just Amen to all he is doing to may life
Am here subscribed juu ya Nakuhitaji weeeeh this song has carried me towards 2024 I cried a lot with the funeral you sang it at and cried for God to hear me thanks may God give you more powerful songs like nakuhitaji❤❤
Wale bado tunaview this song 2020 gonga like...
Aa
Niko hapa 9.9.2020
Niko 👍👍👍👊
Nipenguvu yakushinda majaribuuu yesa
@@sosmanumbu837 yesu sio yesa😎😎😎
Am I the only one here in December 2020 ka hujashikwa na corona tangu ivamie ulimwengu gonga tu like kwa kua mungu anatupenda sana 🙏🏾
God is very faithful this far.
Ninataka watoto Yesu
Hallelujah 🙏🏽 nisaidie Mungu nahitaji mkono wako uniongoze maisha yangu
2024 and the song sounds fresh... Wapi likes
2023 na bado tuko hapa! This song wow!
Wale wa 2025 mbarikiwe.
Amen 🙏
Amen
Wimbo huu wanifariji mm sana Amen
All we need is Christ .
This song really uplifts my spirit,Being a Kenyan in Lebanon with current bombings,I still have Faith God is merciful. May The Lord restore peace in this country 🙏🙏
Still listening to this beautiful music in 2024 August 🙏🙏🙏🙏🙏
Who is hear 2024😢 ❤1:07
Am here❤
December, 2024 Glory be to the most high.❤
Still here in 2024
The song is so amazing and inspiring to my soul. May God's will be done on us
Walk with me oooh God of David❤
2024 .. September date 1st.. lord I need your presence 🙏
indeed this song is a spiritual touch.Its 2023 and we still here...
😅
This will always be my ringtone. I was involved in a tragic accident that killed my two friends and left my other friend crippled. I happened to survive. Nilikua nimeweka hii ngoma tukicrash.We crashed while listening to this song. God spoke to me through this song. Im crushed completely. Im hurt beyond repair. I feel like i need someone to talk to... hii song imenisaidia sana. Im breaking down writing this. Mungu saidia watu wako. Premature death itoke tu dunia hii. I can't speak enough. Mungu awabariki.
Amen
May God give you strength and renewed hope 😢
God be with us always
Your blessed and favoured dear 🙏🏿
Tubarkiwe wte kuelekea 2025
Mikononi mwako najieka
2024 still here...lord give me strength
From redio milele now.nice song..be blessed...(niambie utakalo bwana)❤🙏🙏👏🏻
Who is watching with me this masterpiece.God grant your every need
A song to walk through with🙏 nikiwa gulf
Nina mwitaji yesu aniponye na ayabadilishe maisha yangu amen
2023 November, I’m still here. This song touches my heart in a different way. God bless you Eric.
This is 2023 I'm still listeninng to this song 💥💥
Am here in 2023 bcoz God has already made it my year.
Nipe nguvu ya kushinda majaribu bwana 😢
Sometimes it is hard but God give me strength to overcome every temptation 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
In here at 00.37 (2th August 2024).Am definately coming back to testify of the Goodness of God❤
Amen 🙏
Am blessed with this song everyday 2024 gather here
in 2016 use to listen to this sing every mornig to work, its now 2024 and I still feel it in Spirit to sing... Niambie Utakalo Bwana...
Seigneur jésus christ fait moi cette grâce mon Dieu moi je suis briser plusieurs fois faites moi la grâce d'être aunoreux un jour pour que je chante gloire à ton saint nom❤
Amen Is working on your prayer
2023 We're here serving God for his Greatness
...kimbilio msaada wa karbu!hakuna mwengine
Here 2024.... lord i pray this be my year🙏🙏🙏
1982 bado tupo
Let's share our Love for this song even now 2023
2024 my heart is so blessed by this song. It makes me close to God. God bless Kenya 🇰🇪
Namshukuru Mungu amenivusha 1:57 1:59
2023 Kwa mpigo sana