Watu wanazaliwa wanakufa kila siku ya Mungu kwanini unakataa mawaidha kama haya kila siku na kwanini unarakiwa uswali kila siku kama unajuwa wewe mwingine atajifunza hapo Tumche Allah ndugu zangu ahasante shekhe kwa ukumbusho mzuri Allah akujaze kheri
Hapo shekhe sjaelewa kidog yan ukiwa na janaba nimakruhu kuwoga bila ya kulala heb ukiiyona hii coment naomba niyeleweshe hapo kidog umeniweka njiya panda
NYINYI KILA MARA NI WANAWAKE, JANABA, MAULIDI NA KUTAJA MASHIA. ZUNGUMZENI MAMBO MENGINE. MAYAHUDI WAMETUSHINDA KWA KILA KITU. NYINYI UPUUZI HAYO KWA HAYO. AMKENI .
Sio mbaya hata wewe ukaandaa kipindi na kuwafunza waislamu hayo unayotaka wayajue kuhusu hao wayahudi na sio kuponda tu, Au wewe hupaswi kulingania kwenye unachojua?
Ni uaidhi mzuri sana wengi wetu tunavuruga mambo tu na hili la janaba ni muhimu sana maana wapo wanaokoga tu ila sio kwa utaratibu wa kisheria,au wengine hulala hadi asubuhi bila ya udhu wakati jimai imefanywa jana saa 4 usiku.
Watu wanazaliwa wanakufa kila siku ya Mungu kwanini unakataa mawaidha kama haya kila siku na kwanini unarakiwa uswali kila siku kama unajuwa wewe mwingine atajifunza hapo Tumche Allah ndugu zangu ahasante shekhe kwa ukumbusho mzuri Allah akujaze kheri
Mashaa ALLAH ❤ Shekh Jazzaka'Allah hu Khayran.
Mashallah❤❤
Allahu akbar,,,shukran sana Allah atupe wepesi kwenye hili
Shukran sheikh
AsSalaamu alaikum wa rahmatullahi wa barakatuh sheikh sijaelewa apo nikioga nafaa nitawadhe ndo nilale ama
Hapo shekhe sjaelewa kidog yan ukiwa na janaba nimakruhu kuwoga bila ya kulala heb ukiiyona hii coment naomba niyeleweshe hapo kidog umeniweka njiya panda
NYINYI KILA MARA NI WANAWAKE, JANABA, MAULIDI NA KUTAJA MASHIA. ZUNGUMZENI MAMBO MENGINE. MAYAHUDI WAMETUSHINDA KWA KILA KITU. NYINYI UPUUZI HAYO KWA HAYO. AMKENI .
Allah akupe wepesi na asafishe kinywa chako na nafsi yako
Amiiiin
Sio mbaya hata wewe ukaandaa kipindi na kuwafunza waislamu hayo unayotaka wayajue kuhusu hao wayahudi na sio kuponda tu,
Au wewe hupaswi kulingania kwenye unachojua?
Fundisha na wewe basi unayoyataka yafundishwe siyeye kashindwa jielewe wewe acha mambo ya hovyo

Tupe dawa