ila kendi kuna watu hawana adabu ila ikifikia mahali mzazi n mgonjwa mtu anajishtukizia 😢😢 hii muvi n tamu na ina vingi vyakujifunza japo sikuizi busati munatucheleweshea ila mupewe mauwa yenu🎉🎉🎉❤❤
Mm huu ujinga wa madaktari huwa unanikera, uhai na afya ya mtu lzma watangulize pesa mbele ndo wamtibu mgonjwaa, alfu Rahma jamanii, ss unahisi uchungu alikua anasikia zatiti kwa yale uliomfanyia, alfu zuu leo umependezaa, angalau umeanza kusikia maoni ya mashabiki😂😂😂😂
😂😂😂chiko nikichaa kabisa wa mapenzi😂😂😂😂eti kipara mtelezo 😂😂 watoto wa kiume wanapenda sana mama zao masikini rahma familia yao inann lakini mbona awanakizazi
Candy atajutia Sana duniani, naye chiko kitamlamba Tasha na zatiti Maya yenu naye Kai na zuu hongera na pongezi Kwa KAZI nzuri🎉🎉🎉❤❤❤ love you all busati TV ❤❤🎉🎉🎉
Mama Kibendu umeigiza vizuri mpaka umenisa babishia kutokwa nama Chozi juna ijua uchungu wa Muzazi Kibendu Poleni kwaku mpoteza Muzazi Zuu nakupenda irakiukweri jitahidi angaraao kupendeza mbere ya Mume wako nauwe unaba dirisha nanguo wenimuke Wa Bossi razma uonekane kama mamuke wa Bossi Kayi Asante
uchungu wa mwana aujuaye mzazi 😮mama alikataliwa na candy apo Yuko hali yakukata roho ila bdo yeaitaji kiserani chake candy Aya nmejifunza kuwa na upendo kwa watto atakama wametukataa😢
Km unamkubali Mr Kibendu, na unampenda Mama yako. Gonga like.❤
Much love mashabiki wa house girl na mr tasha
@@MRTASHA-c2k muwaishe epsod inayofuata
@@AnethEmmanuel-qw1kz kwa kweli jamàn palipoishia ni patamu kweli
Yaan mm nakukubali Mr Tasha
Good job 🎉🎉🎉🎉am from Kenya 🇰🇪 😊😊
@@khadijachama6269 umeona eeeeh
Tuliodondosha machozi kwa kifo cha mama Kibendu tujuane😭😭😭
Daah imeniuma kweli jmn😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Aisee nimejikuta nalia kama kweli kumbe ni movie sipati picha kendi atakuwaje😢😢😢
@@beatricengigwana5493kendi uyoo nawala atojali yule boya
Nimemkumbuka mama Hadi chozi limenidondoka jamani maisha bila mama ni maumivu
Candy kazi unayo
Nani anafuraha ya rahma kuto kuzaa,maana alimtusi sana zatiti wetu😢😢
Ni kweli maneno yake yamemrudia mwenyewe
Sio furaha sana bali tujifunze
😢😢😢masikini mama candy,uwiiii,pole kibendu hilo gumegume candy achana nalo tushalipa laana hilo maji ataita mma soon
Leo nigongwe like ata mm kutoka kenya
Tunaosubir candy dunia imfunze 😢😢😢😢 mpo😢😢
Tupoo😢😢😢ana jeur sana wacha yamkute😊
Tupo twangoja kwa hamu na gamu
Tupo
Tupo 🙌 😢😢
Tupo tunasubili laana zimshukie
Kipande kinachofuata msitucheleweshee jmn please 🙏🏻 😢
Kama unakubaliana na mm weka like hap🎉🎉
Eeeh kwakweli
Kabisa jamani
Kabisa waxitueke😢
❤❤❤chiko kitamlamba na Candy lana imeshampata atazidi kupata tabu Sana 🎉🎉🎉maua Yao Kai na zuu🎉🎉🎉
Polen waingizaj wote kibedu keina poleni San kazi nzur bustn tv mama kibedu kapumzike Salam tulikupenda, Mungu kuakipenda zaid
Apo ungesema tulikupenda ila busat wamekupenda zaid bana
Kanzi nzuri wapewe maua yaoo🎉🎉🎉❤
Wangapi tumekesha UA-cam kungoja tujuane hapa ❤
Zatiti na keina wako ever smart nawapenda❤❤
Umemsaau masonzi wangu ❤
Zuu jamn sjui nan hua anamsuka
Zuu yuko smart sana chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Naona ni family
Mmemsahau rahma yupo soft na zatiti mashallah
kendi ndo sababu ya mamaake kufariki wanaoungana na mimi wagonge like😢
kwani ela kibendu yakwenda south nauli haikufika 70? hapo sielewi
Kwani amefarikiii😢
MI nashangaa kibendu wpo hospitalini na wanang'ang'ana na mama akifa bila kuita doctor au ni kwa kua hawajalipa🥺🥺🥺
Yaan kuenda ndo ameend Hvyo kiukwel nitoa machoz@@AzizaHamisi-m4s
😢😢
Pole sana kibendu kwa kimpoteza mama pia hongera kwa wanabusat kwa kz nzur
Wangapy walishtuka kwa kifo cha bi mkubwa😢😢
😢😢😢😢
Weng
Yaani amekufa mama candy 😭😭😭😭😭😭
😢😢😢😢
😢😢😢😢😢
Kuacha mke ni rahis san kumludisha utatumia kila aina ya gharam kuzid hat mali uliyo toa 😅😅chiko kubali na matokeo
Haswaaaa umeongea pointi
😂😂😂😂
Uko sa hii
Watuuu tunapoteza maish maospitaliii kwasabab madaktar wanaanglia pesa kulik uhai wa mtu kifo cha kibenduuu kimenimizaaa sanaaa nimejifunza kituu.
Kibendu au mama ake
😢😢yaani kama hapa kenya utakufa tu, sio kwa tamaa hizo za pesa
Mmmmmh rudia movie😂😂😂
Ni mama ake sio kibendu😢😢
Leo nimemkubali saana Mr Kibendu. Anajua nini thamani ya Mama. Pokea maya ya Mr Kibendu. From Oman 🇴🇲🌹🌹🌹🌹🌹
ila kendi kuna watu hawana adabu ila ikifikia mahali mzazi n mgonjwa mtu anajishtukizia 😢😢 hii muvi n tamu na ina vingi vyakujifunza japo sikuizi busati munatucheleweshea ila mupewe mauwa yenu🎉🎉🎉❤❤
Sanaaa kkngu
Nyieeee3 wa kwanza hapa ltenaaa
Nimewi leo kila cku mie wa mwisho❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Mnachelewesha jamanii 😢😢😢 sa ndo nini hiii
Mm huu ujinga wa madaktari huwa unanikera, uhai na afya ya mtu lzma watangulize pesa mbele ndo wamtibu mgonjwaa, alfu Rahma jamanii, ss unahisi uchungu alikua anasikia zatiti kwa yale uliomfanyia, alfu zuu leo umependezaa, angalau umeanza kusikia maoni ya mashabiki😂😂😂😂
Shemegi anamtunza huyo dadangu chukua maua yako kai zuu amependeza sana 🎉🎉🎉❤❤❤
Wakwanza nmewahi breakfast na house girl 👧
😂😂😂😂😂ety kibara hakina akili plz nipe like mm sijawahi pewa like jamani tangu nianze kuangalia
Kipara siyo kibara 🎉🎉🎉😂😂
@@MymunaMuna-qn5lo😂😂😂😂😂😂😂
Like za kula au
Kamebaki Kaduara
Sijawai ku comment wala kushea wala ku like ila hiki kipande chakumpoteza mama kimeniuma mnoo nimetoka kumpoteza mama tarehe 18/10/2024
Jmn tulio guswa n msib WA mam kendi huku kendi akiwa Han radhi za mam tujuane hapo jamn Polen 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Duuuh,kendi atakua mugeni wanani nawakati mamayake amefarik hanarazi nayey😢😢😢😢😢
Wote wamesuka wamependeza Bado senior wetu 😊😊
Kibendu nakupenda tu bure kichaa wangu❤❤❤🎉🎉🎉🎉 mauwa yako nakupa na pia kopa hizo
🎉🎉🎉😢😢😊😊😊❤❤❤
Mr Tasha uko sawa kaka
Asalamu aleykum mungu wasemehe makosa wazazi wetu walio tangulia mbele yahaki Lala salama mama kendy laanaa jamn tuwapende wazazi wetu walio baki
Mnazingua sana sku hizi au mmeshajipata😅
Good job 👏 wapili
Tunaotaka chiku akamatwe mikono juu
😂👋
🙋
Chiku au chiko
🙌🙌
Sote
Zuri umependeza sana mwanangu
Chikoo bado hujasemaaaa 😢😢😢😢😢😢Likee kwanguu nmecherewaa leoo naomben likee ataa 10❤❤❤
Pole Sana kendy huna lazi
Wanne mie naombeni like
Endelea kusuka nywele na uwanze vaa vizuri
😂😂😂chiko nikichaa kabisa wa mapenzi😂😂😂😂eti kipara mtelezo 😂😂 watoto wa kiume wanapenda sana mama zao masikini rahma familia yao inann lakini mbona awanakizazi
Akili ni nywele sasa kipala mtelezo kanyoa zote akabakiza haka kadogo🤣🤣🤣🤣🤣 ila kwel chiko ni kichaa 😂😂😂
Maovu yao waliyoyapanda ndio wanavuna sasa ndio maana wanakosa kizazi
Movie tamu lakini Busati wanatuletea movie nyingine mwisho wanatucheleweshea hii ya housegirl😊
Pole sana kibendu inauma sana lakini mungu yupo na wewe, ila Candy umekosea sana
Poleni sna kibendu na keina kwa kumpoteza mama 😢😢
Nyie busat mnachotufanyia siyo sawa kama vip fanyeni hii iishe tujua moja, cyo kila siku hatulali kisa hous girl
Zuuu anapendeza sana kabisa nawapenda sana kwenye ndoayenu
Ndoa tamu wifi zuu sahii anapendeza kaka khai anajuwa kumtunza wifi 🎉🎉❤
Wau zuri very smart mama 🎉🎉🎉🎉❤
Kwa Mara ya kwanza kumuona zuu kapendeza nywele . Ila nguo abadilishe avae pamba Kali.
😅😅😅 zuuh kapendeza huyooo
Mnaboa sana jaman mapaka tunasahau
Munguwangu nawapendasana munipe like ❤wapenzi wangu❤❤ nawapenda sana
Kai na zuuh sis tuko apa tu tunaomba mungu hakupe watot wema
Candy ushachelewa 😅😅😅 acha laana ya mama ije ikurambe😢
Maisha yake candy yatakua aje??kibendu na kipenzi chako poleni sana Kwa kumpoteza bi mkubwa kipenzi Cha moyo😢😢💔💔💔💔
Mimi nimefurahi candy kutopata radhi za mama ake kazid sana kumtukana huyu mama
Imeniumiza sana kifo cha mama kibendu ,,,poleni sanakibendu na keina na kwa candy we utaona na macho yako ya dunia
Congrats kwakweli leo chukueni maua yenu tm BUSATI 🎉🎉🎉🎉🎉
Zuu umesuka vizur❤
Da Leo nimewahi da jana sikulala nikiwa nasubilia kwa hamu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉nipeni like zangu
Unapata tabu sana mwanetu😂😂😂
Candy aseye funzwa na mama utafunzwa na ulimwengu
521,Oyooooo Mr Chiko umefeli muone vile na Mdevu zake🎉 🎉🎉🎉🎉
Waah Candy ww ndio umesababisha kifo cha mum wallai utateseka hdi kifo chako woooyii candy 😮
Sikuhizi mnatucheleweshea sana
Zuu kapendeza ❤
Hii ya leo kaliii
Ni kweli kabisa mr tasha
Tunaomba mtutolee part 2 kwa siku Mr tasha
Mnatukosea lkn
Kibendu kaigiza kweli hapo mama kukata roho tuh macho yamekua mekundu nampa hongera saan kaweza 🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉tasha❤❤
Nesi mbona unamwangalia sana kibentu😃😃😃
Pumbavuuuuu 😅😅
Nawakubali sana ote mulio shiliki kwenye hiii muvi
Jmb dungu zangu kwakweli bwana tasha nikichwa siyo mukiya munipeni like leo nime wayi wa 101 jamani hata nami sija shelewa from 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Mateso ya kendi yaanzeee sasaa 😢😢😢😢😢😢😢lala salama bi mkubwa
😢😢😢ateseke mpaka ajue haya maisha hayana balance
Atasaga meno atatembea na chupi kichwani
Ashukuru bi mkubwa anamji wake
jaman tunaomba muwe mbili mbili jaman
Leo itoke haus grli nyingine mahana ijo moto🎉🎉🎉
Kend naomb mungu uwanze kuokota makopo wenzio tuna watamn mam zetu we unazingua😢😢
Zuuu umeanza kupendeza dada
We chiko kaa huku kwa house girl so usikuje kwa nafsi poa tulia uko uko
🎉🎉 ila mmechelewa sana
Twaomba muendelezo Léo jamani mambo ni moto kiukweli kibendo póle sana😂😂😂
Zuu leo kapendeza
Pole.kibendu kwa kumpoteza mama 😭😭😭😭😭😭
Keina amekaa vizurii mashaallah ana kashepu kazuriii
Candy atajutia Sana duniani, naye chiko kitamlamba Tasha na zatiti Maya yenu naye Kai na zuu hongera na pongezi Kwa KAZI nzuri🎉🎉🎉❤❤❤ love you all busati TV ❤❤🎉🎉🎉
Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪
Hapo ulipomfunika mmekosea mngemwita japo nes angewatoa nje akilud anashusha panzia ila angekufia nyumban kweli ila mmejitahid 🎉🎉🎉🎉mpewe
Mzuri sana
Kendy atajuta atajua mama ni muhimu sana
Mnazingua san siku hizi kwa kwel hadi mnaboa
Mnooo
Wewe tulia bana
Wao Leo wameongeza vidk jmn mauwa yenu hy 🇹🇿🌺🥀♥️❤️🙆🌹
It's so SAD Mama Kibendu..!!! 😢😢
Wa mwisho kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪 Rudi mnipe likes kwanza
Nampenda Sana Rahma❤❤❤ anajua mnooo🙌🏾
😂😂😂😂😂 chiko kimekuramba
Pole kibendu na daa ceina 😢😢😢❤❤❤❤
Jamani. Ya Mama Kibendu Nimejikuta Nalia Daa😢😢, Shabiki From Qatar
Sasa candy subiri vitu vizito ulijitia mjeuri 😢
Nashwindwa ninge ongea kwa sauti ila hairuhusiwi Kandy mkosahaya mkosa adabu mkosa akili kitakulambaaa😢😢😢
Duh! Pole kibendu na keina 😢 Leo nashindwa hata lakusema
Mama Kibendu umeigiza vizuri mpaka umenisa babishia kutokwa nama Chozi juna ijua uchungu wa Muzazi
Kibendu Poleni kwaku mpoteza Muzazi
Zuu nakupenda irakiukweri jitahidi angaraao kupendeza mbere ya Mume wako nauwe unaba dirisha nanguo wenimuke Wa Bossi razma uonekane kama mamuke wa Bossi Kayi
Asante
Wewe ni kabila gn?
Uyu mama bora akapmzke maana kaptia changamoto kubwa xana kwny hii movie
uchungu wa mwana aujuaye mzazi 😮mama alikataliwa na candy apo Yuko hali yakukata roho ila bdo yeaitaji kiserani chake candy Aya nmejifunza kuwa na upendo kwa watto atakama wametukataa😢
Kibendu mfano mwema,napenda vile ameigiza