MAANDAMANO HALI YACHAFUKA, LISU AFATWA NA POLISI KWAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 249

  • @FikiriniMwaluko
    @FikiriniMwaluko 4 години тому +25

    Moyo wangu unaumia sana lakini kwa fraha hongeleni mnaoandamana kwa niaba ✌️🖐️✌️✌️✌️🖐️👏👏👏

    • @DottoManyama
      @DottoManyama Годину тому +1

      wote ao wamenunuliwa mafuta bure ili waandamane

  • @MonicaMushi-z8s
    @MonicaMushi-z8s 2 години тому +5

    Hongereni sana makamanda nilisubiri kwa hamu kubwa siku hizi. Hakuna kurudi nyuma mpaka Soka na wenzie wapatikane.

  • @marwakisyeri3501
    @marwakisyeri3501 3 години тому +7

    Hiyo ndo demokrasia Rai Samia.Chadema big up!

  • @RajabuMussa-h5n
    @RajabuMussa-h5n 2 години тому +5

    Mungu awatangulie maandamano mema

  • @PeninaMaduhu-j1z
    @PeninaMaduhu-j1z 4 години тому +12

    Mungu awabariki sana sana sana mnaoandama kwani wengine afya zetu mgogoro kazi yetu iliyobaki ni kuwaombea Mungu awalinde

  • @BarakaTutito
    @BarakaTutito 4 години тому +4

    ✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️ mungu yupo pamoja nanyi

  • @DavidMsigwa-qh5ze
    @DavidMsigwa-qh5ze 4 години тому +6

    Hii channel safi sana

  • @PeninaMaduhu-j1z
    @PeninaMaduhu-j1z 4 години тому +3

    CHADEMA HONGERA HONGERA SANA KILA MPENDA HAKI LAZIMA ATAANDAMANA GOD BLESS ALL

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 3 години тому +3

    Bigup never give up,haki lazima hipatikane,watching from mombasa kenya. Acha ss tupumue ndipo kazi kwenu watanzania 😂😂😂😂.

  • @SaidHassan-g9u
    @SaidHassan-g9u 3 години тому +3

    Wana umeee awoooo mungu awasaidieee nikiwa DRC congo

  • @TreyCarlos-p2i
    @TreyCarlos-p2i 2 години тому +2

    Weee jamaa una dhambi umepost maandamano ya mwaka juzi 😂😂😂😂😂😂 Hongera sana kwa kumaliza bando letu

  • @DorikaKitamara
    @DorikaKitamara 2 години тому +5

    Ahsante Samia Kwa utulivu wa nchi yetu,kama ungezuia hii ungejiletea shida,AchA watoe kero zao zitakazokuhusu rekebisha kazi iendelee

    • @drisakamwakitalima1937
      @drisakamwakitalima1937 2 години тому

      Safi

    • @GoodTeck90
      @GoodTeck90 Годину тому

      Acha unafiki ww ....Samia ndiyo aliagiza Jeshi la Polisi kuzuia maandamano .....sasa wameumbuka walidhani kuwa hatutatoka, tutaogopa mabunduki yao

    • @allykigatta7564
      @allykigatta7564 24 хвилини тому

      ....WE MSENGE NINI WEWE...HUYO SAMIA ANAINGIAJE HAPO...AU UNAMPONGEZA KWA KAZI GANI ALOIFAYA...JINGA MKUBWA WEWE

  • @gabrieljohn6422
    @gabrieljohn6422 3 години тому +4

    Hongereeni sana watu wote mlio tuwakilisha Dar tuko pamoja

  • @Said13Mashakaog
    @Said13Mashakaog 2 години тому +3

    Kila lakheri watanzania maandamano mema 🙏🙏

  • @pascalntandu1217
    @pascalntandu1217 Годину тому +1

    Ahsanteni MUNGU awabariki na kuwalinda.

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z 3 години тому +5

    Aposawa namshukulu mungu Kwa maandamano haya tungefeli isingependeza ccm wangejivuna sana

  • @SholeBigsaund
    @SholeBigsaund Годину тому +2

    Tuko pamoja makamanda hongelen sana

  • @JekobuNgwara
    @JekobuNgwara 13 хвилин тому

    Mchi hii mungu atusaidie nchiyetu itoke mikononi mwawakoloni mungu angalia mikodi lukuki tunafanyishwa kazi hatujielewi mikodi lukuki

  • @ShivoKombo
    @ShivoKombo 2 години тому +2

    Safi sana

  • @Byondorujulika17
    @Byondorujulika17 2 години тому +3

    Sina lakisema ila ni furaha, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸

  • @rajabumngombe2922
    @rajabumngombe2922 4 години тому +5

    Safi sana ,lakini hatuna jeshi la kulinda raia,hawa ni polisi wa ccm ambao hubaliki mauaji

  • @MwanaidHamad
    @MwanaidHamad 3 години тому +2

    Muongo sio leo hayo😂😂

  • @AnnaMwitega
    @AnnaMwitega Годину тому +1

    Mungu awabari wote mlioandamana kwa amani

  • @emanuelKarei
    @emanuelKarei 3 години тому +2

    Mungu yupo pambaneni kudai haki kikubwa msivunje sheria za nchi

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri Годину тому

    Ahsante sana Mungu wetu.Umeitika tulipo kulilia jana katika sala.

  • @NtuliSuzan
    @NtuliSuzan 3 години тому +1

    Mungu awatie nguvu chadema, you're the only hope! Let blood of Jesus covers you

  • @godfreymjuni6752
    @godfreymjuni6752 3 години тому +2

    Hii siyo leo 😂😂

  • @glorymiko6830
    @glorymiko6830 4 години тому +2

    Hii sio ya Leo.

  • @bishopjacobomwaigaga
    @bishopjacobomwaigaga 3 години тому +3

    Mheshimiwa rais Natamani Nikushauli kama utapenda Mungu Akusaidie kujua washauri ulio Nao wengi siyo salama wanakutengenezea BOM kubwa sana Ukishauriwa Ongeza Na Zako utakuwa salama

    • @mvitaali8608
      @mvitaali8608 3 години тому

      Hii nchi acha kutishia nyau

  • @AthumanmwandenMwanden
    @AthumanmwandenMwanden Годину тому +1

    Good

  • @Anandezi
    @Anandezi 2 години тому +1

    Kuandamana ni haki ya mtanzania yoyote, kwanini watu wakamatwe kwa hilio

  • @AhamadiAlly-z6v
    @AhamadiAlly-z6v 3 години тому +1

    Sio kweli

  • @juliusloishiye-y6k
    @juliusloishiye-y6k 3 години тому +2

    hii sio leo bana

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 4 години тому +8

    Ni aibu kutawaliwa na mzanzibar tena Mwanamke

  • @alexandermalima610
    @alexandermalima610 33 хвилини тому

    Hongera chadema

  • @AmenMushi-j2j
    @AmenMushi-j2j Годину тому

    Mama Samia hongera mma ww tulia tu tuwaone mwisho wao wasikutie pressure tunachotaka amani

  • @TarimoMangi
    @TarimoMangi 5 годин тому +1

    Tunataka haki zetu.... nchi imeuzwa malizetu zinatapanywa kwann????

  • @Ibrahimmeshilieki
    @Ibrahimmeshilieki 3 години тому

    Chademaa oyeeeeeeeeeeeè saf sana wenzetu tunawapata kutoka 🇰🇪 tuko pamoja hongereeni sana

  • @samsonrusagira5168
    @samsonrusagira5168 3 години тому +2

    Hongete kwa maandamano.Mungu awatangulie.

  • @maksoudyasini4661
    @maksoudyasini4661 3 години тому +1

    Acha udanganyifu sio li ve

  • @annafredinandmatandiko8438
    @annafredinandmatandiko8438 4 години тому

    Safi kabisa tuacheni tutoe kilio chetu😢

  • @AndrewKasanda
    @AndrewKasanda 4 години тому +1

    Amani kwenu wapende amani wengine wanaichezea kama awa ccm

  • @ibrahimgwasma1223
    @ibrahimgwasma1223 2 години тому

    Hahahahhahaahha
    Kwa hiyo leo wananchi watafute barabara zao za kupita kuwapisha chadema?

  • @HumphreyNkya
    @HumphreyNkya 2 години тому

    Ni haki kabisa kufanya maandamano juu ya hili taifa letu ,mambo hayaendi vizuri kuuwawa kwa watu ,kupotea kutekwa ni shida kweeli.

  • @jacksonhyera2230
    @jacksonhyera2230 40 хвилин тому

    Sio maandammanoo ya leo😂😂😂

  • @nenolauzima5281
    @nenolauzima5281 3 години тому +1

    Siyo Leo hii

  • @KingMashimba
    @KingMashimba 3 години тому +1

    Sasa hapo mna andamana au mnapiga misele tu😂😂😂😂😂😂

  • @AndreaNzunda-f7o
    @AndreaNzunda-f7o 3 години тому

    Samia must go

  • @mathayobmasunzu278
    @mathayobmasunzu278 2 години тому

    Daaah ...acha kudanganya watu...polisi waungemkono?

  • @humphreybilly7437
    @humphreybilly7437 2 години тому

    Mimi naendelea kuwapa hongera kubwa.

  • @AnordErio
    @AnordErio Годину тому

    Kweli kuna watanganyika wanao unapambani utanganyika

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 2 години тому

    Watanzania kama nyumbu tumekaa kwa kweli, watu wanafuat mumbo tu

  • @AdamMbwana-p6n
    @AdamMbwana-p6n Годину тому

    Mbona kama siamin km ya leo haya 😅

  • @Veni584
    @Veni584 2 години тому

    Hii sio ya leo, Mbowe, Lisu na Lema wamekamatwa

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 2 години тому

    Kudai HAKI ni jukumu la kila MTANGANYIKA,.

  • @RaibebeBebe
    @RaibebeBebe 3 години тому

    Amani huletwa Kwa busara sio Dola na maguvu mengi

  • @RegnardiCharesi
    @RegnardiCharesi 2 години тому

    Pamoja sana Niko njiani nakuja

  • @Oman-p8x
    @Oman-p8x 3 години тому

    ✌️

  • @AndrewKasanda
    @AndrewKasanda 4 години тому

    Dua kila atua watanzania arisi

  • @JemaMhagama-oz6me
    @JemaMhagama-oz6me 3 години тому

    Haha maandamano ya mda mrefu sio leo

  • @henrybovick93
    @henrybovick93 4 години тому

    2007 na support chadema in 💯

  • @MasweMaswe-s5s
    @MasweMaswe-s5s 2 години тому

  • @DeodanCharles-c6r
    @DeodanCharles-c6r Годину тому

    We jmaa kenge kwel ww habar ya kitambo kabisa hii

  • @EmanuelyMalugu
    @EmanuelyMalugu 3 години тому

    Ubaya ulio fanyika kuwakamata viongozi wakuu si wangewasindikiza kama hivyo

  • @goodsonlucian2906
    @goodsonlucian2906 2 години тому

    Usitoke nnje mpaka nifike hapo twende wote

  • @williamboniphace5887
    @williamboniphace5887 3 години тому

    Mungu mkubwa ❤❤

  • @Bquality
    @Bquality 4 години тому

    Unauhakika ni leo hii mbonaaaa kamaaaa mmmmh😢

  • @RoseMayige-gn9qb
    @RoseMayige-gn9qb 3 години тому

    Ccm siku zenu zimeishaaaaa! Watu wamechoshwa na uovu!

  • @LeonidaceRweyemamu
    @LeonidaceRweyemamu 16 хвилин тому

    Wee unaada watu kwa taarifa za zamani huna elimu mwongo mkubwa

  • @TarimoMangi
    @TarimoMangi 5 годин тому +2

    Mheshimiwa usitoke makamanda wako tupooo

    • @mkude
      @mkude 3 години тому

      😂😂😂😂😂😂 hayo si ya leo watu wengi wajinga kweli

  • @elardurasa67
    @elardurasa67 3 години тому

    Hii picha sio ya leo jamani haya niyale yaliyopita

  • @georgekamosi9501
    @georgekamosi9501 Годину тому

    Achen kupotosha hii sio ya leo

  • @glorymiko6830
    @glorymiko6830 4 години тому

    Wacha kupotosha watu. Sio ya Leo hii.

  • @JemaMhagama-oz6me
    @JemaMhagama-oz6me 3 години тому

    Habari za uongo

  • @RahabuMwanti
    @RahabuMwanti Годину тому

    ❤❤❤

  • @marwakisyeri3501
    @marwakisyeri3501 3 години тому

    Muda wote nalisema na na nasimamia ukweli na haki daima kuwa CHADEMA wataandamana na wataungwa mkono na wananchi na hatimaye polisi watawalinda tu kwani si uasi bali haki kisheria na kikatiba.Hadi usiku nalirudia msimamo wangu huo.Sasa yametimilika

  • @GraceGolden-q5y
    @GraceGolden-q5y Годину тому

    Hooo bajaj piki pik hazitakuwepo izo niniii Ilove chadema ingekuwa mbeya jamn

  • @wahurumasibale6155
    @wahurumasibale6155 2 години тому

    Hayo ya zamani

  • @HajiManara-y7u
    @HajiManara-y7u 4 години тому

    Lini iyo

  • @maembelaurent970
    @maembelaurent970 4 хвилини тому

    Ilakweli sio maandamano ya leo ni yazamani huko nyuma tunataka ya leo

  • @SarahEdithchambo
    @SarahEdithchambo 3 години тому

    Lazima wafanye maandamano siwanamaagano na hulo wanakoenda kuishi

  • @maksoudyasini4661
    @maksoudyasini4661 3 години тому

    Wewe ni muongo hayo sio ya leo

  • @barnabaslushenshe523
    @barnabaslushenshe523 3 години тому

    MIMI NASEMA MAMA SAMIAH KAMA AMEFANYA HIVI ...KWELI HAUSIKI KATIKA WAUAJI MAMA WA WATU. SHIDA NI SPEAKER TULIA ACKSON NA MENGINE NDO MAUAJI YANACHAFUA SERIKALI YA MAMA NA

  • @AshaMwamba-i7g
    @AshaMwamba-i7g 2 години тому

    Lini hiyoo jamaniii

  • @NixonJohnson-zn8nk
    @NixonJohnson-zn8nk 3 години тому

    Hii ni lini acha ujinga

  • @AntonyDova
    @AntonyDova 2 години тому

    Si ya leo haya

  • @Skomi-0nedayyes
    @Skomi-0nedayyes 51 хвилина тому

    Maandamano yasiwe na kikomo na yawe ya nchi nzima sio tu Dar es salama

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 Годину тому

    AMANI YETU NI TUNU ILIYODUMU KWA ZAIDI YA MIAKA 50,,, ASITOKEE MPUMBAVU YOYOTE WA KUJA KUIVURUGA KWA ULAFI WAO BINAFSI WA MADARAKA...
    HONGERENI SANA POLISI.
    HAYA NDIO TUNAYOYATAKA.

  • @hassannuru7399
    @hassannuru7399 3 години тому

    haya maandamano sio ya leo.
    leo haiwezekani kuandamana tz

  • @soudmaulid1924
    @soudmaulid1924 2 години тому

    Hii sio leo

  • @godfreymjuni6752
    @godfreymjuni6752 3 години тому

    Mungu nu mwema

  • @DavidSoka-b7h
    @DavidSoka-b7h 3 години тому

    🎉🎉🎉

  • @petermboje5839
    @petermboje5839 Годину тому

    Acha watu waandamane kwani tunauwawa bure

  • @HamisiMakasara-hb3nt
    @HamisiMakasara-hb3nt 4 години тому +1

    Msitudanganye waandishi kwa kutuwekea maandamano ya mwaka Jana, we need current event

  • @YohanaJoseph-eu2tz
    @YohanaJoseph-eu2tz Годину тому

    Hayo cy ya leo

  • @kagetaabdallah3712
    @kagetaabdallah3712 2 години тому

    Sio leo acheni kuongopea watu

  • @MaulidNdunda-cl3gz
    @MaulidNdunda-cl3gz 4 години тому

    Hamna shida hapo unayasambaratisha yote hayo

  • @SarahEdithchambo
    @SarahEdithchambo 3 години тому

    Ccm jipangeni kukamata vitu na wajumbe

  • @JaphetJackson-p6b
    @JaphetJackson-p6b 4 години тому

    Amani, mama anapenda amani sote n wake mitano Kwa mama

  • @hansmutta2549
    @hansmutta2549 Годину тому

    Mbna media hazi posti hii kitu??