Mungu yupo na wananchi wanyonge kama Mimi na wengine ila duwa zangu kwa Mungu wangu alie hai namuombea mheshimia Tundu Lisu atoke hapo kituoni salama wasimfanyie ubaya wowote hao watu wasiojulikana kwenye hili taifa huru.
Wako sahihi kikatiba ila mazuzu ndiyo mnapinga Maandamano ya Amani umeona wamebeba kirungu au upanga au kisu? Wote walikuwa na lengo zuri ila waliobeba mitutu, mabomu na kuja kishari ndiyo wenye shida
Hii nchi wanatusea vichwa vya nchi. Mamae jeshi la polisi. Mama uko wapi lakini. Tutakutana uchaguzi mkuu. Tutajua mbivu na mbichi. Sasa tunaamini bora vita na si chochote. Usenge huu unaofanywa na wasenge
Hii nchi ni ya wote bwana na ninyi mnaosema chadema hawana haki ya maandamano kwa sheria ipi? Au kwa kuwa ninyi mnakulq na kushiba ndiyomana unaona yanayotokea ya kipuuzi mngekuwa ninyi sijui kama mngelopoka hayo .kila mtanzania ana haki ktk hii nchi acheni kushadadia mada jeshi la polis lipo kazi yake kulinda aman na hao wanaofanya maandamano wakiwa barabaran na poilsi wapo bila kuwasumbua mpk wafike kilele chao kutakuwa na ubaya gani? Hawana nguvu yeyote ya kidola iweje wakamatwe.
Daaaa hapa ni Udikteta haswa, sasa ikiwa jambo ambalo limekubaliwa kisheria katika Katiba halaf linapigwa marufuku tena lisifanyike manaa yake ni nin?? Sasa tutasema tuna sheria kwel?? Inauma sana aseee,
Inamaana kea tundu lisu kuna barbara au amekutwa chumbani anaandamana na mke wake kwani wamkamatie nyumbani kama alikuwa ameahirisha wamemkuta anaandamana
Chadema hawajitambui, huwezi kufanya siasa za chuki huku ukishirikiana na viongozi wa dini my ja halafu utegemee kuungwa mkono wa watu wa dini nyingine , huo ni ujuha, kama ni siasa ingebaki TU kuwa siasa kwa kupambanisha sera, siyo kupambanisha watu kulingana na dini zao na maeneo wanayotoka.
Mnaojitambua ni nyie mnaobaka, mnaolawiti, mnaoiba fedha za miradi, mnaoteka watu, mnawatesa na kuwauwa na mishahara hewa kwenye Halmashauri. Yaani mnajielewa kwelikweli.🎉🎉🎉.😅
Mhhh kwa hiyo nguvu kubwa iliyotumiwa na police ni kuhusu kuzuia maandamano ya amani tu au kuna cha zaidi mbona wanajiaibisha jamani hata wanajishangaa mara pengine
Kweli wanasheria kusipokuwa na matatizo watapata wapi pesa? Lazima wachochee ili vurugu zikiwepo na wao wanafaidika. Mwanasheria atachomwa na moto wa gesi kesho kiama.
Wezi na mafisadi hawakamatwi wala hawatekwi wala hawauwawi kama Serikali haitaki Vyama vingi futeni ibaki CCM waache Siasa za Kishamba za kutisha Watu, kuteka Watu na kua Watu ovyo , Tanzania siyo Mali ya CCM tendeni haki kwa Wananchi siyo Ubabe Viongozi wakubwa wanaongoza kwa dhuluma, rushwa, ufisadi na mitandao ya wizi hakuna Maendeleo bila HAKI kwa Wananchi
Mimi kwa akili zangu ndogo nashindwa kuelewa Katiba inaruhusu kuandamana na Rais waga akiapa anasema atailinda na kuitetea katiba sasa mbona kwenye kipengele cha maandamano hakitetei
Wamefanya nchi nzima bila mtu kuguswa wala ,kupotea kitu chochote. Au wewe unaweza kusema maandamano ya chadema waliyo leta fujo. Hebu Acha uoga na uchwawa.Nchi ni ya watanzania wote,kama wamekosea wapelekwe mahakamani ambako huwa,wanashinda kila kesi kama hizi.
Mwenye akili awezi ongea ujinga kama huu Toka uijue chadema lini umeskia hata wamemchapa mtu fimbo mbali na maovu yote yanayoendelea kufanyika chini ya utawala huu wa kijani
Hmm hii siyo nchi tulioizoea wanainchi jiandikisheni japo wamesema kwamba wlishapanga matokeo uchaguzi wote kuanzia wabunge wenu ndo waliotufikisha hapa maana walichoperekwa kutetea wanainchi wamebaki kujaxa kuwakanyaga waondoeni wote msiwachague
Na nyie wasuku kila muda magufuli amekuwa yesu,magufuli ndo alikuwa fisadi namba moja na ameuwa wengi sana kwaiyo usitutangulizie magufuli mbele hivyo alivyolala ndivyo ata aliowauwa wamelala😢
@@zobakazizi7637 powa watanganyika Sasa koloni la wazamzibar.mama Lete makao makuu za nchi ni Zanzibar mtabaki miaka yote ntakuja Kuja Zanzibar kuuza miili yenu wajinga
TUNDU LISU MBOE MNYIKA WAMEKUWA WAKITOA VITISHO NA KUMTUS RAIS WAPELEKWE SEGEREA WAJIFUNZE ADABU WAKITOKA HUKO WATAACHA JEURI HATA JESHI LA POLIS WANALICHEZEA SANA HAWAFUATI TARATBU
Hayo mataifa munayoyasema ni yepi au bado muko munatawaliwa na hayo mataifa ambayo ni waonevu na wezi tu haswa ikiwa inahusu Afrika. Acheni ujinga hayo mataifa makubwa hayana haja na nyie ila rasilimali zenu tu. Wajinga wakubwa.
EE MUNGU WALINDE MASHUJAA WATETEZI WA HAKI DEMOKRASIA NA MAENDEO YA TAIFA LETU NDUGU LISU MUNGU AKULINDE MBOWE MUNGU AKULINDE LEMA MUNGU AKULINDE VIONGOZI WOTE WA CHADEMA NA WANACHAMA WALIOANDAMANA MUNGU AWALINDE
Kundi hilo ndiyo lina wengi wasiojitambua ndoo maana,imani inasema ndugu wa mwislam ni mwislam mwenzake haijalishi anatesa watu wakiwemo na wao wenyewe, ili mradi tu wanaomnyoshea kidole wanawaona ni wa imani zingine wenye kuona ubaya wa mwislam mwenzao huwa ni wachache sana
@@leonardlameck7486Uislamu hauko hivyo, mtu akiwa muovu Uislamu hauna uwezo kumtetea, mbona kuna kisa kiliwahi kutokea enzi za Mtume wetu. Kuna muislamu alipora mali ya mtu aliyekua si muislamu, kesi ikafika kwa Mtume, baada ya maelezo, muislamu hakuna na haki, ilimpasa kurudisha mali, akakataa, na kukata rufaa, akaenda kwa Swahaba Aliy, akshindwa tena huyo muislamu, akakata rufaa akaenda kwa Swahaba Omar. Yule mtu aliyekua si muislamu akampasha habari Swahaba Omar. Akasema: Huyu muislamu mwenzio tushahukumiwa na Mtume wenu, na Aliy, bado hataki kunipa haki yangu, anataka na wewe utuhukumie. Swahaba Omar kusikia vile na kuthibitisha, akaenda ndani na kutoka na upanga na kumkata kichwa yule muislamu asiyetaka kuachia mali ya watu. Alitaka apendelewe ati sababu yeye ni muislamu. Aya zikashuka juu ya hilo. Uislamu hauna nafasi ya kudhulumu mtu.
Hebu acheni ujinga badala ya kupiga kazi eti mnapiga kelele tu nchi inawajinga wengi hivi hatujifunzi nchi zilizo endelea blabla kutafuta huruma mnaishi vipi.
@@jaffaralimakame1533 wameyemshambulia siyo Samia bali ni Rais Samia. Siku akimaliza prais hakuna atakayemshambulia. Mwangalie Kikwete ni nani anahangaika naye. Kwa hapo tatizo ni nafasi ya urais
Watu wanaombeleza wanakamatwa, mm nimoja wa watu wanaokuwa na maumivu makubwa, Mungu awatetee,
Hongera sana chadema kwa kutekeleza haki yenu ya kikatiba, lakini naona Tz inarudi gizani kidiplomasia kimataifa😢😢😢😢
Ilisharudi mda
That's is fact 👍
Nenda kaitazame saudia arabia
Polisi na serikali mnajidhalilisha
Hii nchi ngumu sana aisee
Serikali ya CCM, niserikali yaajabu sana, maana haisikilizi maoni ya wananchi
Mbona hamkutokaa 😂😂
Lisu Police huwa hawanzongi sana maana jitu haswa 😂😂😂
Chadema hoyeeeee!! Hakika nyie ni wazalendo og!!❤
Lisuu hajawahi kushindwa kesi na serikali. Kashindwa mwendazake akaamua kufanya tyu tyu tyu
😂😂😂😂na katoboa hata hiyo tu tu tu 😂😂
Huu ni uonevu wa waziwazi ila haya mambo hata iwe ni miaka 50 mbele lakini upo mwisho wake
@@baruakivuma8024 AA Sasa siku nyingi.mnatoona wazamzibar wajinga.tunataka nchi yetu.hatutaki muungano na washenzi wa kitanganyika Kila mtu kwao
Mungu yupo na wananchi wanyonge kama Mimi na wengine ila duwa zangu kwa Mungu wangu alie hai namuombea mheshimia Tundu Lisu atoke hapo kituoni salama wasimfanyie ubaya wowote hao watu wasiojulikana kwenye hili taifa huru.
Wako sahihi kikatiba ila mazuzu ndiyo mnapinga
Maandamano ya Amani umeona wamebeba kirungu au upanga au kisu? Wote walikuwa na lengo zuri ila waliobeba mitutu, mabomu na kuja kishari ndiyo wenye shida
Ewe mwenyez Mungu tupe watu sahii wenyekupenda haki co kupoteza hak🤲
Mungu wetu wa huruma tuhurmie tuepushe na hila hii
Kwa nini walimkamata nyumbani??
MUNGU atawasimamia msijari na haki itapatikana tu 🇹🇿🙏
@@ThomasMmary-r7w toa matako ndio haki itapatika
@@AbdallaJuma-tx5ckkua na adabu mama yako ametoa?
Acheni hicho kinacho endelea ninyi mapolisi . Msizani hichò mnacho kifanya kizuli kila mmoja ataioña chungnu .
polisi wetu wanateseka ADI uruma
Kumbe chadema ni chama kikubwa🎉🎉
Kinawabunge wangapi au zanzibar kinae mwenyekiti wa serkal ya mtaa 😂😂
Aisee😂
the world still observes what happens in Tanzania
What will it change though?
Hii nchi wanatusea vichwa vya nchi. Mamae jeshi la polisi. Mama uko wapi lakini. Tutakutana uchaguzi mkuu. Tutajua mbivu na mbichi. Sasa tunaamini bora vita na si chochote. Usenge huu unaofanywa na wasenge
Mungu fanya kitu
Mungu atafanya jambo muda ukitimia tu
Mbona Chadema walishafanya maandamano ya amani siku za nyuma na polisi wakiwalinda?
Akili ndogo kutawala akili kubwa ni tatizo hivi ukitaka kujiunga na polisi sifa zake ni zipi?
Mbuzi kafia kwa muza supu🐐🐐🐐🐐
Hii nchi ni ya wote bwana na ninyi mnaosema chadema hawana haki ya maandamano kwa sheria ipi? Au kwa kuwa ninyi mnakulq na kushiba ndiyomana unaona yanayotokea ya kipuuzi mngekuwa ninyi sijui kama mngelopoka hayo .kila mtanzania ana haki ktk hii nchi acheni kushadadia mada jeshi la polis lipo kazi yake kulinda aman na hao wanaofanya maandamano wakiwa barabaran na poilsi wapo bila kuwasumbua mpk wafike kilele chao kutakuwa na ubaya gani? Hawana nguvu yeyote ya kidola iweje wakamatwe.
Daaaa hapa ni Udikteta haswa, sasa ikiwa jambo ambalo limekubaliwa kisheria katika Katiba halaf linapigwa marufuku tena lisifanyike manaa yake ni nin?? Sasa tutasema tuna sheria kwel?? Inauma sana aseee,
Kwani sasa hivi Robert Amsterdam sio tena wakili wa tudu lisu,au ameshindwa kumlipa mboni lisu hameamua kuwa na wakili mtanzania
Yule anamtumia kwenye kesi za kimataifa.
Abuu Thabiti hujitambui,unatamani watu watekwe wafe.
😮 ok katiba
Inamaana kea tundu lisu kuna barbara au amekutwa chumbani anaandamana na mke wake kwani wamkamatie nyumbani kama alikuwa ameahirisha wamemkuta anaandamana
TATIZO HIYO MIPOLISI YA TZ INAFANYA KAZI KIMAZOWEYA HAWAFUATI SHERIYA YYTE NIMABAVUTU.WASHENZI WAMEKAA KM WATOTO WAMASHETANI
Samahani kama nitakukwaza umekosea kuandika sms badala ya SHERIYA,MAZOWEYA ni SHERIA,MAZOEA
Chadema hawajitambui, huwezi kufanya siasa za chuki huku ukishirikiana na viongozi wa dini my ja halafu utegemee kuungwa mkono wa watu wa dini nyingine , huo ni ujuha, kama ni siasa ingebaki TU kuwa siasa kwa kupambanisha sera, siyo kupambanisha watu kulingana na dini zao na maeneo wanayotoka.
Acha ushabiki ccm ndiyo wanafanya siasa za chuki
chuki ni nini?
Mnaojitambua ni nyie mnaobaka, mnaolawiti, mnaoiba fedha za miradi, mnaoteka watu, mnawatesa na kuwauwa na mishahara hewa kwenye Halmashauri. Yaani mnajielewa kwelikweli.🎉🎉🎉.😅
kumbe kuteka na kuuwa ni siasa safi.
God forbid
Kwani kama kiongozi wa siasa Kazi yao Ni Nini???sijui Kwa Nini Tz mmekubali kuwe Na vyama vya siasa😏
Nimesikitika Tanzania kuna wasomi wengi lakini awajui kusoma leo ccm imezarau katiba sasa mnafan yanini
Wananchi wako wapi kutekeleza kifungu alichovunja makamu mwenyekiti wa CDM?
Mwache akanywe uji msenge uyo anaona kama nchi ya mjomba ake
Uchochezi😂😂😂😂😂
Mhhh kwa hiyo nguvu kubwa iliyotumiwa na police ni kuhusu kuzuia maandamano ya amani tu au kuna cha zaidi mbona wanajiaibisha jamani hata wanajishangaa mara pengine
Polisi wetu ni kama manyumbu wanaendaga kama wamekatwa vchwa
Hawa wanaojiita wanashelia Ni wanaochochea uvunjifu was amani Tanzania,Hawa ndio wakuchukuliwa hatuwa .
Wewe ndiyo kweli bwege ulikimbia umande hata hujitambui pole sana
Kweli wanasheria kusipokuwa na matatizo watapata wapi pesa? Lazima wachochee ili vurugu zikiwepo na wao wanafaidika. Mwanasheria atachomwa na moto wa gesi kesho kiama.
kajifunze kuandika kwanza
Akuna kesi apo
Maandamano ya amani lkn cha msingi lazima kupata kibali cha polisi sheria ipo wazi
Sio kweli kasome vizuri
Wezi na mafisadi hawakamatwi wala hawatekwi wala hawauwawi kama Serikali haitaki Vyama vingi futeni ibaki CCM waache Siasa za Kishamba za kutisha Watu, kuteka Watu na kua Watu ovyo , Tanzania siyo Mali ya CCM tendeni haki kwa Wananchi siyo Ubabe Viongozi wakubwa wanaongoza kwa dhuluma, rushwa, ufisadi na mitandao ya wizi hakuna Maendeleo bila HAKI kwa Wananchi
Wacha wakamatwe mnataka nani akamatwe
Ewe nchi yangu, Tanzania tulia hili ni jinamizi..
Acha muda uongee uchaguxi unakuja tuanze na uchaguxi wa vijiji
Mimi kwa akili zangu ndogo nashindwa kuelewa Katiba inaruhusu kuandamana na Rais waga akiapa anasema atailinda na kuitetea katiba sasa mbona kwenye kipengele cha maandamano hakitetei
Iyo sio dawa apo Amna kesi
Ingetokea kwetu kenya kiongozi wa upinzani kukamatwa ingeshangaza dunia,nyie mnafikiria mabadiliko yanapatikana rahisi
Ninyi ni Kenya sisi ni Tanzania. Hivyo jali ya nchi yako.
LINI WALIWAHI KUFANYA MAANDAMANO YA AMANI HAO,
Wamefanya nchi nzima bila mtu kuguswa wala ,kupotea kitu chochote.
Au wewe unaweza kusema maandamano ya chadema waliyo leta fujo.
Hebu Acha uoga na uchwawa.Nchi ni ya watanzania wote,kama wamekosea wapelekwe mahakamani ambako huwa,wanashinda kila kesi kama hizi.
Mwenye akili awezi ongea ujinga kama huu Toka uijue chadema lini umeskia hata wamemchapa mtu fimbo mbali na maovu yote yanayoendelea kufanyika chini ya utawala huu wa kijani
Wamekumbuka zile kesi na kukaa jera
Hmm hii siyo nchi tulioizoea wanainchi jiandikisheni japo wamesema kwamba wlishapanga matokeo uchaguzi wote kuanzia wabunge wenu ndo waliotufikisha hapa maana walichoperekwa kutetea wanainchi wamebaki kujaxa kuwakanyaga waondoeni wote msiwachague
Kifungu cha 2022unaonaje hio et uchochezi watekaji wana tesa baba, MUNGU w IBRAHIM tusaidie, rabbi alaamina,
R.I.P MAGUFULI …..tutakukumbuka daima.
Unamkumbuka Kwa lipi
Akùmbukwe kwa lipi. Jitafakari
Na nyie wasuku kila muda magufuli amekuwa yesu,magufuli ndo alikuwa fisadi namba moja na ameuwa wengi sana kwaiyo usitutangulizie magufuli mbele hivyo alivyolala ndivyo ata aliowauwa wamelala😢
Katiba mpya serikali tatu.kila mtu kwao.
Serikali moja tu
@@zobakazizi7637 powa watanganyika Sasa koloni la wazamzibar.mama Lete makao makuu za nchi ni Zanzibar mtabaki miaka yote ntakuja Kuja Zanzibar kuuza miili yenu wajinga
Huyu ana vurugu sana kwenye nchi
Mdomi mali yako kijana
Wayne amani wakwap
Baba Ako ndo anavulugu kukuleta tanzania yenye watekaji
Shamba village husiulize mambo ya kijinga kila mtu hata wewe unayo haki ya kuwa na wakili umtaksye kwa wakati upendao.
Hatar mtu unafuatwa nyumban nisingetoka
Nchi inaendeshwa kwa katiba sio kwa utashi wa mtu,au kwa uchawa
Kweli 😅
Katiba ni Nin..??
Najua wajinga wengi hawajitambui.wamekuwa kama mainzi kufuata mzoga mtakuwa na akili lini? Ngoja yawakute nyie msitufute.@Don.26Alien
chadema wanatumia sheria, polisi wanafanya mazoeya
Sheria gani, wakimbizi hao warudi wanako lelewa watto wao
@@mzalendomzalendo2567 i can't taLk to a Blindman 🚶♂️
Lisu nimwamba polis mtateseka sana kama mulishindwa kumua pindi mlichompiga lisas bas me niwape pole
TUNDU LISU MBOE MNYIKA WAMEKUWA WAKITOA VITISHO NA KUMTUS RAIS WAPELEKWE SEGEREA WAJIFUNZE ADABU WAKITOKA HUKO WATAACHA JEURI HATA JESHI LA POLIS WANALICHEZEA SANA HAWAFUATI TARATBU
Na mama yako pia akamatwe kwa kosa la kuku zaa wewe ambaye hujirlewi
Wewe Kuna viungo mwilini mwako havifanyi kazi we ni mlemavu wa aki.........malizia
Kweli na wewe unastahili sifa kwa maelezo yako uliyoandika.
Hujielewi
Jitafakari
Kumbe ni maandamo ya AMANI that's good
Mungu umtetea mwenye hak c tunaomb aman
MBONA MAKOSA YA KISENGE? JWANI MAANDAMANO KWAMUJIBU WA KATIBA NIKOSA? EBU POLISI JIREKEBISHENI MNAICHAFUA NCHI KIMATAIFA
Hayo mataifa munayoyasema ni yepi au bado muko munatawaliwa na hayo mataifa ambayo ni waonevu na wezi tu haswa ikiwa inahusu Afrika. Acheni ujinga hayo mataifa makubwa hayana haja na nyie ila rasilimali zenu tu. Wajinga wakubwa.
Weka ndani mbowe tundurisu mnyika rema nahao mawakili wao mtawatowa 2025 mwezi 11 tumechoshwa na kelele zao
😢Mwanaume anae vuja jasho hawezi ongea usenge kama huu ila wale wanao lelewa na wazazi wait ndo anaona raha kucomment ujinga
@@georgesteven5185😂😂😂😂😂😂😂 Huyo ni mwana Simba Siyo Mwananchi
Ulifanikiwa kufika hta darasa la 5??? Maana isemayo/ uandikayo yana kutambulisha kuwa wewe niwa namna gani kiakili!!
Siku akipotea baba yako utajua
EE MUNGU WALINDE MASHUJAA WATETEZI WA HAKI DEMOKRASIA NA MAENDEO YA TAIFA LETU
NDUGU LISU MUNGU AKULINDE
MBOWE MUNGU AKULINDE
LEMA MUNGU AKULINDE
VIONGOZI WOTE WA CHADEMA NA WANACHAMA WALIOANDAMANA MUNGU AWALINDE
Mbona wanaocoment juu ya chadema ni waislam tu? Je hii ni chuki ya kidini? Mbona hata chadema Kuna waislam?
Ww umewajuwaje kama waislam
Kundi hilo ndiyo lina wengi wasiojitambua ndoo maana,imani inasema ndugu wa mwislam ni mwislam mwenzake haijalishi anatesa watu wakiwemo na wao wenyewe, ili mradi tu wanaomnyoshea kidole wanawaona ni wa imani zingine wenye kuona ubaya wa mwislam mwenzao huwa ni wachache sana
@@leonardlameck7486Uislamu hauko hivyo, mtu akiwa muovu Uislamu hauna uwezo kumtetea, mbona kuna kisa kiliwahi kutokea enzi za Mtume wetu.
Kuna muislamu alipora mali ya mtu aliyekua si muislamu, kesi ikafika kwa Mtume, baada ya maelezo, muislamu hakuna na haki, ilimpasa kurudisha mali, akakataa, na kukata rufaa, akaenda kwa Swahaba Aliy, akshindwa tena huyo muislamu, akakata rufaa akaenda kwa Swahaba Omar. Yule mtu aliyekua si muislamu akampasha habari Swahaba Omar.
Akasema: Huyu muislamu mwenzio tushahukumiwa na Mtume wenu, na Aliy, bado hataki kunipa haki yangu, anataka na wewe utuhukumie.
Swahaba Omar kusikia vile na kuthibitisha, akaenda ndani na kutoka na upanga na kumkata kichwa yule muislamu asiyetaka kuachia mali ya watu. Alitaka apendelewe ati sababu yeye ni muislamu.
Aya zikashuka juu ya hilo. Uislamu hauna nafasi ya kudhulumu mtu.
Kwani huwajui hawatupani ata kama kuna huozo kinachotetewa hapo ni dini tu na hakuna kingine
Kwani katangaza ya amani ndio ya Amani
Naomba kuuliza Nguvu yote hiyo na bado unasema ni dhaifu hapa nchini?
Hebu acheni ujinga badala ya kupiga kazi eti mnapiga kelele tu nchi inawajinga wengi hivi hatujifunzi nchi zilizo endelea blabla kutafuta huruma mnaishi vipi.
Chadema Wamepata "USHINDI WA BURE"
MNAMTUKANA RAISI SAMIA KAMA SIO MTU NAOMBA HAWA MBWA WAPOTEZENI.
Wewe ndo una haki ya kutukana wengine?
Daaaah! Wapotezweje yaani mbona kama una hasira Sana Kama itaishi milele
NDIO NAHASIRA MIMI HUYU NI MAMA YANGU AMEKUKOSEENI NINI ? YEYE AMEMUUWA NANI AMEMTEKA NANI ? KAMA NAWEWE UMO PIA .
@@jaffaralimakame1533 wameyemshambulia siyo Samia bali ni Rais Samia. Siku akimaliza prais hakuna atakayemshambulia. Mwangalie Kikwete ni nani anahangaika naye. Kwa hapo tatizo ni nafasi ya urais
Upotezwe kwanza ww na familia Yako zezeta ww
Pereka jera ao washenzi wanataka kuturetea vurugu