Hamuwezi fanikiwa mkiwa na roho hiyo sheikh yuko sawa kabisa na mm alhamdhulillah nlipokea maneno yake nkayafanyia kazi kila siku nlikua nkimswalia mtume mara elfu 2 baada ya alfajir alhamdhulillah penye nko saii siezi acha kumswalia mtume
Nakubali na nakuelewa sana shekhe na wish siku moja kukuona maana hao wanaobisha yakin hawana ila swala ya mtume imenisaidia mengi sana waislam sio mathalili tu fanyen swala za mtume matokeo yapo tena yapo kweli hiyo tu kumswalia mtume kazi fanya uone kama unaweza uinebalaa Lake sio unaongea tu
SAWA LKN, IBADA NA KAZI HAMASISHA WATU WAFANYE IBADA NA WAFANYE KAZI ZA HALALI KWA BIDII, NA WAMCHE ALLAH ALLAH ATAWARUZUKU KWA NJIA WASIOZOZIJUA. Duh hizo visa vya uongo tuu
(SIO أن أقرأ إليك) Ni أن أقرأ عليك .. An -ni harf masdary wa nasbu...kwahiy فعل مضارع Imepata fat-ha kwa heruf ya (أن) yatakiw useme (An-aqra'a.. Alaika) nasio (An aqrau..ilaika ..KAA DARASAN AKHY SOMA NAHWU NA AQIIDA SAHAIH.
ajabu sana watu wanahamasisha kumuasi Allah na watu huangalia hawakemei, mtu akikumbusha kuhusu Allah inakuja bidaa haya tuambie nyie msiofuata bidaa na kweli mkawa mnafuata kitabu na sunnah, jiulize unaswali dhuhaa, unaamka qiyam layl, unafanya adhkar, je familia yako ipo kwenye mstari mzuri? wallah watu wajifanya mnyajua sana mkiona mtu kazungumza lakin ndani yenu mna machafu na wala hamjitathmin wenyewe acheni aongee hata kama unasema ni budaa atakaye afuate asiyetaka na aache lakin hajaamlisha watu watembee uchi au wacheze miziki au kuhamasisha zinaa na nyie mnaojiita wasomi hatuoni mkinadi ila kwenu ni upinzani tu.
Shekh Nakushauri wakumbushe Waislamu kufanya kazi kwa bidii na wamtegemee Allah kuwapa matokeo mema ya juhudi zao.. Kuhusu utajiri waache wao na Mola wao... Muogopeni Allah . Watu wana shida zao za Maisha na Allah pekee anajua zaidi.. Wakumbushe wajibu wa Ibada zote huku wakimtegemea Allah... Hizo tamaa za Benz ,Mazda n.k acheni kabisa hizo Shubhaat... Malengo ya Allah kutuumba na kutuleta Duniani Sio MALI na UTAJIRI... Kuweni makini na Daawa zenu hizo. Waislam wanahitaji Kumjua Allah na Dini yao Vema.Nyie mnawahubiria TAMAA za UTAJIRI kana kwamba ndio lengo kui la Kuumbwa kwao.. Mcheni Allah ukweli wa Kumcha Dunia inapita tu...
Huyu sheikh namkubali sana nliskiza mawaidha yake nkasikiliza kwa yakini nkayapokea na nlipoanza kumswalia mtume wallah Allah aliniondolea shida akanipa kazi nkajengea wazaz nyumba na bdo nazidi kumswalia mambo yangu yazidi kufunguka alhamdhulillah so mkipata jambo jema lichulieni kwa wema lkn ukitia neno mhhh huez fanikiwa kwasabab ume dout uwezo wa Mungu.
@@moodyhassany8928 Acha rohoo mbaya,mbona hata Kitabu cha Mungu Mtukufu unakikuta dukani kinauzwa?na hata akikupa kitu hicho bure ujue kakinunua kwa pesa ;sasa unategemea huyu Sheikh anashinda maporini anajimbua dawa alafu aje akutibu bure bure bira chochote?Watu wanafanya starehe zao huko wanafanya mazinaa wanapata mikosi ya kujitakia alafu Sheikh wetu awatibu bure inaingia akilini?Watu wanaenda kwa waganga kuku wanatwishwa mabaraa alafu waje kwa Sheikh awatibu bure, punguza rohoo ya husda Wewe fanya kazi zako na Wewe upate mali halari kama Sheikh kila mtu amepewa njia zake za kupata Mali na Allah kama kuna sehemu anakosea basi Allah amuongoze lakini sote ni binadamu na kila mtu anayo mapungufu yake ndiyo maana tumepewa nafasi za kutubu madhambi yetu, sisi sio malaika na ujue maisha ya umasikini au ufakiri sio maisha mazuri na hakuna hata mmoja anayejiombea dua ili akawe fakiri hakuna kila mtu anatamani apate mali nyingi na Je kama hauna pesa kabisa unaweza kutoa sadaka kwa wasiojiweza,au Msikitini?Je kama hauna pesa kabisa unaweza kuoa mke na kutoa mahari?Unaweza kuitunza familia yako bila na kusomesha wanao bila pesa?Unaweza kwenda Makka kuhiji bira pesa?haya ni machache jitafakari na dini yetu katika Quran yetu Allah anawachukia sana watu wanaofatilia madhambi ya watu na kasoro zao na kuzitangaza,kama mtu umeona kasoro zake mtafute pembeni mwambie tofauti na hapo punguza wivu katika mafanikio ya watu !
Acha Kauli za Kijinga wewe unakua kama mjinga asiyejua kitu.. Watu wa bidaa ndio lugha gani we mjinga sana.. Wewe na hao watu wako wa bidaa hamna tofauti wote sawa tu.. Wao bidaa na wewe ni Muislamu bwege sana na akida yako ni ya kijahili na Allah atuepushe na waislam wa jazba kama nyie.. Hawa ni wazushi mie pia sipendi uzushi wao na naupinga sana.. Ila Kosa la mtu huyu au mwengine we wote unawaweka kapu moja ooh watu wa bidaa unakua unakera hata wasiostahili. Mnagawa Umma ili wayahudi wapate nguvu wajinga nyie.. Nyie mnaogawa Umma na Hawa wa bidaa wote sawa tuu
Hawa masheikh kuna uwezekano wakawa ndiyo kuni zetu😂, najiuliza ni kipi DIDA kakifanya kwenye uislamu wanachomsifia nacho na kumpamba nacho kama siyo kuwapotosha vijana wa kiislam kuwaminisha kuwa alichokuwa anakifanya ni sahihi kwa dini ya kiislam.😢
Hongera sana sheikhe. Hata ama Kuna watu wanapinga kweli hayo mambo Mimi nimetumiya nikafanikiwa alhamdulillah
Shekh uko sahihi sana mm nishafanikiwa sana kupitia swalatu allannabiy MashaAllah Allah akupe kila la kher
Masha Allah sheikh 🙏🙏🙏
Allahu Akbar shekh Othman akupe umri mrefu
JazakaAllahu khair
Hamuwezi fanikiwa mkiwa na roho hiyo sheikh yuko sawa kabisa na mm alhamdhulillah nlipokea maneno yake nkayafanyia kazi kila siku nlikua nkimswalia mtume mara elfu 2 baada ya alfajir alhamdhulillah penye nko saii siezi acha kumswalia mtume
Nakubali na nakuelewa sana shekhe na wish siku moja kukuona maana hao wanaobisha yakin hawana ila swala ya mtume imenisaidia mengi sana waislam sio mathalili tu fanyen swala za mtume matokeo yapo tena yapo kweli hiyo tu kumswalia mtume kazi fanya uone kama unaweza uinebalaa Lake sio unaongea tu
SAWA LKN, IBADA NA KAZI HAMASISHA WATU WAFANYE IBADA NA WAFANYE KAZI ZA HALALI KWA BIDII, NA WAMCHE ALLAH ALLAH ATAWARUZUKU KWA NJIA WASIOZOZIJUA. Duh hizo visa vya uongo tuu
Sasa si kazi wajiongeza mwenyewe muache shekhe wetu sisi twafanya na kazi zetu tunazp
Upo ryt
Tubu kwa mola wako akhii,unamshutumu sheikh kuwa ni muongo.hali yakuwa hauna uhakika,na amesema tumswalie mtume s.a.w na hajasema watu wasifanye kazi
Sheikh yuko sawa nlipata mafinikio makubwa kupitia swala ya mtume alhamdhulillah ukitaka utajir mswalie mtume
Wewe acha gubu hata sheikh anachofundisha hukielewi kaa usome achakukurupuka
(SIO أن أقرأ إليك) Ni أن أقرأ عليك .. An -ni harf masdary wa nasbu...kwahiy فعل مضارع Imepata fat-ha kwa heruf ya (أن) yatakiw useme (An-aqra'a.. Alaika) nasio (An aqrau..ilaika ..KAA DARASAN AKHY SOMA NAHWU NA AQIIDA SAHAIH.
😊😊😊😊😊 visa vya uongo tuache enyi watu wa bidaaà
ajabu sana watu wanahamasisha kumuasi Allah na watu huangalia hawakemei, mtu akikumbusha kuhusu Allah inakuja bidaa haya tuambie nyie msiofuata bidaa na kweli mkawa mnafuata kitabu na sunnah, jiulize unaswali dhuhaa, unaamka qiyam layl, unafanya adhkar, je familia yako ipo kwenye mstari mzuri? wallah watu wajifanya mnyajua sana mkiona mtu kazungumza lakin ndani yenu mna machafu na wala hamjitathmin wenyewe acheni aongee hata kama unasema ni budaa atakaye afuate asiyetaka na aache lakin hajaamlisha watu watembee uchi au wacheze miziki au kuhamasisha zinaa na nyie mnaojiita wasomi hatuoni mkinadi ila kwenu ni upinzani tu.
Shekh Nakushauri wakumbushe Waislamu kufanya kazi kwa bidii na wamtegemee Allah kuwapa matokeo mema ya juhudi zao..
Kuhusu utajiri waache wao na Mola wao...
Muogopeni Allah .
Watu wana shida zao za Maisha na Allah pekee anajua zaidi..
Wakumbushe wajibu wa Ibada zote huku wakimtegemea Allah...
Hizo tamaa za Benz ,Mazda n.k acheni kabisa hizo Shubhaat...
Malengo ya Allah kutuumba na kutuleta Duniani Sio MALI na UTAJIRI...
Kuweni makini na Daawa zenu hizo.
Waislam wanahitaji Kumjua Allah na Dini yao Vema.Nyie mnawahubiria TAMAA za UTAJIRI kana kwamba ndio lengo kui la Kuumbwa kwao..
Mcheni Allah ukweli wa Kumcha Dunia inapita tu...
Fact
Upo sahihi!! Upon makini!!
Utajiri muhimu wewe peleka uislamu wako uso eleweka
Huyu sheikh namkubali sana nliskiza mawaidha yake nkasikiliza kwa yakini nkayapokea na nlipoanza kumswalia mtume wallah Allah aliniondolea shida akanipa kazi nkajengea wazaz nyumba na bdo nazidi kumswalia mambo yangu yazidi kufunguka alhamdhulillah so mkipata jambo jema lichulieni kwa wema lkn ukitia neno mhhh huez fanikiwa kwasabab ume dout uwezo wa Mungu.
Hawa ndio masufi waongo saana
Sijawahi kumsikia akizungumzia Tawheed au Shirk. Yaani kufanikiwa ni utajiri????
Unachukua pesa za waumi alafu mnasema dua ebu acheni masiala basi
Anaichukua kwa nguvu mifukoni mwao?
Dua ni kweli pia mm zimebadilisha maisha yangu
@@moodyhassany8928 Acha rohoo mbaya,mbona hata Kitabu cha Mungu Mtukufu unakikuta dukani kinauzwa?na hata akikupa kitu hicho bure ujue kakinunua kwa pesa ;sasa unategemea huyu Sheikh anashinda maporini anajimbua dawa alafu aje akutibu bure bure bira chochote?Watu wanafanya starehe zao huko wanafanya mazinaa wanapata mikosi ya kujitakia alafu Sheikh wetu awatibu bure inaingia akilini?Watu wanaenda kwa waganga kuku wanatwishwa mabaraa alafu waje kwa Sheikh awatibu bure, punguza rohoo ya husda Wewe fanya kazi zako na Wewe upate mali halari kama Sheikh kila mtu amepewa njia zake za kupata Mali na Allah kama kuna sehemu anakosea basi Allah amuongoze lakini sote ni binadamu na kila mtu anayo mapungufu yake ndiyo maana tumepewa nafasi za kutubu madhambi yetu, sisi sio malaika na ujue maisha ya umasikini au ufakiri sio maisha mazuri na hakuna hata mmoja anayejiombea dua ili akawe fakiri hakuna kila mtu anatamani apate mali nyingi na Je kama hauna pesa kabisa unaweza kutoa sadaka kwa wasiojiweza,au Msikitini?Je kama hauna pesa kabisa unaweza kuoa mke na kutoa mahari?Unaweza kuitunza familia yako bila na kusomesha wanao bila pesa?Unaweza kwenda Makka kuhiji bira pesa?haya ni machache jitafakari na dini yetu katika Quran yetu Allah anawachukia sana watu wanaofatilia madhambi ya watu na kasoro zao na kuzitangaza,kama mtu umeona kasoro zake mtafute pembeni mwambie tofauti na hapo punguza wivu katika mafanikio ya watu !
Wew umechukuliwa kiasi gan?.
duhh mbona watu wa bidaa wanavisa vya uongo jamani hivi hawana haya duhh salaaalah!!!!!
Acha Kauli za Kijinga wewe unakua kama mjinga asiyejua kitu..
Watu wa bidaa ndio lugha gani we mjinga sana..
Wewe na hao watu wako wa bidaa hamna tofauti wote sawa tu..
Wao bidaa na wewe ni Muislamu bwege sana na akida yako ni ya kijahili na Allah atuepushe na waislam wa jazba kama nyie..
Hawa ni wazushi mie pia sipendi uzushi wao na naupinga sana..
Ila Kosa la mtu huyu au mwengine we wote unawaweka kapu moja ooh watu wa bidaa unakua unakera hata wasiostahili.
Mnagawa Umma ili wayahudi wapate nguvu wajinga nyie..
Nyie mnaogawa Umma na Hawa wa bidaa wote sawa tuu
Hawa masheikh kuna uwezekano wakawa ndiyo kuni zetu😂, najiuliza ni kipi DIDA kakifanya kwenye uislamu wanachomsifia nacho na kumpamba nacho kama siyo kuwapotosha vijana wa kiislam kuwaminisha kuwa alichokuwa anakifanya ni sahihi kwa dini ya kiislam.😢
The miss understood religion
Nikwelysekhewatuunaungeyapweni
EEE Je wewe wajua kila kituuu?
Mhhh tapeli huyu bhna
Sawa we kaa ivo ivo
Tapeli amekufanyaje kwani
@@SaidSombiUyu Ustaadh amesaidia sana kubadilisha maisha yangu kupitia mafunzo yake ikiwa humpendi pole sana
Haya ww tu ndo muaminifu
@@abdulgeuka3985 Tapeli niwewe unaye chafuwa watu mitandaoni filauni mkubwa wewe achana na sheikh wetu
Muongo wewe