Mose anawazazi kweli au wameshatangulia maan kwa mwanamke huyo japo kupenda maradhi ila hapo siungi mkono kabisa khaa mwili kutwa upo bila msitu wa hifadhi mazingira minapita tu😂😂😂😂
Wewe wacha upuzi!!! Laana ???? Wajisikia? Nikuulize ulisikia wapi mke anauwezo wa kulaani mumewe???? Alafu hivi huyu moze hafai kuoa tena ! Aaaaaah nenda ukajifunze mwanzo tofauti ya L na R
Ivi na nyinyi mnaamini haya maigizo jamani khaa watu wanajua kutumia fulsa y kiki. Sasa mose iyobo wa kutoa gari kwa masha kweli akati cookie ada tu hapewi 😂😂 ivi kwani mose hana Dada au mdogo wa kumpa uje uumpe girlfriend 😂😂😂
Hivi kuna laana gani kwa wasanii wa Tz kutojielewa?? Mtoa gari mkatika kiuno katika show ya wasafi na hana maisha kapanga nyumba maisha ni bora ya kisanii bila kupambania nyumba yake, na mpewa gari mchezesha matiti kwanini magari yatolewe kama karanga kujionyesha kwa tulio na akili hii ni Hovyo
Apana ntaamini juma lokole niakikishie nikweli iyozawadi ama nikiki👌
Huyu Mose bado anampenda aunti zeikel na anafanya hivi amuonesha..anatumia nguvu nyingi kumuonesha aunti😂
Mashaallah...Masha ringia rangi alokupa Mungu...
So You have started like Diamond and Zuchu aty sisters and brothers... God is watching chaaiiiiiiiiiii.
Mose anawazazi kweli au wameshatangulia maan kwa mwanamke huyo japo kupenda maradhi ila hapo siungi mkono kabisa khaa mwili kutwa upo bila msitu wa hifadhi mazingira minapita tu😂😂😂😂
Udg anawez kubadilik
6:46 eti sister wangu😂😂kweli ni sister kwa sauti yake tuu inaonesha ni sister😂
Wasanii wahong hiyo sigari ya siku zote ya masha
Moze hivi we mwenyewe una gari 😂😂 watoto aunty anakutunzia😂
Anti yeye hataki Moze amhudumie mtoto anasema Kusah 😂😂atahudumia mtoto.
@@speciosermusika2009 pia alishasema alipoamua kuzaa mtt alimtaka yy km yy kwahiyo atahudumia
Yaani kweri moze laana ya ant Ezekiel inakutafuna ivi hujaona wanawake wote
Wewe wacha upuzi!!! Laana ???? Wajisikia? Nikuulize ulisikia wapi mke anauwezo wa kulaani mumewe???? Alafu hivi huyu moze hafai kuoa tena ! Aaaaaah nenda ukajifunze mwanzo tofauti ya L na R
Nyie Kiki Hz watanzania MUNGU anawaona
Asubutu sauti ya Mose imeenda Turkey ama😂😂😂
😂😂😂😂
Hovyoooo 😂😂😂 brother wake kipenzi Mbona 😂😂
Uongo tu kiki zenu mastar 😂😂😂😂😂😂
Next time mujaribu kupeana plot atlist mtu apate kueka msingia wa kesho
Kiki za kipuuzi...yaani ukitaka kufanya kiki mtafute masha.. 🤣🤣
Hii ndo sauti yake mose😂😂😂.....ivi magari sh.ngp😢,, mbn me cnunuliwi😅
Hz gar wanaokotaga wapi jaman😂
Me mwenyewe nawazaga 😁😁
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yani aaahhh sie wengine tunajituma miaka na miaka atagari ya milioni kumi 10 hatuna jamani Aaaahh
@@mwinjemwinje1016 aaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mmmh kwaiyo mapenzi
Atari sio kwa penz jipy hiri
Ivi moze iyobo ww si ulikuwa unakuwaga unamutusi kusa ona sasa kwenye ulienda angukiya du kwa huyo masha ronge weye
Uongoooo bhn me stakiiiiiii😂😂😂😂😂
Sauti ya mose vipi😂😂
Limasha lizuri sema linatoa fahamu tu
Bwanake
Ivi na nyinyi mnaamini haya maigizo jamani khaa watu wanajua kutumia fulsa y kiki. Sasa mose iyobo wa kutoa gari kwa masha kweli akati cookie ada tu hapewi 😂😂 ivi kwani mose hana Dada au mdogo wa kumpa uje uumpe girlfriend 😂😂😂
😂😂😂😂
Nashangaa
Eti kaka subutu juma juma uku kunajambo 😅😅😅
Wakujiongopea hao
Sauti kama chokuu
Ila mapenz bana
Tutajua tu kinachoendelea chezea Masha mbona atakinukisha mbona
It's all about kiki😅😅u know war am sayingggg?
Hii pambesanaa😂😂😂😂😂😂😂😂
Tz bwana rahaaa sana😂😂😂😂
Tanzania sihami 😄 🤣 😂 😆
Moze kitakukuta kitu we nengeneka
Tumechoka na uongo wenu. Wee moxe wemwenye pangu pakavu
Wa bongo nyie kama machizi vile magazine ndio mafanikio yao
Acheni kupotosha watu
Hivi kuna laana gani kwa wasanii wa Tz kutojielewa?? Mtoa gari mkatika kiuno katika show ya wasafi na hana maisha kapanga nyumba maisha ni bora ya kisanii bila kupambania nyumba yake, na mpewa gari mchezesha matiti kwanini magari yatolewe kama karanga kujionyesha kwa tulio na akili hii ni Hovyo
kupanga nyumba hamainishi huna ela bali ni staili tu ya maisha mtu mwenyewe kajichagulia ukitaka mifano ipo mingi
Tunapanga lakin tumepangisha bwana
Kiki iyoo
This was prank 😅
Sister🤣🙌🏻
Kiki
,😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Sauti kama chokuu
😂😂😂😂
😂😂😂
Mwambie huyo jamaa achekulamba midomo
😂😂😂😂