Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
MAHABA WAZI WAZI MOSE IYOBO ❤️RUBY | WATHIBITISHA RASMI WATAFUNGA NDOA
Вставка
- Опубліковано 21 сер 2021
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Hampo kumfurahisha mtu wala kumlipizia mtu ila mmenifurahisha mimi tena sana asantee kwa kunifurahisha moz &rub
Acha wapate raha mda huu yakichacha wakaombane msamaha wasafi fm kwa diva kwenye lavidavi😍😍
Saaaf saaana me nimependa
🤣🤣🤣my number one Dancer..mnapendeza pamoja wallahi😘😘😘
Mose ni legend
Anae kuzaliya ni muhimu siokusema niziro nyote waongo
Raha ya mwenge kupokezana 😂😂😂😂😂love sana ruby
Mose jamn ruby ni mwanamke na nusu jamn 🥰🥰🥰🥰🥰
ua-cam.com/video/wxfTfu0_S6U/v-deo.html
Nice acha mleee
Nawapenda Sana jamani moz na ruby
Mose is happy kwa hii mausiano 😍😍 🔥 🔥🔥🔥🔥
Nawap endasana
Marshal watoto wazuri nawapenda sana mose iyob naruby hayo ñi majibu yakijanja mjiamiñi Asante ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ nawapenda sana kaza amiña l Rabi Rabi Amin
Mnabadilishana kama nguo wasanii poleni sana
Kawaida maisha hayo mbona yako kitambo tuuu ni maelewano tuuuu
Am muna from tz mose iyobo usimuache ruby utaharib sana nawapendeni ❤😍true love
Nice kwa Mose na Ruby 👌tuna wapenda nyote
TANZANIANS RIHANNA (RUBY) LIVE FROM +254
Ruby anajiamini bana! Hana ubabaifu wa kibongoflavor
Mashallah ruby so cute 😍😍😍😍🔥💯
Moze una mbwembwe jaman
Moses get married,she such a cool lady.
Mashallah, l love couple, love you Ruby 😘😍
Very confidence Iyobo, love you bro 🔥🔥🔥🔥
Rubby Nakupenda sana 😍😍
Daah 💯💯💯💯👌👌👌
😍ruby apo kafanana sana na Rihanna
Sawa bana nimefulahi sana na mungu awape fulaha ktk mapenz yenu 🙏
Yaan Ruby navyokupenda mmependezana sana na mose wait and black kitu nyuu Rihanna wa Tz
If you love each other too much then get engaged
Hongera sana Rubby
Nawapenda sana nawaombea maisha malefu na mdumu
Ruby kafata fursa ya wasafi, mjini hapa sogea kwenye ua ridi unukie uwaridi
Haswaaa
Won't be easy fr wasafi to sign another woman not soon
Nawapenda sana rubby na moses
Kiukweli i miss your melody ruby,, yaani urudi tu Ruby yaani, and then mose kusema aina haja ya kumuona mtoto huo ni ushmba mzee itafika mda huyo mtoto utamuitaji na atakuwa na mda na wewe.. sema sometimes mi naona wanawake utumia watoto hiwe kama fimbo kwetu sisi wanaume, ukionesha u dont care jiandae kususiwa.. au ndio ivyo utopata nafasi ya kumuona tena
Mmetisha 🙌
Huyu Mose Huyu hajitambui kabisa sasa madoido yote ya nn inanyesha kabisa upo kulipiza kisasi
Kwer kabisa
Kabsa
Kweli.mapenzi ya kisasi
Safi
Nilifkiri nimeona peke yangu
Nakubali couple 👌👌😍🇴🇲🇴🇲🇧🇮🇧🇮
Mosse🔥🔥🔥🔥
Ruby lov you mama😍😍
mm binafsi nawapenda NA iwe kweli hii itakuwa couple yangu pendwa s
Your beautiful ruby mashallah
Hehe. Moses got swag
Mashallah👌
Respect ✊ mwanang
leo mose kajitaidi kukazaa sauti jmn hongera mose
Nawapenda bule♥️♥️
Ila wasanii jamani🙌🙌🙌🙌🙌, salamu zenu,mweeeee
So proud
Nakubali broo respect
Nakupenda ruby unajitambua sanaa
Wow,love them🥰🥰
❤️❤️
Jamaniii nimecheka kwanguvu
Asante rubby
Nmeipenda hii
Ñi Kiki tu hata wanavyongea sioni hata wako serious sioni chemistry yoyote hapo Naona majungu tu aunt na kusah wametulia coz wanajua wahafek there are real sasa hawa kutwa ñi vijembe inanyesha wazi mpo kulipiza kisas Hamna love kabisa
Kussa acha uongo kwani rubi ana talent kubwa sana kuliko wote waimbaji wanawake
Wow, Nice
Hongera Sana ruby
Nampenda Sana ruby
Kam mnafanya HVO kwa kukomoana mtajuta
Kali sana ♥️
vijana wa kizazi hichi ni shida sana...yan ww mose eti sio lazima kumuona mtoto wako??ushauri wangu tafuta namna ya kufuta hii kauli inamadhara makubwa sana baadae. Hv hamjifunzi kwa mvutano kati ya Diamond na Baba yake?? huyu mtoto unae sema leo sio lazima kumuona si ajabu baadae akawa ndio Diamond na wewe ukawa baba diamond ...Mungu akuepushie mbali...naomba utafute namna ya kufuta hii kauli.
Hata asipokuja kama Daimond, hakutakiwa kujibu hivyo, sio nzuri Kwa afya ya akili ya mtoto.
Au akawa Dancer wake
Kweli kakosea sana
@@emilytv9526 hahahahahaa
Huyu ni mwehu na hii yote wanaumiya hawa kwa mapenz ya wale hawana akili kabisa yani muonekano wenu majibu yenu yanaashilia kabisa maumivu mna ropoka ovyo basi hata kwa mtoto wako wewe ni juwa wa majuha
Nice moze and ruby
Mwaume mmoja azunguke kwa wanawake wote merry go round kichefuchefu hicho
Nawapenda sanaaa
Huyu Dada Presenter namuelewaga sana.
Apo tumeamini kweli wako kwenye mahusiano
Saf sana
Wow 💕💕💕💕
Nimewapenda sana mwaaaaaaa
Congratulations 🎈 congratulations
Hongera mama
Ruby na moze amjitambui ugomv wenu Watt awahusk ipo siku mtajuta na mjue kauli zenu zinahifadhiwa ipo siku Watt wataona
Hi couple nahipenda sana
Mnanifuraish nyie iyobo na ruby👌
😍😍😍😍
Bongo bhana dah! Ni mwendo wa kubadilishana tu😊
Rubby umeweza
😘❤️❤️❤️❤️💕
Mose your voice is nice😋
💯💯💯
Safi sn Rubi moze bonge la bwana bg up
Moses ameongea kiume sn nimefurai na moyo wangu
Saaana
Uyo ndyo Jose iyobo
“I gat tree mirrion forowers “ okayy iyobo 😂
🤣🤣🤣
😆😆😆😆
😆😆😆😆
😂😂
Hehehe pass nne bebe
Very nice
Mungu awabariki Ila mm bunafsi ili nikubali mpaka nione mmefunga ndoa
Napendaga sauti yako iyobo❤😘❤😘😘
❤❤❤
Kaka zaara lini 🥺🥺🧡❤💜
Mtu akibebea bwana we beba xwake na baba yke😂😂hii inaitwa
Bonge la movie tunasubili part two episode ya 1👌🏻
🤣🤣🤣
Kabc
🤣🤣🤣🤣Nmecheka hatariiii....yaan wamebadilishana
@@fatumanyamawi1686 Kabisa inaitwa ngoma droo
🤣🤣🤣🤣nadhani hapo Kuna rekodi imevunjwa namna mahusiano yao yalivyo badilika
💯👏👏👏
Rubi mzur
Nice family mashaAllah 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🔥🔥🔥
I think that is just a 'rebound' to be honest. With time you'll come and attest this.
Aisee umefikiria ka vichwa 1k vya watu kwa comment section
Wote wanne wakae nyumba moja siku ingine wabadilishane
Hongeren nyoot
Jamani inapendeza xana mapenzi hisia
Nice couple
Waah
Nice
Hapo kwa sio lazima...ameongea vibaya....mungu akifunga je
Moses kunambi kapendeza
Nyinyi mna lipa kisasitu ujinga huyo hamna KAZI zakufanya mwana mke adungwe na huyu kesho ww kesho kutwa mwengine bongo wasenge Sana
Hongern