Brathee, thanks for your work we appreciate you coz many of us learn more through your channel, Alafu ukam uku coast Kuna malegend pia wanaeza kujenga story zao.
Edmac kazi fiti but naomba uache ku uliza ati home mlikua watoi wangapi inafanya ikae nika hawako tena , alafu pia ati madha/ mbuyu walikua wana fanya kazi gani,nikama job zao zilisha isha ☺️ otherwise ayaaam glued to your work
Hawa madingo kwani ni wengi aje. Nilianza kuwatch hizi video pale St. Rembo TV... ni kama supply yao haipungui... Alafu hawa reformed kunafaa kuwa na program fulani inawamonitor wasifall back kwa crime. Sisemi huyu Duncan hajareform. Ni kitu tu nimekuwa nikifikiria.
😢izah bro
Thanks!
Asante 🤗🤗
Now you growing big & better, hizi riba za OGs vimeweza ile mbaya
Manze mayut wabadilike joh,😂😂ivo ivo
Buda naona consistency round this iko chonjo, great job brathee. The road to 100k subscribers lazima bro
Appreciated
@ edmac Hapo kwa akipelekwa kuongea na wakubwa wa yule beshte kwa bar usiku mbona una edit unarukisha?
Bro ur doing good job please shuglikia sauti iko chini
kazi fiti sana Edmac God A bless siku zote
Ooh my kababa kety edu Leo nimechelewa aki na hrs bt kuwatch lazima..tufikisheni edu 100k before end of 2024 anafanya job poa..
Asante Mama
Mimi bado nimekwama apo kwa ogwang 😅😅😅 his accent makes him funny.
nilicheka pia. Hiyo jina Ogwang ni kama mkora fulani binadamu anajulikana
Direct translation i tell u
@@edmacmedia
Ogwang means a mongoose in Luo. An animal that steals chickens, btw a very common creature in Nyanza huko mashagz.
Brathee, thanks for your work we appreciate you coz many of us learn more through your channel, Alafu ukam uku coast Kuna malegend pia wanaeza kujenga story zao.
Nipe connections brother
Shugulikia voice mkuu kazi poa
Edmac kazi fiti but naomba uache ku uliza ati home mlikua watoi wangapi inafanya ikae nika hawako tena , alafu pia ati madha/ mbuyu walikua wana fanya kazi gani,nikama job zao zilisha isha ☺️ otherwise ayaaam glued to your work
Sometimes its good to know plus ni kitambo and knowing the backgrounds helps to know him or her well
Broooo tueteee John kiriamiti banah huyo ndio king of Robberies,hata kina shimoli walimuheshimu
Hapana bwana, Edmac endelea kuleta watu wako chini ya maji but real.
That's what makes this channel stand out.
Hawa madingo kwani ni wengi aje. Nilianza kuwatch hizi video pale St. Rembo TV... ni kama supply yao haipungui...
Alafu hawa reformed kunafaa kuwa na program fulani inawamonitor wasifall back kwa crime. Sisemi huyu Duncan hajareform. Ni kitu tu nimekuwa nikifikiria.
Hesabu Kenya iko na jobless wngapi...coz hapo ndio theory ipo...
Juu watu wengi Kenya ni jobless
May god bless you all❤
Ati Lego Maria Aki ma vitamba na mishumaa 😢look for a church b baptist with the evidence of the holyspirit plz
Manze ukue unapea hata Hawa wajamaaa juice
Ama soda kuongea hivi long n hauundi sauti manze
unajuaje hua hawapewi 😅
sauti zote same na wewe
Eee imerika from kumwbia atakutana ma wadosi kwa club to Carew then 6k🤷♂️
Budaa nobody hijacks premises, ni ndegee tuu zinahijackiwa tuu.