MPYA: WATATU WA MWISHO (THE LAST THREE) - 1 season I, SIMULIZI ZA UPELELEZI, UJASUSI NA MAPIGANO.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 79

  • @KlinoboyBilali
    @KlinoboyBilali 6 місяців тому +3

    Uyu jama anapatikana kwenye simlizi ya niukumiwe tena niatari sana TXO😂 naomba liki zenu

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 6 місяців тому

    Waoo nilikua naitafuta kumbe ipo hewan asate sana mwandish na msimuliaj wetu 🎉🎉

  • @omarsaid4611
    @omarsaid4611 6 місяців тому +2

    Nihukumiwe tena

  • @hopefulsabby4169
    @hopefulsabby4169 6 місяців тому +1

    𝑷𝒊𝒏 𝒕𝒉𝒆 𝒎𝒂𝒊𝒏 𝑪𝑶𝑫𝑬

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 6 місяців тому +3

    🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

  • @lonakirao5275
    @lonakirao5275 6 місяців тому

    Kitu kimoto balaa🔥🔥🔥🔥 George hunaga kazi mbaya kabisa ❤❤❤

  • @ARa-k8h
    @ARa-k8h 6 місяців тому +1

    Nihukumiwe tena❤

  • @AnnaMundia-d3o
    @AnnaMundia-d3o 6 місяців тому

    Hongera ..acha twende nalo

  • @ChristineMajimbo
    @ChristineMajimbo 6 місяців тому +1

    Wow
    George dactany SR

  • @masefuibrahimu
    @masefuibrahimu 6 місяців тому +2

    inanikumbusha nihukumiwe tena

  • @juliananakwawi6863
    @juliananakwawi6863 6 місяців тому +1

    Mmmh!!twende nalo nlikuwa nimemiss George dactony❤❤❤❤

  • @mariamrashid6880
    @mariamrashid6880 6 місяців тому +2

    Txo Alikuwa katika Simulizi ya nihukumiwe tena

  • @anyessemathias2657
    @anyessemathias2657 6 місяців тому +12

    Sawa hatikatai watatu wa mwisho lakini ndio mtuwekee kava la pini kwenye mdomo 😂😂 haya wa kwanza kabisaaa naombeni likes

    • @juliananakwawi6863
      @juliananakwawi6863 6 місяців тому

      True hadi nmeshangaa 😮😮😮

    • @Anwaritemalley-or1gn
      @Anwaritemalley-or1gn 6 місяців тому

      𝕙𝕒𝕙𝕒𝕒𝕒𝕒𝕙 𝕚𝕟𝕒𝕥𝕚𝕤𝕙𝕒

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion 6 місяців тому +1

      Pini hiyo Ndio simulizi yetu Sasa dear..Yan ni kama code kwenye hii simulizi 😅😅 sema huwa nawai kucoment kabla ya kumaliza simulizi Ndio maana.😊😊

    • @HaniffaOmary-v5r
      @HaniffaOmary-v5r 6 місяців тому

      😂😂😂

    • @emmanuelmwatujobe8450
      @emmanuelmwatujobe8450 6 місяців тому

      ​@@AnnaMelikionupo kama mm tu

  • @samsung-zb3xi
    @samsung-zb3xi 6 місяців тому +1

    🎉🎉🎉tupe basi mbirimbiri D'Oen manayake sibitu nitamu🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 6 місяців тому +3

    MM katika maisha yangu naogopa vitu viwili fee yawanangu na rent huwa nasikia kulia mtoto akiniambia ametumwa fee yani hicho kitu huwa sikipi nafasi kabisaa bora nilale njaa lkn fee nilipe ..pili rent bora nisivae poa lkn nilipe nyumba huwa nachukia sana mwwnyenyumba kujakunibishia halafu bila usitaarabu anafoka hilo pia nazuia sana.sasa huyu dada anepewa laki kulipia nyumba yy ananunua nguo huyo sio wifematerial hafai kabisaa..

    • @Pretty22750
      @Pretty22750 6 місяців тому

      Hii text yako imenikumbusha shosti yangu alikuwa anasema hawezi kosa kusuka ili wtt wale au wavae ama hata wapate Ada ya shule ama hata unakuta anadaiwa Kodi ya nyumba hata miezi mitatu mpaka zaidi,na akidaiwa anasema mwanamke nywele nyie kuna wanawake huwa wanabahatisha maisha ya kuitwa mzazi maana so kwa mateso hao wtt walikuwa wakiyapitia 😢

  • @Zizzah2707
    @Zizzah2707 6 місяців тому +1

    Hapo kwenye George dactan naelew tuu hanaga show mbove let's do this

  • @juniorsvlogs7578
    @juniorsvlogs7578 6 місяців тому

    Tupo hapa kuburidika na TXO💪💪

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 6 місяців тому +2

    ❤❤❤

  • @emmanuelmwatujobe8450
    @emmanuelmwatujobe8450 6 місяців тому

    Imeanza moto🔥🔥🔥🔥

  • @mayaashassan3918
    @mayaashassan3918 6 місяців тому +5

    THE LAST THREE(WATATU WA MWISHO)Tupunguzieni mashimo atujamaliza Funga

  • @lengaillikinjiye704
    @lengaillikinjiye704 6 місяців тому +1

    Yaani nilikuwa napenda D'oen akuwe nyuma🎉 ya Mike na imekuwa Simulizi imeanza na utamu ❤❤ Tuko Pamoja Mpaka Mwisho

  • @ahmedhamisi-jc2hs
    @ahmedhamisi-jc2hs 6 місяців тому

    Yap yap shukuran Sana kwa mtunzi wa simulizi hii

  • @msimhassan
    @msimhassan 6 місяців тому +1

    🙏🙏

  • @naomibonareri3618
    @naomibonareri3618 6 місяців тому +1

    Nimeisubiri sana

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 6 місяців тому +1

    Wao watatu huyo dada ako ndani nasidhani kama watamuua nikama anajiamin fln hivii.halafu T x o ni yule simulizi NIHUKUMIWE TENA KAMA SIJAKOSEA.sasa hawa vijana wanatumwaa kumshika mbona watarudi bila viungo mana huyu mwamba anawanyooshaa gizani

  • @gimbishidaudi5545
    @gimbishidaudi5545 6 місяців тому +1

    Kwende kazi oen wangu ❤❤😂

  • @rahemakapara1073
    @rahemakapara1073 6 місяців тому

    Txo yupo kwenye nihukumiwe tena

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 6 місяців тому +1

    Shukran simulizi mix,ila hamtutendei poa gobole la urithi it's almost a month hata ni km tumesahau ilipo ishia tumalizieni bc utamu wa simulizi ni kumaliza yote 🙏plz

  • @HadiaMohammed-ec2dn
    @HadiaMohammed-ec2dn 6 місяців тому +1

    Wow direct oen❤❤

  • @emilyadhiambo4540
    @emilyadhiambo4540 6 місяців тому +2

    The last three by director Oen acha tukae mkao wa kula

  • @fatumamatano8216
    @fatumamatano8216 6 місяців тому +1

    Kitu kipyaaaa

  • @Shakila-b7y
    @Shakila-b7y 3 місяці тому

    Good

  • @MYME-u5d
    @MYME-u5d 6 місяців тому +1

    Mmmmmh!! Tunaanz na chuma hik hap simuliz mix mnajua kutunyoosha😅😅 huk mshangao huk watatu wa mwisho jamniii haya mi nipo nyuma yako d'oen🚶‍♀️🚶‍♀️hatua kwa hatua ulipo nipo kam hujaniona jua nipo njian nakuja😉😉😉

  • @ARa-k8h
    @ARa-k8h 6 місяців тому

    Tekx nihukumiwe tena

  • @agnesmutunga1501
    @agnesmutunga1501 6 місяців тому

    T XO yuko kwa nihukumiwe tena

  • @mercymrya9275
    @mercymrya9275 6 місяців тому

    Jiji la kamara

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 6 місяців тому +1

    Asate sana simlizi mix d oen Mbalikiwe sana kitu kipya

  • @swabrarashidi1082
    @swabrarashidi1082 6 місяців тому +1

    Sr dactony haya tuanze sasa

  • @yusravyizigiro1247
    @yusravyizigiro1247 6 місяців тому

    ❤️❤️❤️🙏

  • @samsung-zb3xi
    @samsung-zb3xi 6 місяців тому

    Gobole la urithi njomubana awo sierewi nimuandishi Ao Musimuliaji twambie tunaboreka

  • @HareemaMct
    @HareemaMct 6 місяців тому +1

    Mnazinguq me mda wote nasubilia bint Sabrina simuliz yangu pendwa 😢😢😢😢😢

  • @ROSEROBERTROBART
    @ROSEROBERTROBART 6 місяців тому +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥👌

  • @ROSEROBERTROBART
    @ROSEROBERTROBART 6 місяців тому

    Leo ndio nimepata hela ya kununua bandles i say,😂😂😂😂maisha yamekua magumu kinoma wacha tu

  • @asiaabedi7115
    @asiaabedi7115 6 місяців тому +1

    Tatizo mtunzi Huyu hua anaweka washiliki wengi mpaka simulizi inakua haieleweki nakukukosa Radha yaani nikama simulizi mbili kwa moja

  • @bintimrope
    @bintimrope 6 місяців тому +1

    ❤❤❤🎉

  • @halimashaib9102
    @halimashaib9102 6 місяців тому

    Nimependa picha ya simulizi yetu ila waswaa wangu ni wa mambo ya kimoja kimoja km kawaida yake dactan

  • @AnnaMelikion
    @AnnaMelikion 6 місяців тому +1

    D Angalizo la Nini tena😂😂😂😂 Nipo Mwanasheria wako hapa usijali kaka 😊😊😊

    • @swabrarashidi1082
      @swabrarashidi1082 6 місяців тому

      Zimwi lishakutoroka uko malkia Penina

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion 6 місяців тому

      @@swabrarashidi1082 🤣🤣🤣🤣 Dah nmekuwa malkia Penina tena.

    • @swabrarashidi1082
      @swabrarashidi1082 6 місяців тому

      @@AnnaMelikion wewe si uliniambia mimi mke wa mzee mchawi na wewe demu wa zimwi ila sasa🤔 una moyo mana apa nawaza tu mashine ya zimwi iko vp😅

  • @peninamwailunda8813
    @peninamwailunda8813 6 місяців тому

    Binafsi nimeshangaa sana pini mdomoni!!! Hebu tuone George anamaanisha nini pini na hii simulizi

  • @halimashaib9102
    @halimashaib9102 6 місяців тому

    Naona ushapigwa pini ya mdomo maana Sina uhakika Wa kupata sehemu ya pili

  • @everlynesafari1527
    @everlynesafari1527 6 місяців тому

    Simulizi ya nihukumiwe tena

  • @AnnaMelikion
    @AnnaMelikion 6 місяців тому +1

    Elewa Neno mashimo😂😂😂😂 hii simulizi kweli ni chin ya walio na umri miaka 18 tu😂😂😂😂

    • @swabrarashidi1082
      @swabrarashidi1082 6 місяців тому

      Comment moja tu unajaza nafasi

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion 6 місяців тому

      @@swabrarashidi1082 😂😂😂 Niache

    • @swabrarashidi1082
      @swabrarashidi1082 6 місяців тому

      @@AnnaMelikion we mtoto una tabia mbaya sana kwani wewe unajua mashimo kamaanisha nini

  • @samsung-zb3xi
    @samsung-zb3xi 6 місяців тому +1

    Kitukipya watatu wamwisho tuone munaniniD'Ôen🎤🤛🤛🤝🤝

  • @annalouis2344
    @annalouis2344 6 місяців тому

    Nihukumiwe tena

  • @Estersaimon-pp9ln
    @Estersaimon-pp9ln 6 місяців тому +1

    Nihukumiwe tena❤

  • @mariamrashid6880
    @mariamrashid6880 6 місяців тому +3

    Txo Alikuwa katika Simulizi ya nihukumiwe tena