Mama samia mama wa wote tunakuomba mama yetu continuous tuliokosa mkopo hali zetu ni mbaya vyuoni tunaomba utuzingatie mama tuna hali mbaya wazaz wanalia hku majumbani 😢😢😢
Naomba kuwauliza heslb hivi mkopa awamu ya nne ni lini maana mpaka Sasa Kuna watu wako nyumbani wamesubilia mkopo alafu usajili nao vyuoni unaelekea mwisho tusaidien JAMANI maana wengine familia zetu ni changamoto😢😢😢
Mbona mimi sipati mkopo jamani nimejitahidi kufika chuoni lakn udahiili umegoma kisa ada haitoshi jaman mkopo niliomba lakn wapi bas ninefanya kuapeal napo mtuzingatie tuliokosa mkopo maisha magumu jamani Mama Samia ulituahidi tufaulu vizuri mkopo tunapata wote mbona wengine tunasota tusaidie na sisi tusome Kwa furaha jaman
Tunaomba hata sis tuliokosa mkopo mwaka jana tukabaki nyumban kwa sababu za kukosa mikopo tunawaomba sana mtusaidie na sis tuweze kutimiza malengo yetu tunaomba msaada wenu wa hali na mali machoz yetu na kilio chetu n kutimiza ndoto zetu
Jaman samaani lakini vip kuhusu sisi ambayo mwaka jana tulikosa mikopo ila tukajikaza kisoma ivyo ivyo ila mbaka Leo atuja ingiziwa chochote kile na tunalipa ada kama milioni mbili ivi jaman. Naomba serikali ituangalie sana 😭😭😭😭
Mama Samia jaman tumewahi kuripoti chuon lakin tumefanya appeal tumekosa jaman tunaomba sana jaman tunateseka wazazi wanahali mbaya wanalia kwel unakubali turudi mtaani please tusaidiee
Naomba kuwauliza heslb hivi mkopa awamu ya nne ni lini maana mpaka Sasa Kuna watu wako nyumbani wamesubilia mkopo alafu usajili nao vyuoni unaelekea mwisho tusaidien JAMANI maana wengine familia zetu ni changamoto
Jamn tunaomba mtusaidie sisi tulio kosa mwaka Jana tunateseka kusoma bila mkopo tunaomba watusaidie maisha ya chuo ni magumu jamn watuonee huruma sisi 😥😥😥😥
Hizo billion mnazotaja mmewapa akna nani mbona wengine hatuna ata 1% au hatuna haki ya kupata maana nazungukia account yangu daily na sioni changes jaman achen siasa izo Mungu hapendi
Samia 5 tena tunaomba ada continuous 100%
Mama samia mama wa wote tunakuomba mama yetu continuous tuliokosa mkopo hali zetu ni mbaya vyuoni tunaomba utuzingatie mama tuna hali mbaya wazaz wanalia hku majumbani 😢😢😢
Iyo inauma Sana pindi unaambiwa tumepandisha mkopo alafu wewe una kosa
Kwakeli na sisi mikopo yetu iliyoenda vyuo tofauti na tulivyopo Sasa
Naomba kuwauliza heslb hivi mkopa awamu ya nne ni lini maana mpaka Sasa Kuna watu wako nyumbani wamesubilia mkopo alafu usajili nao vyuoni unaelekea mwisho tusaidien JAMANI maana wengine familia zetu ni changamoto😢😢😢
Mbona mimi sipati mkopo jamani nimejitahidi kufika chuoni lakn udahiili umegoma kisa ada haitoshi jaman mkopo niliomba lakn wapi bas ninefanya kuapeal napo mtuzingatie tuliokosa mkopo maisha magumu jamani Mama Samia ulituahidi tufaulu vizuri mkopo tunapata wote mbona wengine tunasota tusaidie na sisi tusome Kwa furaha jaman
Tunaomba hata sis tuliokosa mkopo mwaka jana tukabaki nyumban kwa sababu za kukosa mikopo tunawaomba sana mtusaidie na sis tuweze kutimiza malengo yetu tunaomba msaada wenu wa hali na mali machoz yetu na kilio chetu n kutimiza ndoto zetu
Jaman samaani lakini vip kuhusu sisi ambayo mwaka jana tulikosa mikopo ila tukajikaza kisoma ivyo ivyo ila mbaka Leo atuja ingiziwa chochote kile na tunalipa ada kama milioni mbili ivi jaman. Naomba serikali ituangalie sana 😭😭😭😭
Mama Samia jaman tumewahi kuripoti chuon lakin tumefanya appeal tumekosa jaman tunaomba sana jaman tunateseka wazazi wanahali mbaya wanalia kwel unakubali turudi mtaani please tusaidiee
Jamanii ambao hujapata mkopo mtufikilie na ss 😢😢😢
Na Mimi nipo kweny orodha ya watakao pata jina Leah Antony mwambapa
Asanteee sana
Tuongezewe ada continuous
Naomba kuwauliza heslb hivi mkopa awamu ya nne ni lini maana mpaka Sasa Kuna watu wako nyumbani wamesubilia mkopo alafu usajili nao vyuoni unaelekea mwisho tusaidien JAMANI maana wengine familia zetu ni changamoto
Jamn tunaomba mtusaidie sisi tulio kosa mwaka Jana tunateseka kusoma bila mkopo tunaomba watusaidie maisha ya chuo ni magumu jamn watuonee huruma sisi 😥😥😥😥
Mtuangalie na sisi continues jami tunapitia shida sana uko vyuon tunasoma kwa shida sana bas yyyu
Kwann ,,continuous hawajaongezewa?
very nice
Tuna uhitajii na vigezoo hatuna uwezo hatupewii mkopo
Tumekosa na tume appel sioni la maana
Kwa hy banchi zimeishia nne
Mama samia 2025💯
Hizo billion mnazotaja mmewapa akna nani mbona wengine hatuna ata 1% au hatuna haki ya kupata maana nazungukia account yangu daily na sioni changes jaman achen siasa izo Mungu hapendi
mitano tena mama
Jmn na ambao hatujapata kabisa wanatufikiria vip
Jamani awamu ya pili ni lini naombeni tarehe Baci ...😂😂😂😂
Na wee hujapewa. Bado
Mimi ni wa kwnza
tuangalieni na sisi continues tunapata shida mno kulipa ada😢
Hakika maana sio poa jamn
Bachi ya tatu lini? Naombeni kujua
Wale ambao ha2japata duu hadiii huruma
batch zipo ngpi
😂😂😂😂😂😂kama kawaida
Waooooo
et hyo imekaeje pale kwenye alocation ukianza kutfta mwaka wako wa elimu imeishia 23/24 hy inakaj et
@@MorisGingaangalia vizuri waneeka mpaka 2024/2025
Tusaidieni jamani tupate Hadi sasa hatujapata tunatia huruma
Chapu msichelewe kuwapa na wengne
Jambo gani lakufanya ili mwanafunzi aweze kunufaika na mkopo?