Shekhe elewa kwanza mtume aletewa wahyi na ndo kiigizo chetu baada ya kufa mtume atakaeanzisha kheri nyingine ambayo hakuitambua mtume na maswahaba zake hiyo sio dini utabaki nalo mwenyewe..
Tatizo nyinyi kazi yenu ni kupinga tuuuuu mwisho mtajinga wenywe. Mawahabi someni msikimbilie jambo bila ufahamu, hatao mola anasema فاسألوا أهل الذكر إكنتم لا تعلمون
Astaghfirullah...Wallahi hawa mashekhe wanapoteza watu..hiyo sio defence kabisa. Mtume akitenda jambo ndio inaitwa Sunnah sio sisi kujitengezea yetu na kuyaita kheri..na pia basi Maswahaba hawakuona ni kheri wakafanya? Lasabaquuna ilayna. (wangetutangulia)
Hapo kwa hilo umechemsha umekosa hoja sheikh badala ya kusema sisi twasoma kivyetu na mamrisho ya mtume wala ma swahaba kueni wa kweli maneno yenu yanarekodiwa na Yana athari ima ya kupoteza au kuongoza watu.
Mashaaallah ❤️❤️❤️
Ww shehe unawapotosha watu, ashura na maulidi vitu viwili tofauti, lete daleel sahih
Shekhe elewa kwanza mtume aletewa wahyi na ndo kiigizo chetu baada ya kufa mtume atakaeanzisha kheri nyingine ambayo hakuitambua mtume na maswahaba zake hiyo sio dini utabaki nalo mwenyewe..
Tatizo nyinyi kazi yenu ni kupinga tuuuuu mwisho mtajinga wenywe. Mawahabi someni msikimbilie jambo bila ufahamu, hatao mola anasema فاسألوا أهل الذكر إكنتم لا تعلمون
Hatuwachi yambo ambalo halikukatazwa ili iwe haifai lete makatazo
على الحقيقة أن المولد من أسباب ذكر الله ومدح رسوله الكريم
Makhurafi kweli wamekosa dalili ya maulidi, inasikitisha sana wanalazimisha lkn wapi, ni sawa kutaka maji ya bahari yawe tamu.
nikweli porojo tuu kwani leo kuna mtume mtume hayupo tena
Astaghfirullah...Wallahi hawa mashekhe wanapoteza watu..hiyo sio defence kabisa. Mtume akitenda jambo ndio inaitwa Sunnah sio sisi kujitengezea yetu na kuyaita kheri..na pia basi Maswahaba hawakuona ni kheri wakafanya? Lasabaquuna ilayna. (wangetutangulia)
Jazakallah kheyr
wahabi fahamu shekh avo sema usikurupuke
dah sheikh izuddin Allah akuhifadhi lakini usitetee batil kwa kila njia
Wewe usosoma ujue haki kuliko alosoma
Ni ukosefu wa imani rudi usome dini tena haya yote ni uzushi
Hawa kuaanza mayahudi
Aliye funga ni Nabi Musa ndo mayahudi wakamfuataa
Umechemsha hapo ust
Wewe usochemsha una ushahidi upi wa kuwa ni haram?
😳🙄🙄🙄🙄
AMA KWELI KITU UKIKOSA DALILI KINACHOBAKIA NI POROJO TU NA MIFANO AMBAYO HAYAINGII AKILINI KWA WENYE AKILI
Hapo kwa hilo umechemsha umekosa hoja sheikh badala ya kusema sisi twasoma kivyetu na mamrisho ya mtume wala ma swahaba kueni wa kweli maneno yenu yanarekodiwa na Yana athari ima ya kupoteza au kuongoza watu.
Wacha tendekeza wewe, izzudin jikazanishe mtoto wa kiume, umelegea sana.
Heshma na izzudin
matusi kwa mawahabi mi katika suna
Shukraan shekh izudin
Shukran ni wewe mlaji birian na pilau ya maulid tumbo kutangulizwa badala ya dini
Ujahil huo hata mfano huo hauambatani kabisa na kujuuzisha maulidi
Kwahivyo wewe nyie mbora kuliko maswahaba ambao wao hawakuanzisha????
kwaiyo na nyinyi mukifanya nashindano ya kur ani huwa nibora nyinyi kuliko maswahaaba ambao hawakufanya