Mungu wangu ulie hai nakuomba wape Viongozi wa Tanzania moyo wa huruma na kekima ili sisi ambao tupo katika Hali ya chini ya uongozi wa serekali tuweze kuishi Kwa amani allahumma taqabali duaa 🤲
Inaonesha wazi viongozi wa chini matawini ktk kata wapo kwa maslahi yao😢😢😢😢 hiyo ndo hali halisi mama samiya angaliya unaowachakuwa wwanavo kuangusha ktk kata
Kwaiyo aliyemteua alikisea ama lengo apige kazi we unasema wezi lkn nafasi ukipewa ww pia utaiba ata wewe unajali tumbo lako unachoumia wewe kwann wanakula wao pekee na hii karibia kwa watz wote wezi Kila mmoja anakuwa na maneno mengi coz hajapata akipata naye anakuwa mwizi uo ndio ukweli
Mwenyezi mungu akupe umri makonda .... Me pia niko na swali yani uyo bibi umri wote aliishi wapu mpka sasa mbn kuna watu wanaroho mbaya ivii sasa uyo bb umri umeisha ataenda wapi
Ikiwa kama mmejitoa kwa ajili ya wananchi wenu mungu awabarik Na ikiwa mnafanya haya kutuzuga wananchii ili tuwapigie kura mwaka 2025 mungu awaangushe Maana dhulma imejaa sana kwenye serikali Ukifikiria kwa kina tangia maguu afe na mama awe rais mbona akuyafanya haya wala akumchagua makonda akawa ni mwenye kusikiliza changamoto za watu au kwa vile umrbaki mwaka 1 kurazianze acheni dhulma tz inanuka dhulma na damu za watu
Diwani hata simuelewi.Sasa kama ni muongo kwa nn mnataka kwenda kumpa kiwanja mahali kwingine?mpeni fidia huyo Bibi acheni kutwaa ardhi yake bure bure.
Du hii nchi shida sanaaa basi tu 😱😭😭😭😭😭ila niseme tu laiti watu wangekua wanajua kua hakuna anae ishi milelè hata kumfanya binadam vitendo vya hovyo tusingekua tunafanya dhambi kama hizi ila mungu yupo
Wamepigwa siasa hapo halafu wameachwa😂.. shida kubwa ya Watanzania ni ufinyu wa ELIMU. Yaani hapo wanahisi matatizo yao yametatuliwa tayari kumbe wamepangwa tu🤣🤣🤣
Mimi ninacho kiomba Tu kwaserikali tupunguzien bei ya kupata pass pot fanyeni nafuu napia ondoen masharti ili tuzipate kwa wepes tukafie mbele huko nyinyi mumeshindwa kutuongoza, sio kwakero hizo kila mkoa kero kila upande yaan km nnch haina serikal jmn daaah
Makonsa mambo unayownda kuyakorofisha yaliyosababishwa na chama chako mwenyewe huyawezi hayo mambo ya kihuni na wahumi wenzio unawaekitia tu kujifanya msamalia unayakoroga utayanyww
Kama Hali ya Wananchi ndiyo hiyo, unategemea Nini kwenye uchaguzi? Mako da, safisha uchafu huo wa viongozi wasio waadilifu kabla chama hakijapata lawama zisizostahiki.
Tumbo kama kibuyu unasema eneo la selekali selekali ni kinanani bila watu itakuwa selikali, acheni ujinga mnakuwa mnafanya kazi za selikali ili mdhulumu watu mungu atawalaani mnaowanyanyasa wanyonge.
Inaumiza sana kama wananchi hawaelimishwi uhuru na mipaka waliyonayo kuhusu ARDHI
Nilichogundua wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa walio wengi wanamuangusha mama samia
Makonda kiukweli utawakomboa wananchi wengi sana ,na mwenyezi mungu atakunusuru na kila hila za wasiokutakia mema .Amina.
Asanteni kwa jambo Hill natokea kenya ila nina furaha kubwa nimeshamuona Maghufuli tena Mungu atubariki sie tulozaliwa kwenye umaskini
Makonda oyeeee. Nakukubali sana. Uwe unatoa no zako kila mwananchi akupigie , huwezi jua mambo bila kushirikiana na wananchi wa chini
Tanzania nchi yangu umeharibiwa sana
nakupongeza ndugu yangu makonda kwakuakipaumbele kukinusuru chama zidiyawatuwachache. wanaokihalibu kwamasrahiyao mungu atakulinda kwahilo
Mungu wangu ulie hai nakuomba wape Viongozi wa Tanzania moyo wa huruma na kekima ili sisi ambao tupo katika Hali ya chini ya uongozi wa serekali tuweze kuishi Kwa amani allahumma taqabali duaa 🤲
Jamani angalieni tu mitumbo yao utajua ni wadhuluma , Mungu awalaani wote wanaodhulumu
mh makonda mwenyezi Mungu akuzidishie siku za kuish❤
Hapo tatizo ni CCM Kwa pamoja . Nchi nzima matatizo ni hayo hayo tu na yanadababishwa na hao hao viongozi wa CCM. Time will tell. IN GOD WE TRUST
We salute you paul makonda u deserve more than thiss
Yani mimi najiuliza iv hizi kero zipo mda mrefu sana na mawaziri wapo hata kabla ya makonda kuapishwa mbona hawafatilii kero za wananchi?
Mimi siyo mtanzania ila nakupenda kwa hili tumikiya inchi ivi ndivyo inatakiwa watu wasaidiwe magufuli alifanya kazi vizuri
Umri Wa huyo bibi Wametaifisha
Ukiona hivyo ujue mahakama zimeshaoza zinanuka
Pumzika kwa amani Baba Magufuli,utakumbukwa kwa hili jambo
Sana tena Tanzania imekuwa yamanyanyaso tuuuuu
Napenda.sana.mama.samlya❤❤❤❤❤
Mungu azidi kukulinda na akupe nguvu na Iman tele katika kazi yako nakuombea sana
Inaonesha wazi viongozi wa chini matawini ktk kata wapo kwa maslahi yao😢😢😢😢 hiyo ndo hali halisi mama samiya angaliya unaowachakuwa wwanavo kuangusha ktk kata
Ma Shaa Allah Mung akucmamie kwenye kaz😢
Wasaidie wananchi wanamengi sana
Undeni kamati za kutatua hizi kero Tanzania nzima
Hapo mtoto wa JPM akiondoka wanabaki mafisadi watupu haki haipo tena ushauli aludi tena
Kwaiyo aliyemteua alikisea ama lengo apige kazi we unasema wezi lkn nafasi ukipewa ww pia utaiba ata wewe unajali tumbo lako unachoumia wewe kwann wanakula wao pekee na hii karibia kwa watz wote wezi Kila mmoja anakuwa na maneno mengi coz hajapata akipata naye anakuwa mwizi uo ndio ukweli
Kweri
Hakika mwenyezi mungu hamzidishii mtu dhwalimu isipo kua hasaraa.
Serikali inakuaga wapi watu wanashida hivi hii yote inasababishwa na rushwa tu
Mwenyezi mungu akupe umri makonda .... Me pia niko na swali yani uyo bibi umri wote aliishi wapu mpka sasa mbn kuna watu wanaroho mbaya ivii sasa uyo bb umri umeisha ataenda wapi
Makonda ndugu yangu hakika wewe jembe kama lile lililotangulia mbele za haki mungu akulinde
Wakurugenz ndio chanzo cha migohoro ktk hii nchi
Ccm wamrtufikisha sehemu mbaya sana
Magu karudi tena Mungu hakulinde makonda nakuombea
Ikiwa kama mmejitoa kwa ajili ya wananchi wenu mungu awabarik
Na ikiwa mnafanya haya kutuzuga wananchii ili tuwapigie kura mwaka 2025 mungu awaangushe
Maana dhulma imejaa sana kwenye serikali
Ukifikiria kwa kina tangia maguu afe na mama awe rais mbona akuyafanya haya wala akumchagua makonda akawa ni mwenye kusikiliza changamoto za watu au kwa vile umrbaki mwaka 1 kurazianze acheni dhulma tz inanuka dhulma na damu za watu
..Makonda tafadhali Mama chawa wakewamekuwakunguni
MUNGU AMLINDE MAKONDA
Makonda awe lais tu wa awamu ijayo baada ya mama samia
Hii insonyesha ni jinsi Gani wananchi hawawaamini viongozi
Duu...! Watu wamevurugwa hao watu wote wakiandamana mbona wachawi, mafisadi vigagura na vitakomaa
Diwani hata simuelewi.Sasa kama ni muongo kwa nn mnataka kwenda kumpa kiwanja mahali kwingine?mpeni fidia huyo Bibi acheni kutwaa ardhi yake bure bure.
Sahihi kabisa
Na muhakikishe mwenezi akirudi yena kero hamna
Tanzania inakuja kua somalia soon
Kwa nini kaka
Du hii nchi shida sanaaa basi tu 😱😭😭😭😭😭ila niseme tu laiti watu wangekua wanajua kua hakuna anae ishi milelè hata kumfanya binadam vitendo vya hovyo tusingekua tunafanya dhambi kama hizi ila mungu yupo
Yani hiyo wilaya yetu ya handeni imejaa viongozi mafisadi
Kimsingi hiyo ndiyo CCM 😭😭
Wowo umeona shida yote hii chanzo ni CCM utawala mbovu
Baadhi ya viongozi wanaongoza kibabe na wanafanya kazi kwa mazoea
Tangu kizimkazi aingie madarakani ndio nasikia neno Fisadi leo.....au awamu yake haina mafisadi???
Fanya ziara nchi nzima kuna uhitaji mkuu
Mungu Mlimde makonda
Usisahau majohe huku Dar es salaam
Dah si kwa kunenepa huko fanya kazi Makonda
Da Hali ndio hii
Hivi wakuu wa wilaya huwa wanafanyakazi gani ?
Hao niwez wakubwa ndo kazi zaoo
Mm ni mtanzania lakini mkiniambia kuwa kunaamani nakataa tanzania 🇹🇿 atuna amani ila tunauwoga t loo inaniuma sana
Inabidi itengwe cku nzim a ya kuckiliza wananchi
Hiyo ndio shida ya viongozi ngazi ya chini kutosikiliza migogoro ya watu
Mumupe urinzi huyo kaka asiwuwawe😢😢
Wakuu Wa wilaya na wakuu Wa mikoa hawafanyi kazi kabisa pasingekuwa na matatizo kama haya mengi sana
Mambo yanafanywa na mahakama kwa upande mmoja na CCM kwa upande mwingine, huu ni utawala gani? Yafuatwe maamzi yapi
Mwenezi njoo na nzega
Waongo wanataka kuuza wana tamaa sana madiwani maafisa ardhi ndo tabia zao kudhulumu mashamba ya watu
Daaaah waziri wa Aridhi hayupo nchi hiii??
Wamepigwa siasa hapo halafu wameachwa😂.. shida kubwa ya Watanzania ni ufinyu wa ELIMU. Yaani hapo wanahisi matatizo yao yametatuliwa tayari kumbe wamepangwa tu🤣🤣🤣
Nyiye wenyewe munatoa hati arafu munasema munatatua
Ccm😢😢mwaka kesho uchaguzi wanawapa t-shirt wanasahau😅
😂😂
Kila Kona kilio
Kula angu ifikapo 2030 chukuwa bure hakuna kipingazi tena mh. Paul Makonda gombea huo mwaka naona umekuwa mtu wa pekee Tanzania JPM WA Pili nmekuona
Mimi ninacho kiomba Tu kwaserikali tupunguzien bei ya kupata pass pot fanyeni nafuu napia ondoen masharti ili tuzipate kwa wepes tukafie mbele huko nyinyi mumeshindwa kutuongoza, sio kwakero hizo kila mkoa kero kila upande yaan km nnch haina serikal jmn daaah
Na huo umati wote uliopo hapo , Kuna watu Wana shida lakini ujasi4i wa kujitokreza hivo hawana, taabu saana, shida ni kubwa sana
Jpm was right
Wanamsikiliza wakati wanamcheka hilo sio sahihi kabisa.
Mnao saidiwa achen kerere tunawafatiria wengi
Hii ndio Hali halisi ya viongozi mnao watuma, wababe mno. Viongozi wa chini wabovu sana.. wa hukuliwe hatua.
Makonda saidia wananchi
😊
😢😢😢 yote hayo yanasababishwa na wenyewee ccm .
Kwenye masuala mengi hasa matatizo, yahusuyo ardhi, baadhi ya maafisa Wana tabia ya kulindana, SI kulinda haki za wananchi
Ukiona watu wanakupakerozao jibu nimojatu wanakukubali pigakazi utatufutamachozi
Diwani hufai kura hupati
Maumivu hayawezi kwisha😢😢
Makonsa mambo unayownda kuyakorofisha yaliyosababishwa na chama chako mwenyewe huyawezi hayo mambo ya kihuni na wahumi wenzio unawaekitia tu kujifanya msamalia unayakoroga utayanyww
Kama Hali ya Wananchi ndiyo hiyo, unategemea Nini kwenye uchaguzi? Mako da, safisha uchafu huo wa viongozi wasio waadilifu kabla chama hakijapata lawama zisizostahiki.
Kweli uyo diwani anonekana mbabe sana
Dunia haina haki mimi.kama ritanipata sitoenda popote haki ni kwa MUNGU tu
Kuunda timu tena!
Awa watu wana matatizo kweli
Diwani WA Msisi harudi😂😂😂😂😂
❤❤
Hii Imeenda 🎉🎉
Tumbo kama kibuyu unasema eneo la selekali selekali ni kinanani bila watu itakuwa selikali, acheni ujinga mnakuwa mnafanya kazi za selikali ili mdhulumu watu mungu atawalaani mnaowanyanyasa wanyonge.
Nihatari makonda unakazikumbwa kunawatu siowa adilifu kwenye uo goziwao
Tena anaeonea akiwa pesa ya kuhonga ndo wewe mlalamikaji unaweza hata kutafutwa kuwekwa ndani(polisi)hata kuuwawa
Watanzania wengi kama mazuzu
Anaonekana hata uongeaji wake
Hilo eneo wape wanachi hata kama nila serekali maana lina mimea yao na makaburi
Una kazi ngumu mneck
Kwana hao wakuu wanashibdwa kuweka mikutano km hyo ya kero za maofisini hadi miska inapita???..
Msaidiye wenye inchi viongozi watu wanatakiwa waichi na viongozi wavuri siku gani kwetu congo tutapata watu wakusikiliza wana inchi kama hivi
Karibu morogoro morogoro yaardhi
Kuleta mabadiliko unahitaji mbeba maono awe na uthubutu na awe na nguvu ya kupinga uonevu na rushwa
Asilimia nyingi viongozi wa serikali wezi tu
Ongereni
Mm swali langu la kila siku ni moja ina maana wahusika au viongozi haya matatizo hawayaoni mpaka wananchi waje kulia kwa viongozi wa juu😢😢
Kama si lao kwa nn mnataka umfidia