Huna uwezo wala sababu zozote za kumsema Dr. Slaa , Wenje ni dalali wewe ulimkuta Dr. Slaa wala huna personality ya kumsema mwamba Slaa maana Dr. Slaa ni hazina
mwenyekiti chadema ni freeman mbowe,na makamo mwenyekiti ni bwana wenje!! Timu ya akina mwakabusi,slaa lema na Fupi lissu,hao wamefilisika kisiasa!! Slaa ni pandikizi!!
Ila slaa nae ana mambo ya ajabu yaani ulipotoka cdm ukaandika na kitabu?🙁😳🙄 Haya makubwa ni mambo ya aibu sana Ona ss maandisho haya yanakuzomea jmn, nashukuru sijawahi kukiona
Kuteuliwa kuwa balozi ndio kijiunga na chama cha mapinduzu sisi kama wananchi hatujawahi kumsikia dr slaa akitamka naomdoka chadema nahamia ccm ila tulimskia akisema anaachana na siasa sasa bwana wenje twambie alikwambia wewe anahamia ccm?
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
❤❤❤❤❤ wejee oyeee 5
Silaa sio ccm hatuna mtu anaitwa silaa kwenye Ccm
Mbona lowasa aliingia chadema kutoka CCM huna hoja Dr silaa anaongea kwa hoja
Nakuelewa sana kiongozi
Tunataka Mbowe aendelee kukijenga chama
Ni kweli,Lisuu hana busara
Wenje ndiyo makamu mwenyekiti sahihi
Kupitia clip hii sjaona mahali umejenga hoja
Wenje uko sahihi,Slaa ni kigeugeu na Lisuu mropokaji sana
YAANI ME NAPENDA HUU MNYUKANO ... MZURI SANAAA ...HAPA NDIPO NAPOJUA KWELI CHAMA CHANGU CHA CHADEMA KIMEKUA NA KUKOMAA
Cdm ni chama cha siasa mtaji wake ni watu
Wenje ajui kujenga hoja
Kwani hicho kitabu cha dr slaa umekiona leo mbona siku zote ulikua haujatwambia acha uchawa wewe
Ss si kutokana na yanayojili ktk maswali
Wewe ndo uliyo tufikisha hapa tuache kwanza nachama chetu dalalii wa ,,,,,,,, tuache atuwataki kwanzq auweziii kujibu ojaaa
Mwamba ni Mbowe
Hatukutaki wew wenje nenda kale hela za Abdul na mbowe wako
HUYU MKENYA HANA JIPYA NI MJINGA SANA!
Huna lolote broo tunataka kiongoz Bora siobora kiongoz tatizo ukweli humweka mtu huru wewe nambowe mmekuwa mnakibomoa chama kwashilingi lisu nimkweli msimuhuu mmeula wachuya lisu paws💪✌️
Huna uwezo wala sababu zozote za kumsema Dr. Slaa , Wenje ni dalali wewe ulimkuta Dr. Slaa wala huna personality ya kumsema mwamba Slaa maana Dr. Slaa ni hazina
Watt wa elf 2 hawawezi kuelewa list of shame😂😂
Kwanza umetualibia chama nachama sio chako sawa nichawanqnchii
Endeleeni kutujuza ya tusiyoyajua !
Mwamba ndiye
Nawewe shushu wa ccm asiekujuwa naniii
mwenyekiti chadema ni freeman mbowe,na makamo mwenyekiti ni bwana wenje!!
Timu ya akina mwakabusi,slaa lema na Fupi lissu,hao wamefilisika kisiasa!!
Slaa ni pandikizi!!
Wenje sio kitu kwa sasa yy mwenyewe ni kada wa ccm kasha kula mlunfula ovyo kabisa hawa ndio mamonsta
Nothing you can tell people again just go home and sleep
Ila slaa nae ana mambo ya ajabu yaani ulipotoka cdm ukaandika na kitabu?🙁😳🙄
Haya makubwa ni mambo ya aibu sana
Ona ss maandisho haya yanakuzomea jmn, nashukuru sijawahi kukiona
Hakuna hoja nzito hapo wenje anatapatapa tu.
Sisi hatuamini hayo
Nzee yule mchafu san
Wewe payuka payuka ila sie tunamtaka lisu na sio mbowe bass
lisu akishinda tunakufukuza uanachama
Kuteuliwa kuwa balozi ndio kijiunga na chama cha mapinduzu sisi kama wananchi hatujawahi kumsikia dr slaa akitamka naomdoka chadema nahamia ccm ila tulimskia akisema anaachana na siasa sasa bwana wenje twambie alikwambia wewe anahamia ccm?
Ondoka naoja yako yote hayo niuogo Dr sraa ajawai kua ccm
Na hicho kitabu alichoandika?
Tunashukuru tumejua mengi
Na endeleeni kuongea ili tujue na tuchuje
Mbwa wewe ndio maana umekosa. kura. wivu unakusumbua huna lolote
Huna hoja
Hufai mjomba
Wenje hufai na hujui uliongealo.
Lema anakuz,idi uelewa na si dalali wa rushwa kama wewe
acha ujinga wewe mbowe akae nyumbani na familia yake
Nyie ni wanasiasa kwahiyo kuongea kwenu wengi wetu hutuwezi kuwashangaa mnarudishia maneno mkikutana hotelini mnashare faru Joni
KWA HIYO WILBLODSLAH NI MWANACHAMA WA CHAMA GANI?
Mbwa wewe ndio maana umekosa. kura. wivu unakusumbua huna lolote