Mimi kuna nyumba nlienda alafu nikaanguka chini bìla sababu nlipo rudi kwa nyumba nikaomba kujua n kwa nn nliangu kwa hiyo nyumb nlijipiwa nafukuswa na nyoka lkini nlipo keuka nyuma nikaikata na jembe na kwa ndoto nikaamka
Hapa kwangu miji ndoto hiyo ndo kama "station" yao. Hadi naota nawindwa kwa bunduki! Cha kushangaza kila anaye tka elmu (humu mtandaoni au hata mitaani) miongoni mwenu anaingia mitini akianza tu au kutaka kunifanyia tiba. Iwe za dua au dawa zilizo ruhusiwa Kiislam.
Salamalykum sheh naomba unisaidie kutafsl ndoto hiii nmeiota usiku nmeota nipo na dad yang tumepigwa radi ya mvua dad yang ilimpiga ikamhamisha sehem tuliyopo ila mm iliniparua tuu nikaanza kukimbia nabado ikawa inanifata kunipiga lakn juuu angan nilikuwa naona samak mkubwa angani yupo juuu alikuwa kwama ananilinda ndio hapo nikaanza kuswali kumuomba mung . iyo hali nikaona ikatulia sikuiona rad ten
A alkm, Twabaan mm nikawaida yangu kuota majoka tangu zamani, pia kuna wakati huwa sijalala lakini huyàona niwapo tu nutafunga macho, na pia nishaota Niko angani naanguka chini kwa kishindo likaja dege kubwa na kunishika na mdomo wake maungoni mwangu , napia huwa katika kila ndoto zangu za mashaa humuona mmng aidha yuwanisaidia ama yupo tu ndani ya ndoto zangu, lakini hayo majoka ndio ziada hadi naweza kukkueleza VP maumbile ya macho yao yalivo
Da pole abdullay hila inategemea umeotaje otaje hiyo ndoto umeota umekufa wew au mtu saa nyingine ni nzur tu mim mwanzo nilikuwaga naogopaga hila za kukimbizwa ndio mbaya kifo wakat mwingine Inakuwa sherehe Zaman ilikuwa nasikia kinyume sherehe ukiota wakawa wanasema msiba na msiba sherehe hila shere mawili wanasema kama umeota sherehe na watu wakawa hawana furaha basi si nzur kama hawajakaa kiuzun nzur kama mie Leo nimeota tunacheza tunafurahi na watu wengine wamekaa wanatuangalia Mara akatokea mkaka mwisho huyo Mkaka msanii akawa ananiambia tuondike nikamwambia mh Sasa hivi akasema ndio nikawa nimeshangaa yani kama alikuwa na tatizo mie Sasa nikawa najiuliza hiyo safar anavyosema twende kwema kweli ikakata
Ya majoka si Mazur wanasemaga mashetani da Kuna kipindi nilikuwa Nayaotaga tena makali Kuna siku shehe mmoja akawa Anasema redion kuwa si nzur akatowa na namba zake Kuna duwa aliekekeza nikasitika nilichelewa kuziandika
Assalamu alaikum yaa sheikh
Shukran sana kwa elimu hii mashallah na tiba alhamdulillah mungu akubarik amiin
Shukran yaa sheikh kwa msaada wa matibabu ya sihri allah akulipe kher amiin
Masha Allah ustadhi kwani mada nzuri sana
Allah akupe nusra ww na sote..tufaidike na mawaidha na matibabu yako, Allahumma Hfadhnaaa..Amiiin
Amin
Shukran shekh wet
MashaAllah Allah akupe kila la kheri
Vipi Kuchukua Tahadhariy Mbona Hujatufahamisha Tufanye Nini Shukran Kwa Maelezo
Shukrani
Mashaalah
Mm niliota nacheza mziki
Masha Allah shukran akhui na je vipi nikiota mama ananikumbatia na tunalia kwa uchungu Sana Nini maana yake
Assante sheikh wetu
Duh tupo wengii aiseee
MashaAllah
Allah akulipe pepo
Mimi kuna nyumba nlienda alafu nikaanguka chini bìla sababu nlipo rudi kwa nyumba nikaomba kujua n kwa nn nliangu kwa hiyo nyumb nlijipiwa nafukuswa na nyoka lkini nlipo keuka nyuma nikaikata na jembe na kwa ndoto nikaamka
Shukran
Assalam aleykum ustadh
Jazaka Allahu khair🙏
Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh sheikh mala nyingi naota niko choni
Mashallah
Asalam aleykum shukrani jazaka ullah kheir
I know I am kinda off topic but does anybody know a good website to stream newly released series online ?
@Brady Korbin I watch on flixzone. You can find it by googling =)
@Imran Darren Yup, I've been watching on flixzone for years myself =)
@Imran Darren Thank you, I went there and it seems to work :D I appreciate it !!
@Brady Korbin no problem :D
Asalaam alykm sheikh mmi ns swali mmi ndoto yangu huwa naota naanguka kisimani kabla cjaanguka naamka,ni ishara ya nn.
Kifo
Kristopha Kobero 🤣🤣🤣
Hapa kwangu miji ndoto hiyo ndo kama "station" yao. Hadi naota nawindwa kwa bunduki! Cha kushangaza kila anaye tka elmu (humu mtandaoni au hata mitaani) miongoni mwenu anaingia mitini akianza tu au kutaka kunifanyia tiba. Iwe za dua au dawa zilizo ruhusiwa Kiislam.
Assalam Alaykum
Hayo M afuta mekundu kwa ajali gani?
Mm huota n matukio yatokea n khery hvy ama munatash'wishi khekh tafadhali nijuze mdaa mwingine hata naogopa
Salamalykum sheh naomba unisaidie kutafsl ndoto hiii nmeiota usiku nmeota nipo na dad yang tumepigwa radi ya mvua dad yang ilimpiga ikamhamisha sehem tuliyopo ila mm iliniparua tuu nikaanza kukimbia nabado ikawa inanifata kunipiga lakn juuu angan nilikuwa naona samak mkubwa angani yupo juuu alikuwa kwama ananilinda ndio hapo nikaanza kuswali kumuomba mung . iyo hali nikaona ikatulia sikuiona rad ten
Ntaifikiria ndoto yako alaf ntakujibu
@@rajabmwachia6508 asant
Asalam aleikum...nimeota imbwa zinakimbiza watu nikafunga mlango zisiingie
Mm naota Mara kwa Mara natafutwa na nyoka yaan chatu hii ina maana gan
Mimi ni liota nyoka mkubwa sana sasa mimi ni fanya nini na niko na mwenzangu hatuelewani nisaidie
Shukran saaaana tupe naba yako ninamatatizo shesh
A alkm, Twabaan mm nikawaida yangu kuota majoka tangu zamani, pia kuna wakati huwa sijalala lakini huyàona niwapo tu nutafunga macho, na pia nishaota Niko angani naanguka chini kwa kishindo likaja dege kubwa na kunishika na mdomo wake maungoni mwangu , napia huwa katika kila ndoto zangu za mashaa humuona mmng aidha yuwanisaidia ama yupo tu ndani ya ndoto zangu, lakini hayo majoka ndio ziada hadi naweza kukkueleza VP maumbile ya macho yao yalivo
Fatma Mudathir unachezewa ndugu yangu nyoka kawaida ni shaitwani kwahio apo umeanguka kwa kushindiliwa wachawi wanakutesa
Fatma Mudathir mama yako alikuwa karibu yako anakusaidia kwahio mama yako anakuwa karibu na wewe kwa matatizo uliokuwa nao
Zaitul Ahmar bei gani? Wapi nanapatikana?
Je ukiota unafukuazwa na Simba ila unakimbia Lin Bado inakuwa Kama kuna anakuvuta kwa nyuma saut pia huwa haitoki
Asalam alaikum sheikh,mi naotaga kifo mara kwa mara,
Da pole abdullay hila inategemea umeotaje otaje hiyo ndoto umeota umekufa wew au mtu saa nyingine ni nzur tu mim mwanzo nilikuwaga naogopaga hila za kukimbizwa ndio mbaya kifo wakat mwingine Inakuwa sherehe Zaman ilikuwa nasikia kinyume sherehe ukiota wakawa wanasema msiba na msiba sherehe hila shere mawili wanasema kama umeota sherehe na watu wakawa hawana furaha basi si nzur kama hawajakaa kiuzun nzur kama mie Leo nimeota tunacheza tunafurahi na watu wengine wamekaa wanatuangalia Mara akatokea mkaka mwisho huyo Mkaka msanii akawa ananiambia tuondike nikamwambia mh Sasa hivi akasema ndio nikawa nimeshangaa yani kama alikuwa na tatizo mie Sasa nikawa najiuliza hiyo safar anavyosema twende kwema kweli ikakata
Halafu shehe hayo mambo unayosema ya hiyo ndoto ya Sumu ni kama alivyosema shehe Suleman hivyo hivyo
Ya majoka si Mazur wanasemaga mashetani da Kuna kipindi nilikuwa Nayaotaga tena makali Kuna siku shehe mmoja akawa Anasema redion kuwa si nzur akatowa na namba zake Kuna duwa aliekekeza nikasitika nilichelewa kuziandika
Nge sijawai hila nyoka wakali
Hata simba si nzur wanasema mbwa na simba ndoto si nzur hata paka
Shehe mi nina shida kuna ndoto inajirudia sana
Subhanalha
Ww sindo yule sheikh wa kisa cha albakissi
Asaalam aleykum, mimi nimekuwa nikiota mara mara kua naibiwa gari, lakini huota pia hiyo gari inarudishwa nini maana yake?
Juma Jaffary kaka kuota gari nimaendeleo nilivo ambiwa
Ayo mafuta yanaitwaje kwa kiswahili
Alm alaykum naomba jina la kitabu unachokitumia
Nahitaji hayo mafuta shehe
Mimi niliota kunamtu namjua amenichoma shindano ya sumu na mimi apoapo nikajichoma shindano yamaziwa. 😁eti nimejua dawa ya sumu maziwa .
Poleee
Poleee sanaaa ilaaa umenichekeshaaaa sanaaaaa na iyo ndotoo yakooo waaalah etii umejichoma maziwaaa
@@latifalatifa-tg9rm 😁si unajua ndoto tena haina fomula.baada yakujua sumu dawa yake maziwa na mimi nimechomwa ya sumu mimi nikajichoma ya maziwa😭😢😢
aisha Omar 🤣🤣🤣
Hayo mafuta wajipaka ama wafanyaje
Mim huwa na pigana na majin au nikawa na mtu tunaongea vizur tu gafla atanibadilikia na kuwa jin au nyoka anakuja
Mmmhh ndugu huyo atakua jini anakusumbua
ukhut mwacti mm
kama nipo nje ya nchi ntawezaje kusomewa dua na ikafanya kazi?.
Mashallah
MashaAllah
Shee vp ukiota auoni yani ukuwa Kama kipofu nini maana yake
Shukran