Itumie Ayatul Kursiyu Kama Kinga No3 Na Namna Ya Kuitumia - Sheikh Yusuph Diwan

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024
  • Tumekua Na Muendelezo Wa Ayatul Kursiyu Katika Matumizi Mbalimbali Kulingana Na Shida Au Tatizo Ulilonalo. Maajabu Ya Qur'an Yanaendelea. Ni Namna gani waweza Kuitumia Kulingana Na Shida zako. Tuendelee kumfatilia Sheikh Wetu pamoja na Tv yetu Ya Masjid Mtoro Online Tv Kuyapata Mengi Na Mengineyo.
    #masjidmtoro #Ayatul_Kursiyu_Katika_kinga

КОМЕНТАРІ • 103

  • @shabaniramadhani657
    @shabaniramadhani657 4 роки тому +15

    Masheikh kama hawa wenye kutoa elimu kama hizi ni Wachache sana. Allah akufikishe daraja la juu sana duniani na kesho akhera.

  • @mugishamedia2632
    @mugishamedia2632 4 роки тому +10

    maa sha Allah.endeleyeni kutupa siri za Quran.Allah akupeni kheri za dunia na kesho akhera

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 4 роки тому +6

    Mashaallah shukran mungu walipe mema azidi kuwatunza mzidi kutufunza tuondokane na fitina za viumbe wabaya kweli najivunia quran nawapenda mashekh wetu kwaajili ya ALLAH

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 4 роки тому +3

    Maasha Allah sheikh wangu Allah akubariki Sana jazaka Allahu kher

  • @اؤنر-ر2غ
    @اؤنر-ر2غ 4 роки тому +4

    Allah akuwekeye wepesi apa duniyani na Keshi akhera

  • @fazkirtube1329
    @fazkirtube1329 4 роки тому +4

    JazakaAllah sheikh wetu....Allah(sw) akulinde InshaAllah

  • @anliomar2534
    @anliomar2534 3 роки тому

    Asalamu alaykum mualimu somo adhimu kabisa mungu akubariki nakutakia kheri milele

  • @jafarighuli696
    @jafarighuli696 4 роки тому +2

    Utangulizi mrefu sana ndugu yetu

  • @Kana-pp4gt
    @Kana-pp4gt Рік тому

    Allah akuhifadhi shekhr yusu akupe we na family yako

  • @rilkabuya6519
    @rilkabuya6519 4 роки тому +5

    Maanshaallah shkh mungu akujalie kheir inshallahu

  • @aymanabdallah9225
    @aymanabdallah9225 4 роки тому

    Jazaqahllahulkheir shehe allah akudumishe katk kutoa daawah kwa ummat muhamadi s.a.w

  • @sharifakakurwa7264
    @sharifakakurwa7264 4 роки тому +1

    Jazzaqallah khaira shekhe.

  • @salmaalnaamani8504
    @salmaalnaamani8504 4 роки тому

    Mansha’Allah.. Mungu akubariki kwa darsaa nzuri sana tumestafid yaa shekh.

  • @aishabeya2166
    @aishabeya2166 4 роки тому

    Shukrani shekhe allah azidi kukujaalia uzidi kutupa daawa

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 роки тому +1

    Waalleykum Salaam Warhamathullah wabarakaatuh,JazakAllah Kheir,

  • @hamiduhenjewele5369
    @hamiduhenjewele5369 4 роки тому

    Mashallah jazaka Allah hair Allah akupe pepo shekh wetu

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 4 роки тому

    Masha Allah shekh darasa zur Sana Allah akupeni shufaa na daraja la juu Sana insha'Allah 🙏🙏🙏

  • @ayyamirubba5226
    @ayyamirubba5226 Рік тому

    JazaakazLlahu khayrah

  • @ashalaurent4722
    @ashalaurent4722 3 роки тому

    Maallah allah akuepushe na shaari za viumbe na akuingize peponi siku yakiyama. Ila jitahidi kufupisha basi

  • @Filleduvillage9999
    @Filleduvillage9999 4 роки тому +2

    -Surat Al Anaam aya ya 61
    (Maneno 7)
    -Surat Huud aya ya 57
    (Maneno 6)
    -Surat Yusuf aya ya 64
    (Maneno 6)
    - Surat Al Raad aya ya 11
    (Maneno 11)
    -Surat al Hijr
    5 words
    Surat An Anbiyaa aya ya 33
    4 words
    -Surat Sabaa aya ya 21
    -Surat Al Saffaat 7
    5 words
    Surat Al shuraa aya ya 9
    7 words
    -Fuswilat aya ya 12
    5 words
    -Surat Al Buruuj aya
    20 21 22
    -Al taariq 4

  • @khamisathman1299
    @khamisathman1299 2 роки тому

    Aslm alykm sheikh, Alhamdhlilah MOLA akuzidishie umri in sha ALLAH na akufanyie wepesi kwa kila jambo LA halal in sha ALLAH. Kuna sehemu ya mwisho naomba niulize, wakati una andika kwa wino wa halal je una andika kwa karatasi ama wapi maana nimenukuu baada ya kuandika utafuta naomba unisaidie hapo tafadhali sheikh. unaandika wapi ndio ufute Tena. Shukran

  • @annamariko8160
    @annamariko8160 4 роки тому +3

    Mashaallah jazakallah Fikum Amiin

  • @ifkamedia8334
    @ifkamedia8334 4 роки тому

    Jazakallahu kheir ndugu yangu

  • @ibrahimhaji4279
    @ibrahimhaji4279 4 роки тому +15

    Sheikh Asante kwa mawaidha yako lkn maelezo huwa mengi zaidi kuliko Hilo unalotaka kusema ,kwa hiyo tunakuomba upunguze ili wende moja kwa moja ktk lengo .

    • @omarynjelu9191
      @omarynjelu9191 4 роки тому +1

      Kabisa shekehe intro inachukua hadi dakika 20 bado hatujafika kwenye point

    • @imaninasoro7527
      @imaninasoro7527 4 роки тому

      haswaa

    • @1nesoch
      @1nesoch 3 роки тому

      Kama ham'wezi kustahamili maneno ya Sheikh yote, basi hii elim sio yenu. Endeni dukani utowe pesa na upewe unachohitaji mnamo dakika 5.

  • @saidsaid9188
    @saidsaid9188 4 роки тому

    Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakaatuh, Shukran Sheikh wetu kwa mada nzuri tena muhimu sana mana hawa wachawi wamezidi kutuchezea safari hii watakoma B Idni LLAH (SW), SASA NAULIZA HAYA MAJI YA ZAMZAM NA HAYO MENGINE LABDA TUNAEKA KWA MAJI YA KAWAIDA AMA YOTE YAWE YA ZAMZAM YA KUOGA SIKU 7? NAOMBA JIBU TAFADHALI MASHEIKH WETU

  • @vdhjhdhdhhhd9332
    @vdhjhdhdhhhd9332 3 роки тому

    asantee kwa mawaidha

  • @SalimIddy-q5m
    @SalimIddy-q5m Рік тому

    Asalam alykum shee Naomba jina jingine la dawa uliyo itaja katika duwa ya bismlahi itwayo mihilam

  • @haimahaima9135
    @haimahaima9135 4 роки тому +1

    Nawapenda kwa ajili ya Allah shukurn kwa darasa zenu❤

  • @assistantabudhabi4440
    @assistantabudhabi4440 4 роки тому

    Jazakallahu kheir

  • @asiwankarim3935
    @asiwankarim3935 4 роки тому +1

    Shukran,jazzakum llahu kheir

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 роки тому

    Assalamu alaikum ya sheykh
    Amani ya allah ikushukie amiin

  • @midrajtv6026
    @midrajtv6026 2 роки тому

    Mashallah

  • @aishamashaka6370
    @aishamashaka6370 4 роки тому

    Mashallaah Allah akupe mwisho mwem kaka in shallaah

  • @saburyyusuph2118
    @saburyyusuph2118 4 роки тому +1

    Maa sha Allah

  • @omaryshafii1174
    @omaryshafii1174 4 роки тому +1

    mashallah, sadaqa tun'jaria

  • @salimramadhani740
    @salimramadhani740 4 роки тому

    Shukarn

  • @khadijaiddi4887
    @khadijaiddi4887 4 роки тому

    Maa shaa Allah jazaka Allah kheir sheikh

  • @hafsanahafsana4527
    @hafsanahafsana4527 4 роки тому +1

    Shukrani

  • @abedkarume9088
    @abedkarume9088 4 роки тому

    Jazakatullahu ya shekhuna

  • @hyasintajoseph2589
    @hyasintajoseph2589 4 роки тому +7

    shekh diwan maneno meengi, ulifanya, ulifanya, ulifanya nenda moja kwa moja kwa point

    • @1nesoch
      @1nesoch 3 роки тому

      Wewe njoo utuonyeshe mfano, yaani ufanye vile unavyo taka wewe.
      Na kama huwezi, please tunakuomba kwa ih'saani, ukae kimya.
      Lugha zenu sio za adabu wala heshima kwa elimu na wana-elimu ambao wanaitowa bure !
      Shukran.

  • @abedkarume9088
    @abedkarume9088 4 роки тому +1

    Shukran kwa darsa ya shekhuna mukhtaram

  • @sweetmeena5970
    @sweetmeena5970 3 роки тому

    Ni kweli waarabu wengi wanaichkulia Quran kawaida sana sijui ni vile imeshushwa kwa lugha yao ama nn

  • @omisul4679
    @omisul4679 4 роки тому +2

    Mashall allhamdulilah

  • @mmasha456
    @mmasha456 4 роки тому +1

    In shaa Allah

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 4 роки тому

    Mashallah mashallah jazaka Allah

  • @jumamassawe4653
    @jumamassawe4653 4 роки тому

    Mashaallah tabarakallah

  • @hassanlali8659
    @hassanlali8659 4 роки тому

    Mashalaah

  • @salimseif2427
    @salimseif2427 4 роки тому

    Sheikh uko vzr Mungu akuhifadhi lkn fupisha kiasi clip zako ili ziwape wafuatiliaji wa darsa zako wepesi.

  • @hajihaji908
    @hajihaji908 4 роки тому

    A'alykm shekh tunaomba darsa ambayo inamafndisho ya kuswali swalatul haja na dua ya kuisoma ili mtu afanikiwe mmbo yke

  • @abedkarume9088
    @abedkarume9088 4 роки тому +2

    Shukran

    • @amridiego7125
      @amridiego7125 4 роки тому

      Mashaalah mwenyezi mungu awajalie kila la kher

  • @yasmeennjoki2340
    @yasmeennjoki2340 4 роки тому

    Jazzakallah

  • @fafmamalangwa8192
    @fafmamalangwa8192 4 роки тому

    Nenda kwenye point MB zinaisha

  • @ramlataayat9999
    @ramlataayat9999 4 роки тому

    Walaikum mslm

  • @fadhilidaudi6260
    @fadhilidaudi6260 4 роки тому +1

    Group la dini link iyo hp juuu

  • @abdulkareemseif667
    @abdulkareemseif667 4 роки тому +2

    yani km kutakua kuna mtu anamsikiliza huyu na akamfuata basi na yeye atakua hana elimu km huyu...

    • @bakariathman3858
      @bakariathman3858 4 роки тому

      Tufafanulie atakua hana ilimu kivipi funguka utoe dalili kwailimu yako sikukosoa bila ilimu tupeyako ilimu yyeyake nihio yakotupe

    • @khatybzuber9744
      @khatybzuber9744 4 роки тому

      Hawa ndio wachawi wenyewe kwa nini tusimfuate na kwanini tuache

  • @jagenaught
    @jagenaught 4 роки тому

    As Salaam Aleikum. Hui malengo iko wapi kwa Qur'an na Sunnah? No hadithi gani ulipokelewa kwa hiyo maneno?

  • @fatmamohammedali4306
    @fatmamohammedali4306 4 роки тому +3

    Tatizo maji ya zamzsm mengi ya kunywa na familia ma kuogea tutayapata

    • @abdallamwinyikombo6557
      @abdallamwinyikombo6557 4 роки тому +1

      Shukran sheikh wetu,,,,naulizaje,,,,ya kawaida hayaez saidia??? Au ya mvua je??? Yale yakutoka mbingun moja kw moja??

  • @usajiliusajili6511
    @usajiliusajili6511 4 роки тому

    Yesu ndiye kinga kamili

    • @rehemamohamed2882
      @rehemamohamed2882 4 роки тому

      Hahahhahahahhh kakanyage mafut n wew

    • @usajiliusajili6511
      @usajiliusajili6511 4 роки тому

      Rehema Mohamed
      Yesu tu anatosha na si mafuta, wala pete vidoleni, jina lake tu

    • @sheikhabdallahiddi3350
      @sheikhabdallahiddi3350 4 роки тому

      kama yesu ndio kinga mpeleke ospitalini awaponye wagonjwa na kuwakinga namagonjwa. ?

    • @usajiliusajili6511
      @usajiliusajili6511 4 роки тому

      SHEIKH TV
      Aliponya mpaka viziwi, vipofu, viwete sembuse mgonjwa ukiomba kwa imani utapokea uponyaji

    • @sheikhabdallahiddi3350
      @sheikhabdallahiddi3350 4 роки тому

      @@usajiliusajili6511 kwani nyinyi amna imani . mpona atuoni at a mmoja akiponyesha watu kwa Nina layesu. ila tunaona feki viwete vipofu wagonjwa ndio wanao ponyeswa.kwa kwa jina LA yesu. kama kweli jina layesu linaponya bas atokeze mmoja mwenye imani aende kwa osbitali yoyote awaite wanahabari. Waje waone wawemashahidi .hawezi kupatikana hats mmoja hiyo ndio ukweli. yesu awezi kuponya .lakini mungu Allah anaweza kilakitu

  • @usajiliusajili6511
    @usajiliusajili6511 4 роки тому

    Yesu ndo jibu

    • @kijanahodari2080
      @kijanahodari2080 4 роки тому

      Ata Yesu alisema Mungu ndio jibu kama waislamu wanavyo sema ww ushakorogwa na wachungaji ndio maana unaibiwa hela kila jumapili

    • @mummysu4772
      @mummysu4772 4 роки тому

      @@kijanahodari2080 true

  • @omaralihamad3785
    @omaralihamad3785 4 роки тому

    Hadi mb zimeisha sikufikia malengo, punguza maneno wengine mb ni chache

  • @usajiliusajili6511
    @usajiliusajili6511 4 роки тому

    Jesus has saved my life and not Pastors and Sheikhs

  • @usajiliusajili6511
    @usajiliusajili6511 4 роки тому

    Jesus power

    • @kadiriosmam
      @kadiriosmam 4 роки тому

      Who is Jesus?.

    • @kijanahodari2080
      @kijanahodari2080 4 роки тому +2

      Pastors have ruined your lives you so called Christians
      Yeremia 50:6
      Watu wangu wamekuwa kondoo walio potea , wachungaji wao wamewapoteza silimu kama Yesu na manabii wote umjue Mungu wewe kafiri

    • @fatumahamis9206
      @fatumahamis9206 4 роки тому +1

      astaghfilrllah yesu mnampa cheo si size yake

    • @fatumahamis9206
      @fatumahamis9206 4 роки тому

      astaghfilrllah yesu mnampa cheo si size yake

    • @mummysu4772
      @mummysu4772 4 роки тому

      Astaghfirullah

  • @nurfatykabeke8244
    @nurfatykabeke8244 4 роки тому +1

    MashaAllah

  • @faizunmohd9839
    @faizunmohd9839 4 роки тому +1

    Mashaallah

  • @aishaaisha9094
    @aishaaisha9094 4 роки тому

    Mashallah

  • @ahdahmed8383
    @ahdahmed8383 4 роки тому

    Maashaallah