Kwa mujibu wa swali la chama kwenda yanga kucheza nusu fainali ya klabu bingwa basi yeye ni miongoni mwa walio ifelisha yanga maana isingeweza kucheza iyo hatua bila wachezaji na yy akiwemo jwahiyo kaifelisha yanga msinifikirie tofauti me sio kama mchome ubaya ubwela😊😊😊😊

Labuda marehemu MAX wa MIZENGWE
Msimu ujao Yanga atakuwa na utaratibu kama Simba alivyofanya msimu huu.
Akitaka kuludi Simba kwa mkopo tutampokea tukiendelea kumchunguza
Chanel uchwala, kichwa cha habari kinasema Asajiliwa Simba, mara ooh kama yanga watakubali kumuachia
Msimu ujao Yanga atakuwa na utaratibu kama Simba alivyofanya msimu huu.
Ni kweli kabisa, sasa inabidi tukubali kuwa kujifunza kwao.