Safia umejichubua, makope ya bandia kila siku, kucha za bandia kila siku, siku hizi umeipoteza Radha ubishoo umekuzidi Sasa huna hata Radha rudia Hali yako ya dhani ndvyo tulikubali ulivyokuwa nature, punguza mkorogo ni hiyo mikope bandia
Yani hawa jamaa ni boom hawajui hata acting halafu simulizi zao hazina maana mtu kuchekesha kueka uso kama umekula ndimu ndio kuchekesha watu wanne tu ndio hao hao halafu kagera tu ktk hiyo hoteli ndio sehemu yao jiongezeni mtabaki nyuma mpk lini
Igiza vyako ata chumban kwako tuu uone km ni rahis km unavyowaza....heshimu vya wenzako muhimu ujumbe umetufikia jamii husika ata wangeigizia nyumbn kwenu
Asanteni sana kutuletea vitu vipya.
Hongeren mnafanya vizuri
Nimewahi💓💓💓💓
mko vizuri sana iyo ni fundisho kweli pombe wine zinafilisi yaani iyo nzuri
Ahsanten
Naikubali kazi yenu
Supu sijui😄😄😄😄
Narudi nyumbani kumewaka moto.
Duuuu, huyu mkwere bhana kweli ni original
Nyumba Nyumba Nyumba director
sijakuelewa Nyumba imefanyaje? Magabe.
Chipu imeshajaa CHAI 🤣🤣🤣
🤣😁🤣amepatikana
Mbona nyumba yao imebadilika director?anyway ni kipindi changu bora sana😊😊
Nyumba haijabadilika, tazama bati. Kuna wakati nadhani walitumia mlango wa nyuma panapo bustani
Sogea gari inalud😂😂
Nawapenda sana hawa watu
Ntapatje cd zao nashid nao kweli
Kwenye ujana ujapaki umepitiliza 😁😁😁
Umekuja haraka haraka kama umekuja na pingu hahaaa
Wa 2
Kweri mizengwe haaahaaa mpo sawa
Nafurahia kipindi chao😂😂😂
Rembua rembua ata kidogo
Umekuja haraka haraka kama Umekuja na Pingu
😁😁😁😁 mgojwa kachora jaman mkwere mwenzang wee unani uwa mbavu warah from +968
Ushaona Chupa Ishajaa Chai Naongea Nini Sasa😂😂😂😄😄😀🤣🤣🤣
Kachora kafa😂😂😂😂😂😂😂😂
Dada umenawili kweli nilikuona kitambo sana uko vinzuri
😂🙌🏻
😀😀😀😀
Heheeee jamani
Aise Sina mbavuuuu
Nyie mbona maringo 7 kakonda sanaa au mm naona vibaya
Kweli hata mimi nimeona
Lusese amejibu sana hili swali. Ni mabadiliko ya kawaida tu ila ni mzima wa afya.
Hz za ktambo ztakuwa kwan hata wengne saiz wamejazia zaid akna original mkwere
Toa Hela Kwa Kufurahi😂😂😂😄😄🤣
Hahaha mkwere kapatikan leo
😂😂😂😂😂
Hahaha eti kimbunga
Ukijua kulitungua ujue na KULIDAKA. Msemo wa Wiki huo.
MUNGU YU MWEMA POMBE SIO NZURI .
Mbona uyu mkongo amepungua sana 🤦♀️
Eti bwaro la jeshi
Hahaha mapatoo na matumizi
😁😁😁😁
Kweli pombe syo chai na wanawake wengine wote igeni hivyo 50 dabo funga mwaka
Safia umejichubua, makope ya bandia kila siku, kucha za bandia kila siku, siku hizi umeipoteza Radha ubishoo umekuzidi Sasa huna hata Radha rudia Hali yako ya dhani ndvyo tulikubali ulivyokuwa nature, punguza mkorogo ni hiyo mikope bandia
Mmmh we nae wivu tu ko ulitaka mwenzio abaki vile vile maisha yanabadirika pata hel na ww tuone kama utabaki hvo ulivo wivu mwngine wakipumbavu jmn
😂😂😂😂😂😂😂
Huyu mkongoman mbona kama amekonda sanaaa
Ni kweli aisee
Ya zaman sana hii
Yani hawa jamaa ni boom hawajui hata acting halafu simulizi zao hazina maana mtu kuchekesha kueka uso kama umekula ndimu ndio kuchekesha watu wanne tu ndio hao hao halafu kagera tu ktk hiyo hoteli ndio sehemu yao jiongezeni mtabaki nyuma mpk lini
Mbona unatoa povu we kuma? We umeigiza lini? Acha usenge kuma la mama yako
Igiza vyako ata chumban kwako tuu uone km ni rahis km unavyowaza....heshimu vya wenzako muhimu ujumbe umetufikia jamii husika ata wangeigizia nyumbn kwenu
Hamna wachekeshaji Bora kma.haw kma.umeshindwa igiza wew