MAGUFULI "KILA KITU USALAMA WA TAIFA, MTU HAJAPOTEA YUPO KWA MGANGA WANASINGIZIA USALAMA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 30

  • @mbidadaud1256
    @mbidadaud1256 3 роки тому +1

    The Greatest of All time

  • @mkemia_magege5816
    @mkemia_magege5816 4 роки тому +2

    Amesema sio kila mtu anayepotea sio kwamba eti msalama wa Taifa. Sasa huyo Ben saa nane alipotea saa nane kwa makosa yake. Na kuna wengine ambao sio mabesti wako nao walipotea kwa sababu za kubaka, kuitukana serikali, kuikashifu Serikali na pengine kukimbia madeni. Hao nao huwa mnawasema kuwa nao wamekamatwa na usalama. Rais shikiria hapo hapo usiachie ili hawa wapumbavu wasiopenda kufanyakazi wanaitukana tu serikali kwa kutaka waachwe huru kufanya yao waweze kunyooka. Mungu akusimamie Our President Magufuli!!!

  • @stevenmsaaada.msaada.389
    @stevenmsaaada.msaada.389 4 роки тому +2

    Hapo tuko pamoja baba. Wadhibitiwe wapotoshaji vilivyo.

  • @fundieddy9164
    @fundieddy9164 4 роки тому +1

    Duh!
    '... sisi tumesimama hapa, tunasema tuko salama ni kwa sababu wapo watu wanateseka, wapo watu hawalali...'
    '...mahala poppte vyombo vya ulinzi na usalama, taifa lolote ni namba 'one' katika kupewa heshima...'
    '...haiwezekani vyombo vya ulinzi na usalama vinavyotufanya sisi tuwe salama pamoja na wao, vinakuwa kila siku ni kejeli na kutukanwa, nitasimamia...'
    HAKIKA NI MIONGONI MWA MANENO YENYE HEKIMA MNO.
    Ninamtakia kila la kheri rais wetu mpendwa Dr. JP Magufuli.

  • @AhmedAhmed-ph3wq
    @AhmedAhmed-ph3wq 4 роки тому

    Nikweli baba nakupenda Sana

  • @lawmaina78
    @lawmaina78 4 роки тому

    Upo sahihi mzee, usalama wa taifa wanatukanwa sana na kulaumiwa kwa kila kitu, ilhali wao wanachapa kazi tu.

    • @valentineevarist5628
      @valentineevarist5628 4 роки тому

      kazi ipi hiyo kama sio kulinda interest zake

    • @lawmaina78
      @lawmaina78 4 роки тому

      @@valentineevarist5628 Usalama wa taifa lazima ulinde kwanza interest za rais maana yeye akiyumba taifa linatetereka, ndio maana popote aendapo lazima wawepo tena wengi humo humo kwenye nyomi.

  • @berniethomas9883
    @berniethomas9883 4 роки тому +4

    Mzee vp kuhusu Ben saanane mpaka Leo atakua kwa mpenz wake au kaenda kwa mganga wa kienyeji??? Ni vema tungejua hili tuwaambie ndugu zake na kina mbowe ili wasihangaike kumtafuta kila leo

    • @mkemia_magege5816
      @mkemia_magege5816 4 роки тому +1

      Amesema sio kila mtu anayepotea sio kwamba eti msalama wa Taifa. Sasa huyo Ben saa nane alipotea saa nane kwa makosa yake. Na kuna wengine ambao sio mabesti wako nao walipotea kwa sababu za kubaka, kuitukana serikali, kuikashifu Serikali na pengine kukimbia madeni. Hao nao huwa mnawasema kuwa nao wamekamatwa na usalama. Rais shikiria hapo hapo usiachie ili hawa wapumbavu wasiopenda kufanyakazi wanaitukana tu serikali kwa kutaka waachwe huru kufanya yao waweze kunyooka. Mungu akusimamie Our President Magufuli!!!

    • @abdulabdul6370
      @abdulabdul6370 4 роки тому

      @@mkemia_magege5816 fact

    • @omaryabdul02
      @omaryabdul02 4 роки тому +2

      @@mkemia_magege5816 embu sijakuelewa,unasema saa nane kapotea kwa makosa yake? Ina maana mtu akikosea anapotea? Hao wengine kwa kubaka,mtu akibaka anapotea? Mie navyojua mtu akikosea anahukumiwa kutokana na kosa lake na Kuna vyombo husika juu ya kutoa hukumu...embu tujitahid kuwa wasimamiaji wa haki,hata mtu akiua Kuna mamlaka yanayohusika na kutoa hukumu ya huyo,kwani Kuna wangapi wamefungwa kwa makosa tofauti.. ni haki yao kupotea? Km hatujui watu walipo tusubirie vyombo husika viendelee na uchunguzi wao.

    • @berniethomas9883
      @berniethomas9883 4 роки тому

      @@omaryabdul02 wewe no mmoja kati ya watu wachache waliobaki ambao wanaweza kutoa hoja na wakaeleweka.. Kwa mfano watu wasiojulikana humu tz mbna ni ajabu hili jambo,,yan kumbe tunaishi na watu tusiowajua kana kwamba wao ni mashetan mpaka Leo hii hawajulikani. Roma na wenzake walirejea baada ya kuachiliwa walipokua wametekwa na kupigwa vibaya labda hao itakua walipigwa na kuteswa na wapenzi wao huko walikokua. Tz nchi yangu nakupenda kwa moyo wote

    • @paulibrahim1499
      @paulibrahim1499 4 роки тому

      @@berniethomas9883 haya mambo ya kupotea huku marekani yapo sana tu ,ila sijawahi kusikia watu wanasema usalama wa taifa wanahusika la,isipokuwa wanawaambia raia kujihadhari na watekaji wanaotumia mabasi au van zilizozibwa madirisha ya nyuma au gari tinted.

  • @happinessmosala2217
    @happinessmosala2217 3 роки тому

    Tatizo ni kwamba usalama wa taifa wako juu ya sheria.ndio maana matapeli ,wabakaji, watekaji wote wanajitambulisha kama usalama wa taifa wakijua wako juu ya sheria.kwani ni sheria gani inayoruhusu watu wa usalama wa taifa kuteka watu?kama wamekukamata na kosa inabidi wakufishe mahakamani siyo kunyanyasa na kuteka watu.

  • @chrishani3056
    @chrishani3056 4 роки тому

    One of the reasons why vyombo vya ulinzi na usalama have a bad reputation is because they’re busy and preoccupied carrying out your evil biddings.

  • @radhiambwana8787
    @radhiambwana8787 3 роки тому

    Hahahaaa kweli jmn.

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 4 роки тому

    Hahaaa nko kwa mpezi msinitafute Rais kasema

  • @chrishani3056
    @chrishani3056 4 роки тому

    Magufuli is nothing more than a sad joke. Tanzanians deserve true and genuine leadership!!

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 Рік тому

    Usalama wa taif aajira zake sikuizi za ovyoo, munachukuwa watoto wa wakubwa watupuu hususan walosoma wakirudi mafunzo wanaropokwa tu wanaongea ovyo kutwa kwenye kitandao, na mfumo wa kuchukuwa watoto wa wastaafu mumeuwacha wazee wanalalamika walostafu kutoka uko usalama tunawasikia wakisema chini kwa chini sikuiz wametegwa zamani lazima watoto wao wachukuliwe ndipo siri zinapo bakia kwenye serikal mana wa kubadilishana nae mawazo nae huwa yumo na alikuwemo, muliangalie sana hiloo wazee muwe munawaita kuomba ushauri pia mana wao ndio walovusha nchi yetu kuwa salama, hii leo mukijiangalia nyie mumeingizwa na wazee wenu ila saivi munaxhukuwa chukuwa tu ovyooo siri hakuna 😡

  • @valentineevarist5628
    @valentineevarist5628 4 роки тому

    usalama wa taifa lipi?

  • @chrishani3056
    @chrishani3056 4 роки тому

    Magufuli, if you really care soo much about fighting corruption then why do you spend so much energy and political capital fighting individuals and organs trying to uncover corruption?

  • @rafiki3433
    @rafiki3433 4 роки тому +2

    Hello marafiki!! Jina langu ni rafiki, naishi Canada. tafadhali Subscribe kwenye UA-cam channel yangu. mimi huzunguka ulimwenguni. Tafadhali subscribe ili upate kujua mengi kuhusu DUNIA. Asante kwa wale ambao watajiunga na mimi.

  • @chrishani3056
    @chrishani3056 4 роки тому

    Magufuli is basically saying “fuck those missing people” to a smiling and laughing police crowd. wow!!

  • @doyermaziwa6382
    @doyermaziwa6382 4 роки тому +1

    😆😆😆😆

  • @chrishani3056
    @chrishani3056 4 роки тому

    Police abductions, secret torture chambers in Mikocheni and the “seriousness” in the search for Tundu Lissu’s assailants showcases the tyranny of Magufuli.