Pamoja sana mwanangu yuzzo irakama autojari naomba tusapoty ane kushare kazi kwa wadau mana ata sisi niwa sanii wabongo freva kwamajina ni two boys sm ira usisa hau ku subescrybe naku comment nakushare kazi kwa wadau asante sanamwa bangi yuzzo naona kazii
Yuzzo umeua wanangu wa 047 naomba 🙏 like zangu.
Pamojaaa sanaaa
@@YuzzoMwamba mwamb mm kufuatilia toka bss naomba 🙏 namba yako
Hi noma sana
@@YuzzoMwambanmependa sana kazi zako nwamba, ziko safii ongeza sana jitihada , hiyo ngoma ya mwalimu wa field imenikosha😂😂😂
Yuzzo uko vinzur kaka nimejifunza sana kwa nyimbo zako
Daaaah wewe mwamba aisee moto wakuotea mbali, sio kwa uandishi huu umetisha Sana 💪💪💪💪
Noumaa sanaaa
Nakubali sana
We nimkali bro big up walai wapi likes zangu from kenya 🇰🇪
Yani unaweza ukafikir mmeimba watu wa watatu kumbe ni mmoko...... Unakipaj sana
Ndo man nakukubali yuzzo ujawai niangush ngom kal aisee
Saf sana good music 🎶 hakika unaweza kazana kijana ulipo tupo
Yuzzo mnyama ngoma ina unyama mwingi sana good idea broo nakuona mbaaaaliiiiii
Pamoja sanaaa 🎉🎉🎉
Unyama sana..
Blood umebondelea sanaa hiki kichupa ❤️👍
🎉🎉🎉🎉🎉
Nakukubali mwananguu kutoka 001 🦁🦁💥💥💥
Nakubal sanaa 🎉
Nomaaa Sana🎵🎵
😂😂😂🎉🎉🎉
Bonge la aidia 🔥👊
😂😂😂😂😂🎉🎉
Endelea kutoa mawe Hadi bongo yote tukujue. #mwamba sana yuzzo
Uzzo BSS didn't go wrong... This talent is on another level... Much love from 🇮🇪 🇰🇪
Kali love from Kenya 🇰🇪
🎉🎉🎉🎉
Mwamba yuzzo,, nakuaminia sana,, much love from 254 Kenya
🎉🎉🎉🎉🎉
Yuzooo you killed it mzee uandishi matat sana huu💥💥
Noumaa sanaa 🎉🎉🎉
047# Rapa jini unyama mwingi sana blo
Noumaa sanaa
Yuzzo for Everything body ✍🏻✍🏻
Thanks😂😂😂😂
Uyu jamaa ni mshindi wa ukweli katika wa shindi wote waliyo pita Bss 🇦🇺🔥🔥
We gooo 🔥🔥🔥
ngoma zako zote ni kal bro unajua kuandika na zinahisia kwel kwel
Olaaa yuzo mwamba nimeelewa ngoma hili kinoma oaaa umepoaaa kinoma mola ata bless taratibu tutafika tu ✌✌
🎉🎉🎉🎉🎉
Yuzzo your so creative I love that creativity for sure love mob kutoka 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Noumaaaa sanaaaqq🎉🎉🎉
Nilikwambia yuzzo ili goma likitoka video lazima liingie trending na kweli.. HONGERA BROO
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 pamoja sanaaa
Ngoma qalii yuzo✊🏾
😂😂😂😂
Umetisha sana nakufatiria toka tik tok daah kaz tam kinoma story ishanikuta toka tbr mboka manyema kaza mzeee baba ata ata rapcha hafk kwa motoo huu
🎉🎉🎉🎉 pamoja sanaaa🎉🎉🎉
Kaka pamoja Sana endelea kuupiga mwingi❤❤
Hapo mwisho umeuwa Mwamba 😊
🤡🤡🤡🤡aaaha
One of the best idea aisee ni mpunga umekosekana video lingeenda viral vibaya mnoo
Noumaa sanaa
Daaah #Yuzzo_Mwamba 🎤🎧🎵Umeua Sana Hii Kitu...💥💥💥Kama Ni Muvi Basi Katili Big Amefia Kwenye Maua...🙌🙌🙌🙌 CONGRATS
🎉🎉🎉🎉
Mwamba kabisaa umeeuuuaaaa🎶🎶🎶🎶🔥🔥🔥🔥🔥
Noumaa sanaa 🎉🎉🎉
Kiukwel sjuw nisemeje🔥🔥🔥🔥....Congrats Yuzzoh😍..nzurii😍
❤❤❤❤❤Jaman
Mwamba una Tisha Sana 🔥🔥🔥🔥
🎉🎉🎉🎉
God 🙏 bless you ..unajua Ile mbaya wajina
🎉🎉🎉🎉 pamoja sanaa
🔥 good work keep it up my best friend
We gooooo
🙌🔥 Twist Ya Story Hapo Nomaa.! 🔥🙌
😂😂😂😂😂we goooo
Nakubali sana kazi yako yuzo mwamba
Mwamba ndo uyu sasa 🔥🇧🇮🤝
🎉🎉🎉🎉🎉
Yuzo Mtu hatary sana blood muzik unaweza Brother ✊👊
Noumaa sanaa
Jamaha una waza sana kweli usa moja tuna kupenda
Twendeni apo trending top 10 🙏🙏🔥🔥🔥🔥
🎉🎉🎉🎉
mwanangu utengwe unajua kuimba kinoma noma yani
Mwamba naomba ufanye kitu na kontawa🙏
Pamoja sana mwanangu yuzzo irakama autojari naomba tusapoty ane kushare kazi kwa wadau mana ata sisi niwa sanii wabongo freva kwamajina ni two boys sm ira usisa hau ku subescrybe naku comment nakushare kazi kwa wadau asante sanamwa bangi yuzzo naona kazii
Ety "narudia Tena nitakaa siku mbili" 🤤
😂😂😂😂😂🎉
Wanangu 047 code let's go
🎉🎉🎉
pambanaaa brooo usikate tamaa uko gud sana 🇹🇿 tunaweza
😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉
From Kenya but these is a bangerrrr💥💥💥💥💥💥
Nakubali mwamba Yani n 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hii hapa hatari
🎉🎉🎉🎉
Kaka weh mkali sio siri....uku Kenya tushatiiiìi
uko vizur big up mtt anataka kukurambisha moto
Aaahaaa
Daaah huyu mwamba noma sana
Uliwaza Saana mazee Nakubaliyana Na wewe
It's your boy Akim dollar again
From Zambia
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Dah uko vizuri kwa uandishi
Kazi nzuri bro 💯👌💥
MWANANGU YUZZO UNAJUA SANA
Wimbo wa Taifa ....let us force for dis Anthem🔥🔥🔥
We gooo
Unajua sana💯
Sema kamanda badili muonekano wa nywele master manake unaboa
😛😛😛😂😂😂
Umetisha sanaaaa tena sanaaaa khaaa your generous
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Niatari kweli 🎉🎉🎉🎉
Wooow,I just love you yusuph, keep on
Neyma shoga yangu umetoboa 🥰🥰 kwa haraka haraka face kama nady mwaa penda
😂😂😂😂❤ Jaman
,,,unatxhaa mkaliii..🔥🔥🔥
Sanaaaa
Umetisha sana yuzzo mwamba✊✊
🎉🎉🎉 pamoja thanks
Wanangu wa 047# naqubal xaana yuzzo
🎉🎉🎉🎉🎉
Love story yuzo mwambaaaaa💯💯💯💥💥
Okay 👍
Nzuri sana kucgukuliana wazazi
yuzo msafi big up kazi nzuli 👏👏👏👏
Akili Sana 🧠🧠🧠
broo endeleakl kukaza mtaan tunaenjoy mzikii wko
Noumaa sanaa 🎉🎉🎉
Yuzzo umeua bonge la uandishi
😂😂😂😂🎉🎉🎉😅
Nyimbo iko sawa zaidi ya zuwena
😂😂😂😂Jaman
Mwamba🙌🙌🙌
🎉🎉🎉🎉🎉
Nomaa mzee 🔥🔥
🎉🎉🎉🎉🎉
Kweli wewe ni mkali❤
Iko vema mzee Bhaba Yuzzo 💯👏
🎉🎉🎉🎉
Jmn yuzoo kamanda Wang toka 047
😂😂😂 Jaman
Mistari mikali bro kinoma noma
🎉🎉🎉🎉
Noma sana unatisha
Umetisha Sana mzee Ngoma Kali Sana
🎉🎉pamoja sanaaa
Daaaaa huyo Jama hatari sana
Sult🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Noumaa sanaa 🎉🎉🎉
Love ❤️ from Australia 🇦🇺 big up bro 💪 🙌
😂😂😂😂🎉
Kaka huko sawa 🇰🇪🇰🇪
Noumaa sanaa
Mwanangu wa 047 unazidi kukiwasha
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂
Kaka hii kubwa kuliko ,bigup
🎉🎉🎉
Noma saana 🔥🔥🔥toka kenya
Daah kweli ngoma Kali sana
😂😂😂
unaweza Bwoy 🔥🔥🔥🔥sana
Noumaa sanaa
Unaweza kazi yakuchana
Noma sana mzee
Mwamba unajua🔥🔥🔥
Tisha sana mwanetu
Here we go! Chumaaa!
🎉🎉🎉🎉🎉
Huyu niga kaua kinyama big up bro
🎉🎉🎉🎉we gooo
Hukoseagi mwamba endelea kuwaua
Hahahaha acha nicheke kwaza ishanikuta hii ila umeuwa mwamba wangu🔥🔥🔥
U kill it bro always behind u
Rafk yang mnyamaa sanaaa ❤❤🌹
Noumaa sanaa