Kwa mara ya kwanza baada ya kupokelewa CCM Mchungaji Msigwa ajiachia sababu zilizomtoa CHADEMA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 40

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 3 місяці тому +1

    Kweli usimwamini mtu kwa maneno yake mwamini Mungu pekee

  • @VanancKamonyole
    @VanancKamonyole 3 місяці тому +1

    Msigwa hoja zako ni dhaifu, kama umeona chadema kuna rushwa dawa ya kuiondoa siyo kukihama bali ni kujenga hoja na kuisimamia mpaka ufikie ushindi. Je ni vema kuikimbia nyumba yako na kwenda kwa jirani kama ukigundua kuna nyoka? au ni kupambana nae mpaka uhakikishe umemtoa ndani ya nyumba yako? HUNA HEKIMA msigwa. Pole saaaaana!!!!!

    • @petermogha7025
      @petermogha7025 3 місяці тому

      Tuliwambia CDM rushwa nikuodoka tu na ww karibu sana

  • @HermanZephirne
    @HermanZephirne 3 місяці тому +4

    Kwa hali aliyo onyesha msigwa ni uzamifu mkubwa sana na kukosa msimamo katika chama

  • @dr.kiyabomikenghomange4237
    @dr.kiyabomikenghomange4237 3 місяці тому

    Msigwa ni bora ungejiunga na Chama chochote cha upinzani uliko kujiunga na CCM, wewe umekula rushwa ya Abdul.

  • @shadutavy7439
    @shadutavy7439 3 місяці тому +1

    Daah ila kwa mimi nimeuzunika sana jamaa kuhama chadema 😢 katka wanasiasa nchini nao wakubali kwa hoja na misimamo ni huyu Peter Msingwa afu anafuata Godbless Lema.. kwa hichi kilichotokea hata siamini daah 😢 jembe langu limeniangusha sana aiseeh.

  • @amirimsuya9531
    @amirimsuya9531 3 місяці тому +1

    Kana sukumwa na tamaa waache chadema wafanye kazi huna jipya

  • @elishandagala8677
    @elishandagala8677 3 місяці тому +1

    Mi sikushangai pastor nilivyoona umeanza kuweweseka nikasema hapa Bwana alitoa Bwana ametwaa

  • @NeemaKomba-ks4so
    @NeemaKomba-ks4so 3 місяці тому

    Umaarufu unaisha kihivo hatutakusikia tena kama joshuwa nasali nawengine

  • @filexkivuyo8383
    @filexkivuyo8383 3 місяці тому

    Toka mwanzo nishawai kusema mchungaji kuwa mwanasiasa niutapeli mana ninacho amini na ninachokiona kilamara siasa niutapeli

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 3 місяці тому

    Wewe ni njaa zako wanainchi wanalia na maisha magum yanayosababisha na chama tawala ccm

  • @jacksonbalama5990
    @jacksonbalama5990 3 місяці тому

    Kwanini hukuama ukiwa mwenyekiti hizo ni tamaa tu na uroho wa madaraka

  • @dianamakyara4210
    @dianamakyara4210 3 місяці тому

    Kweli ubunge hutaupata,msigwa wewe nimsaliti wewe ndo huna jipya loooo😊😊

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 3 місяці тому

      kwani akisema amenunuliwa atakosea nini?? kila mtu anajua kama angechaguliwa kuwa Mkiti wa Nyasa bado angekuwa chadema leo hii..

  • @cosmaswilliam3805
    @cosmaswilliam3805 3 місяці тому +1

    Ongela lissu hiyo ni ela ya mama amduni

  • @godfreymeagisa1871
    @godfreymeagisa1871 3 місяці тому

    Mshirikina tu wewe

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 3 місяці тому

    Tume huru ni lazima

  • @maikojohn-xr5cg
    @maikojohn-xr5cg 3 місяці тому +1

    Ila msigwa umepoteana sio ungehama kabla ya uchaguzi Sasa hakuna anayekuelewa Kwa sababu hata mtoto mdogo anajua kuwa ni ulafi wa madaraka

    • @gadielkahemba6514
      @gadielkahemba6514 3 місяці тому

      Pole msigwa mlimfukuza zito kabwe akaanzisha cha kwake nawewe kama ni kidume kweli anzisha cha kwko.huku ccm tuko furu.

  • @hamisimwinzagu6624
    @hamisimwinzagu6624 3 місяці тому

    Huna jipya mboni umeenda ccm ukukaa tu bila kuingia chama chochote mamluki ww ushachukua data za chadema umeona uchaguzi unakaribia ndio unaondo ili ukafikishe data ulizo kusanya sasa tunakusubili ugombee tu ubunge uone hasira zetu

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 3 місяці тому

      Msigwa anawakeraaaa na mtakerekaaa sana Msigwa dume lenye msimamo si kama wengine mnaomuabudu Mbowe Hongera sana Msigwa Karibu CCM chama kubwa chenye sera imara si watoa Tarifa

  • @sebastianmwantuge5597
    @sebastianmwantuge5597 3 місяці тому

    Msigwa kaenda CCM kwa sababu ya maslahi.

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 3 місяці тому

    Kaka msigwa ulikuwa unatafuta pakutokea.Ww simzalendo Bali uko kimaslai.Sasa ulikokwenda nikwamoto kuliko ulikotoka.Ishi maneno yko nauweke kumbukumbu.Usimalize maneno ,nisawa nakuachana namkeo ukaenda kumwanika hdharani,siku mkirudiana sura uko utaiweka wapi.

  • @muhsinikoki4060
    @muhsinikoki4060 3 місяці тому

    wemjinga siupige kazi Ivo ivo Sando uhamie hukohuko kuichafuwa wanachama acha ujinga wewe pole Sana

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 3 місяці тому +2

    Tamaaa ya vyeo, hivi lazima kuwa kiongozi?😂

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 3 місяці тому

    Uchaguzi wa chadema ingekuwa ni uchaguzi wa kitaifa kama uchaguzi mkuu wa wabunge na madiwani na Rais ukisimmamiwa na tume ya uchaguzi basi chadema wangekataa matokeo hayo na kudai maandamano ya kudai Tume huru na katiba mpya lakini kwa vile wamefanya wao basi wanajiona wako sahihi.

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 3 місяці тому

    Wewe ni njaa zako wanainchi wanalia na maisha magum yanayosababisha na chama tawala ccm

  • @ZephaniaNdaki-vq1ti
    @ZephaniaNdaki-vq1ti 3 місяці тому

    Msigwa anawayawaya; aliacha huduma ya kazi ya Mungu, nakukimbilia siasa, na ndivyo anavyobwabwaja tena kuacha chama chake akiingia ccm; hana msimamo isipokuwa anakitu afuatacho kule anakogeukia.

  • @danielndam5997
    @danielndam5997 3 місяці тому

    Ukula bila kunawa umeungana na wanao kula bila kunawa wenzio

  • @user-princs
    @user-princs 3 місяці тому

    Khaaaaaaa😢😢😢😢😢 shame shame😮😮😮😮😮😮😮😮aibu naona mm nn hiki

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 3 місяці тому

    Kwenda ccm ndo amejiharishia kabisaa😂

  • @MasanjaMasanja-z4y
    @MasanjaMasanja-z4y 3 місяці тому

    Umeisha wewe msigwa

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 3 місяці тому +1

    yaani kushindwa na kijana Sugu imekuuma hadi uhame chama huna akili timamu kwani unahisi kua wewe tu ndiyo unastahili kua kiongozi??!!

  • @salehhemed9388
    @salehhemed9388 3 місяці тому

    Poor timing

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 3 місяці тому

    Pole sana Msigwa .Is a shame to you. Hata ubunge huyaupata.

  • @EmanuelMuna
    @EmanuelMuna 3 місяці тому

    ira hata kama ndo uchungaji huna jipya msingwa unatamaa

  • @godfreymeagisa1871
    @godfreymeagisa1871 3 місяці тому

    Yuda

  • @bhaijanali5092
    @bhaijanali5092 3 місяці тому

    😂😂😂😂😂 msigwa amepotesa dila