Fakih Mbarouk Qaswida_Dhambi Ya Kwanza_Official Video

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 27

  • @wsfclassic
    @wsfclassic Рік тому +4

    Shekhe fak nakufatilia sana mungu akubarik sana kwa kutoa kaswida zenye maadili mazur sana 🙏

  • @AllyIbrahim-hr7yn
    @AllyIbrahim-hr7yn Рік тому

    Inshallah Mollah akuzidishie ostadh.
    Pia nasi wanaadam tuyatambue yaliyotokea nyuma tusirudie kosa amiin

  • @habibalbadashi
    @habibalbadashi Рік тому

    Mashalla Ustdh faki mm napenda kufuatilia kaswida zoko mana zina mafundisho ndani yake 🥰🥰🥰

  • @alhajrahassan89
    @alhajrahassan89 Рік тому

    Mashallah sheikh fakiyh upo vizuri sana

  • @yahyamakame4914
    @yahyamakame4914 2 роки тому +1

    Kiongozi wew ni mfalme wa mashairi mashallah

  • @binamubinamu1151
    @binamubinamu1151 2 роки тому +1

    Mashallah ubarikiwe kiongozi fakkyh Kazi mzuri sana

  • @abubakarfadhil9827
    @abubakarfadhil9827 Рік тому +1

    MASHALLAH UST FAKY MBAROUK ...yan mungu akuwek kaka...na akuzidishe kipaji mana unatusomesh asaa hapa sio kasda tuu....yan hii nomaaa kaka....ila naomb uniunge ktk group la AQAZ kaka na lile la DUKA LAKO LA KANZU....🙏

    • @fakihmbarouk5276
      @fakihmbarouk5276  Рік тому

      Asant sana sheikh kwa dua zako wallah Allah atupe mazur sote kwa pamoja

  • @saadaliy3979
    @saadaliy3979 2 роки тому +1

    King mashairi nakwita skuizi mashaallah

  • @ayzaqsayd1546
    @ayzaqsayd1546 2 роки тому +1

    Kuharibu asa ndo hujui kiongozi mashallllaaaaa

  • @fakihmbarouk5276
    @fakihmbarouk5276  2 роки тому +2

    Asant snaa wadau wang na mm nashkur kwa kunisapot

  • @allyhashim8217
    @allyhashim8217 2 роки тому +1

    Kiongzi upo vzr xna kazi nzri xna unastahili kupewa hora.

  • @shirahighqualityvideo8440
    @shirahighqualityvideo8440 2 роки тому +1

    Mashallah kazi nzuri kiongozi

  • @binallyamuz6895
    @binallyamuz6895 2 роки тому +1

    Njoo huku hebu kwenye Jumbe banah!

  • @dadymanzy1068
    @dadymanzy1068 2 роки тому +1

    Faki ww huna mpizan kw hyo kazi ya qaswida,hongre sana

  • @aboukibesh8356
    @aboukibesh8356 2 роки тому +1

    👍nimekubali kazi

  • @Official_Shaqiiq
    @Official_Shaqiiq 2 роки тому +1

    Maa Shaa Allah Baba

  • @saadaliy3979
    @saadaliy3979 2 роки тому +1

    Mashaallah kiongozi

  • @moustaphorzanzibar389
    @moustaphorzanzibar389 2 роки тому +1

    MashaAllah

  • @binsulaimanqaswida9665
    @binsulaimanqaswida9665 2 роки тому +1

    Masha Allah

  • @fadyaal_hinai5645
    @fadyaal_hinai5645 2 роки тому +1

    mashallah

  • @habibalbadashi
    @habibalbadashi Рік тому

    Ustadh faki mbona skuizi lepa simuoni kusoma kaswida yupo wapi dah naomba unipe jibu

  • @Official_Shaqiiq
    @Official_Shaqiiq 2 роки тому +1

    Kuna Mipito Ukipita Daah Ni Balaa

  • @hassanmakame4016
    @hassanmakame4016 Рік тому

    Ust faki.. Ww hun mpinzani mm naon sabb ww qaswida zako zina mantiki... Unfunza hawswaa..... Lkn natk kujua album mpya lini.....????

  • @zakomone7672
    @zakomone7672 2 роки тому +1

    Mashallah