Kama wewe ni mwanafunzi wa chuo na unategemea mkopo, taarifa ya Rais Magufuli ikufikie

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 48

  • @leonjackleon4442
    @leonjackleon4442 8 років тому

    Mheshimiwa mungu akupe maisha marefu ongoza nchi kama mungu alivyokupa kipawa cha uongozi

  • @isackkidaso9030
    @isackkidaso9030 3 роки тому

    Aisee!

  • @robertmolila7545
    @robertmolila7545 8 років тому +1

    Kwa hali hii kweli wewe ni chaguo la Mungu umekuja kurekebisha nchi

    • @jacksongwanchele317
      @jacksongwanchele317 8 років тому

      kama hawana sifa kwa nini serikali iwadahili kusoma diploma huonitatizo liko upande wa serikali?

  • @eliudedwin3424
    @eliudedwin3424 8 років тому +1

    Dah mweshimiwa Raisi umegusa matumbo ila sio kwamba wote wenye D D D D ni vilaza chamsingi tufuate sheria ya Elimu na mafunzo ya ufundi.mtu ukifeli 4m 4 nakupata hizo pass za collage fuata sheria Mbona watukibao wamemaliza cheti diploma na sasa wana degree nzuri tu! Shukrani mweshimiwa

  • @samiathmussa8171
    @samiathmussa8171 8 років тому +1

    asante mheshimiwa

  • @israeljacobshadrack2786
    @israeljacobshadrack2786 5 років тому

    well done be blessed

  • @zubedavuha6746
    @zubedavuha6746 8 років тому

    nimeipenda sana hii mheshimiwa

  • @gitu4me
    @gitu4me 8 років тому

    safi sana my presdent uko sawa

  • @nuhukihegulo141
    @nuhukihegulo141 7 років тому

    nashukuru mungu wasomi tubaki wachache.

  • @tunnyram7586
    @tunnyram7586 8 років тому

    exactly presdaaa

  • @kulwakemilembe9852
    @kulwakemilembe9852 8 років тому

    Thats why i chose u mr president may allah be upon u in shaa allah!!

  • @universalcreativestudio8488
    @universalcreativestudio8488 8 років тому +2

    Asante sana Mr, President kwa anae lipinga hili akili yake ikachunguzwe vizuri...... atakua kilaza*100... sifa kibao mtaani niko chuo wamebinua midomo kumbe vilaza!... hahahahahahaaaa sante sana Mr, President.. tutanyooka tuu!..... UTANZAGIZA "HATUUTAKI TENA".

  • @ngalabayangayanga1585
    @ngalabayangayanga1585 8 років тому

    safii sana mkuu

  • @johnsonkillenga8389
    @johnsonkillenga8389 4 роки тому

    Barabara hewa ikoje🤣🤣🤣

  • @getriciousg5715
    @getriciousg5715 7 років тому

    ubarikiwe sana kiongozi wapinzan lazima wasione goja zako

  • @chrisjrcjexclussive4977
    @chrisjrcjexclussive4977 8 років тому

    ila pleaz millad nakuomba uzifanye video zako downloadable coz kuna muda wengi tunakosa bundle for online watching
    WE SUPPORT YOU BROTHER

    • @amosathanas2374
      @amosathanas2374 8 років тому

      tafuta software inaitwa INTERNET DOWNLOAD MANAGER (IDM) itakusaidia KUPAKUA video yoyote uitakayo

    • @chrisjrcjexclussive4977
      @chrisjrcjexclussive4977 8 років тому

      Thanks

    • @tzshuleonline9986
      @tzshuleonline9986 8 років тому

      simply download torch browser, it has downloading key at the top-right Handside

  • @ambroseclement751
    @ambroseclement751 7 років тому

    Very nice

    • @condradmilinga5877
      @condradmilinga5877 5 років тому

      excellence president JPM umesema kweli Mungu akubalki sana

  • @richardibrahim5609
    @richardibrahim5609 3 роки тому

    leo hii mikopo daaah 2naumia xana

  • @bensongipson8052
    @bensongipson8052 8 років тому

    kiongozi sahihi

  • @renaldakamugishazeramulake940
    @renaldakamugishazeramulake940 7 років тому

    HahahAhaha mbavu zangu nakupenda sana Mh. Tulikuwa tumefika pabaya

  • @shaibusaidi6103
    @shaibusaidi6103 8 років тому

    do right no matter what other people say

  • @bintirashidantybaby8146
    @bintirashidantybaby8146 8 років тому

    Baba kweli umeisoma inchi nawalalahoi umewajua na tatizo kulitatua pia wajua hongera

  • @saadali4647
    @saadali4647 8 років тому

    asante mh rais maneno sahihi kabisa ila mngefanya mpango wakuarudisha makwao kuliko kuwaacha watapakae mjini, lkn tumekuelewa mh tupo nyuma yako tunyooshe baba

    • @saumusalimuhassan3041
      @saumusalimuhassan3041 8 років тому

      @Saad Albute Exactly wataangaika buree nauli watatoa wapi ya kurudi makwao.

  • @noahkasasamashaka8646
    @noahkasasamashaka8646 8 років тому

    hatari

  • @salehlofy4251
    @salehlofy4251 6 років тому

    Hana lolote Raisi rohombaya kuna wangapi wanastahki hawakupata mikopo

  • @magingijronlinetv2901
    @magingijronlinetv2901 8 років тому +2

    Poor vision

  • @imanimwankemwa9663
    @imanimwankemwa9663 8 років тому

    sijajua

  • @shebbysonsissah6798
    @shebbysonsissah6798 8 років тому +1

    Duuuh ni sheeder
    Bado sasa wenye simu hewa 16/6

  • @jacksonlema9475
    @jacksonlema9475 8 років тому

    nisawa kabisa unachokifanya

  • @MakoyeAman
    @MakoyeAman 8 років тому

    exactly>>>>>hao ni vilaza

  • @saumusalimuhassan3041
    @saumusalimuhassan3041 8 років тому

    Tumbua baba

  • @samiathmussa8171
    @samiathmussa8171 8 років тому

    asante mheshimiwa