NJIA RAHISI YA KUTATHIMINI UBORA WA ASALI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • Asali ni chakula, dawa na zao la biashara kwa binadamu. Kwa kuzingatia umuhimu huu asali inatakiwa kuwa na ubora na usalama unaokidhi matakwa ya walaji.
    Njia rahisi ya kupima ubora wa asali ni kutumia kigezo cha maji kwenye asali na kujua asali iliyochemshwa. Asali bora na isiyochemshwa ina kiwango cha maji kisichozidi asilimia 20. Asali iliyo na kiwango kikubwa cha maji ina uwezekano mkubwa wa kuchacha na kuwa pombe.
    Ungana na mtaalamu wetu kuweza kujua namna unaweza kutambua ubora wa asali kirahisi na kuepuka kutapeliwa.

КОМЕНТАРІ • 82

  • @zenjigreen5491
    @zenjigreen5491 2 роки тому +1

    Somo hili ni muhimu sana kwangu.nimekua niliogopa kununua asali kwa kutumia ipi bora.
    Shukran

  • @jakobonoha7666
    @jakobonoha7666 Місяць тому

    Vifungashio, na wingi was maji ndio njia peke zakutambua asali ni Bora??? Au Kuna njia zingine zaidi upande wa wingi wa maji Kuna njia3 umeztaja, maji kwenye glass, mchanga, njiti ya kiberiti

  • @musaabuebker1750
    @musaabuebker1750 5 років тому

    Asante kwa darasa dada mzuri.Apo sitauziwa tena asali feki

  • @kadoaugust6497
    @kadoaugust6497 3 місяці тому +1

    Asante kwa somo lizuri

  • @maryammaram2612
    @maryammaram2612 5 років тому +4

    Hiyo asali ya pili mulishaichanganya mana ni mchuzi si asalii mmmh

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 6 місяців тому +1

    Asante sana mana lilikuwa linatuchanganya hilo la kujuwa asali feki na orijino

  • @HusseinKoja-ww7gi
    @HusseinKoja-ww7gi 3 місяці тому +1

    Mungu alishasema watatoa asali matumboni mwao zenye rangi tofauti

  • @LydiaRweyemamu
    @LydiaRweyemamu 3 місяці тому +1

    Barikiwa dada kwa somo zur

  • @anniepaul3200
    @anniepaul3200 5 років тому +2

    Da teddy kwa mtu ambae haishi tz anataka kusafirisha asali nje ya nchi taratibu gani afuate?

  • @israelmunuo7938
    @israelmunuo7938 2 місяці тому

    Asante sana

  • @queenpiscator6117
    @queenpiscator6117 2 роки тому +1

    Hongera dogo haya ndo ma tangazo ya muhimu kijamii sio ma dada wanaolipia kwa ajili ya kuta ngaza vipodozi vya rangi za waarabu na wachina na kuonekana uso km wacheza sala kasi hongera mpz wewe ni mfano mzuri

  • @leilajenifer6740
    @leilajenifer6740 Рік тому +1

    Namba ya simu

  • @rosenyato8729
    @rosenyato8729 3 роки тому +1

    Hicho kifaa cha kupimia ubora wa asali nakipataje?

  • @DenisSanga-bj5ud
    @DenisSanga-bj5ud 4 місяці тому +1

    Ahsante na hongera Santa dada

  • @eliasmasunzu4063
    @eliasmasunzu4063 Рік тому +1

    Vifungashio vinapatikanaje kwa bei rahisi

  • @bernardmakungu290
    @bernardmakungu290 2 роки тому +1

    asali darasa hili zuri sana. Hongereni TSF na wale wanaotuuzia asali safi kama Yakilila wauzaji wa asali mbichi Geita.

  • @malickmpemba9885
    @malickmpemba9885 Рік тому +1

    Nitapata wapi vifungashio Bora vya asali?

  • @salumbabu1602
    @salumbabu1602 2 місяці тому

    Napataje iyo honey refractometer?

    • @tanzaniaforest4823
      @tanzaniaforest4823  2 місяці тому

      Tungependa kujua kwanza unapatikana wapi ili tuweze kukusaidia kwa haraka

  • @omaruliza3039
    @omaruliza3039 3 роки тому

    Naomba mawasiliano yenu.
    e-mail yangu ni ommyuliza98@gmail.com

  • @kuziririzaisabatosiitegeko7088
    @kuziririzaisabatosiitegeko7088 2 роки тому

    Nashukuru kwa elimu ila kwa sababu nakupenda nikweli ni mwamba urekebishe myself zako hizo zimekuharibiya muonekano.kubali zabo za asili dada mbona muri tu

  • @salimabdallah7409
    @salimabdallah7409 4 роки тому +2

    Je njia moja ikikubal zngine zkagoma?

  • @edwardedward8187
    @edwardedward8187 5 років тому +1

    Somo nimelipenda na nimenufaika na maelezo kwenye video hii

  • @noelamtesigwa6819
    @noelamtesigwa6819 2 роки тому

    Yaan saiv watanikoma😂😂wamezoea kunipigaa

  • @edwardedward8187
    @edwardedward8187 5 років тому +2

    Asanteni TFS

  • @kingsolomon0
    @kingsolomon0 3 роки тому

    Asanti sana Theresia . This is very educational and informative program on testing the quality of honey . Hogera . love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mwanaidimuhamed6540
    @mwanaidimuhamed6540 3 роки тому +1

    Mi nahitaji asali ya Lt 20 napata wapi na sh ngapi?

    • @elvisnzovu8282
      @elvisnzovu8282 3 роки тому

      Wewe uko wapi? Contract me elvisnzovu98@gmail.com

  • @zephnyarufunjo12
    @zephnyarufunjo12 5 років тому +1

    Asante ofisi za wakala wa huduma za misitu kwa mwanza ziko wapi

  • @bonifacemorro282
    @bonifacemorro282 4 роки тому +1

    Excellent mtaalamu ameeleza vizuri sana na imeeleweka. Tupatieni contact yenu

  • @leonardflavour7533
    @leonardflavour7533 4 роки тому +1

    Je nakama imepikwa inakuwajeee

  • @jumasaid8777
    @jumasaid8777 4 роки тому +1

    Kama huna kampuni

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 6 місяців тому

    Tumefundishwa leo izo nijia na ya kibiliti

  • @dorrislukinja2703
    @dorrislukinja2703 Рік тому

    Asali ikichachuka unalewa Kama pombe ukiywa

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye Рік тому

    Theresia asante je asali inatibu ukimwi nauliza nilibiwe

  • @marygorethWilliam
    @marygorethWilliam 4 місяці тому

    Tafadhali namba za simu,unapatikana wapi?

  • @maggymgaya2504
    @maggymgaya2504 4 роки тому +1

    Asante dada 🙏🙏🙏

  • @avax5717
    @avax5717 6 років тому +1

    Asante kwa elimu

  • @NellyMadeni-yv6fd
    @NellyMadeni-yv6fd Рік тому

    Yamchanga ni nzuri na nyepesi na rshisi

  • @jackfimbo4486
    @jackfimbo4486 5 років тому

    sasa na wenye viparata au vatamburisho vya ujasiliamali wanasajilije ?

  • @peterkabogo6468
    @peterkabogo6468 2 роки тому

    Dada mvavi yakulinia tutapata wp

  • @davydany9648
    @davydany9648 4 роки тому

    Naomba kujua jinsi ya kupata hicho kipimo cha kupimia asali

  • @marygorethWilliam
    @marygorethWilliam 4 місяці тому

    Theresia hongera sana

  • @rosenyato8729
    @rosenyato8729 3 роки тому

    Biashara yangu kubwa ni asali. Dada uko sahihi kabisa. Hongera sana. Niko Dar. Uzeni asali hutajuta

  • @marcosabore1527
    @marcosabore1527 Рік тому

    Nikwa namna gani unaweza pata vivungashio ya asali

  • @jumasaid8777
    @jumasaid8777 4 роки тому

    Utatambuaje kama haina sumu?

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino9868 4 роки тому

    Icho kidude bei gani

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 4 місяці тому

    Shukran

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 6 місяців тому

    Namba zenu

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino9868 4 роки тому

    Asante sana my dear

  • @richardkizigha8329
    @richardkizigha8329 2 роки тому

    Somo zuri asante

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 6 місяців тому

    Ya mchanga ndo hatujafundishwa

  • @mpoyokapictures1405
    @mpoyokapictures1405 6 років тому

    hamja taja mawasiano yenu wala amjaelekeza mnapo patikana

  • @dausonkamaka8165
    @dausonkamaka8165 6 років тому

    Nakuelewa ccta

  • @الوفاءالمثالي
    @الوفاءالمثالي 3 роки тому

    how can buy ?

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino9868 4 роки тому

    Naanza proces kesho

    • @GilbertGombeye
      @GilbertGombeye Рік тому

      Jenawezaje kufunga nyuki na je asali wa nyuki wadogo ipo kweli

  • @mohamedthoya7436
    @mohamedthoya7436 6 років тому

    Kuganda kwa asali ni tabia.....mhhh...rudi maabara dada..

  • @frowinimwinuka9736
    @frowinimwinuka9736 4 роки тому

    Vifungashio nitapata wapi

  • @frankyesaya7768
    @frankyesaya7768 6 років тому +1

    Hongereni sana

  • @gwiterrichard7352
    @gwiterrichard7352 5 років тому

    vifungashio navipata wapi msaada tafadhal kwa yeyote anaeweza kunisaidia

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 3 місяці тому

    Huyu dada hajui kiswahili. Hana uwezo wa kuwasilisha mambo. Mtu kumwelewa ni kazi ngumu sana.

    • @debbymwaka4048
      @debbymwaka4048 3 місяці тому

      Acha ujinga Sasa hio nilugha gani anaongea labda ww Ndo hujui kiswahili Ila Sisi tuna muelewa saana

    • @iddrashid7054
      @iddrashid7054 9 днів тому

      Wewe ni ndugu lawama huna jema kiswahili hajui na hayo matendo anayofanya nayo huelewi?

  • @lulucharles7252
    @lulucharles7252 3 місяці тому

    Safi