Mchungaji Amieli Katekela MASWALI YA UFAHAMU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • HII NI CHANEL AMBAYO ITAKUPA MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU PAMOJA NA MASWALI NA MAJIBU KUTOKA KWA MCHUNGAJI AMIEL Y KATEKELA KWA HUDUMA YA MAOMBI NA MAOMBEZI PAMOJA NA KUWEZESHA KWA SADAKA YAKO WASILIANA KWA NAMBA 0756 275 511.

КОМЕНТАРІ • 78

  • @user-ef7pn5wt7g
    @user-ef7pn5wt7g Місяць тому

    Roho Mtakatifu akiwa ndani yako kweli anaganya yote... Unajibu Kwa Hekima na mamlaka ya kiungu kabisa Mungu akubariki mtumishi wa Mungu...haya maswali ingekuwa si huyu Roho Mtakatifu ndani yako ni magumu kuyajibu papi Kwa papi.

  • @VeronicaThomas-pb1cp
    @VeronicaThomas-pb1cp 5 днів тому

    Nashukuru mchungaji, naomba unisaidie mm nimekuwa nanyolewa nywele usiku nasijui milango wake

  • @mwambakibucheche1119
    @mwambakibucheche1119 2 місяці тому

    Amina ubarikiwe sana

  • @violetnasimiyu8718
    @violetnasimiyu8718 5 місяців тому +4

    Bwana Yesu asifiwe mtumishi wa Mungu, hongera kwa hiyo hatua. utukufu kwa Mungu.

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 5 місяців тому +3

    AMINA AMINA AMINA MTUMISHI Amiel Yaledi KATEKELA, HONGERA BABA KUFUNGUA TV YAKO. NAOMBA KUJIUNGAMANISHA NAYO NIKUE KIROHO.

  • @misnasma7875
    @misnasma7875 5 місяців тому +3

    Amen....hongera mtumishi wa Mungu Kwa KATEKELA TV

  • @user-ef7pn5wt7g
    @user-ef7pn5wt7g Місяць тому

    Barikiwa mtumishi wa Mungu aliye hai ..hiii ndio injili tunayotaka kusikia ... Mungu awatie nguvu katika kuileta hii injili inayogusa nafsi na roho

  • @DoroseraPaul
    @DoroseraPaul 2 місяці тому

    Bwana Yesu asifiwe mchungaji naomba unisaidie Mimi naota ndoto nyingi lakini nasahau je nikiamka tu nasahau kabisa

  • @caxtonojiambopreaching
    @caxtonojiambopreaching 5 місяців тому +1

    Amen Mchungaji katekela, Asante Kwa kufungua tv, Umekua baraka maishani mwangu, na Tena utaendelea kuwa baraka kwangu, katika jina la Yesu kristo., Mungu akujalie maisha marefu sanasanasana. Nakupata kutoka "Mombasa" Kenya.

  • @faithe4063
    @faithe4063 5 місяців тому +4

    Mtumishi wa Mungu kitekela, naomba unisaidie hapa,bibi yangu alikufa kwa njia ya kutatanisha, alafu uwa inanitokea kila mara ikisema sijekufa naomba unisaidie kutoka

    • @katekelatv
      @katekelatv  5 місяців тому +2

      Okay tuwasiliane kwa simu siku ya jumatano

  • @user-ru5pk9bh8p
    @user-ru5pk9bh8p 5 місяців тому

    Yesu asifiwe mtumishi,naomba unisaidie mimi nilikuwa mshirika mzuri wa madhabahu zinazotumia maji na mafuta ya upako baada ya mafundisho yako nikaachana nazo ni miez sita sasa ila ndugu zangu wamegoma kuziacha nifanyeje nisaidie baba

  • @user-ey8ug1hg2j
    @user-ey8ug1hg2j 5 місяців тому +1

    Kweli mungu SI mwanadam ubarikiwe katekela na hongera pia kwa tv

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 5 місяців тому +1

    Amen
    Asante kwa kujibu maswali nimejifunza jambo zidi kubarikiwa mtumishi wa Mungu..

  • @MariaMdemu-xt5cv
    @MariaMdemu-xt5cv 5 місяців тому

    Amina mchungaji kateleka.... nabarikiwa sana Kwakweli Mungu akukumbuke katika ufalme wake.....unaokoa wengi🙏🙏🙏

  • @AidaRaphael
    @AidaRaphael 3 місяці тому +1

    Ubarikiwe mtumishi kwaafundishoazuri

  • @user-zq8xg9oq4p
    @user-zq8xg9oq4p 5 місяців тому +3

    Mungu akubariki sana shuhuda zako zinajingeza kila siku, mungu akutunze

  • @servantofgod4340
    @servantofgod4340 25 днів тому

    Mtumishi Katekela asante kwa MUNGU kwakukutumia.
    Naomba kuuliza: Je, wayahudi wa sasa waisrael najua wanamuabudu ADONAI / YAHWE ambaye ndie baba wa YESU. Je kuzimu inawaweza kuwaharibu wayahudi ambao wanabidii na kumpenda MUNGU ingawa hawamwamini YESU?
    Mlikuwa mnawapata wayahudi wachamungu?

  • @sophiamakani6133
    @sophiamakani6133 5 місяців тому

    Ongera sana Mutumishi wa Mungu furaha ilioje sifa kwa Bwana YESU

  • @MarthaHerman-sm9wr
    @MarthaHerman-sm9wr 5 місяців тому +2

    Bwana Yesu asifiwe Mchungaji naomba niwe mshirika wako

    • @katekelatv
      @katekelatv  5 місяців тому +1

      Karibu sana

    • @zengopaul
      @zengopaul Місяць тому

      Ndg Mchungaji Katekela
      nmebarikiwa saana na shuhuda zako.Mugu akubariki na akutie nguvu ushuhudie mataif yote ile wapate kupona kwa nguvu ya Yesu Kristo wa Nazareti

  • @user-ew3fq7re2t
    @user-ew3fq7re2t 5 місяців тому

    Hongera kufunguka tv maana umetusaidia tutakua kiloho. Barikiwa na Mungu.

  • @agnethapaul6057
    @agnethapaul6057 5 місяців тому +2

    Amina,mtumishi wa Mungu.

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 5 місяців тому +1

    Ndoa zipo, kuokoka ni jambo jingine. ASANTE

  • @gracemutono5023
    @gracemutono5023 5 місяців тому +2

    Asante sana mtumishi

  • @elishapaul1706
    @elishapaul1706 27 днів тому

    Pastor naomba kuungwa group la komboa familia

  • @alexanderobaye7576
    @alexanderobaye7576 5 місяців тому

    Safi kabisa mtumish, Nina swali katika bibilia kuna neno kiroho kama lipo maana yake njni? Ila mimi najua tu Roho au Rohoni. Alexander juma nikowa Kenya

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 5 місяців тому +1

    hongera umefungua Tv aise

  • @HeryDaudi
    @HeryDaudi 5 місяців тому +2

    Mchg Niko mara naomba msaada wakiroho

  • @JaneKuyokwa-ng2qf
    @JaneKuyokwa-ng2qf 5 місяців тому +1

    Amen mtumishi

  • @Majison-qm2sv
    @Majison-qm2sv Місяць тому

    Thanks for your answers

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk 5 місяців тому +1

    Majibu mazuri

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 5 місяців тому

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN

  • @noelashaoona
    @noelashaoona 5 місяців тому +1

    Amen 🙏

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 5 місяців тому +1

    Amen

  • @witmartha1059
    @witmartha1059 5 місяців тому +2

    Asante

  • @raelnangila3006
    @raelnangila3006 5 місяців тому +2

  • @labankalumiye4117
    @labankalumiye4117 2 місяці тому +1

    Bwana Yesu asifiwe? Mimi nawapenda sana. Nauliza je, hii ni tv yenu halali?

    • @katekelatv
      @katekelatv  2 місяці тому +1

      @@labankalumiye4117 ndioo ni halali

    • @katekelatv
      @katekelatv  2 місяці тому

      @@labankalumiye4117 ndioo ni halali

    • @labankalumiye4117
      @labankalumiye4117 2 місяці тому

      @@katekelatv nashukulu sana MUNGU awabaliki,

    • @labankalumiye4117
      @labankalumiye4117 2 місяці тому

      Naomba namba yenu niwe natuma sadaka yangu kwenu

    • @labankalumiye4117
      @labankalumiye4117 Місяць тому

      Bwana Yesu asifiwe sana mtumishi wa MUNGU? Naomba unisaidie Jana nimeota ndoto ambayo inanichanganya kuifaham naomba unisaidie. Nimeota nyumbani kwangu kuna maji mengi yanakuja kutoka mlimani yakaizingila nyumba yangu mala nikaona inaanza kubomoka nika mwambia mke wangu twende tuka chukue baadhi ya vitu tuviokowe wakati naanza kusukuma niingie ndani kupitia dirishani mala nika shituka nikaomba sana. Naomba nisaidiwe nini maana yake mchungaji

  • @jameskajenge3109
    @jameskajenge3109 5 місяців тому +1

    Hongera sana mchungaji kakufungua TV yako. Pia huduma yako ni njema sana

  • @faithe4063
    @faithe4063 5 місяців тому

    Umejipu vyema mtumishi wa Mungu barikiwa zaidi kwanza hapo kwa sabato, ndio maana Yesu akasema ng'ombe ya mtu akianguka katika shimo mutawaja kuokoa kwa sababu ya sabato?tena akasema yeye Yesu ndiye Bwana wa sabato,mimi nitazidi kumwabudu Mungu katika jina kuu la Yesu kristo katika siku ya Sunday

  • @JENIPHAIBRAHIM
    @JENIPHAIBRAHIM 5 місяців тому +2

    Mch naomba no yako

  • @catemacharia8499
    @catemacharia8499 4 місяці тому

    Mtumishi asante kwa majibu yako lakini nina swali,mimi nafanya kazi uwarabuni na nimeokoka lakini lazima niagizwe na boss yangu kuchoma ubani wanapo hitaji,nitafanya aje na boss yangu ni ajuza hawezi enda jikoni kuwasha makaa moto aichome!

  • @user-iw1yq3op8f
    @user-iw1yq3op8f 4 місяці тому

    Sawa mchungaji nimekuelewa ila nko na swali moja je kijana mukristo naeza Olewa nkijana Muslim

  • @everinestephano680
    @everinestephano680 10 днів тому

    Niliokoka nikaanguka kwenye dhambi ya zinaa nikaolewa bila ndoa na mwanaume asiyeokoka ndoa ikawa ngumu sana mpaka sasa ni ngum nina miaka nane kwa ndoa watoto watatu mwanaume ni mlev,malaya, hana mda mm anaish tu na mm ila naota moto ni meng ila kuna wakat nataka adi kuachika nawaza tena nidhambi plz plz ushauri natubu nilifanya kosa but ndoa ni ngum

  • @veronicambilinyi3854
    @veronicambilinyi3854 9 днів тому

    Kuvaa bangili , ukufu na pete ni dhambi?

  • @user-wt9kj7gl1i
    @user-wt9kj7gl1i 5 місяців тому +1

    Asanti sana kuwa kufungua TV yako ni swali mtu akiwa Kenya unapatikana kwa Channel ngani

    • @katekelatv
      @katekelatv  5 місяців тому

      Katekela tv pia promover tv

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 5 місяців тому +1

    Kweli kuokoka Ni kuamia

  • @neemamarko176
    @neemamarko176 5 місяців тому

    Amina, Barikiwa sana

  • @florakwayu5646
    @florakwayu5646 5 місяців тому +1

    🙏🙏🙏🔥🔥🔥

  • @rakaieva5472
    @rakaieva5472 5 місяців тому +2

    Bwana Yesu kristo asifiwe Mchungaji Amiel niko na swali shahada inamaanisha nini?

    • @fwambamarkd5735
      @fwambamarkd5735 5 місяців тому

      Certificate

    • @katekelatv
      @katekelatv  5 місяців тому

      Shahada ni cheti cha ndoa kinachothibitisha kuwa umeoa au umeolewa. Mtu hupewa baada ya kuoa au kuolewa

  • @user-gn5bw4dr1e
    @user-gn5bw4dr1e 3 місяці тому

    Mimi nona ku fata toka Goma DRC,
    Una sema Kitabu ya LUKA ina sema tuabudu juma pili iyo ni uwongo
    Ya pili SABATO maandiko inasema ni Amri ya milele na YESU alisema aku kuja ku badili Amri n'a Kitabu ya Ifunuo ina sema tusi punguze wala ku ongeza
    Tena YESU akasema yeyote anaye fundisha mwengine ku shika Amri ataitwa mkubwa katika Ufalme wa MUNGU
    Kitabu cha Marko inasema munaacha Amri ya MUNGU na muna shika maagizo ya wanadamu n'a iyo maagizo ni yale imeandikwa mu Kitabu ya Danieli 7:25 n'a ambayo wa KATOLIKI Waka badilisha siku ya ibada ya kweli ya MUNGU

  • @HappinessBakuju
    @HappinessBakuju 5 місяців тому +2

    Kuolewa bila kutolewa mahali ni dhambi?

  • @clarisotieno3858
    @clarisotieno3858 5 місяців тому +2

    Unapatikana kwa NB Gani ya kenya

    • @katekelatv
      @katekelatv  5 місяців тому

      +254795 417 141 Amiel Katekela

  • @vailetlemenya6576
    @vailetlemenya6576 5 місяців тому +1

    🙏🙏👏👏💪

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 5 місяців тому +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @everinestephano680
    @everinestephano680 10 днів тому

    Kama umeshafanya makosa ukaolewa na mtu ambae hajaokoka unafanyaje? Ufanyajee

  • @patrickanselim
    @patrickanselim 5 місяців тому +2

    Mchungaji je ni sahihi kuoa au kuolewa na mtu wa dhehebu lingine?

  • @faithmwaura-sq9gm
    @faithmwaura-sq9gm 5 місяців тому

    swali langu ni sawa kukomboa first born?

  • @user-vw5ul8kd5i
    @user-vw5ul8kd5i 4 місяці тому

    Ni nini maana na shaada ya ndoa

  • @messimessi7255
    @messimessi7255 5 місяців тому +1

    Mchungaji nina swali ...JE KUBETI NI DHAMBI?

    • @user-fu6fx8if6w
      @user-fu6fx8if6w 5 місяців тому

      Kubeti ni dhambi inakatazwa hata Kwa biblia.

  • @d.lutherjr5382
    @d.lutherjr5382 5 місяців тому +1

    amen

  • @leahngerageza
    @leahngerageza 5 місяців тому +1

  • @HannahNjoroge-dd8fg
    @HannahNjoroge-dd8fg 4 місяці тому

    Amen