Amina.. Boaz ni ombi langu pia yakwamba tuingiapo mwaka wa 2021 Mungu atafanya ufike Kenya....huduma yako pamoja na Essence of worship imekuwa na ugoso mkuu katika kanisa la Kenya, Africa na dunia nzima.Watanzania mna siri kuu ya kuabudu.Twahitaji neema hiyo hapa.
sasa kama duniani watu wanasifu vizuri hivi kwa halelujah nzuri je mbinguni itakuaje sipati picha hiyo ibada........yaani MUNGU MTAKATIFU awainue zaidi vijana....mmeabudu mpaka najiuliza huko mbinguni itakuaje
Essence of worship, Nyie ni namba moja hapa Tanzania.. Nawaombea Mungu moto huu uendelee hata kwa album kumi zijazo msipoe wala msipoteane. Mnatubariki Sana aise.. What a great song 🔥 all musicians hiyo arrangement salute, singers hizo harmony 🙌
Very nice song especially hapo Kwa Halle hallelujah inapendeza sana Baraka kubwa kubwa my brothers and sisters u have build me by ur Praise to God be the glory
I FELT LIKE JUMPING MORE THAN I COULD,THIS IS SO LOVELY AND BLESSING.KEEP NATURING PEOPLES HEART VIA YOUR SONGS.I REALLY LOVE YOU ESSENCE OF WORSHIP FOR YOU ARE INDEED ESSENCE OF WORSHIP.GOD BLESS YOU MUCH.MUCH LOVE FROM KENYA
heeeeee cant stop dancing to song hee now my new favorite. what the of the drummist he this guy never disappoint he play not by skill but by anointing nice job
napenda huduma yenu maana inayo mafuta ya MUNNGU alfu pia essence of worship hawanaga mbwembwe kwenye kuimba natamani hata siku mmoja nihusurie mazoezi yenu. YESU awabariki sana
Waiting to hear the Full song. I am very blessed with this song. I am waiting for more and more songs as well on Audiomack. The song it’s really really amazing. Let the Fire burn . 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🥁🥁🥁🥁🥁🥁🥁🥁🥁🎸🎸🎸🎸🎸🎸🎸🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🪘🪘🪘🪘🪘🪘🪘🪘🪘🪘🪘🪘🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎧🎧🎧🎧🎧🎧🎧🎧🎧🎧🎧🎧🎧👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
Powerful Hongereni Sana Essence of Worship
Hakika Yeye Ni Mungu anastahili. Wamefanya kazi nzuri sana
Tx is blessed with such kind of authentic praise and Worship...Boaz I also get blessed by your worship...haufananishi na.....
Amina.. Boaz ni ombi langu pia yakwamba tuingiapo mwaka wa 2021 Mungu atafanya ufike Kenya....huduma yako pamoja na Essence of worship imekuwa na ugoso mkuu katika kanisa la Kenya, Africa na dunia nzima.Watanzania mna siri kuu ya kuabudu.Twahitaji neema hiyo hapa.
sasa kama duniani watu wanasifu vizuri hivi kwa halelujah nzuri je mbinguni itakuaje sipati picha hiyo ibada........yaani MUNGU MTAKATIFU awainue zaidi vijana....mmeabudu mpaka najiuliza huko mbinguni itakuaje
Mungu.ni yule.yule twakuabudu bwana pokea sifa.na.utukufu hakika watahili.Mungu
Hamjawai kuniangusha mwenyezi Mungu akizid kuwainua
If your blessed 🎷🎷 with this powerful song gonga likes 👈👈 despite of Corona Bado tunamsifu ,unastahili mungu🤗🤗🙌🙌🙌
Amen!Amen!Amen!
JESUS....YOU ARE GOD...You deserve to be Glorified.
We Ni Mungu Unastahili
We Ni Mungu Pokea Sifa
Mimi nawapenda sana watumishi wa Mungu nitapata vipi nyimbo zenu
I feel like I'm jumping in the clouds
Aesome,, Tanzania we worship you Lord Jesus .
From DRC🇨🇩 tunawapenda sana tena sana. Que l'Éternel vous bénisse infiniment🙏🙏🙏
Neema ya Mungu iwazidi..Baraka tele kutoka kwetu hapa Kenya
KWELI YEYE NI MUNGU AMEN
🇾 🇴 🇺 🇦 🇷 🇪 🇸 🇵 🇪 🇨 🇮 🇦 🇱 ᴛʜᴇ ᴇssᴇɴᴄᴇ ᴏғ ᴡᴏʀsʜɪᴘ
CHEERS TEAM mnafanya vema Mungu awabarikini
Watumishi mzidi kubarikiwa hakika kazi yenu ni njema nyinyi ni kama joyous celebration hapa Tanzania🙏
Halellujah : We ni Mungu Unastahili
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu MUNGU wa mbinguni awabariki sana sana nawapenda katika BWANA YESU❤️
Wewe ni Mungu pokea sifa,
Wewe ni Mungu wastahili,
Hale haleluya, Hale haleluya................
You are God,,,,
,Blessed song and dance.
We worship you Father, Son Jesus and Holy Spirit
Can't wait
Asante sana Yesu😭
I COULDN'T TAKE THE MENS SWEET VOICE ON THE ALELUYAH PART
Sikiliza hzo instrumental vzur Zinavyotoa Tone tamuuu.. Saafi sana @essence of Worship
Glory glory to the Lord God
Mungu akupeleke juu sana zaidi ya tai
Sifa zote ni zako MUNGU MTAKATIFU PEKEE YAKO UNASTAHILI SIFA ZOTE TAKATIFU
Naskia huu wimbo mpaka kwenye mishipa aaiiiiii.
Uuiiiiiiiiiii🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃
Hapo kwa Wakaka tuimbe Hale haleluiya....That sounded so nice....Nice song. Indeed take the Glory God....Salamu kutoka Kenya
Tupo kukuabudu, tupo kukusifu.. Thank-you Essence of worship, keep on soaring higher by the grace of God. Much love from Kenya
Essence of worship, Nyie ni namba moja hapa Tanzania.. Nawaombea Mungu moto huu uendelee hata kwa album kumi zijazo msipoe wala msipoteane. Mnatubariki Sana aise.. What a great song 🔥 all musicians hiyo arrangement salute, singers hizo harmony 🙌
Utukufu juuu ya utukufu apewe BWANA MUNGU Wa majeshi
Tuliorudia zaidi ya mara 1 tupo??
Tupo jamani
Tupo
From Kenya the band blesses ad softens my heart more grace
The greatness of our God, the Lordship of Jesus Christ!
Bwana asifiwe!
We worship you Lord
Very nice song especially hapo Kwa Halle hallelujah inapendeza sana Baraka kubwa kubwa my brothers and sisters u have build me by ur Praise to God be the glory
I FELT LIKE JUMPING MORE THAN I COULD,THIS IS SO LOVELY AND BLESSING.KEEP NATURING PEOPLES HEART VIA YOUR SONGS.I REALLY LOVE YOU ESSENCE OF WORSHIP FOR YOU ARE INDEED ESSENCE OF WORSHIP.GOD BLESS YOU MUCH.MUCH LOVE FROM KENYA
We ni Mungu🙌pokea SIFA...Hale-hale-lu-jah💃💃💃💃💃
Kazi kazi mwaka huuuu
Tuned live from Kenya
Munapendwa na mungu,,,,,sàaaaaaana
You just did it again. Cheers Essence Group.
Ww ni mungu pokea sifa na utukufu. Mbarikiwe sana
One of my favorite song is this one
With love from Kenya 🇰🇪
Mungu awazidishe Zaid 🙌🙌kwa utukufu wake nimebarkiwa na wimbo huuu
heeeeee cant stop dancing to song hee now my new favorite. what the of the drummist he this guy never disappoint he play not by skill but by anointing nice job
His name is David ...Instagram deedrummer_
True, this guy never disappoints
@@tonie5447 what about the basist please
@@martininzai3365 the main bassist in the DVD is Steve also on Instagram as Smoshally
@@tonie5447 thanks
napenda huduma yenu maana inayo mafuta ya MUNNGU alfu pia essence of worship hawanaga mbwembwe kwenye kuimba natamani hata siku mmoja nihusurie mazoezi yenu. YESU awabariki sana
Jesus we worship you Father we praise you Tanzania ❤ kaka Gwamaka umechez vizuriii so good sifa na Utukufu kwa Bwanaa.
Nakukubali Sana Gwamaka God be with you mtumishi
Nice song my brother Gwamaka may God save you&your members amaizing team for God keep up in God🎤.By artist john Calivary Temple Arusha🎻
Mbarikiwe
MUNGU azidi kuwainua, maana tunabarikiwa sana na kazi zenu. Nataman kuwaona mkidumu kwa mda mrefu kama Joyous Celebration
Indeed true praise, essence you don't disappoint...loving the energy.
😁😁😁 shetani ana aibika sana
Wimbo mzuri watumishi mbarikiwe
Nabalikkwa sana na nyimbo zenuuu
Kenya is watching and praising God 🙏🙏
You guys blesses my soul
Ameen
Thanks very much Essence worship I love your work
These servants of God are annointed for sure.... Barikiwa
Waiting to hear the Full song.
I am very blessed with this song.
I am waiting for more and more songs as well on Audiomack.
The song it’s really really amazing. Let the Fire burn . 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🥁🥁🥁🥁🥁🥁🥁🥁🥁🎸🎸🎸🎸🎸🎸🎸🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🪘🪘🪘🪘🪘🪘🪘🪘🪘🪘🪘🪘🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎧🎧🎧🎧🎧🎧🎧🎧🎧🎧🎧🎧🎧👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
realizing this song wow wow wow on repeat to God be the glory
Wee ni mungu🙌....so so powerful.. Keep the fire burning essence of worship...God bless you..
Yesu twakuabudu ,,baba tunakusifu you guys you're incredible God keep blessing you servants of our lord Jesus
Amen
Hale halehaleluya
This is great work. You are a blessing to the Kingdom. May the Lord bless your ministry.
Great and awesome, Hallelujah
Lovely work from instrumentals👏👏✨💖🕊️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🌎🌄
I love the coordination of the instruments. Essence of worship has always been a blessing to me all the way from Kenya
I just keep listening to this song,our God deserve all the glory.He's exalted forever
Glory to God.God bless Essence of Worship.
Guys you are a blessing to my life.Glory be to the Almighty
My favourite worship team. I'm glad I discovered your music!
Hallelujah mungu anaweza yote anastahili kusifiwa
Ameeeeeen!!
🙌🙌🙌💃💃💃weee ni Mungu . Halleluyah Amen. Powerful . Love you Essence of worship .
Wimbo wa moto sanaaa
Eeiiiish c ni tamu
Waiting from Nakuru🇰🇪
tuko p
My fellow nakuru person
Team USA 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸He is Worthy of all our Praises Psalms 103🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥God bless you abundantly Deut.28:1-14 💙💙💙💙💙💙💙💙Hallelujah 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
📣📯📯📯🎺🎺🎺 Halleluyah...🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺kote.
Hallelujah to the God over everything Mungu awabariki ninyi nyote kwa huduma inayogusa watu
Safi saana watumishi..
Ameeeeeen 🙏
Ila naupenda wimbo huu
Amen niliwamc jmni barikiwa
wooooow, glory to Jesus. powerful
May the Good Lord keeps you for his Glory
YOU ARE JUST THE BEST.
Balikiwa sana kazi yenu ninjemaaaaaa
You are the best be blessed
Yesu twakuwa budu
Nice one so lovely song to our Daddy.😍
Kazi njema sana
Aiseeeh 🙌🙌🙌👏👏👏👏
So powerful 😢🙏
Nimebarikiwa sana.