Putin aitembelea Chechnya kwa mara ya kwanza tangu 2011

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 104

  • @kingmtetezi6670
    @kingmtetezi6670 Місяць тому +26

    Wa 13 ku comment leo nipeni like zangu ambao tuko pamoja na Putin

  • @mohamedaley5632
    @mohamedaley5632 Місяць тому +21

    Huyo ndio Ramadhan kadrove marekan wanaujua ushujaa wake na sasa Ukraine ajiandae sana kukabiliana na huyo jamaa ni hatare

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km Місяць тому +15

    Putin ananikosha na hizo ziara zake za usiku kwa usiku 😊🙌🙌

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 Місяць тому +2

      MI pia yani mwamba halali kiume kazi kazini 😊😊

    • @raydanfrenk
      @raydanfrenk Місяць тому +3

      Angekuwa mwingin ungesema kuomba msaada 😅😅😅 yan magaidi mna matatizo

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz Місяць тому +2

      Si mwizi huyu na mwizi usiku ndio zake

  • @Africaamkenitznawenuso
    @Africaamkenitznawenuso Місяць тому +5

    Nakweli mkikaa kindezindez Dunia yote itatawaliwa na mashoga mashetani wabaya safi Puttin safi Kwa wale wote wanao ends kinyume na mifumo ya magharibi

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f Місяць тому +2

    Kuna jambo watu huwa hawaelewi. Iko hivi, Putin hadi leo hii hajatumia jeshi lile la Russia, yaani read army!! Putin anatumia vikundi vikundi tu wa wanajeshi lkn sio jeshi kamili la Russia kwasababu ili maadui zake kama marekani washindwe kujua nguvu ya Urusi kiundani zaidi.

  • @abbynimel-kindy5107
    @abbynimel-kindy5107 Місяць тому +1

    Leo Mke Wng Atafurahi Sana🎉🎉🎉

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 Місяць тому +1

    Much love. SNS kwa habari. Nzur

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk Місяць тому +1

    🇷🇺🫡🇹🇿💯

  • @hudumablack9339
    @hudumablack9339 Місяць тому +2

    Tunahitaji Vikosi kutoka Chechnia kuongeza moto huko Kursk ili Zelensky aisome namba.

    • @DodomaTanzania-r5z
      @DodomaTanzania-r5z Місяць тому

      Nadhan vikeshafika kwenye mapambano maana siku kadhaa walidai wapo njiani wanaelekea kwenye tukio

  • @pauldotto7868
    @pauldotto7868 Місяць тому +2

    Sns mko vixuri sana .
    Ruko pamoja

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 Місяць тому +1

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉Safi sanaaaa,RUSSIA/PUTIN

  • @MohammedBwanga
    @MohammedBwanga Місяць тому +6

    Asante mzee sky hii ni safi sana ya kulalia uuuuurrrrrraaaaaa

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 Місяць тому

    Mbona huonyeshi vidio zionists wanavyowatesa wakiristo Jerusalem SNS

  • @FadhiliAlly-fy2tx
    @FadhiliAlly-fy2tx Місяць тому +2

    Alaa kumbe

  • @OmarOthman-w9k
    @OmarOthman-w9k Місяць тому

    Wanaumeeeee kazikazi Putin oyeeee Mh. PUTIN mzidishe mawazo Shoga BIDEN hadiazime kabisa anaanguka anguka hoyvo

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 Місяць тому

    Mwamba huyo hapo🇷🇺🇷🇺🇷🇺

  • @Gulfnas1
    @Gulfnas1 Місяць тому +1

    Kuiongoza Russia pekeake na ukubwa wake!! Aiseee huyu jamaa anafaa kuheshimiwa

  • @billskeez92
    @billskeez92 Місяць тому

    Pole sana bro sky, naona mafua yamekubana....❤

  • @KhadijaMasoud-d2z
    @KhadijaMasoud-d2z Місяць тому

    Huyo mwamba tunaomba historia yke tunahitaji kumjuwa zaidi

  • @babuumaeda7671
    @babuumaeda7671 Місяць тому

    Mashoga na wanaopenda USHOGA huwezi elewa hiii😊😊

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 Місяць тому +1

    Nanyie mlalege 😂😂bhna yani hizi hbari kama hzi BBC DW hawazitangazi leo nime wachana dw nkawambia nyie nivibaraka wa magharibi, mnatoa habar potofu et Ukraine yazdi kukamata maeneo mengi kumbe wanajeshi wake Wanaitwa mbolea ya ardhi ya kursk huko

  • @anordgerison8639
    @anordgerison8639 Місяць тому

    UASI WA KIISLAMU TENA KUMBE HAWA JAMAA n hatari kila mahari 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ChoroTesla
    @ChoroTesla Місяць тому

    Wakubwa wa kazi wana uchebe wameloa vyeo kawaida tu njoo Afrika sasa

  • @Oboss_billharvester
    @Oboss_billharvester Місяць тому

    Putin mzee mwenye hekima, one love baba putin

  • @AbubakarIshaaq
    @AbubakarIshaaq Місяць тому

    Hahahahahah mbona fubi 😢😢😢😢I love Putin

  • @muhsinikoki4060
    @muhsinikoki4060 Місяць тому

    wako kazin mbona tangu na wangen lakin kwasirisana

  • @NdovuDentalClinic_
    @NdovuDentalClinic_ Місяць тому

    Vita ni kama mpira , haya kocha mpya anakuja 😂😂

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 Місяць тому

    Umakini katika kuteua viongozi ni wa muhimu mno kwa maendeleo na usalama wa nchi.

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 Місяць тому

    Daaah nimetoa Machizi, nilipoona akipiga magoti😢😢

  • @approxtv9021
    @approxtv9021 Місяць тому +2

    Sma alihendaga wapi

  • @IsmailJafary-ir8cv
    @IsmailJafary-ir8cv Місяць тому

    Huyu puti ana heshima sana namuelewa sana sana

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 Місяць тому

    Chechnya na russia wana ongea luha moja

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 Місяць тому

    Kadrove ❤❤❤❤❤❤ ni Mwamba mwengine

  • @lucasbatano333
    @lucasbatano333 Місяць тому

    Hiyo nchi ndo naisikia leo

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 Місяць тому

    Putin baba lao ❤❤🇷🇺🇷🇺🇷🇺

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 Місяць тому

    Wachechnia wazee wa nyundo

  • @StevenTaylorx
    @StevenTaylorx Місяць тому

    AWEEEEEE

  • @ChaumaraAli-z5i
    @ChaumaraAli-z5i Місяць тому +1

    Hii chechnyia ni nchi au mkowa

    • @amirinestory
      @amirinestory Місяць тому +1

      Mkoa au jimbo ndani ya urusi

    • @Clever-l8v
      @Clever-l8v Місяць тому

      Kama zanzibar kwa tanganyika​@@amirinestory

  • @jasminmdimi6059
    @jasminmdimi6059 Місяць тому

    Viva Putin ❤❤❤

  • @ReyzDon
    @ReyzDon Місяць тому +2

    Chechinia ni taifa au Jimbo la urusi

    • @samwelipima3795
      @samwelipima3795 Місяць тому

      Nikama Tanzania Zanzibar ukisikia urusi nimuunganiko wa nchi zaidi ya 21 Ila wao huita majimbo usishangae nchi moja upande moja ucku kwingine mchana urusi nikubwa mno kijiographia

  • @godfreydavid6847
    @godfreydavid6847 Місяць тому +1

    Putin anahangaika saana, atakuja kuomba msaada mpaka TZ

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 Місяць тому

      Tupo tayari

    • @bonifacewanyonyi3555
      @bonifacewanyonyi3555 Місяць тому

      😂😂😂😂

    • @Kzm-c9u
      @Kzm-c9u Місяць тому

      Ukimsahau na Netanyahu katika hilo basi utakuwa unamchukia putin kwa mihemko tu

    • @issalyanali4119
      @issalyanali4119 Місяць тому

      Vita ni washirika,,,marekani hajawahi pigana vita bila washirika ,,wameenda uraq ,Libya NATO wote,,,,,ila Putin akili kubwa ,,,, Hadi Sasa kashinda asilimia 18% ya Ukraine kachukua,,,,we unafukiri vile vitongoji alivyo chukua Kursk,, Ukraine haboi na hawezi kukaa pale mwaka,, niliuulize nikuambie kilichokuwa kimetokea BAHAMUDI,,, Palikuwa machinjoni,,,sawa na ule mji Kursk Ukraine Hadi Sasa wanajeshi 400 wamelamba mchanga,,,

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 Місяць тому

      @@Kzm-c9u sisi Tanzania 🇹🇿 tupo Tayari kupigana na mbwa yoyote apa duniani kwanza tubatanguliza wagambo alafu tunapeleka raia kwasababu raia wa Tanzania ni mashushu namba moja duniani wakishakwenda raia sisi ngoma ngumu tunamaliza baba navita na vita vitakuwa tumeshinda

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq Місяць тому

    Hii nchi binafsi ndio kwanza naisikia Leo hivi ni nchi au ni mji maana ndio mara ya kwanza kuisikia😂😂

  • @NoelChambo
    @NoelChambo Місяць тому

    Chenchen fighters mwanzo wa vita ya Russia na ukraina walioeleka Askari wao, hii ni mara ya pili wanapeleka tena

  • @ZUWENADELLOW
    @ZUWENADELLOW Місяць тому

    Wa pili😂😂😂

  • @MohamedShabani-mm7zp
    @MohamedShabani-mm7zp Місяць тому

    Wa kwanzaaaa

  • @nellymans-f1v
    @nellymans-f1v Місяць тому

    Kwani hawa jamaa wa checnya ni waarabu au?? Maan wanavyo onekana tu ni moto

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 Місяць тому

      Chechniya iliwahi kuwa sehemu ya Urusi

  • @jamesvmusic2677
    @jamesvmusic2677 Місяць тому

    Sawa😂😂😂

  • @NoelChambo
    @NoelChambo Місяць тому

    Achukue makomando wa Jwtz wakamalize kazi.

  • @petronyereresaliboko4047
    @petronyereresaliboko4047 Місяць тому

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @michaellemoyan459
    @michaellemoyan459 Місяць тому

  • @nellymans-f1v
    @nellymans-f1v Місяць тому

    Hy sara ya putin umeiona au n mm pekee yngu

    • @YamunguMatamya
      @YamunguMatamya Місяць тому

      😂😂😂

    • @issalyanali4119
      @issalyanali4119 Місяць тому

      Putin ni mkristo ambae Imani yake Orthodox church,,,Wana papa wao achana na yule was Italy anapenda kufilana​@@YamunguMatamya

  • @raydanfrenk
    @raydanfrenk Місяць тому

    😂😂😂😂😂 ameishiwa ameanza kuomba msaada mwaka huu lazima tumfire

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj Місяць тому +1

      Kila siku nakuambia ww ni Kama mbwa mwenye fangasi, akili zako ziliungana na mshipa wa mavi.

    • @KingBuddah-nx3ui
      @KingBuddah-nx3ui Місяць тому +1

      PUTIN AJAISHIWA ANAPIGANA NA MATAIFA 50 YEYE PEKEE YAKE

    • @KingBuddah-nx3ui
      @KingBuddah-nx3ui Місяць тому

      @@GeorgeAkasha-zx2rj Awamuezi putin taifa kubwa Russian wamoto wazoefu wanasiraa kama mchanga

    • @KingBuddah-nx3ui
      @KingBuddah-nx3ui Місяць тому

      @@raydanfrenk chamoto anakipata sasa anajuta kwa nini kavamia urusi

  • @MaurusMpinga
    @MaurusMpinga Місяць тому

    Kaanza kuomba msaada

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 Місяць тому

      Msaada wa nini?
      Putin anapambana na mashoga wote marekani, ufaransa, uingereza, ujerumani, uturuki, italy, mholanzi, ubelgiji, na wazungu wengine.
      Elewa Putin yeye yupo pekee yake ila alisema atahakikisha wale maadui wa marekani atawasaidia silaha, kwahiyo ukimuona Putin anatambelea nchi jua anaenda kuzisaidia, na si kuomba misaada.

    • @MaurusMpinga
      @MaurusMpinga Місяць тому +1

      @@mohdkhatib223 bado haujui kitu

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz Місяць тому +1

    Ni lazima aende si anapigika now

    • @mustafamasudi8093
      @mustafamasudi8093 Місяць тому +1

      Pole sana kwa maumivu unayoyapata Putin anakukosesha sana usingizi😊😊

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz Місяць тому

      @@mustafamasudi8093 ww ndiye unaeteseka mimi wala.Haya kuna ugonjwa wa mpox huko Congo umejitokeza na unaua haya sasa kusanyikeni ukoo wenu wote mgundue dawa sasa kama sio mnawategemea hao wazungu.una akili mgando.

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE Місяць тому +1

      ndiyo akili yako ilipoishia maku pole saaaaana.RUSSIA BABA LAO

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz Місяць тому

      @@PAULNYANDILE Marekani baba lao si unaona juzi tu tumetoka kununua ndege mpya Marekani.

  • @godfreydavid6847
    @godfreydavid6847 Місяць тому +1

    Jamaa anahangaika saaana

    • @kafwimbimilambo8556
      @kafwimbimilambo8556 Місяць тому

      Utaangaika saana
      Putin nichuma

    • @godfreydavid6847
      @godfreydavid6847 Місяць тому

      @@kafwimbimilambo8556 hahahahahaha leo nimemuona akiwa Chechnya dah amechoka saaana. Vita ya Ukraine inamtesa saaana. Atakuja kuomba majeshi mpaka TZ

    • @bonifacewanyonyi3555
      @bonifacewanyonyi3555 Місяць тому

      😂😂😂😂

    • @MohammedBwanga
      @MohammedBwanga Місяць тому +1

      Yah anataka kila nchi ktk hii dunia iwe huru na kuheshimika.

    • @salimfaraj5509
      @salimfaraj5509 Місяць тому

      Utahangaika wewe na mashoga wenzako